wiki ya uwekezaji mkoa wa kagerakagera.go.tz/storage/app/uploads/public/5d5/7e8/f06/5d57...ufugaji...
Post on 22-Oct-2020
22 Views
Preview:
TRANSCRIPT
-
UZINDUZI WA
MWONGOZO WA
UWEKEZAJI MKOA WA
KAGERA
Wiki ya Uwekezaji
Mkoa wa Kagera
Viwanja vya Gymkhana
14 Agosti 2019
Mwongozo wa Uwekezaji
Mkoa wa Kagera
umetayarishwa kwa msaada
wa Shirika la Maendeleo la
Umoja wa Mataifa (UNDP) na
Taasisi ya Utafiti wa
Kiuchumi na Kijamii (ESRF)
-
UtanguliziMhe Mgeni Rasmi
Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na neema
alizotujalia katika kuandaa Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa wa
Kagera
Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa ESRF, Dr. Tausi Kida na timu ya
walioshiriki kuandaa Mwongozo - Prof Haidari Amani, Mama Margreth
Nzuki, Bw. John Shilinde na mwenzangu, Bw. Mussa Martine, naomba
kutoa Shukrani maalum na za dhati kama ifuatavyo;
Kwako Mkuu wa Mkoa wa Kagera,
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera,
Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa: (Bukoba, Muleba, Biharamulo,
Karagwe, Kyerwa, Missenyi na Ngara),
Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote,
Wataalam wa Mkoa na wa Halmashauri zote,
Bw. Isaya Tendega ambaye tumeshirikiana pamoja toka wakati wa
kukusanya taarifa, pamoja na wadau wote wa Taasisi binafsi na
Mashirika ya Umma,
Pia kipekee tunawashukuru UNDP kwa kuitikia wito wa Waziri Mkuu,
na kusaidia Mkoa Kuandaa Mwongozo wa Uwekezaji. Itifaki imezingatiwa
-
Fursa za Uwekezaji
1. Ujenzi wa Masoko ya KisasaMipakani
Missenyi (W): Wawekezajiwanakaribishwa kujenga soko la kimataifa la mazao ya kilimo kwaubia – hekta 8.9 zimetengwaMutukula.
Kyerwa (W): Ujenzi wa soko la kimataifa la mazao ya kilimo kwaubia – hekta 1.295 Murongo.
Ngara (W): Soko la kisasa la mazao ya kilimo na bidhaanyingine – hekta 8 Rusumo.
Mhe. Mgeni Rasmi,
katika kutimiza lengo la
nchi kufikia uchumi wa
kati na uchumi wa
viwanda, Tanzania
imechukua hatua
mbalimbali za kimkakati
kuhakikisha malengo haya
yanafikiwa. Hii inaenda
sambamba na kuandaa
miongozo ya uwekezaji
kwa lengo la kubainisha
fursa zilizopo katika kila
mkoa.
Zifuatazo ni fursa za
uwekezaji Mkoani Kagera
ambazo zimepewa
kipaumbele na Mkoa
pamoja na Halmashauri
zake:
Biashara za Mipakani…1
-
Biashara za Mipakani…2
Missenyi (W): Ujenzi wa ghala la bidhaaza kilimo – hekta 3.5 Mutukula.
Ngara (W): Ghala la bidhaa za kilimo –hekta 8.2 Rusumo.
Biharamulo (W): Ghala la bidhaa zakilimo – hekta 3.24 Lusahunga.
2.Ujenzi waMaghala(Warehouses)
-
Kilimo, Misitu na Nyuki … 1
Bukoba (W) - 90 hekta; Missenyi (W) -hekta 5,463; Karagwe (W) – hekta 570; Biharamulo (W) – hekta 1,120; Muleba(W) – hekta 1,180; Ngara (W) - 1,002; na Kyerwa (W) maeneo yapo yakutosha.
1.Ujenzi waMiundombinuya Umwagilajiwa Vanila, Mpunga naMazaoMengine
-
Kilimo, Misitu na Nyuki … 2
Bukoba (W): Hekta 1,576 zimetengwa kwa ajili yakilimo cha Chai
Ngara (W): Hekta 5,000 zimetengwa kwa ajili yakilimo cha mihogo
Bukoba (W): Hekta 1,000 zimetengwa kwa ajili yakilimo cha Parachichi
2. Kilimo cha Chai
3. Kilimo cha Mihogo
4. Kilimo cha Parachichi
https://www.google.com/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&ved=2ahUKEwje9vGUxf_jAhUOyIUKHUBMBxIQjRx6BAgBEAQ&url=https://www.makemoney.ng/how-to-start-cassava-farming-business-in-nigeria/&psig=AOvVaw2BjFjckAJUhJKCM6Z4ZPMO&ust=1565775140487218
-
Kilimo, Misitu na Nyuki … 3
Biharamulo (W): Wawekezajiwanakaribishwa kufuga nyuki nakutengeneza mizinga ya kisasa kwa ajiliya matumizi yao wenyewe pamoja nakuwauzia wengine. Uhitaji wa asali nimkubwa ndani na nje ya nchi.
5.Kutengeneza Mizinga yaKisasa na Ufugajiwa Nyuki
-
Ufugaji
Biharamulo (W): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza katikaranchi na unenepeshaji mifugo. Kuna hekta zaidi ya 9,500 zimetengwa maeneo yaNyabugombe, Mihongora, and Nyambale kwa ajili ya ranchi
Ranchi naunenepeshajimifugo
-
Uvuvi
Bukoba (W), Karagwe (W), Muleba(W), and Kyerwa (W): Kuna fursakubwa ya kuwekeza katika ufugaji wasamaki kwenye vizimba; Ufugaji wasamaki majumbani; Kuuza vifaa vyakufugia samaki majumbani yakiwemomatanki; kufuga samaki wa mapambona kutotolesha vifaranga vya samaki, pamoja na utengenezaji wa chakulacha samaki.
Ufugaji wa samaki, vifaranga na chakula cha samaki(TZ tunazalisha karibu tani337,000 za samaki kwa mwaka avsMahitaji ni karibu tani 731,000 kwa mwaka.
http://www.google.com/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwiN0p_x87jiAhUMD2MBHdwsAQEQjRx6BAgBEAU&url=/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&ved=2ahUKEwiN0p_x87jiAhUMD2MBHdwsAQEQjRx6BAgBEAU&url=https://www.farmersweekly.co.za/animals/aquaculture/fish-farming-booming-zambia-not-sa/&psig=AOvVaw0jNZzatmTRNV9MlJ2gFZlw&ust=1558949999759544&psig=AOvVaw0jNZzatmTRNV9MlJ2gFZlw&ust=1558949999759544
-
Viwanda….1Ujenzi wa kiwanda cha kutengenezavifungashio kwa ajili ya kuongezathamani mazao ya kilimo, nyuki, samaki na bidhaa za viwandani. Hekta1.5 kwa ajili ya ujenzi wa kiwandahicho zimetengwa eneo la Kemondo, Bukoba (W).
1.Vifungashio
http://www.google.com/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&ved=2ahUKEwi9orSq77jiAhXaAmMBHfTsD2cQjRx6BAgBEAU&url=http://yfadvisors.in/portfolio_item/packaging-industry/&psig=AOvVaw0EYhDKMYMDR9H40zbH6G9y&ust=1558948783676181
-
Viwanda…. 2
Ngara (W): Kiwanda cha kisasa cha kuchakata mihogo – Hekta 5 zimetengwa kwa ajili uwekezaji huo.
2.Kuchakata Mihogo
-
Viwanda…. 3
Bukoba Manispaa: Utengenezaji wachakula cha mifugo hasa ng’ombe nakuku pamoja na samaki. Hekta 2 zimetengwa kata ya Buhembe
3.Kuchakata Chakula cha Mifugo naSamaki
-
Viwanda…..4Karagwe (W): Kiwanda cha kuchakataMaharage. Hekta 5 zimetengwa kwaajili ya kiwanda hicho
5.Kuchakata Maharage
-
Viwanda…..5
Biharamulo (W): Kuna fursa yakuwekeza kwenye ujenzi wa kiwandacha kuchakata na kufungasha asali.
Hekta 20 zimetengwa kwa ajili yakujenga kiwanda hicho.
Muleba (W): Kuna fursa ya kuwekezakwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata na kufungasha samaki.
6.Kuchakata Asali
7. Kuchakata Samaki
-
Viwanda…..6
Kuna fursa ya kuwekeza kwenyeujenzi wa kiwanda cha mvinyo katikahalmashauri ya Manispaa ya Bukoba– hekta 1.18, Kyerwa (W) – hekta 7.6, Karagwe – hekta, Muleba (W) – hekta0.39, na Ngara (W) – hekta 5
8.Kiwanda cha kuchakataNdizikutengenezaMvinyo
-
Viwanda….7
Kuna fursa ya kuwekeza kwenyeviwanda vya uchakataji wa matundaili kutengeneza juice na bidhaanyingine. Mwekezaji atajengakiwanda hicho ndani ya hekta 21.21 zilizotengwa na Bukoba (W) kwa ajiliya viwanda na Karagwe (W) ndani yahekta 200.
9.Kuchakata matundakutengenezajuice na bidhaanyingine
-
Viwanda….8
Karagwe (W): Mwekezaji anakaribishwakuwekeza katika kuchakata maziwa ilikutengeneza bidhaa mbalimbalizitokanazo na maziwa – hekta 30 eneo la Kihanga
Bukoba (M): Mwekezaji anakaribishwakuwekeza katika kiwanda cha barafu –hekta 1.3 kata ya Kifungwa
Bukoba (W): Mwekezaji anakaribishwakuwekeza katika kiwanda cha barafu –hekta 2 kata ya Kemondo
10. Kiwanda cha Kuchakata Maziwa
11. Kiwanda cha Kutengeneza Barafu
-
Viwanda….9
Bukoba (M): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza kwenyemachinjio ya kisasa – hekta 3.32 Rwamishenye.
12. Machinjio yakisasa
-
Viwanda….10
Bukoba (M): Mwekezajianakaribishwa kuwekeza katikakiwanda cha kuchakata taka ngumueneo la Nyanga – hekta 5.4.
Kiwanda kitakuwa na uhakika wakupata zaidi ya tani 15,000 za taka ngumu kwa siku.
Unaokoa mazingira na kupunguzamagonjwa ya mlipuko.
13. KuchakataTaka Ngumu
-
Viwanda…. 11
Bukoba (W): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza kwenyeujenzi wa kiwanda cha kutengeneza vioo.
Mchanga mweupe unaofaa kwakutengeneza vioo upo wa kutosha.
14. Kiwanda cha kuchakatamchangakutengenezavioo
-
Viwanda…. 12
Muleba (W): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza kwenyeujenzi wa eneo jumuishi la viwanda – industrial park.
15. Maeneojumuishi yaviwanda(Industrial Parks)
-
Elimu
Mkoa wa Kagera unawakaribishawawekezaji kuanzisha chuokitachotoa ujuzi kadri ya mahitaji yaeneo husika.
Ujuzi unaohitajika ni pamoja nanamna ya kuongeza thamani mazaoya ngozi, kilimo, uvuvi, misitu nk.
Pia kuna fursa ya kuanzisha shule zamsing na sekondari zenye hadhi yakimataifa
Chuo Maalumcha Ujuzi (skills) pamoja na shuleza msingi nasekondari
-
Utalii
Halmashauri zote zimetenga maenokwa ajili ya ujenzi wa hotel nauwekezaji unaofanana na huo.
Mkoa una vivutio vingi vya utalii naunazidi kukua hivyo uhitaji wa hotel na huduma nyingine ni mkubwa.
Uwekezaji katikaHoteli, nyumbaza starehe, kambi za watalii, huduma zawatalii, nk.
-
Miundombinu na Masoko…1
Muleba (W): Ujenzi wa madukamakubwa – hekta 0.8 zimetengwa
Biharamulo (W): Ujenzi wa madukamakubwa – hekta 4 zimetengwa
1. MadukaMakubwa(Supermarkets)
-
Miundombinu na Masoko…2
Bukoba (M): Uendelezajiwawa uwanja wa Kaitaba –ubia.Missenyi (W): Ujenzi wakiwanja cha mpira namichezo eneo la Bunazi –3.2 hektaMuleba (W): Uendelezajiwawa uwanja wa David Zimbihile
2. UendelezajiViwanja vyaMpira
-
Miundombinu na Masoko…3
Bukoba (W): Ujenzi wa Kituo cha Makontena eneo la BandariKemondo - Rwagati. Hekta 10 zimetengwa
3. UendelezajiBandari
-
Miundombinu na Masoko…4Bukoba (M): Ujenzi wa Kituo cha Mabasi eneo la Nyanga. Hekta 8.3 zimetengwaBiharamulo (W): Ujenzi wa Kituo cha Mabasi eneo la Nyakanazi. Hekta 1.2 zimetengwa
4. Ujenzi waStendi za kisasaza mabasi
-
Miundombinu na Masoko…5
Missenyi (W): Ujenzi wa Kituocha Magari eneo la Mpakani. Hekta 3.5 zimetengwa eneo la Mutukula (ubia)
Ngara (W): Ujenzi wa Kituo cha Magari eneo la Mpakani. Hekta8 zimetengwa eneo la Benako(ubia) Biharamulo (W): Ujenzi waKituo cha Magari eneo la Nyakanazi. Hekta 2 zimetengwa(ubia)
5. Ujenzi waKituo cha Magarimakubwa
-
Madini
Kyerwa (W): Uchimbaji wa wadini yaBati (Tin) na kuongeza thamanimadini hayo.
Biharamulo (W): Ujenzi wa viwandavidogo vya kuchakata Dhahabu eneola Nyakahura. Hekta 5 zimetengwakwa ajili hiyo
Kuchimba nakuongezathamani madini
-
Nini Kifanyike baada ya Mwongozo wa Uwekezaji waMkoa wa Kagera
• Kutengezeza Mazingira ya Kuvutia Wawekezaji
k.m. Kuondoa kero na vikwazo visivyo na tija
• Kuandaa Upembuzi Yakinifu (Feasiility Studies), na Maandiko Biashara (Business Plan)– Yawe ni maandiko yanayozivutia benki (Bankable
Projects) ili yaweze kupata mitaji
– Tutumie wataalamu tulionao kwenye mabenki nataasisi zingine za kiuchumi kama ESRF, DoE etc
• Kuzitangaza kwa nguvu fursa tulizonazo(Aggressive Marketing)
-
Ukubwa Kidogo sana Kidogo Cha Kati Kikubwa
Idadi ya
Wafanyakazi
1-4 5-49 50-99 100 au zaidi
Ukubwa wa
Mtaji
(kwa Tsh )
Chini ya 5
milioni
Hadi 200
milioni
Hadi 800
milioni
Zaidi ya 800
milioni
Tafsiri Fupi ya Viwanda na
Uwekezaji
-
Maelezo zaidi kuhusu fursa, sababuza kuwekeza Kagera, maelezo yaMkoa kwa ujumla, mazingirawezeshi, hatua za kufuata ukitakakuwekeza nk. yapo ndani yaMwongozo.
Natumaini mtapata au mmeshapatanakala ya mwongozo ili mweze kupitiavizuri na kuwekeza. Pia Mwongozoutakuwa unapatikana kwenyemtandao kuanzia leo.
Asanteni kwa kunisikiliza
Mh. Mgeni Rasmi, Mabibi naMabwana
Hizi fursa zilizotajwakwa kifupi ni fursaambazo ukitakakuwekeza hata leoziko wazi namazingira wezeshiyameshaandaliwa
Hitimisho
-
WAWEKEZAJI MNAKARIBISHWA
KAGERA
top related