30 - shujaaz.fm - chapta 30
DESCRIPTION
Chapta 30 - Full ComicTRANSCRIPT
ucho mc
km-t
hii food ni poa lakini siwezi i-afford.
ulikuwa uki-afford choku ili uiibe? usilete mchezo kwa chakula.
ulikuwa ukisema? meza food tuone nani anaweza mwengine!
sema kile unataka kusema juu mimi ni m-thin, lakini si kupenda kwangu.
ooh, hutaki kula na unataka vita?
aaai, wasee, acheni kupigana! ni kweli hii food ni expensive, lakini si lazima ukule hivi. unahitaji maziwa na nyama kidogo tu kila siku ili kupata nutrients unahitaji kujenga mwili.
chap!
munch! chap!
boof!