historia ya muungano
TRANSCRIPT
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
1/14
HISTORIA YAMUUNGANO WA
TANGANYIKA NA
ZANZIBARHistoria, sababu na Hati zaMuungano
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwamnamo tarehe 26 Aprili 1964 wa Muunganowa Tanganyia na !anzibar inayo"umuisha#isiwa $ya %emba na &ngu"a
27/05/2009
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
2/14
HISTORIA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili,
1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar inayo!umui"ha
#i"iwa $ya %emba na &ngu!a'( Tanganyika ilikuwa ni mwendelezo wa
koloni la &!erumani, utawala wa )aingereza kwa Mamlaka ya &mo!a
wa Matai*a, +imaya ya &mo!a wa Matai*a hini ya utawala wa
&ingereza na mwi"ho Tai*a huru kuanzia mwaka 1961 ndani ya nhi
za Jumuiya ya Madola(
Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya )atu wa Zanzibar ziliingia
mkataba wa Muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzi"hwa -ola ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania( Mkataba huu wa Muungano
ulitiwa "aini na aliyekuwa .ai" wa Tanganyika, +ayati Mwalimu
Juliu" /yerere na aliyekuwa .ai" wa Zanzibar, +ayati 0heikh Abeid
Amani arume tarehe 22 Aprili 1964 huko Zanzibar( Mkataba huo
ulithibiti"hwa na unge la Tanganyika na araza la Mapinduzi hapo
tarehe 26 Aprili, 1964 na mnamo tarehe 23 Aprili, 1964, $iongozi wa
nhi zote mbili walikutana katika ukumbi wa arim!ee Ji!ini -ar e"
0alaam na kubadili"hana +ati za Muungano( 0heria za Muungano
zilitoa tamko la Jamhuri ya Muungano katika bara ya 4 kwamba5
Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar zitalazimika,
baada ya kuungana na siku zote baada ya kuungana, kuunganishwa
kuwa Dola ya Jamhuri kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika
na Zanzibar (bara ya ! "heria za Muungano#
2
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
3/14
Jina hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar7
lilibadili"hwa baadae mnamo tarehe 28 ktoba, 1964 na kuwa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia 0heria ya Jamhuri ya
Muungano, 0heria namba 61 ya mwaka 1964(
)atanganyika kama ili$yokuwa kwa wananhi wa nhi nyingine za
kia*rika, hawakukubaliana hata kidogo na utawala wa kikoloni( Tangu
mwanzo waliwapinga na kupigana na wa$amizi wa kikoloni, upinzani
mkubwa ukionye"hwa na )a"ambaa wakiongozwa na imweri dhidi
ya )a!erumani, )ahehe wakiongozwa na Mkwawa kupigana
$ihungu na $ire*u dhidi ya )a!erumani na wakati wa $ita $ya Ma!i
Ma!i hini ya uongozi wa in!ekitile, Mputa na iba"ila(
uko"ekana kwa umo!a kati ya wapigania uhuru hawa wa mwanzo
na uimara wa ma!e"hi ya wakoloni na "ilaha bora za moto
kulidhoo*i"ha mapambano haya ya uhuru na ku"ababi"ha ha"ara
kubwa na kupoteza mai"ha ya watu(
ama ili$yokuwa kwenye makoloni mengi ya ia*rika, hi"ia za &tai*a
ziliendelea kuimarika katika Tanganyika baada ya mwaka 194:(
Alama za utai*a zili"haanza kuonekana punde baada ya $ita kuu ya
kwanza ya dunia kwa kuanzi"hwa kwa $yama mbalimbali $ya
)aa*rika kwa upande wa Tanganyika na Zanzibar( wa upande wa
Tanganyika, A*rian A""oiation ilianzi"hwa mwaka 1929 kama
kikundi ha mi!adala baina ya wa"omi na ilipo*ika mwaka 1948
hama hiki kikawa Tanganyika A*rian A""oiation TAA'( aada ya
$ita ya %ili ya -unia, wanahama wa Tanganyika A*rian A""oiation
3
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
4/14
TAA' waliendeleza wimbi la utai*a( Mwaka 19:; hini ya uongozi wa
Mwalimu /yerere, TAA ilitambuliwa kama hama ha "ia"a na
kuelekea mo!a kwa mo!a kuanzi"hwa kwa TA/& mwaka 19:4
iliyotumika kama hombo ha ki"ia"a ha watu katika kutoa $ilio $yao
$ya kudai uhuru( uanzi"hwa kwa TA/& mwaka 19:4, ulikuwa ndio
mwanzo wa mbio za kupigania uhuru( aada ya miaka "aba ya
mapambano ya ki"ia"a, Tanganyika ilikuwa huru hini ya hama ha
TA/&,kilihoimari"hwa na $yama $ya wa*anyakazi na $ya u"hirika(
wa upande wa Zanzibar, himbuko la Jumuiya ya )aa*rika ilikuwa
ni $ilabu $ya mpira wa miguu $ili$yoanzi"hwa mwanzoni mwa miaka
ya 19;
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
5/14
na kuunda hama kilihoitwa A*ro= 0hirazi &nion ambaho baadae
kiliitwa A*ro=0hirazi %arty hini ya uongozi wa 0heikh Abeid Amani
arume( Mwalimu /yerere ali"hiriki katika mkutano huu( likuwa
tarehe hama ha Z/% baada ya ku"hindwa uhaguzi, kilianzi"ha
kampeni za ku"hawi"hi wenye ma"hamba na mabepari wengine
wenye kumiliki n!ia kuu za uhumi, kuwa*ukuza kazi au kutowaa!iri
wa*ua"i wa A0%( +alikadhalika, >hama ha Z/% kiliwata*utia kazi na
kuwabaki"ha ma"hambani )aa*rika wote waliokubali kukiunga
mkono( )akati wa m$utano huo wa ki"ia"a kati ya A0% na Z/%
ikipamba moto, kuli!itokeza to*auti miongoni mwa $iongozi wa A0%(
To*auti hizo zilihangiwa na uroho wa madaraka, ubina*"i na
kutokuwa na m"imamo imara miongoni mwa baadhi ya $iongozi wa
hama hiho( +alikadhalika 0erikali ya 0ultani nayo ilihohea
migogoro hiyo ili i!inu*ai"he ki"ia"a( Migogoro hiyo ilipelekea ku!itoa
kwa baadhi ya #iongozi wa A0% ambao wali*anya mkutano na
baadhi ya wana"ia"a ma"huhuri wa A0% huko %emba /o$emba,
19:9 na kukubaliana kuanzi"ha >hama kipya ha "ia"a haZanzibar
and &emba &eo'les &artyZ%%%' na 0heikh Muhammed 0hamte
kuwa Mwenyekiti( )akati $yama $ya A0%, Z/% na Z%%% $ikiwa
katika malumbano makali ya ki"ia"a, 0erikali ya ikoloni ili*anya
5
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
6/14
matayari"ho ya uhaguzi wa pili( &haguzi uli*anyika tarehe 16
Januari, 1961 na "iku mo!a kabla ya uhaguzi huo 0erikali ilitangaza
kuwa hama kitakaho"hinda kitaunda 0erikali na )izara zote
zitakuwa hini yake( atika uhaguzi huo A0% ili"hinda kwa kupata
$iti 1
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
7/14
watumwa kwa uzali"ha!i wa maligha*i kwa a!ili ya $iwanda $yao
&laya, halikadhalika kutokana na Mapinduzi ya #iwanda &laya
yali"ababi"ha )aingereza ku!a kuta*uta "oko kwa a!ili ya bidhaa zao(
)aingereza wali*ikia makubaliano na 0ultani mwaka 1822 ili
kukome"ha bia"hara ya utumwa, lakini ilihukua zaidi ya miaka :on"titution deree"'( atiba ya Tanganyika baada
ya ku*anyiwa marekebi"ho iliendelea kutumika kama atiba ya
Muungano wakati ule wa mpito, kuanzia tulipoungana hadi
ilipopiti"hwa atiba ya Muungano kwa mu!ibu wa Makubaliano ya
Muungano na 0heria za Muungano( Aidha, marekebi"ho hayo
yalimta!a .ai" wa Zanzibar kuwa ni Makamu wa kwanza wa .ai",
akiwa ni m"aidizi wa .ai" kwa ma"uala yote ya kiutawala kwa
upande wa Zanzibar, na )aziri Mkuu kuwa ni Makamu wa %ili wa
.ai" ambaye atam"aidia .ai" kwa ma"uala yahu"uyo upande wa
Tanganyika na kiongozi wa "hughuli za 0erikali ungeni(
atiba ya muda ya mwaka 196: ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania iliaini"ha mambo kumi na mo!a 11' ambayo yalikubalika
kuwa ni ya Muungano hini ya u"imamizi wa 0erikali ya Muungano(
Mambo hayo ni
11
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
12/14
atiba na 0erikali ya Muungano
Mambo ya /hi za /!e
&linzi
%oli"i
Mamlaka !uu ya mambo yanohu"ika na hali ya hatari
&raia
&hamia!i
Mikopo na ia"hara ya /hi za /!e
&tumi"hi katka 0erikali ya Jamhuri ya Muungano
odi ya Mapato inayolipwa na watu bina*"i na ma"hirika,
u"huru wa *orodha na u"huru wa bidhaa zinazotengenezwa
nhini Tanzania unao"imamiwa na dara ya Borodha(
andari mambo yanayohu"ika na u"a*iri wa anga, po"ta na
"imu(
atiba ya muda ya mwaka 196: ilianiaini"ha utawala wa 0erikali yam*umo wa hama kimo!a, TA/& kwa ara na A0% kwa Zanzibar(
atiba hii, ilizingatia mi"ingi ya Makubaliano ya Muungano ya mwaka
1964 na 0heria za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar( atiba ya
muda ya mwaka 196: iliaini"ha 0erikali mbili, &wakili"hi wa Zanzibar
katika unge la Muungano na uongozi wa 0erikali ya Zanzibar(
0erikali ya Muungano ikiwa na mamlaka !uu ya mambo yote ya
Muungano na mambo yote ya"iyo ya Muungano kwa upande wa
Tanganyika( 0erikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa na mamlaka !uu
ya mambo yote ya"iyo ya Muungano yahu"uyo Zanzibar(
12
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
13/14
KUONGEZEKA KWA MAMBO YA MUUNGANO
Mambo ya Muungano yaliongezeka kutoka kumi na mo!a 11' hadi
i"hirini na mbili 22' kutokana na mahita!i ya ndani ya wananhi
yaliyolenga kuunganika kwa mambo mengi zaidi pamo!a na
mabadiliko yaliyokuwa yanaendelea kutokea ulimwenguni baada ya
Muungano(
Mwaka 196:, !ambo la kumi na mbili linalohu"u Mambo yote
yanayohu"ika na "ara*u na *edha kwa a!ili ya malipo yoyote halali
pamo!a na noti' mabenki pamo!a na mabenki ya kuweka akiba' na
"hughuli zote za mabenki *edha za kigeni na u"imamizi !uu ya
mambo yanayohu"ika na *edha za kigeni liliongezeka hini ya atiba
ya muda ya mwaka 196:( 0ababu kubwa ilikuwa ni kuwa na "ara*u
ya pamo!a ya Tanzania baada ya Muungano, na kurahi"i"ha
u"imamizi wa *edha za kigeni na mabenki katika Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania(
Aidha, ku*uatia kuundwa kwa Jumuiya ya A*rika Ma"hariki mwaka
1963, mambo matatu ya Muungano yaliongezwa, ambayo ni Ee"eni
za $iwanda na takwimu elimu ya !uu na u"a*iri na u"a*iri"ha!i wa
anga(
Mwaka 1968, mambo ya malia"ili ya ma*uta, pamo!a na ma*uta
ya"iyohu!wa ya motokaa na ama ya petrol na aina nyinginezo za
ma*uta au bidhaa na ge"i a"ilia yaliongezwa kwenye orodha ya
mambo ya Muungano(
13
-
7/25/2019 Historia Ya Muungano
14/14
Aidha mambo ya Muungano yaliendelea kuongezeka hadi ku*ikia 21
ku*uatia ku$un!ika kwa iliyokuwa Jumuiya ya A*rika Ma"hariki mwaka
1933( Mambo yote yaliyokuwa ya upande wa Tanganyika na
Zanzibar yaliyokuwa yaki"imamiwa na Jumuiya ya A*rika Ma"hariki,
yalikabidhiwa kwa 0erikali ya Muungano(
Mwaka 1992 ku*uatia mabadiliko ya m*umo wa "ia"a nhini "uala la
i"hirini na mbili la uandiki"ha!i wa $yama $ya "ia"a na mambo
mengine yanayohu"iana na$yo liliongezwa kwenye orodha ya
mambo ya Muungano(
14