ha ha haaa…tehe tehe….mwe…yaani tunaingia ikulu?

10
Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu? Aaagh…Lissu Vp? Watu wakisikia noma mkubwa. Ngee ngee…yuhuu, kama li komandoo fulani hivi, mtu mzima naingia Ikulu

Upload: ting

Post on 15-Jan-2016

45 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

Ngee ngee…yuhuu, kama li komandoo fulani hivi, mtu mzima naingia Ikulu. Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?. Aaagh…Lissu Vp? Watu wakisikia noma mkubwa. Masikini, yule dogo ana mba kichwani. Halafu hajala. - PowerPoint PPT Presentation

TRANSCRIPT

Page 1: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Aaagh…Lissu Vp?Watu wakisikia noma mkubwa.

Ngee ngee…yuhuu, kama li komandoo fulani hivi, mtu mzima naingia Ikulu

Page 2: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Hehehe…si mnaona makochi yake yalivyo magumu? ndiyo maana mshikaji huwa huwa hakai nchini?

Masikini, yule dogo ana mba kichwani. Halafu hajala

Mh..jamani mimi machale yananicheza. Hawa jamaa walivyo na makusudi, wanaweza kutuletea nyungo za mchele tuchambue hapa

Page 3: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Sasa Baregu wewe andika majina ya wenzako na vyakula watakavotumia Hee… kumbe

kuna kula….mimi nitakula Chips kuku

Yaani haka kajamaa, kananifurahisha kweli, kila raisakinunua nguo nako kananunua ili wafanane, basi nako kanajiona ka rais fulani hivi.

Page 4: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Tena rais yuleee, usimuangalia usoni moja kwa moja, anaweza huwa hapendi anaweza akatutoa nje

Aaah..poa nashukuru kwa kunitonya mwana.

Page 5: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Tehe tehe na wewe ndiyo unaitwa nani vilee?

Aah…mkuu inamaana mimi hunifahamu? Mimi si yule wa Bungeni, muulize welema, kombani na anna maspika.

Okeey…nimekumbuka, ikifika zamu yako kuongea TBC huwa wanzimaga matangazo. Nilipowauliza kwa nini wakasema huwa unatakanaga.

Page 6: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Mxzyxz….majuice ya kazi gani? Watu tulijua leo ni makuku tu

Hii siinywi mimi hii, nitaishikilia mpaka tunapoondoka nairudisha

Ukitaka ku…..Usimuangalie usoni

Page 7: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Hii ndiyo nini hii….mbona yapo mengi hivi

Aaaah wewe soma tu humo mzee si imeandikwa kila kitu?

Angejua mimi ninavyochukia kusoma mineno mingi mingi!

Page 8: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Acha maisha yako ya kwenye Sinema Dogo, yaani kuvaa Magwanda ndiyo unajitanua na kuniminya mkono hivi? Mwenyewe unajiona Komando Joohn au?

Tehe the…mheshimiwa rais bwana…kamshitukia mshikaji Aikaeli.

Tehe tehe…si unajua tena, mambo ya picha mzee…wengine tuna mashabiki nje

Page 9: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Mkimaliza kusalimiana na mimi naomba nimsalimie mheshimiwa waziri

Bila ya kuvunja ukimya hapa unaweza kuondoka ikulu bila kushikana mkono na yeyote.

Page 10: Ha ha haaa…tehe tehe….mwe…Yaani tunaingia Ikulu?

Hizi Picha za kupiga na rais ndiyo za kuombea mafungu kwa wafadhili Yaani mimi hapa naona

maluwe luwe tu..

Yaani mimi ndiyo naweza kuwa bonge la poyoyo, yaani hapa nilipo hata sijui kwa nini nacheka cheka..