b a b e l mambo ya walawi 26:28-34.bindingoffmessengers.org/wp-content/uploads/2019/01/1843... ·...

1
B A B E L I Danieli Sura 2 Wewe u kichwa kile cha dhahabu. Aya ya 38 Aya ya 39. Baada ya zamani zako utainuka ufalme mwingine mdogo kuliko wewe. UMEDI NA U A J E M I UYUNANI Na ufalme mwingine wa tatu wa shaba ambao utatawala juu ya dunia yote. Aya ya 40. Na ufalme wa nne utakuwa na nguvu mfano wa chuma. RUMI YA KISHENZI FALME KUMI Wa-Huni 356 Wa-Ostrogothi 377 Wa-Visgothi 378 Wa-Vandali 407 Falme hizi tatu zilichukuliwa na Justinian (Myunani) Mfalme wa Konstantinopo, ambaye amri yake ilimfanya Askofu wa Roma, Mtawala mkuu wa Makanisa, mwaka wa 538. Wafaranka 407 Wasuvi 407 Wa-Bergudi 407 Heruli 476 Wa-Saxoni 476 Wa-Lombardi 483 Hizi ndizo pembe kumi au falme ambazo Roma iligawanywa kwa mara ya kwanza , sasa zimechanganywa na mbegu za wanadamu, na havishikamani moja kwa nyingine. Dan 2:43. (Aya ya 44). Na katika siku za wafalme hawa Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hataaachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele . (Aya ya 45). Na kama vile ulivyoona ya kuwa jiwe lilichongwa mlimani bila kazi ya mikono, na ya kuwa lilivunjavunja kile chuma, na ile fedha, na ile dhahabu; basi Mungu aliye mkuu amemjulisha mfalme mambo yatakayokuwa baadaye; na ndoto hii ni ya hakika, na tafsiri yake ni thabiti. Ufalme Wa Mungu Wa Milele Danieli 7.3 Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini, wote wa namna mbalimbali. Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai. Nikatazama, hata mabawa yake yakafutuka manyoya, akainuliwa katika nchi akasimamishwa juu kwa miguu kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu. B A B E L I . UMEDI NA UAJEMI. UYUNANI. (Aya ya 5). Na tazama, mnyama mwingine, wa pili, kama dubu, naye aliinuliwa upande mmoja, na mifupa mitatu ya mbavu ilikuwamo kinywani mwake katika meno yake; wakamwambia mnyama huyo hivi, Inuka, ule nyama tele . (Aya ya 6). Kisha nikatazama, na kumbe ! Mnyama mwingine, kama chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vine; akapewa mamlaka. Ufunuo 13:1-2 Aya ya 7 . Baadaye nikaona katika njozi ya usiku, na tazama, mnyama wa nne, mwenye kutisha, mwenye nguvu, mwenye uwezo mwingi, naye alikuwa na meno ya chuma, makubwa sana: alikula na kuvunja vipande vipande, na kuyakanyaga mabaki kwa miguu yake; na umbo lake lilikuwa mbali kabisa na wale wa kwanza, naye alikuwa na pembe kumi. (Aya ya 23) . Tafsiri ya aya ya 7. Hivyo akasema, mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia, utakaokuwa mbali na falme zile zote, nao utakula dunia yote, na kuikanyaga, na kuivunja vipande vipande. Pembe zile kumi, katika ufalme huu ni wafalme kumi; watakaotokea: na mwingine atatokea baada ya hao; naye atakuwa mbali na hao wa kwanza, naye ataangusha wafalme watatu. MAONO YA KONDOO MUME NA BEBERU Sura ya 8, aya ya 20 .Yule kondoo mume uliyemwona, mwenye pembe mbili, hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi. (Aya ya 21). Na yule beberu mwenye manyoya mengi ni mfalme wa Uyunani; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake ni mfalme wa kwanza. Tena katika habari ya pembe ile iliyovunjika, ambayo badala yake zilisimama pembe nne, falme nne zitasimama kutoka katika taifa lile, lakini si kwa nguvu kama zake. Na wakati wa mwisho wa ufalme wao, wakosao watakapotimia, mfalme mwenye uso mkali, afahamuye mafumbo, atasimama. Na nguvu zake zitakuwa nyingi mno, lakini si kwa uwezo wake mwenyewe; naye ataharibu kiasi cha kustaajabisha watu, na kufanikiwa, na kutenda apendavyo, naye atawaangamiza hao walio hodari na watu watakatifu. Na kwa mashauri yake atafanikisha hila mkononi mwake; naye atajitukuza nafsi yake moyoni mwake, naye atawaangamiza wengi katika hali yao ya salama; naye atasimama dhidi ya lakini atavunjika, bila kazi ya mikono. Na maono ya hizo nyakati za jioni na asubuhi yaliyosemwa ni kweli: lakini wewe yafunike maono hayo; maana ni ya wakati ujao baada ya siku nyingi MKUU WAKUU; Sura ya 8 mstari wa 9 . Na katika moja ya pembe hizo ilitokea pembe ndogo, iliyokua sana, upande wa kusini, na upande wa mashariki, na kuelekea nchi ya uzuri. R U M I M A K E D ON IA S H A M U M I S R I T H R A C E F A L M E K U M I Wakati wa Mwisho Sura ya 7 aya ya 8 . Nikaziangalia sana pembe zake, na tazama, pembe nyingine ikazuka kati yao, nayo ilikuwa ndogo, ambayo mbele yake pembe tatu katika zile za kwanza zikang’olewa kabisa; na tazama, katika pembe hiyo mlikuwa na macho ya mwanadamu, na kinywa kilichokuwa kikinena maneno makuu. Hukumu mbele ya Mzee wa Kale Ufafanuzi wa 25, Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu, naye ataazimu kubadili majira na sheria, nao watatiwa mikononi mwake, kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati. RUMI YA KIPAPA . Aya ya 21. Nikatazama na pembe iyo hiyo ilifanya vita na watakatifu, ikawashinda; hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme. Mistari ya 13-14, ya sura ya 7. Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye. Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa. Waisraeli washikwa mateka. 2 Nya. 33:11. Kuanza kwa mara saba. Mambo ya Walawi 26: 28-34. Kupinduliwa kwa Babeli ya kale. Daniel 5: 30-31. Kuwekwa kwa amri ya kutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu. Ezra 7-8. Mwanzo wa siku 2300. Dan. Sura ya 8-9 . Alexander Mkuu alishinda Waajemi miaka 332 . kabla ya Kristo soa Josephus Ant. 1.11, c. 8. Kifo cha Antioko Epifania, ambaye bila shaka hakusimama juu dhidi ya Mkuu wa wakuu, kwa kuwa alikuwa amefariki miaka 164 kabla ya Mkuu wa wakuu kuzaliwa. Wakati wa ligi, kati ya Wayahudi na Warumi. Miaka 158 kabla ya Kristo 1 Mac. Sura ya 9 mistari ya 70-71. Josephus Antiquities 1.13 c. 2. Danieli 11:23 baada ya ligi pamoja naye atatenda kwa hila. Ufunuo. 12. 3-4. Ikaonekana ishara nyingine mbinguni; na tazama, joka kubwa jekundu, alikuwa na vichwa saba na pembe kumi, na juu ya vichwa vyake vilemba saba. Na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni na kuziangusha katika nchi. Na yule joka akasimama mbele ya yule mwanamke aliye tayari kuzaa, ili azaapo amle mtoto wake. Math. 2:13 Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukae huko hata nikuambie, kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize. Kwa madaraka yote, yaliyotajwa katika maono hayo, hamna yeyote ila Roma ya Ushenzi ndio ingeweza kusimama dhidi ya Mkuu wa wakuu, kwa kuwa huu pekee ndio ulitawala wakati wa maisha ya Kristo. Shamu ilikuwa mkoa wa Rumi miaka 65 kabla ya Kristo soma Compend ya Whelpley. Ukurasa 120. Bila shaka ni Rumi ya ushenzi tu ndio ingeweza kusimama dhidi ya Mkuu wa wakuu. Rumi ya ushenzi inaanzisha pembe ndogo ya Dan 8: 9, na kumalizia na upapa mwisho wa siku 2300. Kugawanywa kwa Roma kulikamilika katika falme kumi. ona Marchiaval mwanahistoria katika Historia ya Florence kitabu cha 1 Askofu Lloyd katika Louth ya Ufafanuzi, uk. 381-2, pia uchambuzi wa Dkt. Hale wa kronolojia ya matukio Kuondolewa kwa sadaka ya kuteketezwa ya daima, Dan. 12: 11.12. Heruli, Wa-Vandal, na Wa-Ostrogoth, kwa wakati huu walikuwa wamekwisha ngolewa: hiki ndicho kipindi cha unabii cha kuinuka kwa pembe ndogo. ona Dan. 7: 8. pembe tatu ziling'olewa na pembe ndogo kuinuka ambayo ni mwanzo wa mamlaka ya Upapa. Kuanza kwa wakati, nyakati mbili na nusu-wakati, au miaka 1260 inayokamilika mwaka wa 1798. Kuchipuka kwa mfumo wa dini ya Mohammed. Utawala huu haukusimama dhidi ya Mkuu wa wakuu, kwa sababu haikuwepo hadi kipindi hiki. Ufunuo 9:1 Nyota ikaanguka. WAUMINI WA MOHAMMED Ufunuo 9: 7 Na maumbo ya hao nzige yalikuwa kama farasi waliowekwa tayari kwa vita, na juu ya vichwa vyao kama taji, mfano wa dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama nyuso za wanadamu. Ufunuo. 9: 3-12. Nzige wakatoka katika ule moshi... na nguvu yao ya kuwadhuru wanadamu miezi mitano. yaani miaka150 kuanzia 1299 na kukamilika 1449. Ufunuo 9: 13-20. Baragumu ya sita ilianza kutoa sauti. Miaka 1290. Dan. 12:11 inaanzia mwaka wa 508 sadaka ya kuteketezwa ya daima inapoondolewa mpaka mwaka wa 1798 ambapo miaka 45 baadaye miaka 1335 inakamilika. Wakati wa Danieli anapaswa kusimama katika kura yake katika mwisho wa siku zile. Miaka 1335 tangu kuondolewa kwa udaima mwaka wa 508 na ile 45 kutoka karibu na 1290 inakamilika pamoja mwaka wa 1843. Papa achukuliwa mateka. Kuondolewa kwa udaima katika Dan 12:11 Danieli 12:12. Baragumu ya 7. Ole ya 3 Dan. 12:13. Danieli atasimama katika kura yake katika (ufufuo) mwisho wa siku hizo. Mara 7. 2 Nya. 33:11 Kukamilika kwa mara 7. Kukamilika kwa siku 2300, na mwisho wa Hasira Dan. 8:17-20. Mambo ya Walawi 26:28-34. Miezi. Siku zikiashiria miaka Mara 7 MAONO YA DANIELI & YOHANA C H AT I Y A M P A N G I L I O K R O N O L O J I A YA IMECHAPISHWA NA MTAA WA 14 DEVONSHIRE , B.W.Thayer Vyombo vya Uchapishaji- Boston RUMI YA KISHENZI. Mstari wa 16 -Ndipo Herode alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi.. Hivyo Rumi ya Kishenzi, ilisimama dhidi ya Kristo Mkuu wa wakuu, na hatimaye wakamsulubisha. Ufunuo 13:1 Nikasimama juu ya mchanga wa bahari, nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye vichwa saba na pembe kumi, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru. Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama cha simba na yule joka akampa nguvu zake na kiti chake, na uwezo mwingi. Ufunuo 13: 5 Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili. Mstari wa 7 ,ya kufanya vita na watakatifu na kuwashinda. Wakati, Nyakati & nusu Na akapewa uwezo wa kuendelea miezi 42 Ufu.12: 6 Ufunuo. 9.1 mwaka wa 606 Baragumu ya 5 ilianza kulia. R O M A Y A K I P A P A . Ufunuo. Sura ya 17 Rev. 9:13. Baragumu ya 6 , Ole ya 2 Silaha za moto mara ya kwanza ilitumika juu ya farasi na Waturuki. (Ukweli katika historia) Ufunuo 11:15 WAUMINI WA MOHAMMED wa

Upload: others

Post on 04-Nov-2020

8 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: B A B E L Mambo ya Walawi 26:28-34.bindingoffmessengers.org/wp-content/uploads/2019/01/1843... · 2019. 1. 24. · na nguvu yao ya kuwadhuru wanadamu miezi mitano. yaani miaka150

BABELIDanieli Sura 2

Wewe u kichwa kile cha dhahabu. Aya ya 38

Aya ya 39. Baada ya zamani zako utainuka ufalme mwingine mdogo kuliko wewe.

UMEDI NA

UAJEMI

UYUNANINa ufalme mwingine wa tatu wa shaba ambao utatawala juu ya dunia yote.

Aya ya 40. Na ufalme wa nne utakuwa na nguvu mfano wa chuma.

RUMI YA KISHENZI

FALME KUMI

Wa-Huni 356

Wa-Ostrogothi 377

Wa-Visgothi 378

Wa-Vandali 407

Falme hizi tatu zilichukuliwa na Justinian (Myunani) Mfalme wa Konstantinopo, ambaye amri yake ilimfanya Askofu wa Roma, Mtawala mkuu wa Makanisa, mwaka wa 538.

Wafaranka 407

Wasuvi 407

Wa-Bergudi 407

Heruli 476Wa-Saxoni 476

Wa-Lombardi 483

Hizi ndizo pembe kumi au falme ambazo Roma iligawanywa kwa mara ya kwanza , sasa zimechanganywa na mbegu za wanadamu, na havishikamani moja kwa nyingine. Dan 2:43.

(Aya ya 44). Na katika siku za wafalme hawa Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hataaachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele . (Aya ya 45). Na kama vile ulivyoona ya kuwa jiwe lilichongwa mlimani bila kazi ya mikono, na ya kuwa lilivunjavunja kile chuma, na ile fedha, na ile dhahabu; basi Mungu aliye mkuu amemjulisha mfalme mambo yatakayokuwa baadaye; na ndoto hii ni ya hakika, na tafsiri yake ni thabiti.

Ufalme Wa Mungu Wa Milele

Danieli 7.3 Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini, wote wa namna mbalimbali. Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai. Nikatazama, hata mabawa yake yakafutuka manyoya, akainuliwa katika nchi akasimamishwa juu kwa miguu kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu.

B A B E L I .

U M E D I N A

U A J E M I .

U Y U N A N I .

(Aya ya 5). Na tazama, mnyama mwingine, wa pili, kama dubu, naye aliinuliwa upande mmoja, na mifupa mitatu ya mbavu ilikuwamo kinywani

mwake katika meno yake; wakamwambia mnyama huyo hivi, Inuka, ule nyama tele .

(Aya ya 6). Kisha nikatazama, na kumbe ! Mnyama mwingine, kama chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo

alikuwa na vichwa vine; akapewa mamlaka.

Ufunuo 13:1-2

Aya ya 7 . Baadaye nikaona katika njozi ya usiku, na tazama, mnyama wa nne, mwenye kutisha, mwenye nguvu, mwenye uwezo mwingi, naye alikuwa na meno ya chuma, makubwa sana: alikula na kuvunja vipande vipande, na kuyakanyaga mabaki kwa miguu yake; na umbo lake lilikuwa mbali kabisa na wale wa kwanza, naye alikuwa na pembe kumi. (Aya ya 23) . Tafsiri ya aya ya 7. Hivyo akasema, mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia, utakaokuwa mbali na falme zile zote, nao utakula dunia yote, na kuikanyaga, na kuivunja vipande vipande. Pembe zile kumi, katika ufalme huu ni wafalme kumi; watakaotokea: na mwingine atatokea baada ya hao; naye atakuwa mbali na hao wa kwanza, naye ataangusha wafalme watatu.

MAONO YA KONDOO MUME NA BEBERUSura ya 8, aya ya 20 .Yule kondoo mume uliyemwona, mwenye pembe mbili, hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi.

(Aya ya 21). Na yule beberu mwenye manyoya mengi ni mfalme wa Uyunani; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake

ni mfalme wa kwanza. Tena katika habari ya pembe ile iliyovunjika, ambayo badala yake zilisimama pembe nne, falme nne zitasimama kutoka katika taifa lile, lakini

si kwa nguvu kama zake. Na wakati wa mwisho wa ufalme wao, wakosao watakapotimia, mfalme mwenye uso mkali, afahamuye mafumbo, atasimama. Na nguvu zake zitakuwa nyingi mno, lakini si kwa uwezo wake mwenyewe; naye ataharibu kiasi cha kustaajabisha watu, na kufanikiwa, na kutenda apendavyo, naye atawaangamiza hao walio hodari na watu watakatifu. Na kwa mashauri yake atafanikisha hila mkononi mwake; naye atajitukuza nafsi yake moyoni mwake, naye atawaangamiza wengi katika hali yao ya salama; naye atasimama dhidi ya lakini atavunjika, bila kazi ya mikono. Na maono ya hizo nyakati za jioni na asubuhi yaliyosemwa ni kweli: lakini wewe yafunike maono hayo; maana ni ya wakati ujao baada ya siku nyingi

MKUU WAKUU;

Sura ya 8 mstari wa 9 . Na katika moja ya pembe hizo ilitokea pembe ndogo, iliyokua sana, upande wa kusini, na upande wa mashariki, na kuelekea nchi ya uzuri.

RUMI

MAK

EDONIA

SHAMU

MISRI

THRACE

FALME KUMI

Wakati wa Mwisho

Sura ya 7 aya ya 8 . Nikaziangalia sana pembe zake, na tazama, pembe nyingine ikazuka kati yao, nayo ilikuwa ndogo, ambayo mbele yake pembe tatu katika zile za kwanza zikang’olewa kabisa; na tazama, katika pembe hiyo mlikuwa na macho ya mwanadamu, na kinywa kilichokuwa kikinena maneno makuu. Hukumu mbele ya Mzee wa Kale Ufafanuzi wa 25, Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoo�sha watakatifu wake Aliye juu, naye ataazimu kubadili majira na sheria, nao watatiwa mikononi mwake, kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.

RUMI YA KIPAPA .Aya ya 21. Nikatazama na pembe iyo hiyo ilifanya vita na watakatifu, ikawashinda; hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme. Mistari ya 13-14, ya sura ya 7. Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye. Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.

Waisraeli washikwa mateka. 2 Nya. 33:11.

Kuanza kwa mara saba. Mambo ya Walawi 26: 28-34.

Kupinduliwa kwa Babeli ya kale. Daniel 5: 30-31.

Kuwekwa kwa amri ya kutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu. Ezra 7-8.

Mwanzo wa siku 2300. Dan. Sura ya 8-9 .

Alexander Mkuu alishinda Waajemi miaka 332 . kabla ya Kristo soa Josephus Ant. 1.11, c. 8.

Kifo cha Antioko Epifania, ambaye bila shaka hakusimama juu dhidi ya Mkuu wa wakuu, kwa kuwa alikuwa amefariki miaka 164 kabla ya Mkuu wa wakuu kuzaliwa.

Wakati wa ligi, kati ya Wayahudi na Warumi. Miaka 158 kabla ya Kristo 1 Mac. Sura ya 9 mistari ya 70-71. Josephus Antiquities 1.13 c. 2. Danieli 11:23 baada ya ligi pamoja naye atatenda kwa hila.

Ufunuo. 12. 3-4. Ikaonekana ishara nyingine mbinguni; na tazama, joka kubwa jekundu, alikuwa na vichwa saba na pembe kumi, na juu ya vichwa vyake vilemba saba. Na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni na kuziangusha katika nchi. Na yule joka akasimamambele ya yule mwanamke aliye tayari kuzaa, ili azaapo amle mtoto wake. Math. 2:13 Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukae huko hata nikuambie, kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize.

Kwa madaraka yote, yaliyotajwa katika maono hayo, hamna yeyote ila Roma ya Ushenzi ndio ingeweza kusimama dhidi ya Mkuu wa wakuu, kwa kuwa huu pekee ndio ulitawala wakati wa maisha ya Kristo.

Shamu ilikuwa mkoa wa Rumi miaka 65 kabla ya Kristo soma Compend ya Whelpley. Ukurasa 120. Bila shaka ni Rumi ya ushenzi tu ndio ingeweza kusimama dhidi ya Mkuu wa wakuu. Rumi ya ushenzi inaanzisha pembe ndogo ya Dan 8: 9, na kumalizia na upapa mwisho wa siku 2300.

Kugawanywa kwa Roma kulikamilika katika falme kumi. ona Marchiaval mwanahistoria katika Historia ya Florence kitabu cha 1 Askofu Lloyd katika Louth ya Ufafanuzi, uk. 381-2, pia uchambuzi wa Dkt. Hale wa kronolojia ya matukio

Kuondolewa kwa sadaka ya kuteketezwa ya daima, Dan. 12: 11.12.

Heruli, Wa-Vandal, na Wa-Ostrogoth, kwa wakati huu walikuwa wamekwisha ngolewa: hiki ndicho kipindi cha unabii cha kuinuka kwa pembe ndogo. ona Dan. 7: 8. pembe tatu ziling'olewa na pembe ndogo kuinuka ambayo ni mwanzo wa mamlaka ya Upapa. Kuanza kwa wakati, nyakati mbili na nusu-wakati, au miaka 1260 inayokamilika mwaka wa 1798.

Kuchipuka kwa mfumo wa dini ya Mohammed. Utawala huu haukusimama dhidi ya Mkuu wa wakuu, kwa sababu haikuwepo hadi kipindi hiki. Ufunuo 9:1 Nyota ikaanguka.

WAUMINI WA MOHAMMEDUfunuo 9: 7 Na maumbo ya hao nzige yalikuwakama farasi waliowekwa tayari kwa vita, na juu ya vichwa vyao kama taji, mfano wa dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama nyuso za wanadamu.

Ufunuo. 9: 3-12. Nzige wakatoka katika ule moshi... na nguvu yao ya kuwadhuru wanadamu miezi mitano. yaani miaka150 kuanzia 1299 na kukamilika 1449.

Ufunuo 9: 13-20. Baragumu ya sita ilianza kutoa sauti.

Miaka 1290. Dan. 12:11 inaanzia mwaka wa 508 sadaka ya kuteketezwa ya daima inapoondolewa mpaka mwaka wa 1798 ambapo miaka 45 baadaye miaka 1335 inakamilika. Wakati wa Danieli anapaswa kusimama katika kura yake katika mwisho wa siku zile. Miaka 1335 tangu kuondolewa kwa udaima mwaka wa 508 na ile 45 kutoka karibu na 1290 inakamilika pamoja mwaka wa 1843.

Papa achukuliwa mateka. Kuondolewa kwa udaima katika Dan 12:11

Danieli 12:12.

Baragumu ya 7. Ole ya 3

Dan. 12:13. Danieli atasimama katika kura yake katika (ufufuo) mwisho wa siku hizo.

Mara 7.

2 Nya. 33:11

Kukamilika kwa mara 7.

Kukamilika kwa siku 2300, na mwisho wa Hasira Dan. 8:17-20.

Mambo ya Walawi 26:28-34.

Miezi.

Siku zikiashiria

miaka

Mara 7

MAONO YA DANIELI & YOHANACHATI YA MPANGILIO KRONOLOJIA YA

IMECHAPISHWA NA MTAA WA 14 DEVONSHIRE ,

B.W.Thayer Vyombo vya Uchapishaji- Boston

RUMI YA KISHENZI.Mstari wa 16 -Ndipo Herode alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi.. Hivyo Rumi ya Kishenzi, ilisimama dhidi ya Kristo Mkuu wa wakuu, na hatimaye wakamsulubisha.

Ufunuo 13:1 Nikasimama juu ya mchanga wa bahari, nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye vichwa saba na pembe kumi, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru. Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui,

na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama cha simba na yule joka akampa nguvu zake na kiti chake, na uwezo mwingi. Ufunuo 13: 5 Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili. Mstari wa 7 ,ya kufanya vita na watakatifu na kuwashinda.

Wakati, Nyakati & nusu

Na akapewa uwezo wa kuendelea miezi 42

Ufu.12: 6

Ufunuo. 9.1 mwaka wa 606 Baragumu ya 5 ilianza kulia.

ROMA YA KIPAPA.Ufunuo. Sura ya 17

Rev. 9:13. Baragumu ya 6 , Ole ya 2

Silaha za moto mara ya kwanzailitumika juu ya farasi na Waturuki. (Ukweli katika historia)

Ufunuo 11:15

WAUMINI WA MOHAMMED

wa