fungu la biblia - amazon s3...pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. andika...

12
Lliyoendelea sana Kitabu cha Mwanafunzi

Upload: others

Post on 31-May-2020

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

Lliyoendelea sanaKitabu cha Mwanafunzi

Page 2: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

1. Waambie wanafunzi wenzako kuhusu faida yoyote ambayo unaweza kufi kiri ya kumwamini Mungu.2. Je! Unachoamini kuhusu Yesu kinatoka wapi? Je, kinatoka kwa desturi, kile mhubiri au mwalimu husema, au kutokana na kujua Mungu kibinafsi?3. Wewe binafsi, unaamini nini kuhusu Yesu?

1

W J O G O K U F B MS H A M B L G A D IU S E Y A A N R Z RM Z A B I B U T A AW J B J E U M M I KA O R T E P I A S SN G K L I N A N H AA O K R I S T O T SJ O F A R A S I W H

NANIKRISTO MWANAMUNGU PETROMZABIBUYESU AMINIKLABUSHAMBAFARASIJOGOOASKARISAJENTI

1. Ni nani "uhai?"

1. Yesu

2. Sisi ni

3. Wewe

3. Yesu alitenda

dhambi?

1. Mara nyingine

2. Sijui

3. Hapana

2. Kwa nini Yesu alitoa maisha yake msalabani?1. Kwa sababu Mungu alimwacha2. Kwa sababu alikuwa na maadui 3. Kutupatia uzima wa milele

Siku 1 - Nachagua kuamini

Page 3: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

“Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."Yohana 3:16

Unganisha namba kutoka 1-9 kwa usahihi, ukienda mlalo au wima.

Fungu la Biblia

2

9 1 2 7 4 5 84 3 2 4 5 3 6 7 8

8 5 6 5 9 1 2 9 1 9 18 7 6 9 1 8 7 6 1 2 3 4 59 9 7 5 6 7 9 4 8 3 1 7 61 2 3 4 8 4 6 5 4 3 5 9 75 4 2 3 2 3 7 2 1 2 1 9 87 6 5 4 1 9 8 9 8 7 6 2 18 9 3 5 6 1 7 3 6 5 7 3 2

1 2 3 4 9 1 2 3 4 5 13 4 9 8 2 4 8 7 6

5 6 7 1 5 9 1

Page 4: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

1. Petro alishinikizwa na watu kukubali kwamba yeye alikuwa mwanafunzi wa Yesu.Je, leo una shinikizo gani ili kukubali kuwa wewe ni Mkristo?2. Rafi ki yako anakukasirikia kwa sababu hukuhudhuria karamu yake ambayo ilifanyika wakati sawa na mkutano wa kanisani ambako umepanga kushiriki.Unawezaje kufanya mabadiliko ikiwa una urafi ki ambayo labda Mungu hataki?3. Je, ni shughuli gani umepanga kwa ajili yako mwenyewe, na hujamruhusu Yesu kubadili?

MZABIBUMATAWIMIZIZI

MAJANITUNDADHAMBI

TUBUVUNJIKAMBAYA

ADHABUHITAJIYESU

Chora upande mwingine wa jogoo

M A I D N U T M H I T AI V U N J I K A U E Y IZ I B M A H D J J B Z JI T I B M A T A W I U AZ U B A H D A N Z B Y TA N A Y E S U I J I N IB D Z A D H M A M B I HI A M D H A B U V A N J

3

Siku 2 - Nachagua kubadilika

Page 5: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

Ungebadilisha nini?Ukiwaza juu ya maisha yako ya kila siku, andika au kuchora picha zinazoonyesha matendo ambayo unaweza badilisha ili kumpendeza Mungu.

Ni vipi mtu anaweza kubadilisha?

Nini kinaweza kubadilika katika wimbo?

Nini kinachoweza kubadilika kwenye fi lamu?

4

“kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu"Warumi 3:23

Wakati katika maisha yako ambapo unatamani ungebadilika.

Utafanya nini mtu akikuumiza au kukudanganya?

Kitu ambacho ungependa kifanyike katika maisha yako.

Fungu la Biblia

Page 6: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

Andika au kuchora katika kila sanduku hali ambapo ungeweza kutii.Mfano: Kukosa kuangalia majibu ya mwanafunzi mwenzako wakati wa mtihani shuleni.

1. Mbali na kusoma Biblia na kusali, ni mambo gani mengine unayoweza kufanya ili uendelee kuunganika na Yesu Kristo na kuonyesha kwamba wewe ni mtiifu?2. Mungu anakuhimiza uwe mwalimu katika VBS ijayo. Lakini mama yako atakuambia kwamba huwezi fanya kazi kanisani lako ikiwa hutasoma na kuwa katika nafasi nzuri shuleni.Je! Utachagua kumtii nani?3. Je! Ni sababu gani unaompa Yesu Kristo, kwamba huwezi kutii sauti yake? Labda unasema huna uwezo wa kuhubiri, kwamba wewe ni mwanamke, au kwamba katika familia yako wewe ndiyo Mkristo pekee?

5

Siku 3 - Nachagua Kutii

Chora!

Page 7: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

Tunga hadithi inayoonyesha wakati Petro aliamua kumfuata Yesu.

Uvuvi Wakati Yesu alimwita

Kukana Yesu

Pamoja na wanafunzi

Kukata sikio la askari Kuhubiri

MZABIBUMATAWIAMRIKAA UNGANIKATIIPETROFARASIJOGOOBIBLIAWOKOVUUPENDOMOYO

mfano

6

A M R P E N D O F O R AW K U N U B I B A Z M PI O O P G A N K R K E W

M Z A B E B I W A T A MA T A W F N Z V R U I AP E T K A R D O Z V T IK O V G R M O O G O J LU B N B A Z R B Y K L BW U J G S O O I T O A IO K V B I B L A I W M B

“Mkizishika amri zangu mtakaa ndani ya pendo langu kama mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake." Yohana 15:10

Fungu la Biblia

Page 8: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

Sigue los numeros del 1 al 9 de forma horizontal y vertical hasta llegar al fi nal.

Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa.

Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi.

Mfano: Kuogelea hunifurahisha. Nitaipaka rangi ya kijani.

Kutazama fi lamu ya kufurahisha

Mtu fulani alisema uwongo kunihusu

Rafi ki yangu wa karibu alihamia mbali

Nilishindwa kukariri funguNilipata pesa

Ninaona mtoto akilia

Kesho ni shule

Ni siku yangu ya kuzaliwa

"Hamkunichagua, bali mimi nimewachagua ninyi na nimewatuma mwende mkazae matunda, na matunda yenu yapate kudumu, ili lo lote mtakalomwomba Baba katika jina langu, awatimizie." Yohana 15:16

Fungu la Biblia

7

Siku 4 - Nachagua kutenda

Maumivu Waridi

Hasira Bluu

Furaha Kijani

Hofu Njano

Kuchoshwa Nyekundu

Aibu Zambarau

Page 9: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

PETROKUHUBIRIROHOWANAMABINTINDOTO MAONO TUNDAUJANASHUGHULIUTUKUFUOMBAIMANI

Saidia jogoo na farasi kuingia zizini.

1. Je, kuwa na marafi ki wengi wasio Wakikristo kuliko marafi ki Wakristo huathiri vipi vitendo vyako?

2. Inamaanisha nini katika maisha yako kuzaa matunda ambayo hudumu?

3. Shiriki hadithi ambapo uliigiza vizuri, na vile imeathiri uhusiano wako na Mungu na watu

8

P E T O T O D N Z A NU T A M R I U J A N AH M A B I N T I F A IO A I A Z A U J P W LL O K R W M K H E A BI N U F I I U O T N I

W O H K U B F A R R BM A O M O T U T O A WB I L U H G U H S Z BU J A N I N O B U J AS H U G D U L I A K BI M F A Z K U H U B I

Page 10: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

YESU PETROKUTENGANISHAMAJIMASHUATEMBEAHOFUHAKUNAKAUKA CHAGUOTUNDAWEKAMZABIBUMATAWI

1. Kwa nini ni vigumu kwa vijana, bila kujali nchi yao, kubaki wameunganika na uwepo wa Mungu? 2. Unapokuwa na wakati mgumu, unapokaribia kufa moyo na kupoteza uhusiano wako na Bwana, umefaulu vipi kuwa imara?3. Je, ni vitu gani unavyohitaji lakini ni Mungu pekee anayeweza kukupa?

9

K U T E N G T Y CM A L I Z A U E HW O U G A H C S WG A N M A S H U AK A U K A I A M TI B U W U N Z A UJ N H A P A G T MA H A K B G U A AM O E I W N K W SH F B F D E G I HA U M A W T K C AK Y E S S U F A RP E T R O K B E AD I F F I C U L T

Siku 5 - Nachagua Kutegemea

"Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi; anayekaa ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa matunda mengi sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya lo lote." Yohana 15:5

Fungu la Biblia

Page 11: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

Chora vipande vinavyokosa katika fumbo.

Andika au kuchora hali katika maisha yako ambapo una nguvu na hali unazotaka kuwa na nguvu na hali ambazo ni ngumu.

Weka jina lako hapa

10

Alama zangu nzuri

Ni vigumu kwangu

Ninataka kukua

Page 12: Fungu la Biblia - Amazon S3...Pamba kila picha na mstatili wa neno na hisia iliyoonyeshwa. Andika mifano kutoka kwa maisha yako na kupamba na rangi na hisia unazohisi. Mfano: Kuogelea

Advanced Farm Swahili

"Yesu akawaambia, “Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.” Wakaacha nyavu zao mara

moja wakamfuata ....” Marko 1:17-18

www.ChildrenAreImportant.com [email protected] are located in Mexico00-52-592-924-9041