2. mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1sare yashule...

7

Upload: others

Post on 11-Mar-2021

9 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1Sare yashule a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye marinda
Page 2: 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1Sare yashule a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye marinda
Page 3: 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1Sare yashule a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye marinda

2. Mambo muhimu ya kuzingatia:-

2.1Sare yashule

a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye

marinda mawili na mifuko isiyo ya kubandika

b) Shati mbili nyeupe za tetron mikono mirefu .

c) Sare ya michezo kwa shule hii ni bukta na fulana rangi ya dark

blue yenye nembo na maandishi ya shule yanayosomeka ‘Binza

Secondary School’.

d)Viatu vya shule ni vyeusi vya kufunga na kamba vyenye

visigino vifupi.

e) Soksi jozi mbili nyeupe.

f ) Mkanda wa kuvalia suruali ni mweusi wa ngozi.

g)Sweta za kujikingia baridi zisizo na mapambo

rangi ya ugoro.

h) Nguo za kushindia ni suruali ya khaki na T-shirt ya rangi ya

njano, pia viatu vya aina ya GUM BOOTS kwa ajili ya kutumia

wakati wa mvua za masika. (Nguo za nyumbani haziruhusiwi)

i) Tai rangi ya ugoro.

2.2 Ada na Michango ya shule

a) Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000 kwa mwanafunzi

wa bweni.. Unaweza kulipa kiasi cha shilingi 35,000 kwa

mwanafunzi wa bweni kwa muhula au kulipa ada yote

70,000 kwa maramoja. Fedha hizo zilipwe kwenye

Akaunti ya shule Na 30801100004 yenye jina BINZA

SECONDARY SCHOOL REVENUE COLLECTION

ACCOUNT katika Benki ya NMB(tafadhali andika jina la

mwanafunzi kwenye pay in slip)

b) Michango mingine inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni.-

i.Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.

ii.Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulisho na picha

iii.Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma

2

Page 4: 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1Sare yashule a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye marinda

iv.Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa

wapishi,walinzi na vibarua wengine.

v.Shilingi 2,000/=nembo ya shule

vi. Shilingi 10,000/=kwa ajili ya huduma ya kwanza

Tshs.

5,000/=na Bima ya Afya Tshs.5,000/= (Wanafunzi

wanatakiwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya

CHF kikaya)

vii.Shilingi 20,000/=Mitihani ya kujipima mock

viii. Fedha ya tahadhari 5000/= (haitarejeshwa)

c) Mahitaji muhimu amba yo mwanafunzi anapaswa

kuleta shuleni ni:-

(i) Ream ya karatasi 1 (kwamwaka)

(ii) Vitabu vya masomo ya tahasusi husika

pamoja na madaftari makubwa (counter books).

(iii)Dissecting kit kwa wanafunzi wa Biolojia.

(iv) Scientific calculator.

(v) Godoro la futi 2.5 × 6 kwa wanafunzi wa bweni

(vi) Shuka mbili za kujifunikia rangi ya blue bahari na chandarua cha kujikinga na mbu.

(vii) Vyombo vya chakula ambavyo ni sahani,bakuli,

kijiko na kikombe.

(viii) Ndoo mbili ndogo zenye mifuniko.

(ix) Jembe 1, reki 1, mifagio ya ndani 1(soft broom)

na fagio la nje 1 (chelewa).

3. MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI

KUFUKUZWA SHULE.

(i) Wizi

(ii) Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku90 bila taarifa/utoro

(iii) Kugoma na kuhamasisha mgomo

(iv) Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, walimu/walezi

na jamii kwa ujumla.

(v) Kupigana mwanafunzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu

au na mtu yeyote

yule.

(vi) Kunyoa nywele kwa mitindo usiokubalika.

3

Page 5: 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1Sare yashule a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye marinda
Page 6: 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1Sare yashule a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye marinda

TAARIFA BINAFSI ZA MWANAFUNZI

Sehemu hii ijazwe kwa kushirikiana na Mzazi / Mlezi

(i). Jina kamili la mwanafunzi …………………………………………………..

(ii). Tarehe ya kuzaliwa ……… mwezi …… mwaka …………

(iii). Uraia ………………………………..Kabila ………………………….

(iv). Dini yako ……………………. Dhehebu lako ……………………..

(v). (a) Jina la Mzazi / Mlezi …………………………………….. hai/ siyo hai.

(b) Kazi ya Mzazi / Mlezi ………………………………………………

(c) Mzazi / Mlezi anaishi ………………………Kata ……………………..

(d) Anuani ya posta ya Mzazi / Mlezi ……………………………..

(e) Namba ya simu ya mkononi ya Mzazi / Mlezi ………………..

(vi). Taja tatizo la kiafya/maumbile ulilonalo (onyesha cheti kama

kipo)…………………………………………………………………………….

TAMKO LA MZAZI/MLEZI

Mimi ………………………………………….(Jina Kamili) ambaye ni Mzazi / Mlezi wa

mwanafunzi huyu, ninakiri kuwa taarifa zake zilizoandikwa hapo juu ni sahihi. Aidha

nakubali mtoto wangu asajiliwe katika shule ya sekondari Binza. Ninaahidi kutoa

ushirikiano wa karibu katika kumlea na kumuendeleza kielimu. Pia ninakubali

kumuwezesha kikamilifu kwa kumpatia mahitaji yake muhimu ya shule ili aweze kutulia

shuleni na kuweka bidii katika masomo yake.

Saini …………………………………….. Tarehe ……………………………….

5

Page 7: 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- · 2017. 6. 27. · 2. Mambo muhimu ya kuzingatia:- 2.1Sare yashule a) Sare ya shule ni suruali mbili za rangi ya ugoro (dark brown) zenye marinda

To be filled by an authorized government medical officer and returned to school.

From: Binza Secondary School,

P.O.Box 319

Maswa.

To: The Medical Officer

…………………………

…………………………

…………………………

Ref: Mr …………………………………………… (a student)

Please examine the above named student to ascertain his/her physical and mental fitness

for a full time schooling course at the school. The examination should include categories

I-III.

Category I.

a) Eye sight ………….

b) Hearing …………..

c) Limbs …………

d) Speech ………..

e) Venereal diseases …………

f) Sickle cell anaemia ………….

g) Tuberculosis (TB) …………

h) Asthma …………….

i) Heart problems ……….

j) Kidney problem………

k) Peptic Ulcers ………….

l) Epilepsy ………….

m) Leprosy ………..

Category II. Neurosis …………………………………………………………………

Category III. Other Serious Diseases……………………………………………………

I (Full name) ………………………………………….. have examined the above named

student and consider that he/she is physically / mentally fit/unfit for a full time schooling

course.

Designation ……………………………… Signature …………………………..

Date: ………./………/……….. Rubber stamp …………………….

6