discovery education · web view2020/07/04  · ©2020 discovery education, inc. ©2020 discovery...

1
©2020 Discovery Education, Inc. Kuanzisha Discovery Education katika Shule za Nevada Mpendwa Mzazi au Mlezi, Tuna furaha kutangaza ushirikiano mpya kati ya majimbo yote ya Marekani na Discovery Education ili kutoa ufikiaji wa saa 24/7 wa vyombo na rasilimali ambazo wanafunzi wanahitaji ili waendelee na masomo ndani na nje ya darasa mwaka huu. Discovery Education Experience inatoa rasilimali zaidi ya 190,000 zilizo salama, zenye ubora wa hali ya juu, na za kusisimua ambazo zimepangwa kulingana na darasa, somo, na kile kinachowavutia wanafunzi ili kushirikisha watoto wote. Pata kufikia rasilimali hizo zote kupitia chombo chochote kilichounganishwa na mtandao, wakati wowote. Iwapo unahitaji usaidizi wa kuingia, tafadhali wasiliana na mwalimu wa mwanafunzi wako au tazama video hii ya utangulizi . Tazama yafuatayo ili kuanza: Mwongozo wa Mzazi – Discovery Education Experience Anza na mwongozo huu wa hatua 8 ambao unaeleza kuhusu kuingia, kupokea maswali ya mazoezi, kupata rasilimali, na kuunda maudhui mapya. Chaneli ya Kusomea Nyumbani Anza kutumia STEM, jiunge na klabu mnemba ya vitabu (vitabu vya sauti), anza kufanya maswali ya mazoezi, na mengi zaidi kupitia mkusanyiko huu wa kuvutia wa mazoezi ya kufanyia nyumbani. Safari Mnemba za Nyanjani kupitia Mtandao Tutasarifi pamoja kwenda katika baadhi ya maeneo mashuhuri zaidi ulimwenguni na sehemu za kipekee pasipo kuondoka nyumbani mwenu. Au tafuta mada ambayo mtoto wako anaipendelea au inayomvutia zaidi! Asante kwa kujitolea kwako kwa ajili ya fanaka ya wanafunzi wetu. Wako Mwaminifu, 1

Upload: others

Post on 04-Feb-2021

9 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

©2020 Discovery Education, Inc.

©2020 Discovery Education, Inc.

Ya Hiari: Kichwa cha 1

JINA LA WARAKA

Kuanzisha Discovery Education katika Shule za Nevada

Mpendwa Mzazi au Mlezi,

Tuna furaha kutangaza ushirikiano mpya kati ya majimbo yote ya Marekani na Discovery Education ili kutoa ufikiaji wa saa 24/7 wa vyombo na rasilimali ambazo wanafunzi wanahitaji ili waendelee na masomo ndani na nje ya darasa mwaka huu.

Discovery Education Experience inatoa rasilimali zaidi ya 190,000 zilizo salama, zenye ubora wa hali ya juu, na za kusisimua ambazo zimepangwa kulingana na darasa, somo, na kile kinachowavutia wanafunzi ili kushirikisha watoto wote. Pata kufikia rasilimali hizo zote kupitia chombo chochote kilichounganishwa na mtandao, wakati wowote.

Iwapo unahitaji usaidizi wa kuingia, tafadhali wasiliana na mwalimu wa mwanafunzi wakoau tazama video hii ya utangulizi.

Tazama yafuatayo ili kuanza:

· Mwongozo wa Mzazi – Discovery Education ExperienceAnza na mwongozo huu wa hatua 8 ambao unaeleza kuhusu kuingia, kupokea maswali ya mazoezi, kupata rasilimali, na kuunda maudhui mapya.

· Chaneli ya Kusomea NyumbaniAnza kutumia STEM, jiunge na klabu mnemba ya vitabu (vitabu vya sauti), anza kufanya maswali ya mazoezi, na mengi zaidi kupitia mkusanyiko huu wa kuvutia wa mazoezi ya kufanyia nyumbani.

· Safari Mnemba za Nyanjani kupitia MtandaoTutasarifi pamoja kwenda katika baadhi ya maeneo mashuhuri zaidi ulimwenguni na sehemu za kipekee pasipo kuondoka nyumbani mwenu.

· Au tafuta mada ambayo mtoto wako anaipendelea au inayomvutia zaidi!

Asante kwa kujitolea kwako kwa ajili ya fanaka ya wanafunzi wetu.

Wako Mwaminifu,

1

©2020 Discovery Education, Inc.

2

©2020 Discovery Education, Inc.