11.c - maria kim
Post on 26-Mar-2016
260 Views
Preview:
DESCRIPTION
TRANSCRIPT
Manze alisema mimi ni kaa mtoi
wake... Lakini saa hizi ameniacha {hic!} Hata amesahau vitu alini-promise….niko
alone. ALONE!
Siezi trust huyo Godpapa tena.
Nita-change nianze life
freshi.
huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro wake, na huku
anang’ang’ana na chuo. Ana-face challenges mob
sana, Lakini hakubali anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee ndio hu-try
kum-challenge. only the brave hujaribu
kum-ask out!
Chuxx Arudi Ocha!
18
Manze alisema mimi ni kaa mtoi
wake... Lakini saa hizi ameniacha {hic!} Hata amesahau vitu alini-promise….niko
alone. ALONE!
Siezi trust huyo Godpapa tena.
Nita-change nianze life
freshi.
huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro wake, na huku
anang’ang’ana na chuo. Ana-face challenges mob
sana, Lakini hakubali anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee ndio hu-try
kum-challenge. only the brave hujaribu
kum-ask out!
Nitakuwa good boy!{hic!}
Wee! Ebu angalia kwenye unaenda!
Ah, msuper! Niaje? Cheki, uliniambia ukweli juu ya Godpapa, huyo
msee hanijali.
Nishaamua, kuanzia saa hizi, nitakuwa good boy.
Nahitaji family. Nimekuchagua ukuwe
wife wangu! Ulijuanga nina shamba ocha? Nita-visit budangu na
ni-mshow ndio niirithi. Manze time yangu
ishafika.
Chuxx ishia. Umelewa!
19
Mtoto wangu amerudi!
Nduma! Umerudi? Ah, umenifurahisha
sana!
Nimekuja ku-cheki urithi wangu. Baba, time yangu ikifika, nitaanza works kwa hii shamba.
Lakini unaona kijana, kazi ya shamba si rahisi. Ni lazima utie bidii kabisa.
Manze ina-bore! Nahitaji gauge initulize kiasi… hii ni first time
nimewahi toa hiyo jacket yangu ya
green... eh!!
unajua wase huni-enjoy ati hii
t-shirt yangu maybe haina mgongo?
eh, na hawa...? hawachoki?
acha nipige pose hapa kidogo
Aki Baba, Nduma ni m-lazy tu vile alikuaga. Si-believe
utamwachia shamba.
Rhoda, ndugu yako amechoka tu kwa
sababu ya safari. Mwache apumzike
kidogo.
Shhh…nyamaza wee kuku! Ni kutoka kwako ndio nita-get doh za ku-buy crate mzima ya
gauge bariiiidi!
leta keg! patia kila mtu moja moja!
bosh... {hic!} we ni mshee wa
nguvu!
20
Mtoto wangu amerudi!
Nduma! Umerudi? Ah, umenifurahisha
sana!
Nimekuja ku-cheki urithi wangu. Baba, time yangu ikifika, nitaanza works kwa hii shamba.
Lakini unaona kijana, kazi ya shamba si rahisi. Ni lazima utie bidii kabisa.
Manze ina-bore! Nahitaji gauge initulize kiasi… hii ni first time
nimewahi toa hiyo jacket yangu ya
green... eh!!
unajua wase huni-enjoy ati hii
t-shirt yangu maybe haina mgongo?
eh, na hawa...? hawachoki?
acha nipige pose hapa kidogo
Aki Baba, Nduma ni m-lazy tu vile alikuaga. Si-believe
utamwachia shamba.
Rhoda, ndugu yako amechoka tu kwa
sababu ya safari. Mwache apumzike
kidogo.
Shhh…nyamaza wee kuku! Ni kutoka kwako ndio nita-get doh za ku-buy crate mzima ya
gauge bariiiidi!
leta keg! patia kila mtu moja moja!
bosh... {hic!} we ni mshee wa
nguvu!
21
Nduma, amka! Unaaibisha hii familia
sana. Usidhani nitakuachia shamba
yangu hivyo tu. Nimeifanyia kazi ngumu sana!
Ni miaka mob sana mimi na Baba tumekuwa tunafanya job hapa kwa shamba ndio ikuwe
bizna ya maana. Wewe umekuja tu hivi na umetu-
potezea pesa mob sana kwa usiku moja tu!
Wewe ni mnoooono na
uko greedy sana!
Hata nikikufa, Rhoda ndio atarithi hii shamba. Sio wewe. Ameweka bidii
yake kujenga hii shamba.
Mnani-disciminate tu juu nimenona?! mimi ndio first born
son hapa!
Hebu ondoka kabisa!
Nonsense!
22
Godpapa hawezi ni-discriminate, yeye ndio msee
wa kabila yangu hapa mtaani…
oh, umerudi? Hebu osha gari yangu!
BOY G Chuxx fanya bidii uwe na shamba yako. Budako akikunyima ni haki yake coz alifanya bidii na niyake. Sasa kama wewe ni mlevi na uko kwenye gang sidhani kama wataka kuji endeleza na hiyo plot. Kuna bob yako hapo kwa plot? Hauoni haya bado chaliii mkubwa una tegemea wazazi? Aibu hiyo bwana!
JARED I Chuxx a-relax a-buy yake coz huyu akipewa hiyo shamba, ataiuza. So buda asimpatie.
PETER B. L Kufikiria hio ploti ndo inafanya mjamaa awe mzembe. Fikiria out of the box; anza kuona vitu zingine muhimu kama kuuza makaa, panda skuma kwa gunia, fuga kuku….ni mob bana! FIKIRIA!
KATHY O. Hio ni sweat ya fathe na anakula sweat yake! Lazima Chuxx a-reap chenye yeye amepanda si ya baba yake! JOHN L. Ni right yake. Buda aachane na vijisababu. Apewe shamba ajiendeleze. Kama sivyo, buda naona yuko taabani. Chuxx ata-terrorise ocha. Maybe anataka ku-invest ama ana-marry.
Niaje DJB? Chuxx ana-complain juu budake alikataa kumpe shamba. Juu ya vile
ako m-lazy, ame-loose opportunity ya kuwa na
bizna ocha. Anajionaje? Ati sis wake hawezi rithi shamba
juu ni dem?!
Mayuts wengi wana-waste dooh mob kwa pombe na mwishowe
wana-lose chances poa in life.
Niliuliza ma-fans juu ya hii noma Facebook na hivi ndio walisema…
Lazima tukuwe responsible as mayuts kama tunataka ku-develop.
Work hard ujitafutie kitu poa badala ya kutegemea wengine. Hatuwezi
kuendelea kutumiwa na ma-leaders ati juu unataka easy money. Ni bidii yetu
ndio itatuinua jo!
Ehe! Kama wewe ndio hao wasee wanangoja tu kurithi vitu, job yako ni pombe tu, ebu acha hiyo tabia mara that! Weka bidii!! Kaa
gangare! Unatuaibisha jo! 23
top related