2. kifaa cha msingi - koinonia-education.com · kifaa cha msingi 1 • malengo mawili tunapotafuta...

4
KIFAA CHA MSINGI 1 Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale 2. Mungu ana ujumbe gani wakati huo kwetu Ndani ya Biblia yetu kuna vitabu ya aina mbali mbali. Tunahitaji kufahamu namna ya kufanya kazi na kila aina ya kitabu Tunahitaji kutofautisha mashauri, kanuni na mifano. Cha kufuata na cha kujihami nayo….. Kwa bahati nzuri kuna taratibiu za kufuata Tutaangalia hizo taratibu kwanza sasa lakini pia tunapoangalia aina zote za vitabu. Pia tutaangalia vifaa vya kutusaidia katika kazi hii

Upload: others

Post on 26-May-2020

28 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 1• Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko:

• 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale • 2. Mungu ana ujumbe gani wakati huo kwetu

• Ndani ya Biblia yetu kuna vitabu ya aina mbali mbali. • Tunahitaji kufahamu namna ya kufanya kazi na kila aina ya kitabu • Tunahitaji kutofautisha mashauri, kanuni na mifano. • Cha kufuata na cha kujihami nayo…..

• Kwa bahati nzuri kuna taratibiu za kufuata • Tutaangalia hizo taratibu kwanza sasa lakini pia tunapoangalia

aina zote za vitabu. • Pia tutaangalia vifaa vya kutusaidia katika kazi hii

Page 2: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 2• Kazi ya kwanza Exegeses (utafiti wa maandiko)

• 1. Mazingira ya kihistoria yalikuwaje? • Muda na mazingira ni muhimu kufahamu • Kwa nini yanaandikwa?

• 2. Uhusiano ya maandishi • Jinsi neno tunalolisoma linahusiana na maneno mengine • Maana au ”point” ya andiko ni nini? • Mawazo ya mwandishi kabla na baada ya andiko ”letu” • Ni mafundisho (dogma) au mfano (kielelezo)

• 3. Kufahamu maana ya mwandishi kwa walengwa wake. • Mfano 2Kor 5:16b

Page 3: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 3• Kazi ya pili Hermeneutics (maana ya maandiko kwetu)

• Kama utaweza kufahamu vizuri maana ya ”hapa na sasa” lazima uwe umefanya kazi nzuri ya ”pale na wakati ule”. Maana ya sasa haiwezi kupinga maana au ujumbe wa wakati ule.

• Ukianza ”hapa na sasa” ni rahisi kufanya kosa ya kutafuta ”nguvu” y hoja yako kwenye maandiko ambayo yakichunguliwa huenda yatakuwa na maana nyingine na ile unayojaribu kuipigia debe…. • Mifano

• Ubatizo wa waliyokufa (Mormons) Msingi 1Kor 15:29 • Theologia ya kufaulu (Mkristo lazima afaulu katika kila

shughuli) Msingi 3Yoh 2

Page 4: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 4• Vifaa vy akutumia:

• Biblia • Tafsiri zaidi ya moja ya Biblia ikiwa nyingi vizuri zaidi

• Kamusi ya Bibilia • Kitabu cha muongozo ya Biblia • Commentary ya Bibilia

• Sasa tutaanza kupitia aina za vitabu na kuangalia taratibu zinazotumika kwa kila sehemu. Tunaanza na masimulizi za Agano

la Kale