fomu ya kujiunga - kilimanjaro marathon...d d m m y y y y mbio ndefu za kilimanjaro lager km 42.2...

1
HAIUZWI KWA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18. TAFADHALI KUNYWA KISTAARABU. Jumapili Machi 4, 2018 MoCU Stadium, Moshi, Tanzania FOMU YA KUJIUNGA NAFASI YA WANAUME NA WANAWAKE Tsh JUMLA Tsh 1 4,000,000/- 8,000,000/- 2 2,000,000/- 4,000,000/- 3 1,000,000/- 2,000,000/- 4 900,000/- 1,800,000/- 5 600,000/- 1,200,000/- 6 400,000/- 800,000/- 7 350,000/- 700,000/- 8 300,000/- 600,000/- 9 250,000/- 500,000/- 10 200,000/- 400,000/- Jumla 20,000,000/- Wanaojiandikisha na wanaoshiriki (“washiriki”) katika Mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon (“Tukio”), ikiwemo Tigo Half Marathon, Mbio za kilometa 10 kwa ajili ya walemavu, na Mbio fupi za kujifurahisha (Grand Malt Fun Run, wanatambua kuwa pamoja na kuwa tahadhari zote zimechukuliwa na waanadaaji ili kuhakikisha usalama wa washiriki, bado kuna uwezekano wa kuwepo hatari za aina nyingine katika mbio hizi na shughuli nyingine zinazohusiana na tukio hili. Washiriki wanatambua hatari hizi na wanashiriki kwa hiari yao wenyewe na endapo lolote litatokea hawatadai chochote kwa waandaaji, wadhamini, watangazaji, mamlaka zozote au wakurugenzi, wasambazaji, wafanyakazi, wasaidizi wa wote wa wahusika waliotajwa hapo juu ikiwemo mtu binafsi, mwakilishi au wakala. (“Wahusika) Washiriki hawatatoa madai ya aina yoyote kwa wahusika kufuatia hatari zinazoweza kutokea kutokana na sababu za kizembe au kwa kushiriki, kutokana na sababu za Kimungu au kwa kuchelewa kwa tukio, kufutwa kwa tukio, usumbufu wowote, ajali au mmoja wa washiriki kuugua au uharibifu wa mali na gharama zitakazohusika au madhara kwa watoto watakaoongozana na washiriki. Washiriki wanathibitisha kuwa wana afya njema na wana uwezo wa kushiriki mbio hizi bila matatizo. Wazazi na walezi watathibitisha ushiriki wa watoto wao kwa kuweka saini katika fomu ya usajili ili kuthibitisha kuwa huyu ni mtoto na hatakuwa na uwezo kwa kutoa madai yoyote kama yalivyotajwa hapo juu. Nathibitisha kuwa ninaelewa na ninaruhusiwa kusaini fomu hii ya usajili na nakubaliana na masharti yote na vigezo vilivyowekwa. Naidhinisha kutumika kwa jina langu, sauti na picha (mnato na video) katika televisheni, redio, matangazo, promosheni au kwa namna yoyote ambayo waandaaji na wadhamini watataka. Natoa ruhusa pia kwa waandaaji kutumia vielelezo vyangu kwa mbio nyingine zijazo kwa njia ya mawasiliano kupitia barua pepe, ujumbe mfupi wa simu au kwa kupiga simu. MPANGILIO WA FEDHA ZA WASHINDI WA MBIO NDEFU Tembelea Tovuti yetu (www.kilimanjaromarathon.com) kwa taafrifa zaidi juu ya mpangilo wa fedha za washindi Jina la Ukoo: Jina la Kwanza: Uraia: RAIA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ( Tanzania Kenya Uganda Rwanda Burundi ) Tarehe ya kuzaliwa: Jinsia: Mume Mke Umri Namba ya Pasipoti/Kitambulisho: Anwani: Nchi: Simu.(Onyesha Namba ya Mahala na Nchi): Barua Pepe: Kujisajili mapema ni muhimu, tafadhali chagua mbio utakayo shiriki. Huwezi kujisajili siku ya mbio. Vielelezo na ushahidi wa makazi vitahitajika kipindi cha usajili wa mbio ndefu na fupi D D M M Y Y Y Y Mbio ndefu za Kilimanjaro Lager Km 42.2 (Kwa wenye umri zaidi ya miaka 21) Zinaanza Saa 12:30 asubuhi Washiriki wa Kimataifa USD 65 Raia wa Afrika Mashariki Tsh 10,000 Wakazi Afrika Mashariki USD 35 Mbio fupi za Tigo Km 21.1 (Kwa wenye umri zaidi ya miaka 18) Zinaanza Saa 1:00 asubuhi Washiriki wa Kimataifa USD 65 Raia wa Afrika Mashariki Tsh 8,000 Wakazi Afrika Mashariki USD 35 Mbio za Km 5 (Kwa wenye umri chini ya miaka 10 lazima waje na mzazi) Zinaanza Saa: 1:15 asubuhi Washiriki wa Kimataifa Tsh 5,000 Raia wa Afrika Mashariki Tsh 5,000 Wakazi Afrika Mashariki Tsh 5,000 Kwa maelezo zaidi tembelea: Tovuti: www.kilimanjaromarathon.com / Barua Pepe: [email protected] Sahihi ya mshiriki: ........................................................................................ Signature of Parent/Legal Guardian if under 21: ......................................................................................... Jina la Mawasiliano ya dharura: ......................................................................................................................................................... Namba : ............................................................................................ Nathibitisha kuwa mimi ni mzima wa afya na nina uwezo wa kushiriki katika mbio hizi bila tatizo lolote. Wafadhili wetu:

Upload: others

Post on 01-Feb-2021

9 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • HAIUZWI KWA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18. TAFADHALI KUNYWA KISTAARABU.

    Jumapili Machi 4, 2018MoCU Stadium, Moshi, Tanzania

    FOMU YA KUJIUNGA

    NAFASI YA WANAUME NA WANAWAKE Tsh JUMLA Tsh

    1 4,000,000/- 8,000,000/-

    2 2,000,000/- 4,000,000/-

    3 1,000,000/- 2,000,000/-

    4 900,000/- 1,800,000/-

    5 600,000/- 1,200,000/-

    6 400,000/- 800,000/-

    7 350,000/- 700,000/-

    8 300,000/- 600,000/-

    9 250,000/- 500,000/-

    10 200,000/- 400,000/-

    Jumla 20,000,000/-

    Wanaojiandikisha na wanaoshiriki (“washiriki”) katika Mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon (“Tukio”), ikiwemo Tigo Half Marathon, Mbio za kilometa 10 kwa ajili ya walemavu, na Mbio fupi za kujifurahisha (Grand Malt Fun Run, wanatambua kuwa pamoja na kuwa tahadhari zote zimechukuliwa na waanadaaji ili kuhakikisha usalama wa washiriki, bado kuna uwezekano wa kuwepo hatari za aina nyingine katika mbio hizi na shughuli nyingine zinazohusiana na tukio hili. Washiriki wanatambua hatari hizi na wanashiriki kwa hiari yao wenyewe na endapo lolote litatokea hawatadai chochote kwa waandaaji, wadhamini, watangazaji, mamlaka zozote au wakurugenzi, wasambazaji, wafanyakazi, wasaidizi wa wote wa wahusika waliotajwa hapo juu ikiwemo mtu binafsi, mwakilishi au wakala. (“Wahusika)

    Washiriki hawatatoa madai ya aina yoyote kwa wahusika kufuatia hatari zinazoweza kutokea kutokana na sababu za kizembe au kwa kushiriki, kutokana na sababu za Kimungu au kwa kuchelewa kwa tukio, kufutwa kwa tukio, usumbufu wowote, ajali au mmoja wa washiriki kuugua au uharibifu wa mali na gharama zitakazohusika au madhara kwa watoto watakaoongozana na washiriki. Washiriki wanathibitisha kuwa wana afya njema na wana uwezo wa kushiriki mbio hizi bila matatizo.

    Wazazi na walezi watathibitisha ushiriki wa watoto wao kwa kuweka saini katika fomu ya usajili ili kuthibitisha kuwa huyu ni mtoto na hatakuwa na uwezo kwa kutoa madai yoyote kama yalivyotajwa hapo juu.

    Nathibitisha kuwa ninaelewa na ninaruhusiwa kusaini fomu hii ya usajili na nakubaliana na masharti yote na vigezo vilivyowekwa. Naidhinisha kutumika kwa jina langu, sauti na picha (mnato na video) katika televisheni, redio, matangazo, promosheni au kwa namna yoyote ambayo waandaaji na wadhamini watataka. Natoa ruhusa pia kwa waandaaji kutumia vielelezo vyangu kwa mbio nyingine zijazo kwa njia ya mawasiliano kupitia barua pepe, ujumbe mfupi wa simu au kwa kupiga simu.

    MPANGILIO WA FEDHA ZA WASHINDI WA MBIO NDEFU

    Tembelea Tovuti yetu (www.kilimanjaromarathon.com) kwa taafrifa zaidi juu ya mpangilo wa fedha za washindi

    Jina la Ukoo:

    Jina la Kwanza:

    Uraia:

    RAIA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ( Tanzania Kenya Uganda Rwanda Burundi )

    Tarehe ya kuzaliwa: Jinsia: Mume Mke Umri

    Namba ya Pasipoti/Kitambulisho:

    Anwani:

    Nchi:

    Simu.(Onyesha Namba ya Mahala na Nchi):

    Barua Pepe:

    Kujisajili mapema ni muhimu, tafadhali chagua mbio utakayo shiriki. Huwezi kujisajili siku ya mbio. Vielelezo na ushahidi wa makazi vitahitajika kipindi cha usajili wa mbio ndefu na fupi

    D D M M Y Y Y Y

    Mbio ndefu za Kilimanjaro Lager Km 42.2 (Kwa wenye umri zaidi ya miaka 21)Zinaanza Saa 12:30 asubuhiWashiriki wa Kimataifa USD 65 Raia wa Afrika Mashariki Tsh 10,000Wakazi Afrika Mashariki USD 35

    Mbio fupi za Tigo Km 21.1(Kwa wenye umri zaidi ya miaka 18)Zinaanza Saa 1:00 asubuhiWashiriki wa Kimataifa USD 65Raia wa Afrika Mashariki Tsh 8,000Wakazi Afrika Mashariki USD 35

    Mbio za Km 5 (Kwa wenye umri chini ya miaka 10 lazima waje na mzazi)Zinaanza Saa: 1:15 asubuhiWashiriki wa Kimataifa Tsh 5,000 Raia wa Afrika Mashariki Tsh 5,000Wakazi Afrika Mashariki Tsh 5,000

    Kwa maelezo zaidi tembelea:Tovuti: www.kilimanjaromarathon.com / Barua Pepe: [email protected]

    Sahihi ya mshiriki: ........................................................................................ Signature of Parent/Legal Guardian if under 21: .........................................................................................

    Jina la Mawasiliano ya dharura: ......................................................................................................................................................... Namba : ............................................................................................

    Nathibitisha kuwa mimi ni mzima wa afya na nina uwezo wa kushiriki katika mbio hizi bila tatizo lolote.

    Wafadhili wetu: