04.d - charlie pele

6
waa waah!! cheki kuna dame ana-watch tukicheza ball! 24

Upload: well-told-story

Post on 09-Mar-2016

266 views

Category:

Documents


24 download

DESCRIPTION

Chapta 4 - Charlie Pele

TRANSCRIPT

Page 1: 04.d - Charlie Pele

waa waah!! cheki kunadame ana-watchtukicheza ball!

24

Page 2: 04.d - Charlie Pele

dunda utengwe

kama pele!ha ha haa!!

sitaki. mi hupatanga heartburn ni-kikula mahindi..

25

Page 3: 04.d - Charlie Pele

nimepata hasara kwa

kupanda mahindi.

26

Page 4: 04.d - Charlie Pele

lakini baba kuna mimea tofauti ambayo tunaweza panda badala

ya mahindi.

nimeona jirani sasa anapanda new variety

sweet potatoes na amepata pesa mingi.

na kununua vine mbegu moja kwa shilingi moja tu!

na ni taamu!

nimepanda new variety sweet potato!

si ni poa?

lakini hizi ni weeds tuu! sasa umenileta nione nini?

naishia...

wewe ni bure sana!

na unadhani watu watasema nini wakituona? hawa neighbors sio watu wa kabila na tabia kama

yetu.

27

Page 5: 04.d - Charlie Pele

wacha nikuonyeshe!

taraaa!

ni poa! si tui-roast?

inanukia poa!

ni kitu gani

inanukia hivyo?

nimevuna na ku-roast ile new variety sweet potato nilionunua kutoka kwa jirani. vine moja ya sweet potato

shilingi moja. ni rahisi kupanda na ni tamu sana.

sasa nina vines zangu, na ambazo naeza

uzia neighbours wangu wengine! kwa kila vine!

ni kweli! new variety ni

soo!

28

Page 6: 04.d - Charlie Pele

Utapata info ya areas utakazo-pata New ImprovedSweet Potato varieties na zinazo-suit area yako ukituma SMS ilio na the word SWEETPOTATO#CONSTITUENCY kwa 3008

nimechoka kuskia juu ya majirani. they are not our people!! staki

kukuona ukiwakaribia!

hiyo roast new variety sweet potato ilikuwa tamu! hebu tufanye

hivyo tena.

hata kama fathako hajaelewa najua djb ataelewa - hebu tum-

text!

New improved variety za sweet potato ni tasty sana na mavuno poa. Varieties za new improved sweet potato varieties zinatofau-tiana na areas zenye zinamea vipoa. New sweet potato varieties ni kama Wera, Mugande, SPK013, SalyBoro, Ejumula, Kemb10, Nyawo na Mugande Vindolo Vitamu na salyboro.

Kupanda sweet potato vines

sweetpotato#magarini

Kupanda sweet potato vines1. Chagua vine

ya urefu wa 1 foot ilio healthy (green bila yellow veins)

2. Chimba shimo isio-deep juu ya rows utakazo tengeneza ili kupanda

3. Weka 2/3 ya nundu kwa mchanga na 1/3 ya nundu iwe juu

4. Spacing ya kupanda ni 1 foot(30cm)

Kuzalisha sweet potato vines kwa nursery

1. Tayarisha pale utapanda new improved variety ya sweet potato kwa kuchanganya mchanga na manure kisha uweke maji. Tengeneza kivuli juu yake.

2. Chukua mmea wa sweet potato usio na magonjwa au yellow stripes kwa matawi

3. Kata matawi ukitumia sharp blade vertically kwa sehemu utakayopanda kwa mchanga ukibakisha node moja juu

4. Ili kupata mbegu ya kuzalisha, hesabu nundu tatu kwanzia sehemu ya chini halafu ukate stem. Endelea kukata hivyo ili kupata mbegu mob za kupanda na kuuza.

5. Ukipanda, hakikisha kuwa nundu mbili ziko kwa mchanga na nundu moja iko juu. Nyunyizia maji kila siku.

6. Mimea ya sweet potato vines itakuwa tayari kupandwa kwa shamba after 2 1/2 months

7. Vines zinaweza kuvunwa baada ya wiki kadhaa na kuuzwa for 1 bob kwa majirani. Unaweza anzisha bizna yako simply kwa kupanda new improved variety ya sweet potato seeds!

8. Sweet potato vines zinaweza pandwa kwa areas zenye hazina mvua ya kutosha kwa kufunika nursery yako na nylon paper. Fungua sehemu kidogo ya nylon paper mchana. Toa plastic bag 2 weeks kabla ya ku-harvest ili mimea izoee hewa kavu. Weka mulch ili ku-conserve maji.

Kumbuka: Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.

29