covid-19 kwa watoto wa miaka 3-6 · covid-19 kwa watoto wa miaka 3-6. title: powerpoint...
TRANSCRIPT
Ni kwaninishule
zimefungwa? Tunataka watu wasiuguena wabaki wenye afya
nzuri!
Babu na bibi ni wazeena tusingependa
waugue.
Funika pua namdomo kwa kiwiko
chako pale unapopiga chafya
au kukohoa.
Nifanye ninikuvishinda hivivirusi/vijidudu?
Kwanini sipaswikuwatembelea au
kuwakumbatia babu, bibi, namarafiki zangu wakati huu?
Utaweza kwenda kuwatembelea babu nabibi na marafiki zako baada ya hivi vijidudu
vya corona kutoweka. Kwa sasa, unawezakuwasiliana nao kwa simu!
Hivi vijidudu huishi kwenyevitu tunavyovigusa. Osha mikono yako kwa maji na
sabuni huku ukihesabumoja hadi ishirini ili
vijijududu vitoweke kwenyemikono yako!
Nifanyeje kama ninawasiwasi kwamba mimi au
ndugu zangu wanawezapata ugonjwa huu?
Zungumza na mtu mzima naumueleze jinsi unavyojisikia.
Pia, jaribu kufanya vitu vyakufurahisha katika kipindi hichi
badala ya kuwa na hofu.
Usiogope kuwaomba watu wazima wakusaidie!
Kwa Wazazi na Walezi✔Hakikisha kuwa wewe na watoto mnaosha mikono kwa njia sahihi na
pia mnazingatia kukaa nyumbani kwa jinsi inavyowezekana katikakipindi hichi.✔Fanya jitihada kuwauliza maswali/kuwaelimisha watoto wako
kuhusu maambukizi ya virusi vya corona. Wahakikishie usalama waona jitahidi kujibu maswali yao kwa lugha nyepesi.✔Fuatilia kwa ukaribu afya yako na ya watoto wako ukizingatia dalili
za COVID-19. Fauta maelekezo ya watoa huduma ya afya.
Usiwe na hofu. Ni hali ya kawaida
kuwa na wasiwasi.
Imetengenezwa na COVID-19 Health Literacy Project kwa kushirikiana naHarvard Health Publishing
Reviewed by: Rachel Conrad, MDGene Beresin, MD, MABaruch Krauss, MD, EdMEdwin Palmer, MD, MPHJanis Arnold, MSW, LICSWChloë Nunneley, MDCarolyn Snell, PhDKristin Barton, MA, CHESErin Graham
Kuna vijidudu/virusivinavyoitwa corona vinavyofanya watu
waugue.
COVID-19 kwa watoto wa miaka 3-6