hali nzuri ya akili ni nini? - pudasjärvi...hali nzuri ya akili ni matokeo ya mambo yote yanayo...

4

Upload: others

Post on 29-Aug-2020

13 views

Category:

Documents


2 download

TRANSCRIPT

Page 1: HALI NZURI YA AKILI NI NINI? - Pudasjärvi...Hali nzuri ya akili ni matokeo ya mambo yote yanayo athiri mais-ha ya mtu. Mara nyingi akili inajaa kwa mfano kwa sababu ya hali ya dharura
Page 2: HALI NZURI YA AKILI NI NINI? - Pudasjärvi...Hali nzuri ya akili ni matokeo ya mambo yote yanayo athiri mais-ha ya mtu. Mara nyingi akili inajaa kwa mfano kwa sababu ya hali ya dharura

HALI NZURI YA AKILI NI NINI?Hali nzuri ya akili ni matokeo ya mambo yote yanayo athiri mais-ha ya mtu. Mara nyingi akili inajaa kwa mfano kwa sababu ya hali ya dharura. Akili inaporuka dalili zinaweza kufika mwenye mwili mwote. Ni muhimu kujitunza na kupata matunzo yanayofaa.

MFUMO WA MAISHA NA HALI NZURI YA AKILIMfumo wa maisha nzuri inaleta hali nzuri ya akili. Lishe ya mara kwa mara, mazoezi ya mwili na usingizi wa kutosha inasaidia kwenye ku-tawala mfadhaiko.

Wasiliana na watu wengine na ingia kwenye vikundi mbali mbali za vi-burudiko vya Pudasjärvi. Uliza taarifa zaidi kuhusu vikundi mbali mbali vya viburudiko kutoka shirika za aina mbali mbali, taasisi ya wanainchi, Ofisa wa Ustawi wa Jamii au Mtunzi wa Afya.

TAARIFA KUHUSU DALILIDalili za mfadhaiko lililo sababishwa na kiwewe ni kwa mfano kuto-kuweza kulala, kuota ndoto mbaya au kutokuweza kutafakari. Dalili zin-gine zinaweza kuwa dhiki, kukasirika kwa haraka, maumivu ya tumbo au dalili zingine za kimwili.

Kiwewe kinaweza kusababishwa na kwa mfano ajali, kupata ugonjwa, kukuta uhasama, vita, kifo cha mtu wa karibu au taarifa kuhusu hatari inayomtisha mtu wa karibu.

Mfadhaiko za dhiki ni matatizo za kawaida ya akili. Maana ya dhiki ni ku-sisimua kwa ndani, kutokutulia, kusikia kuogofya au kushikwa na hofu.

Kwenye utunzaji wa matatizo ya akili inatumiwa kujiponyesha mwe-nyewe, matunzo ya madawa na aina nyingi ya matibabu ya kisaikolojia.

Page 3: HALI NZURI YA AKILI NI NINI? - Pudasjärvi...Hali nzuri ya akili ni matokeo ya mambo yote yanayo athiri mais-ha ya mtu. Mara nyingi akili inajaa kwa mfano kwa sababu ya hali ya dharura

UWE MTENDAJI NA SHIRIKISoma zaidi kuhusu mambo yanayo saidia kuwa na hali nzuri ya akili: www.mielenterveysseura.fi/fi/julisteet/mielenterveyden-käsi

JENGA HALI NZURI YA AKILIUzingatie uwe na hali nzuri, furahia kuhusu maisha.

Sisimka kuhusu mambo mapya. Uwe mtendaji na wasiliana na wengine.

Ongea kuhusu maono na hisi zako. Fanya mazoezi ya mwili. Usipoteze tumaini lako. Omba msaada ukihitaji.

Picha: Marja-Liisa Hiironen

Page 4: HALI NZURI YA AKILI NI NINI? - Pudasjärvi...Hali nzuri ya akili ni matokeo ya mambo yote yanayo athiri mais-ha ya mtu. Mara nyingi akili inajaa kwa mfano kwa sababu ya hali ya dharura