& qf r f f : f pnknx m f on - kcpe kcse

of 19 /19
AlamazaUakifishaji KunazoalamakadhaazinazotumikakuakifishamanenonasentensizaKiswahili. AlamayaKikomoauKituoKikuu(.) 1. Kuonyeshamwishowasentensi. 1.Huundiomwishowasentensihii. 2.Kiookimevunjika. 2. Katikakufupishamaneno 1.U.N.O,K.B.C,Y.C.S 2.Dkt.Maktaba,Bw.Msumari 3. KuonyeshaSaa 1.Misailianzasaa4.30zaasubuhi. 2.Hivisasanisaa10.20. 4. Katikahesabukuonyeshasehemu isiyonzima 1.Ukigawatatumarambili,utapata1.5 2.Mtotohuyoanauzaniwakilo8.27 5. Kuonyeshasentikatikapesa 1.Beiyakenishilingi12.50. 2.Karoyashulemwakahuuni80,000.00 AlamayaKituo,KipumuoauKoma(,) 1. Kuorodheshavituzaidiyambili 1.Nimenunuasimu,saa,redionaviatu. 2.Kinamamawaliimba,wakapigangoma nakuneguaviunovyao. 2. Kugawanyamawazokatika sentensi. 1.Baadayasalazajioni,MzeeMakosa alitokanjenakuwashasigarayake. 2.Nilipomwulizakamaalimjuabintiyule, aliniangaliatunakucheka 3.Ingawakitabuhikinikizito,sinabudi kukibeba. 3. Kutoamaelezozaidi. 1.Shabiba,mmojawapoyawanawake wajawazito,amejifunguamtotowakike. 2.Shatihili,ingawanalichukia,nitalivaliatu. www.arena.co.ke 0713779527

Author: others

Post on 08-Jun-2022

0 views

Category:

Documents


0 download

Embed Size (px)