chiucha ayina madoa kuhingu akalibii kohova kabisa · chiucha kwa historia vapatikana sana...

3
African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – Spotted-necked otter Chiucha Ayina Madoa Kuhingu Akalibii Kohova Kabisa Extensive webbing on all feet Chiucha Ayina kilu 3 mpaka 6 ni wapili kwa uchoku kati ya aina 13 ya. Chiucha Amanyika kwa ulachu na ulembamba wa ywegha yake (62 950 cm kwa vakolongwa) ayina nkera wo upyera pae mawolu mayipi, mangoma yamaheli na mapili (upili wanga kukolea sana) ayina madoa mahuu mumilomu, muhingu au mulutumbu na ngonji yake hiunganishwi na ngozi nyembamba ye imsaidia kuyoghale wicho mumachi. Chiucha chakula chaki Zaidi ni homba, macheghi pia vakulainyama he itama mumachi kama manjura au idudu ngati mapayi ngati yayi sana. Chiucha kwa historia vapatikana sana mughwanga/mumikokaye iyana machi manyai na mahuu Afrika yoha. Pavapita mumachi apita yumu au Limbomba pamoja na Vyana vyaki na hata likambaku lelibalehe na mapomba bila vana vao vyawahiki kuwonakana kwa makundi ya hadi chiucha 20 na mara yengi <10 (Zaidi ya kumi). Na vawinda kwa kutegemee Zaidi mihu kutokana na vela vahitaji machi safi na mahuu ili kuwinda wichu. Ili kupata lihuki utumii muda wamaheli kulikunda makoma yake mumagogo, mumanyongoli au mumaganga. Kulikuta hoku kunjangatii yombi kuyavuruga makoma ya ngozi yake na hewa kupeta kunja na mukati ya ngozi ye inywekaliwi na mangoma.

Upload: others

Post on 24-Sep-2020

4 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Chiucha Ayina Madoa Kuhingu Akalibii Kohova Kabisa · Chiucha kwa historia vapatikana sana mughwanga/mumikokaye iyana machi manyai na mahuu Afrika yoha. Pavapita mumachi apita yumu

African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – Spotted-necked otter

Chiucha Ayina Madoa Kuhingu Akalibii Kohova Kabisa

Extensive webbing on all feet

Chiucha Ayina kilu 3 mpaka 6 ni

wapili kwa uchoku kati ya aina 13 ya.

Chiucha Amanyika kwa ulachu na

ulembamba wa ywegha yake (62 –

950 cm kwa vakolongwa) ayina nkera

wo upyera pae mawolu mayipi,

mangoma yamaheli na mapili (upili

wanga kukolea sana) ayina madoa

mahuu mumilomu, muhingu au

mulutumbu na ngonji yake

hiunganishwi na ngozi nyembamba

ye imsaidia kuyoghale wicho

mumachi.

Chiucha chakula chaki Zaidi ni

homba, macheghi pia vakulainyama

he itama mumachi kama manjura au

idudu ngati mapayi ngati yayi sana.

Chiucha kwa historia vapatikana

sana mughwanga/mumikokaye iyana

machi manyai na mahuu Afrika yoha.

Pavapita mumachi apita yumu au

Limbomba pamoja na Vyana vyaki na

hata likambaku lelibalehe na

mapomba bila vana vao vyawahiki

kuwonakana kwa makundi ya hadi

chiucha 20 na mara yengi <10 (Zaidi

ya kumi).

Na vawinda kwa kutegemee Zaidi

mihu kutokana na vela vahitaji machi

safi na mahuu ili kuwinda wichu.

Ili kupata lihuki utumii muda

wamaheli kulikunda makoma yake

mumagogo, mumanyongoli au

mumaganga. Kulikuta hoku

kunjangatii yombi kuyavuruga

makoma ya ngozi yake na hewa

kupeta kunja na mukati ya ngozi ye

inywekaliwi na mangoma.

Page 2: Chiucha Ayina Madoa Kuhingu Akalibii Kohova Kabisa · Chiucha kwa historia vapatikana sana mughwanga/mumikokaye iyana machi manyai na mahuu Afrika yoha. Pavapita mumachi apita yumu

African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – Spotted-necked otter

Liwolu la palongi kushotu na nyayo Yaki 40-45 milimita kwa upana waki.

Mahi-mavei (pai) ya mwandi kunani (kulia)

Mahi ngati mrija 11-21 milimita Mvilingo kiweza pia kuwonakana Likelu, sehemu amapu mahi hulindikwa huweza kuto sehemu kama mita kadha.

Page 3: Chiucha Ayina Madoa Kuhingu Akalibii Kohova Kabisa · Chiucha kwa historia vapatikana sana mughwanga/mumikokaye iyana machi manyai na mahuu Afrika yoha. Pavapita mumachi apita yumu

African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – Spotted-necked otter

Ukachanganya nyayo au mayi ya nguchiro (pai)

Nyayu yaka Nguchiro =/- 30 milimita kwa upana

Mahi yaka nguchiru mahighalilu ya manjeghi, mangoma ya inyama, ichokuichoku, manjura, idudu, iyuni, kwa kukadili 15-22 milimita.

Nguchiru/2 – 5.4kg Mangoma malachu na yayayemiki, mkera uyiru na mangoma yamaheli. Huhenga sana ikiluna na kanjika yaki hutama kunchi kavu kalibu na mikoka Taarifa pavawonakanayi lili vyakawonakini kwaku, vyalenga na taarifa hengi ziweza kutumwa kwa William Mgomo, S.L.P 65-Mbinga, Pori la Akiba Liparamba, Namba ya simu-0765-519212.