20140811 mvua bombani poster-kiswahili-highres · ni na kupotea bure • bwawa lilijenga ili...

1
Hii ndivyo halisi ilivyokuwa miaka iliyopita. Kulikuwa na mvua nyingi na maji ya kutosha. Sasa... MVUA BOMBANI! MVUA BOMBANI Vuna maji ya mvua na kuyahifadhi ardhini ili kuboresha chemchem yako Sasa mbona maji haya ha- yatoki bombani? Yote yanapotelea bondeni! Mnaona maji ya mvua yote yanapita hapa!? Lile tangi letu la maji ardhini liko tupu. Tunavuna maji ya mvua kwa matumizi wakati wa kiangazi. Chemchem zilizoongezewa uwezo wa kutoa maji mengi, kwa kutumia maji yaliyovunwa kutokana na mvua Yaliyojiri katika Mradi wa Utafiti: Maji toka Chemchem za Chanzo cha Dindira yalipungua wakati wa kiangazi Maji ya mvua yalitiririka kuelekea mabonde ni na kupotea bure Bwawa lilijenga ili kuhifadhi Maji ya mvua yaliyovunwa Katika hifadhi ya Bwawa maji yaliruhusiwa kuchujia kuzama ardhini Maji yalichujia na kutiririka kupitia kwenye miamba na kuongezeka wingi wa maji wakati wa kiangazi. Mahitaji ya endelevu ya mradi wa maji: Uhifadhi wa chanzo, kuzuia mmomonyoko ili kupata maji safi Mazingira ya Bwawa yanatakiwa kutunzwa vema ili utendaji wake uwe na ufanisi endelevu. Mradi huu wa Utafiti ulitekelezwa kuanzia mwaka 2007 – 2014, kwa ushirikiano wa Wanavijiji wa Kwemakame na Kwai vilivyopo wilayani Lushoto, Tanzania. Mradi huu ulisimamiwa na kuongozwa na CHAMAVITA, shirika lisilokuwa la serikali linalosaidia, kushauri katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kijamii, hususan miradi ya maji mkoani Tanga. Ofisi ya Maji Bonde la Pangani ilishiriki katika kutoa ushauri wa kitaalamu. Mradi huu ulifadhiliwa na Aqua for All, Aquanet, PWN, SPOTT na SamSamWater foundation wa Uholanzi waliotoa taaluma na fedha. Miti itachukua muda mrefu kukua ... Tumwombe Mungu atu- patie maji Lakini maji ya mvua yana- potea bure ! Tukinge ndoo nyingi za maji ! Tupande miti ! Tukinge maji ya mvua kuyaingiza ardhini ! Tufanyeje ?? www.aquaforall.nl www.aquanet.nl www.spottanzania.nl www.pwn.nl Ushauri, Habari na Chombo cha Miradi ya Maji www.samsamwater.com Picha zimechorwa na: Bw. Geofrey Mathew +255 786 064395 Lushoto, Tanzania - June 2014 Foundation for Rural Development in the Tanga region P.O.Box 292, Lushoto, Tanzania +255784440349 | +255715440349 [email protected] envaya.org/chamavita Pangani Basin Water Office P.O.Box 5027, Tanga, Tanzania +255 713 446 638 www.panganibasin.com Maji mengi ya mvua yanapotea bure. Miaka ya hivi karibuni maji yamezidi kupungua. Mabomba yalikuwa hayana maji ya kutosha. Tumekubaliana kuyahifadhi maji ya mvua katika ghala la maji ardhini. Maji yaliyohifadhiwa ardhini yanabakia kuwa baridi, safi na salama. Hata wakati wa kiangazi maji yaliyohi- fadhiwa ardhini yanaendelea kutoka bombani kwa kiasi cha kutosha. Sasa wakati wa kian- gazi tunapata maji ya mvua kutoka kwenye tangi letu la ardhini.

Upload: others

Post on 08-Mar-2020

7 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: 20140811 Mvua Bombani poster-Kiswahili-highres · ni na kupotea bure • Bwawa lilijenga ili kuhifadhi Maji ya mvua yaliyovunwa • Katika hifadhi ya Bwawa maji yaliruhusiwa kuchujia

Hii ndivyo halisi ilivyokuwa miaka iliyopita. Kulikuwa na mvua nyingi na

maji ya kutosha.

Sasa... MVUA BOMBANI!

MVUA BOMBANI Vuna maji ya mvua na kuyahifadhi ardhini ili kuboresha chemchem yako

Sasa mbona maji haya ha-

yatoki bombani?

Yote yanapotelea

bondeni!

Mnaona maji ya mvua yote

yanapita hapa!?

Lile tangi letu la maji ardhini liko tupu.

Tunavuna maji ya mvua kwa matumizi wakati wa kiangazi.

Chemchem zilizoongezewa uwezo wa kutoa maji mengi, kwa kutumia maji yaliyovunwa kutokana na mvua

Yaliyojiri katika Mradi wa Utafiti:• Maji toka Chemchem za Chanzo cha Dindira yalipungua wakati wa kiangazi• Maji ya mvua yalitiririka kuelekea mabonde ni na kupotea bure• Bwawa lilijenga ili kuhifadhi Maji ya mvua yaliyovunwa• Katika hifadhi ya Bwawa maji yaliruhusiwa kuchujia kuzama ardhini• Maji yalichujia na kutiririka kupitia kwenye miamba na kuongezeka wingi wa maji wakati wa kiangazi.

Mahitaji ya endelevu ya mradi wa maji:• Uhifadhi wa chanzo, kuzuia mmomonyoko ili kupata maji safi• Mazingira ya Bwawa yanatakiwa kutunzwa vema ili utendaji wake uwe na ufanisi endelevu.

Mradi huu wa Utafiti ulitekelezwa kuanzia mwaka 2007 – 2014, kwa ushirikiano wa Wanavijiji wa Kwemakame na Kwai vilivyopo wilayani Lushoto, Tanzania. Mradi huu ulisimamiwa na kuongozwa na CHAMAVITA, shirika lisilokuwa la serikali linalosaidia, kushauri katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kijamii, hususan miradi ya maji mkoani Tanga. Ofisi ya Maji Bonde la Pangani ilishiriki katika kutoa ushauri wa kitaalamu. Mradi huu ulifadhiliwa na Aqua for All, Aquanet, PWN, SPOTT na SamSamWater foundation wa Uholanzi waliotoa taaluma na fedha.

Miti itachukua muda mrefu

kukua ...

Tumwombe Mungu atu-patie maji

Lakini maji ya mvua yana-potea bure !

Tukinge ndoo nyingi

za maji !

Tupande miti !

Tukinge maji ya mvua kuyaingiza

ardhini !

Tufanyeje ??

www.aquaforall.nl www.aquanet.nl

www.spottanzania.nl www.pwn.nl

Ushauri, Habari na Chombo cha Miradi ya Majiwww.samsamwater.com

Picha zimechorwa na: Bw. Geofrey Mathew +255 786 064395

Lushoto, Tanzania - June 2014

Foundation for Rural Development in the Tanga regionP.O.Box 292, Lushoto, Tanzania+255784440349 | [email protected]/chamavita

Pangani Basin Water OfficeP.O.Box 5027, Tanga, Tanzania+255 713 446 638www.panganibasin.com

Maji mengi ya mvua yanapotea bure. Miaka ya hivi karibuni maji yamezidi kupungua. Mabomba yalikuwa hayana maji

ya kutosha.

Tumekubaliana kuyahifadhi maji ya mvua katika ghala la maji ardhini.

Maji yaliyohifadhiwa ardhini yanabakia kuwa baridi, safi na salama.

Hata wakati wa kiangazi maji yaliyohi-fadhiwa ardhini yanaendelea kutoka

bombani kwa kiasi cha kutosha.

Sasa wakati wa kian-gazi tunapata maji ya mvua kutoka kwenye tangi letu la ardhini.