28 - shujaaz.fm - chapta 28
DESCRIPTION
Chapta 28 - Maria KimTRANSCRIPT
CH28 [FINAL].indd 18 09/05/2012 18:09
yule ni vinnie. yeye ndio
hufanya job kwa clinic. ni mpoa.
na huyo ni amani. ni beshte
yangu.
sasa maria kim?
poa sana. huyu ni hanna.
amekuja afanyiwe pregnancy test.
hiyo ni poa. it’s always good to know.
nina-understand
vile una-feel.
mimi nilikuwa m-bright shule...
...until one time nilimnoki huyu msee m-flashy flashy. alinipa
ball na akahepa...
...fathe hakutaka
kusikia hiyo stori.
alinifukuza home...
... nikaja huku tao
kuanza life afresh...
...life haikuwa easy...
ilibidi nifanye jobs za hapa na pale kuget doh niweze
kurudi chuo.
kwa clinic...
CH28 [FINAL].indd 19 09/05/2012 18:09
CH28 [FINAL].indd 20 09/05/2012 18:09
ni free!oh...
haya, niko ready for the next
person.
sasa?
poa...
enda, nitakungojea
hapa.
baadaye...
3 days later...
sawa. ni rahisi hivyo. kuja after three
days, results zitakuwa ready.
sawa... thanks...
leo ndio nita-get
results...
what if niko pregnant?
CH28 [FINAL].indd 21 09/05/2012 18:09
ni maria kim! nime-come kukupeleka
clinic!
oh... ngoja kidogo nioge!
CH28 [FINAL].indd 22 09/05/2012 18:09
CH28 [FINAL].indd 23 09/05/2012 18:09
CH28 [FINAL].indd 24 09/05/2012 18:09