evangelism print card - dpctz. · pdf filemungu ni uzima wa milele katika kristo yesu bwana...

2
DPC KANISA LETU KARIBU Dar es Salaam Pentecostal Church Kinondoni Rd (Mkabala na TX Market) SLP 7931, Dar es Salaam Email yetu: [email protected] www.dpctz.org Dar es Salaam Pentecostal Church Ibada ya Kiingereza - Jumapili Saa 2.00 Asubuhi Ibada ya Kiswahili - Jumapili Saa 4.30 Asubuhi DPC 1. Mungu anakupenda na alikuumba ili umjue yeye Upendo wa Mungu “ Kwa Maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee, ili kila amwaminie asipotee bali awe na Uzima wa milele ” Yohana 3:16 . Mpango wa Mungu "Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma." (Yohana 17:3 ). Je ni kitu gani kinazuia sisi tusimjue Mungu? 2. Mwanadamu ni Mwenye dhambi na amejitenga na Mungu, Hivyo hawezi kumjua Mungu au kuujua upendo wa Mungu. Mwanadamu ni Mwenye dhambi "kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu" (Warumi 3:23). Mwanadamu aliumbwa ili awe na mahusiano na Mungu, ila kutokana na usumbufu wake akaamua kwenda njia yake na uhusiano na Mungu ukavunjika. Uwezo wa kuamua wa mwanadamu ukaleta tabia ya uasi au kutofautiana na Mungu na hichi ndicho Biblia inasema kuwa ni dhambi. Mwanadamu Ajitenga "Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu (Warumi 6:23). "... (Wale ambao hawamjui) Atawahukumu wale wasiomjua Mungu, wasioitii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu. 9 Wataadhibiwa kwa kuangamizwa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake." (2 wathesalonike 1:8,9) K aribu 3.Yesu Kristo ni Msaada wa Mungu kwa Wanadamu wenye dhambi. Kupitia yeye, tunaweza kumjua Mungu binafsi na kujua upendo wake. Alikufa kwa ajili yetu "Lakini Mungu anaudhihirisha upendo wake kwetu kwamba: tulipokuwa tungali wenye dhambi, Kristo ali kufa kwa ajili yetu." (Warumi 5:8). Alifufuka kutoka katika wafu "Kwa maana niliyopokea ndio niliyowapa ninyi, nayo ni muhimu sana: kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivy oandikwa katika Maandiko. 4 Na kwamba alizikwa na kufufuka siku ya tatu, kama ilivyoandikwa katika Maandiko. 5 Na kwamba alimto kea Kefa, kisha akawatokea wale kumi na wawili. 6 Baadaye akawa tokea ndugu waamini zaidi ya mia tano kwa pamoja, na wengi wao wangali hai, ingawa wengine wameshakufa." (1 Wakorinth 15:3-6). Ni njia pekee ya Kumfikia Mungu "Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.'" (Yohana 14:6). 4.Tunatakiwa kumpokea Yesu awe Bwana Na Mwokozi wa Maisha Yetu,Ndipo tuweze kumjua Mungu na Kuujua Upendo wake. "Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu" (John 1:12) Tunampokea Yesu kwa Imani "Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; na si kwa sababu ya matendo yenu mema. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu mwenyewe. 9 Na kwa sababu hamkuifanyia kazi, mtu ye yote asije akajisifu juu ya wokovu wake.t" (Waefeso 2:8,9). Tunapompokea Yesu Kristo, Tunazaliwa Upya (Yohana 3:1-8.) Tunampokea Yesu Kristo kwa Mwaliko wa Mtu Binafsi [Yesu anasema] "Tazama, nasimama mlangoni napiga hodi. Mtu ye yote akisikia sauti yangu na kufun gua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami." (Ufunuo 3:20). Kumpokea Yesu kunahusisha kumwangalia Mungu kwa toba na Kumwamini Kristo kuja kwenye maisha yako na kusemehe dhambi na kukufanya uwe vile anataka. Inakupsa ukubali kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na kwamba alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu. Tunampokea kwa imani na kwa tendo la hiari.

Upload: vuongdat

Post on 15-Mar-2018

258 views

Category:

Documents


4 download

TRANSCRIPT

DPCKANISA LETU

KARIBU

Dar es Salaam Pentecostal ChurchKinondoni Rd (Mkabala na TX Market)

SLP 7931, Dar es SalaamEmail yetu: [email protected]

www.dpctz.orgDar es Salaam Pentecostal Church

Ibada ya Kiingereza - Jumapili Saa 2.00 Asubuhi

Ibada ya Kiswahili - Jumapili Saa 4.30 Asubuhi

DPC1. Mungu anakupenda na alikuumba ili umjue yeye

Upendo wa Mungu “ Kwa Maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee, ili kila amwaminie asipotee bali awe na Uzima wa milele ” Yohana 3:16 .

Mpango wa Mungu "Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma." (Yohana 17:3 ). Je ni kitu gani kinazuia sisi tusimjue Mungu?

2. Mwanadamu ni Mwenye dhambi na amejitenga na Mungu, Hivyo hawezi kumjua Mungu au kuujua upendo wa Mungu.

Mwanadamu ni Mwenye dhambi"kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu" (Warumi 3:23). Mwanadamu aliumbwa ili awe na mahusiano na Mungu, ila kutokana na usumbufu wake akaamua kwenda njia yake na uhusiano na Mungu ukavunjika. Uwezo wa kuamua wa mwanadamu ukaleta tabia ya uasi au kutofautiana na Mungu na hichi ndicho Biblia inasema kuwa ni dhambi.

Mwanadamu Ajitenga"Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu (Warumi 6:23). "...(Wale ambao hawamjui) Atawahukumu wale wasiomjua Mungu, wasioitii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu. 9 Wataadhibiwa kwa kuangamizwa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake." (2 wathesalonike 1:8,9)

Karibu

3.Yesu Kristo ni Msaada wa Mungu kwa Wanadamu wenye dhambi. Kupitia yeye, tunaweza kumjua Mungu binafsi na kujua upendo wake.

Alikufa kwa ajili yetu "Lakini Mungu anaudhihirisha upendo wake kwetu kwamba: tulipokuwa tungali wenye dhambi, Kristo ali kufa kwa ajili yetu." (Warumi 5:8).

Alifufuka kutoka katika wafu "Kwa maana niliyopokea ndio niliyowapa ninyi, nayo ni muhimu sana: kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivy oandikwa katika Maandiko. 4 Na kwamba alizikwa na kufufuka siku ya tatu, kama ilivyoandikwa katika Maandiko. 5 Na kwamba alimto kea Kefa, kisha akawatokea wale kumi na wawili. 6 Baadaye akawa tokea ndugu waamini zaidi ya mia tano kwa pamoja, na wengi wao wangali hai, ingawa wengine wameshakufa." (1 Wakorinth 15:3-6).

Ni njia pekee ya Kum�kia Mungu"Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi ku�ka kwa Baba bila kupitia kwangu.'" (Yohana 14:6).

4.Tunatakiwa kumpokea Yesu awe Bwana Na Mwokozi wa Maisha Yetu,Ndipo tuweze kumjua Mungu na Kuujua Upendo wake.

"Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu" (John 1:12)

Tunampokea Yesu kwa Imani"Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; na si kwa sababu ya matendo yenu mema. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu mwenyewe. 9 Na kwa sababu hamkuifanyia kazi, mtu ye yote asije akajisifu juu ya wokovu wake.t" (Waefeso 2:8,9). Tunapompokea Yesu Kristo, Tunazaliwa Upya (Yohana 3:1-8.)

Tunampokea Yesu Kristo kwa Mwaliko wa Mtu Binafsi [Yesu anasema] "Tazama, nasimama mlangoni napiga hodi. Mtu ye yote akisikia sauti yangu na kufun gua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami." (Ufunuo 3:20).

Kumpokea Yesu kunahusisha kumwangalia Mungu kwa toba na Kumwamini Kristo kuja kwenye maisha yako na kusemehe dhambi na kukufanya uwe vile anataka. Inakupsa ukubali kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na kwamba alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu. Tunampokea kwa imani na kwa tendo la hiari.

DPC

1. God loves you and created you to know Him personally.

God's Love "God so loved the world, that He gave His only begotten Son, that whoever believes in Him should not perish, but have eternal life" (John 3:16).

God's Plan "Now this is eternal life: that they may know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent" (John 17:3, NIV). What prevents us from knowing God personally?

2. Man is sinful and separated from God, so we cannot know Him personally or experience His love.

Man is Sinful"All have sinned and fall short of the glory of God" (Romans 3:23). Man was created to have fellowship with God; but, because of his own stubborn self-will, he chose to go his own independent way and fellowship with God was broken. This self-will, characterized by an attitude of active rebellion or passive indi�erence, is an evidence of what the Bible calls sin.

Man is Separated"The wages of sin is death" [spiritual separation from God] (Romans 6:23). "...(Those) who do not know God and do not obey the gospel of our Lord Jesus...will be punished with everlasting destruction and shut out from the presence of the Lord..." (2 Thessalonians 1:8,9)

OUR CHURCH

YOU ARE WELCOME

Dar es Salaam Pentecostal ChurchKinondoni Rd (Opposite TX Market)

Box 7931 Dar es Salaam

English Service-Sundays @ 8.00 Am Kiswahili Service Sunday @ 10:30 Am

Email: [email protected] www.dpctz.org

Dar es Salaam Pentecostal Church

3.Jesus Christ is God's only provision for man's sin. Through Him alone we can know God personally and experience God's love.

He Died in Our Place "God demonstrates His own love toward us, in that while we were yet sinners, Christ died for us" (Romans 5:8).

He Rose From the Dead"Christ died for our sins...He was buried...He was raised on the third day according to the Scriptures...He appeared to Peter, then to the twelve. After that He appeared to more than �ve hundred..." (1 Corinthians 15:3-6).

He is the Only Way to God"Jesus said to him, 'I am the way, and the truth, and the life; no one comes to the Father, but through Me'" (John 14:6).

4. We must individually receive Jesus Christ as Savior and Lord; then we can know God personally and experience His love.We Must Receive Christ

"As many as received Him, to them He gave the right to become children of God, even to those who believe in His name" (John 1:12)

We Receive Christ Through Faith"By grace you have been saved through faith; and that not of yourselves, it is the gift of God; not as a result of works that no one should boast" (Ephesians 2:8,9). When We Receive Christ, We Experience a New Birth (Read John 3:1-8.)

We Receive Christ by Personal Invitation[Christ speaking] "Behold, I stand at the door and knock; if any one hears My voice and opens the door, I will come in to him" (Revelation 3:20).

Receiving Christ involves turning to God from self (repentance) and trusting Christ to come into our lives to forgive us of our sins and to make us what He wants us to be. Just to agree intellectually that Jesus Christ is the Son of God and that He died on the cross for our sins is not enough. Nor is it enough to have an emotional experience. We receive Jesus Christ by faith, as an act of our will.

DPC