fursa kwa walio na mtaji mdogo

20
Namna ya Kutambua fursa Dunia ina fursa nyingi sana ambazo babu zetu hawakuzigundua. Tofauti ni mtazamo. Ili mtu afanikiwe ni lazima “afanye vitu kwa namna fulani”. Watu ambao hawafanikiwi katika maisha ni wale wenye ndoto ndogo. Ukiwa na ndoto ndogo hata ukipewa mtaji bado utaendelea kuwa chini. Je, ni wapi utapata ndoto kubwa? Leo nitakwambia ni namna gani unaweza kupata ndoto kubwa.

Upload: ysdo-and-map

Post on 23-Jan-2015

2.422 views

Category:

Documents


1 download

DESCRIPTION

Tanzania is abundant of opportunities for investment. We are calling the youth to unite with us to enjoy the advantages by excelling and becoming healthier and wealthier.

TRANSCRIPT

Page 1: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Namna ya Kutambua fursa

Dunia ina fursa nyingi sana ambazo babu zetu hawakuzigundua. Tofauti ni mtazamo. Ili mtu afanikiwe ni lazima “afanye vitu kwa namna fulani”. Watu ambao hawafanikiwi katika maisha ni wale wenye ndoto ndogo. Ukiwa na ndoto ndogo hata ukipewa mtaji bado utaendelea kuwa chini. Je, ni wapi utapata ndoto kubwa? Leo nitakwambia ni namna gani unaweza kupata ndoto kubwa.

Page 2: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Je, kuna idadi ya picha ngapi hapa?

Page 3: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Fursa huja kupitia Mlango wa NyumaNapoleon Hill anakwambia fursa zina tabia ya

kuja kupitia mlango wa nyuma na zinakuja zikiwa zimeambatana na vitu vingi kama vile wasiwasi, woga, hofu na dalili zote za kushindwa. Na hii ndio maana watu wengi hawaingii kwenye biashara. Hata hivyo wapo wanaoingia kwenye biashara lakini bado hawafanikiwi, na hii ni kwa sababu hawana uwezo wa kufanya vitu kwa “namna fulani”

Page 4: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Leo ni siku njema kwako……. Leo ni siku njema kwa kila mmoja wetu

maana ni siku ya kujifunza kufanya vitu kisayansi, maana mafanikio huja kwa kufanya vitu kisayansi (Doing things in a certain way). Pesa ni kitu muhimu katika maisha na kuna mtu kasema hivi “A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man”. Leo tutajifunza njia ya kutengeneza fedha.

Page 5: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Nini maana ya uhuru wa kipato?Unakuwa na uhuru wa kufanya biashara muda

unaotaka, mahali unapotaka na mtu unayemtaka.Utapata mafanikio licha ya uchumi kuwa juu au

chiniUtajipatia elimu ya kujitafutia kipato chako

mwenyewe kwa jitihada zako mwenyewe hivyo hata kama utapoteza kila kitu utakuwa na uhakika wa kukipta tena maana una elimu na unajua jinsi ulivyopata kitu hicho

Utakuwa tayari kufanya vitu vile unavyopenda wewe kufanya pasipo kulazimishwa na mtu mwingine

Page 6: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Utakuwa na uwezo wa kujipatia riziki yako pasipo kudhurika wewe au kumdhuru/kumhujumu mtu mwingine

Utakuwa na amri uongeze au uongeze kipato chako mwenyewe kwa hiari yako mwenyewe

Hutakuwa na mashaka/hofu yoyote kuhusu pesa

Utakuwa uhuru wa kusafiri popote utakapotaka na kuendelea kufanya biashara yako.

Page 7: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Ukiwa na uhuru wa kipato maana yake unamiliki maisha yakoJe, nini maana ya kumiliki maisha? Ukiondoa masaa yako ya kulala, muda wa

kusafiri, muda wa kazi na muda wa kufanya vitu vingine ambavyo mtu unaweza kuvifanya kila siku katika maisha yako, utajikuta huna zaidi ya saa moja hadi masaa mawili kwa siku kwa ajili ya kufanya vitu ambavyo unavipenda wewe kuvifanya katika maisha yako. Jaribu kufikiri endapo ungekuwa na pesa ya kutosha kukusaidia kufanya hayo yote ingekuwaje?

Page 8: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Je, unasumbuliwa na nini kati ya hivi?Kuhama kazi moja kwenda nyingine kwa ajili

ya kujiongezea maslahiUmemaliza masomo yako na unatafuta ajira

huku ukitafuta namna ya kufanya biashara kwa mtaji mdogo huku ukiendelea na zoezi la kutafuta ajira au kuacha kabisa kutafuta ajira

Una kipato kidogo sana hivyo huwezi kutimiza ndoto zako

Una akiba ndogo sana itakayokusaidia uishi kwa furaha na amani baada ya kustaafu

Page 9: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Una mtaji mdogo lakini ungependa kuanza biashara inayokua kwa haraka zaidi

Una biashara inaendelea lakini haiendani na ndoto ulizojipangia

Umekuwa ukisumbuka na shule lakini elimu yako haikusaidii kufanikisha malengo yako

Una ndoto lakini bado hujui namna gani unaweza kuiweka katika utekelezaji

Unatafuta watu wa kufanya nao biashara lakini hupatiUna pesa lakini bado huna hivyo unatumikishwa na

pesa yako mwenyewe badala yaw ewe kuitumikisha pesa yako

Page 10: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Namna ya kumiliki maisha yako Kuna njia moja rahisi ya “Kumiliki Maisha

Yako” inayofanywa kwa njia ya kujijengea biashara yako mwenyewe nyumbani kwako; na kuna njia rahisi kabisa ya kuifanya biashara hiyo pasipo uzoefu wala elimu yoyote ya darasani (Kila mmoja wetu anaweza kuifanya). Haihitaji mtu awe na uzoefu wa kufanya mauzo na haihitaji muda mwingi. Je, ungependa kujua zaidi?

Page 11: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Sina mtaji!!!!!!!!!!Hakuna mtu anazuiliwa kuwa tajiri kwa

sababu ya kukosa mtaji. Mtaji ni sehemu tu katika mchakato wa biashara. Kinachotakiwa ni kujitengenezea utaratibu wa kufanya mambo kwa namna fulani(sayansi).

Page 12: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Wallace D. Wattles No one is prevented from getting rich by lack

of capital. True, as you get capital the increase becomes more easy and rapid; but one who has capital is already rich, and does not need to consider how to become so. No matter how poor you may be, if you begin to do things in the Certain Way you will begin to get rich; and you will begin to have capital. The getting of capital is a part of the process of get-ting rich; and it is a part of the result which invariably follows the doing of things in the Certain Way.

Page 13: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Mtu anayefanikiwa…..Je, mtu anayefanikiwa ni yupi? Kuna mambo

matatu muhimu yatakayokufanya ufanikiwe na haya hayapatikani shuleni ila sehemu kama hii. Mambo hayo ni;

Motisha (motivation), Msukumo (inspiration) naFomyula sahili, rahisi, na iliyohakikiwa

(simple, easy and proven success formula) kufikia malengo.

Page 14: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Kufanikiwa katika biashara Sababu namba moja ya kwanini watu

hawaingii kwenye biashara na kwamba wakiingia hawafanikwi vile ipasavyo ni kwamba watu wengi bado hawajui biashara hivyo kuna umuhimu wa kuhudhuria mafunzo ya biashara kama haya.

Page 15: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Njia za kufanikiwa katika biasharaKuna njia mbili kuu za kufanikiwa katika biashara;1. Njia ya Kizamani (Traditional Marketing System)2. Modern Marketing System) Njia namba moja inahitaji mtaji mkubwa lakini

njia ya pili ni rahisi na haihitaji mtaji mkubwa. Hii inahitaji mtu ambaye yupo tayari na ana tamaa ya kumiliki biashara kubwa. Kuwa mfanya biashara mkubwa lazima ujitahidi kuajiri watu wasiopungua 500.

Page 16: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Mjasiriamali wa kisasaMjasiriamali wa kisasa analenga kumiliki

biashara kubwa. Kuna aina mbili za matajiri;1. Wafanyabiashara2. Wawekezaji Hii ni aina ya maisha ya watu waliopo katika

dunia, lakini sio wote wapo katika milango sahihi

Page 17: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Upo upande gani?

Page 18: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Endapo upo katika upande wa kushoto katika mchoro huo hapo basi lazima ujitahidi kuhama na kuingia katika upande huo wa kulia. Upande wa kulia utaufikia haraka endapo utaingia katika biashara inayokua haraka zaidi duniani, biashara isiyohitaji wewe kutumia nguvu bali akili. Haihitaji wewe uongee sana bali ujifunze kufanya vitu kwa namna fulani. Kuna timu ya watu waliojitoa kukufundisha wewe ufike pale unapotaka kufika.

Page 19: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Fursa yenyewe Biashara ya mtandao (MULTI-Level Marketing)

ni moja kati ya njia za kusambaza bidhaa ambayo inakua kwa haraka sana miaka hii, na wengi wamekuwa wakiita biashara ya karne ya 21.

Marketing- Ni namna ya usambazaji wa bidhaa au huduma kutoka kwa mzalishaji kwenda kwa mtumiaji.

Multi Level- Ni mfumo wa fidia inayotolewa kwa watu wanaosababisha bidhaa au huduma zinazozalishwa kusambaa

Multi- Zaidi ya mojaLevel-Usawa

Page 20: Fursa kwa walio na mtaji mdogo

Waweza wasiliana nasi kwa 0766626924 kwa ushauri zaidi The highest use of capital is not to make more

money, but to make money do more for the betterment of life.