hotuba ya bajeti ofisi ya rais final.doc

Upload: anonymous-x8qgwff

Post on 05-Jul-2018

253 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    1/15

    HOTUBA YA MAONI YA KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA

    VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA KUHUSIANA NA MAKADIRIO

     YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NCHI, OFISI YARAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI KWA

    MWAKA WA FEDHA 2016/2017

    M!"#!$%$&' S($)',

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa utukufu,

    kwa kutujaalia uzima na Afya njema tukaweza kukutana tena

    katika Baraza hili la Tisa kwa ajili ya kuendelea kuwatumikia

    wananchi wetu, aidha kukushukuru na kukupongeza wewe

    Mheshimiwa Spika kwa kuchaguliwa kwako kuliongoza Baraza hili

    tukufu, ni imani yangu kwamba utaliongoza Baraza hili kwa

    uadilifu wa hali ya juu na kuimarisha emokrasia katika chombo

    hiki muhimu cha wananchi!

    M!"#!$%$&' S($)',

    Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wawakilishi wote

    waliomo katika Baraza lako Tukufu kwa kuchaguliwa kwao kuja

    kuwawakilisha wananchi, ni wazi kwamba wananchi wamejenga

    imani kubwa kwetu, nasi ahadi yetu kwao ni kwamba

    tutawatumikia kwa dhati kama amba"yo wali"yotuamini kutuleta

    katika chombo hichi kwa lengo la kutetea maslahi yao!

    M!"#!$%$&' S($)',

    Sina budi pia kumshukuru #aziri wa Nchi, $%si ya &ais na

    Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na watendaji wake wote

    wakiongozwa na 'atibu Mkuu kwa mashirikiano waliyotupatia

    wakati wa kupitia makadirio ya Bajeti ya #izara hii lakini pia

    nawashukuru #ajumbe wa 'amati yetu kwa umoja wao na kazi

    nzuri waliyoifanya kiasi cha kunirahisishia kazi yangu ya kuongoza

    kikao kuwa nyepesi zaidi, kwa hakika ni wajumbe mahiri, ambapo

    licha ya upya wao katika Baraza hili na hususan katika 'amati hii

    ( ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    2/15

    wameweza kuijadili ipasa"yo na kuhoji mambo mbali mbali kwa

    lengo la kuhakikisha kwamba fedha wanazoidhinisha zinatumiwa

    kwa matumizi yaliokusudiwa!

    M!"#!$%$&' S($)','wa heshima ya hali ya juu napenda kuwatambua #ajumbe hao

    kwa majina kama hi"i ifuata"yo+

    (! Mheshimiwa $mar Seif Abeid

    Mwenyekiti-! Mheshimiwa *anya Ali Abdalla

    M.Mwenyekiti/! Mheshimiwa Amina 0ddi Mabrouk

    Mjumbe1! Mheshimiwa 2ussein 0brahim Makungu Mjumbe3! Mheshimiwa Mohammed Said Mohammed Mjumbe4! Mheshimiwa Mussa Ali Mussa

    Mjumbe5! Mheshimiwa Mtumwa Suleiman Said

    Mjumbe6! Mheshimiwa Simai Mohammed Said

    Mjumbe

    Aidha kamati yetu inafanyakazi na makatibu wawili ambao kwa

    kiasi kikubwa wamekuwa wakitusaidia sana katika kutekeleza

    majukumu yetu, makatibu hao ni+

    (! Ndg Maryam &ashid Ali 'atibu-! Ndg $thman Ali 2aji 'atibu

    M!"#!$%$&' S($)',

    0kumbukwe kwamba miongoni mwa majukumu ya msingi ya

    'amati yetu ni kuchambua mapendekezo ya Serikali kuhusu

    makadirio ya #izara husika ya mapato na matumizi ya kila

    mwaka, hi"yo katika kutekeleza jukumu hilo lililoelezwa katika

    kanuni ya ((17e8 kamati yangu ilikaa na kujiadili na hatimae

    kupitisha Makadirio ya $%si ya &ais na Mwenyekiti wa Baraza la

    - ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    3/15

    Mapinduzi mnamo tarehe (9.93.-9(4 na leo hii kwa ruhusa yako

    na kwa niaba ya 'amati nawasilisha maoni ya 'amati kuhusiana

    na Bajeti hiyo!

    M!"#!$%$&' S($)',

    Baada ya utangulizi huo mfupi sasa naomba nitekeleze jukumu

    nililopewa na 'amati la kuwasilisha maoni ya 'amati yetu hapa

    mbele ya Baraza lako tukufu moja kwa moja!

    KUHUSU MFUMO WA BA*ETI WA PBB

    Serikali ya Mapinduzi ya :anzibar kuanzia mwaka wa fedha-9(3.-9(4 imeanzisha mfumo wa bajeti unaozingatia programu

    yaani *rogram Based Budget 7*BB8 ambapo kwa bajeti hii itakuwa

    ni kipindi cha pili kutekelezwa, licha ya kuwa ilishaanza

    kutekelezwa kwa mwaka wa fedha uliopita bado mfumo huu

    unabakia kuwa mpya kwa #ajumbe wako ukizingatia kwamba

    asilimia kubwa ya #ajumbe wa Baraza hili ni wapya hi"yo mfumo

    huu wa *BB imekuwa ni changamoto kwao kuweza kuufahamu

    kwa gha;a na kupelekea ugumu kidogo kuweza kumudu kufanya

    uchanganuzi wa "itabu "ya Bajeti "ili"yoletwa katika kamati zako,

    sambamba na hilo #ajumbe hawakupatiwa mafunzo ya kutosha,

    lakini hata hi"yo wamejitahidi kadiri ya uwezo wao kuweza

    kuchambua bajeti hiyo kwa msaada wa makatibu wetu ambao

    kwa kweli tunawashukuru sana!

    M!"#!$%$&' S($)',

    $%si ya &ais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mwaka

    wa fedha -9(4.-9(5 ina mafungu 7"ote8 mawili ambayo ni A9( na

    A9- na imepanga kutekeleza *rogram kuu tano zenye *rogramu

    ndogo (1 ambazo kwa ujumla

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    4/15

    shirikiano wa kikanda, kimataifa na uratibu wa

    #azanzibari wanaoishi nchi za Nje 7iaspora8!/! *rogramu ya >tawala na >endeshaji wa $%si ya &ais 0kulu!

    *rogram ndogo ni hizi zifuatazo+

    0! *rogramu ndogo ya uratibu wa shughuli za Mheshimiwa

    &ais00! *rogramu ndogo ya kuimarisha mawasiliano baina ya

    Mheshimiwa &ais na #ananchi000! *rogramu ndogo ya kuiwakilisha Serikali ya Mapinduzi ya

    :anzibar katika mikutano ya kikanda na kimataifa0?! *rogramu ndogo ya uratibu wa Serikali ya Mapinduzi

    :anzibar katika masuala ya iaspora?! *rogram ndogo ya uratibu na usimamizi wa shughuli za

    $%si ya &ais 0kulu?0! *rogram ndogo ya uratibu wa shughuli za Mipango, Sera

    na uta%ti za o%si ya &ais na Mwenyekiti wa Baraza la

    Mapinduzi?00! *rogram ndogo ya 'uratibu na kusimamia shughuli za

    uratibu na usimamizi wa shughuli za $%si ya &ais 0kulu na

    Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi *emba?000! *rogramu ndogo ya usimamizi wa usalama wa watumishi

    wa >mma0@! *rogramu ndogo ya ufuatiliaji na tathmini ya Sera na

    Maamuzi ya Serikali

    PROGRAMU YA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA MHESHIMIWA

    RAIS NA KUIMARISHA MAWASILIANO IKULU

    M!"#!$%$&' S($)',

    1 ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    5/15

    *rogramu hii ina ukumu la kusimamia shughuli za Mheshimiwa

    &ais pamoja na kuimarisha Mawasiliano, programu hii ina

    programu ndogo mbili ambazo ni programu ndogo ya uratibu wa

    shughuli za Mheshimiwa &ais ambayo imetengewa shilingi

    -,445,99/,999 7Bilioni mbili,mia sita sitini na saba Milioni, na elfutatu8 na shughuli zinazotarajiwa kutekelezwa ni pamoja na

    kufuatilia ahadi na maagizo ya Mheshimiwa &ais, kuratibu ziara za

    ndani na za nje za Mheshimiwa &ais, kutoa "iburudishaji kwa

    wageni wa Mheshimiwa &ais, kuchapisha hotuba na mambo

    mengine ya Mheshimiwa &ais, na kutoa zawadi kwa wageni wa

    Mheshimiwa &ais!

    M!"#!$%$&' S($)',

     *rogramu ndogo ya pili ni ya kuimarisha mawasiliano baina ya

    Mheshimiwa &ais na #ananchi ambayo imepangiwa shilingi

    -99,/3(,999 7Milioni mia mbili, laki tatu na hamsini na moja elfu8

    na shughuli zinazotarajiwa kutekelezwa kwa fedha hizo ni pamoja

    na kutayarisha, kuchapisha na kusambaza 'alenda za $%si ya

    &ais, kutayarisha, kuchapisha na kusambaza arida la 0kulu,

    "ipeperushi na machapisho mengine, kuimarisha to"uti ya 0dara

    ya Mawasiliano, 'wa ujumla programu kuu ya kusimamia shughuliza Mheshimiwa &ais imepangiwa kutumia shilingi -,645,/3/,999

    7Bilioni mbili, mia nane sitini na saba Milioni, laki tatu hamsini na

    tatu elfu8!

    M!"#!$%$&' S($)',

    'amati yetu imeridhika na makadirio yaliopangwa katika

    programu hii na ilipendekeza mambo mbali mbali ambayo

    yatakapozingatiwa yataboresha kwa kiasi kikubwa kumtangaza&ais wetu na kumfanya awe karibu zaidi na wananchi wake

    waliopo hapa nchini lakini pia hata wanaoishi nchi za nje, 'wanza

    'amati yangu katika kuona mawasiliano yanaimarika baina ya

    &ais wetu na wanachi ni "yema 0dara ya Mawasiliano, mbali na

    kusambaza majarida na kalenda, imtangaze &ais kwa kutumia

    3 ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    6/15

    mfumo wa kisasa wa teknolojia na Mawasiliano kwa kutumia njia

    zinazoendana na dunia ya leo 7New Media8 kama "ile facebook,

    twitter, youtube mfano clips muhimu za &ais, shorts clips za

    sekunde /9 hadi sekunde 13 kwa ajili ya whatsApp, ili watu waone

    shughuli anazozifanya Mheshimiwa &ais, pamoja na kutambulikakatika ulimwengu mzima na kwa jinsia zote na rika zote!

    M!"#!$%$&' S($)',

    Aidha 'amati yetu inashauri kwamba Mheshimiwa &ais

    angelikuwa na utaratibu wa kuwaalika na kukaa pamoja na

    wawekezaji, wafanyabiashara na wadau mbali mbali wa

    maendeleo kwa lengo kuzungumza na badilishana nao mawazo

    lakini pia kuwashukuru wale ambao wamekuwa wakiisaidia nchiyetu kwa njia moja au nyengine, ambo hili linaweza kuongeza

    hamasa kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza zaidi

    katika sekta mbali mbali! Aidha pale ambapo kunatokezea mgeni

    mashuhuri ambae atastahiki kupewa zawadi basi zawadi

    atakayopewa iwe ni zawadi yenye asili na iliyotengenezwa kwa

    ubunifu na iambatanishwe pamoja na historia ya mtengenezaji, ili

    kuhakikisha kuwa Mgeni anapopewa zawadi hiyo basi anapata

    kujua historia ya :anzibar ambayo wanaweza kuwekakumbukumbu katika makumbusho yao lakini pia itaitangaza nchi

    katika masuala ya utalii!

    PROGRAMU YA USHIRIKIANO WA KIKANDA, KIMATAIFA NA

    URATIBU WA WAZANZIBARI WANAOISHI NCHI ZA N*E

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogramu hii ina lengo la kuiwezesha :anzibar kushiriki katika

    mikutano ya kikanda na kimataifa, na kuwashirikisha ipasa"yo

    #azanzibari wanaoishi nje ya nchi katika maendeleo ya kiuchumi

    na kijamii ya nchi yao! *rogramu hii ina programu ndogo mbili

    ambazo ni programu ndogo ya kuiwakilisha Serikali ya Mapinduzi

    ya :anzibar katika mikutano ya kikanda na kimataifa ambayo

    imepangiwa kutekelezwa kwa shilingi -41,45/,999 7Mia mbili sitini

    4 ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    7/15

    na nne Milioini, laki sita na sabini na tatu elfu8 ambapo miongoni

    mwa shughuli zitakazofanywa ni pamoja na kuimarisha ushiriki wa

    Serikali ya Mapinduzi ya :anzibar katika mikutano ya kikanda,

    kuendesha "ikao "ya ndani "ya kisekta kwa Serikali ya Mapinduzi

    ya :anzibar, kushiriki katika mikutano ya mashauriano ili kupatamsimamo mmoja wa Serikali ya amhuri ya Muungano wa

     Tanzania, kushiriki katika mikutano ya kikanda nje na ndani ya

    nchi na kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa mtengamano

    wa umuiya za kikanda!

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogramu ndogo ya pili ni ya uratibu wa Serikali ya Mapinduzi

    :anzibar katika masuala ya iaspora, ambayo imepangwakutekelezwa kwa shilingi -/=,615,999 7Mia mbili thelathini na tisa

    milioni, laki nane na arobaini na saba elfu8 na shughuli

    zilizopangwa kutekelezwa ni pamoja na kushiriki katika mkutano

    wa mashauriano wa iaspora na 0dara inayoshughulikia masuala

    ya iaspora ar es Salaam, kutoa elimu kwa jamii juu ya dhana

    ya iaspora na umuhimu wake,kushiriki mkutano wa wadau wa

    Maendeleo kujadili ajenda za iaspora, kuandaa kongamano la

    #atanzania wanaoishi nchi za nje na kusimamia shughuli za kilasiku za 0dara ya >shirikiano wa kimataifa na uratibu wa iaspora!

    'wa ujumla *rogramu ya >shirikiano wa 'ikanda, 'imataifa na

    >ratibu wa #azanzibari wanaoishi Nchi za Nje imekadiriwa

    kutekelezwa kwa shilingi 391,3-9,999 7Milioni mia tano na nne,

    laki tano na ishirini elfu8!

    M!"#!$%$&' S($)',

    'atika kuona azma ya kuwepo kwa idara ya uratibu wawazanzibari wanaoishi nchi za nje inazaa matunda, kamati yangu

    inashauri kwamba wafanyakazi wote wanaokwenda ziara nchi za

    nje au kushiriki mikutano nchi za nje wawasilishe ripoti za ziara au

    safari hizo kwa ujumla wake Serikalini ili ripoti hizo zifanyiwe kazi

    ili kuleta mafanikio kwa taifa letu, sambamba na hilo safari hizo

    5 ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    8/15

    ziweze kuleta tija ya kuibua miradi mbali mbali kutoka kwa

    wahisani lakini pia, wanapokwenda huko waitangaze "yema nchi

    yetu ili wawekezaji wa"utike kuja kuwekeza katika sekta mbali

    mbali!

    M!"#!$%$&' S($)',

    'amati yetu katika suala zima la safari za nje wanazokwenda

    mawaziri na watendaji mbali mbali wa Serikali inataka kusisitiza

     juu ya ripoti hizo wanazoziwasilisha Mawaziri husika katika

    Baraza la Mawaziri ziambatane na ripoti za utekelezaji wake ili

    tuone tija ya kweli inapatikana kwa nchi yetu, aidha kamati

    ilitaka kujua juu ya ziara za ?iongozi wakuu wa amhuri ya

    Muungano wa Tanzania wanaposa%ri kwenda safari za nje nakushauri kwamba wakati "iongozi hao wanaposa%ri ni "yema

    wakajitayarisha na kuzingatia faida pamoja na fursa

    watakazozipata ziinufaishe na :anzibar!

    M!"#!$%$&' S($)',

    Aidha kamati iliishauri Serikali kuwa na mashirikiano ya karibu na

    Serikali ya amhuri ya Muungano wa Tanzania hasa katika #izara

    ambazo hazihusiani na Muungano lakini zenye sura ya'imuungano kwa mfano Afya, limu, >talii nk! 'amati pia ilihoji

     juu ya uhusiano uliopo baina Comoro na :anzibar hususan katika

    suala la 'ampuni inayoitwa hairu ambayo ni kampuni ya u"u"i

    iliyokuwa ije kuwekeza :anzibar katika masuala ya uhifadhi wa

    Samaki ambapo 'amati ilipatiwa taarifa kwamba mipango

    inaendelea katika kufanikisha mradi huo!

    PROGRAMU YA UTAWALA NA UENDESHA*I WA OFISI YA

    RAIS IKULU

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogramu hii ina malengo ya kuimarisha shughuli za mipango,

    kuandaa na kuchambua sera na uta%ti pamoja na kuimarisha

    uwezo wa kiutendaji na uratibu wa shughuli za $%si ya &ais 0kulu,

    6 ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    9/15

    program hii ina program ndogo tano,ambazo ni program ndogo ya

    uratibu na usimamizi wa shughuli za $%si ya &ais 0kulu, ambayo

    imepangiwa kutekelezwa kwa shilingi (,(-4,/-4999 7Bilioni moja,

    mia moja ishirini na sita milioni, laki tatu na ishirini na sita elfu8

    ambazo zinakadiriwa kutumika katika shughuli za kusimamiauendeshaji wa $%si ya &ais 0kulu kwa kulipa mishahara, kununua

    "ifaa "ya usa%ri, kuboresha na kukarabati "itendea kazi, o%si na

    Majengo, kutoa huduma za kiutawala, kutoa mafunzo kwa

    waajiriwa wapya (- na nyenginezo kama zina"yoonekana katika

    kitabu cha makadirio ya Mapato na Matumizi ya cha mwaka

    -9(4.-9(5!

    M!"#!$%$&' S($)',

    'atika program ndogo hii 'amati yangu inashauri kwamba ili

     jengo la 0kulu ya Mnazi Mmoja liweze kuwa na haiba na m"uto

    zaidi kwa shughuli za Mheshimiwa &ais, ni "yema lifanyiwe

    ubunifu katika sehemu yake ya nyuma iliyo mkabala na bahari

    kwa kujengwa jet ambayo itaingia katika eneo la ufukwe wa

    bahari uliopo na kusani%wa katika mtindo wa utamamduni wetu

    ambao sehemu hiyo ataitumia &ais anapokuwa na wageni wake

    mashuhuri ili kupata utuli"u katika hewa nzuri ya upepo wa bahariya hindi na kuwafanya wageni wa"utike kuja kuwekeza :anzibar!

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogram ndogo ya pili ni ya uratibu wa shughuli za Mipango, Sera

    na uta%ti za o%si ya &ais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

    ambayo imekadiriwa kutekelezwa kwa T:S /99,556,999 7Milioni

    mia tatu, laki saba na sabini na nane elfu8 zitakazotumika kwa

    kulipa mishahara kwa wafanyakazi na stahiki nyengine, kutoamafunzo ya muda mrefu,kusimamia na kuhuisha to"uti ya $%si ya

    &ais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kufanya tathmini hali

    ya Tehama katika $%si ya &ais na Mwenyekiti wa Baraza la

    Mapinduzi, kuandaa na kuratibu "ikao "ya matayarisho ya hotuba

    ya Bajeti nk!

    = ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    10/15

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogram ndogo ya tatu ni ya 'uratibu na kusimamia shughuli za

    uratibu na usimamizi wa shughuli za $%si ya &ais 0kulu na

    Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi *emba, program hiiimekadiriwa kutumia T:S 44/,((/,999 7milioni nia sita sitini na

    tatu, laki moja na kumi na tatu elfu8 ambazo zinatarajiwa

    kutumika kwa kutoa na kuratibu huduma za utawala, kulinda,

    kuhifadhi na kutoa huduma kwa 0kulu na nyumba za Serikali

    zilizoko *emba, kulipa mishahara na stahiki kwa wafanyakazi wa

    *emba, kutoa huduma za usa%ri, zana na matengenezo yake,

    kukarabati majengo ya $%si na ununuzi wa thamani za $%si!

    M!"#!$%$&' S($)',

    'amati yetu kupitia *rogramu ndogo ya uratibu na usimamizi wa

    o%si ya &ais 0kulu na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi *emba

    inashauri kwamba jengo la 0kulu ya Chake Chake kufanyiwa

    ukarabati mkubwa kwani haifanani na hadhi ya kuwa nyumba ya

    kukaa kiongozi mkubwa wa nchi kwani hali yake hairidhishi! "ile

    "ile 'amati inapendekeza kuondoshwa kwa mao%sa wa Serikali

    ikiwa ni pamoja na mao%sa wa Mahakama wanaokaa katika

    nyumba iliopo katika eneo la 0kulu, ili nyumba hiyo iweze

    kufanyiwa ukarabati! Sambamba na hilo 'amati yangu ilitaka

    kujua juu ya matengenezo ya nyumba ya 0kulu ya Mkokotoni

    ambayo nayo inahitaji kujengewa uzio kwa ajili ya kuzuia uingiaji

    o"yo wa watu katika eneo hilo! Aidha 'amati inashauri kwamba

    #izara hii ikae pamoja na #aziri anaehusika na "ikosi ili

    kukarabati sehemu ambayo askari wa 'M'M wanakaa wakati

    wanapofanya kazi zao za ulinzi, ili iendane na eneo hilo la 0kulu!

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogramu ndogo ya nne ni ya usimamizi wa usalama wa

    watumishi wa >mma ambayo imekadiriwa kutumia T:S

    19,999,999 7Milioni arobaini8 ambazo fedha hizo zinatarajiwa

    kutumika katika usalama wa mali na majengo ya Serikali kwa

    (9 ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    11/15

    >nguja na *emba, kufanya ukaguzi wa kiusalama wa muda mfupi

    na endele"u kwa wafanyakazi, kuendesha mafunzo na semina

    kwa watumishi! 'amati inashauri kwamba ili wafanyakazi

    wafanyekazi katika mazingira yalio salama zaidi ni "yema ukaguzi

    wa kiusalama wa majengo ukafanyika mara kwa mara kwani kunataasisi na idara mbali mbali ambazo wanafanya kazi katika

    majengo ambayo sio salama na hi"yo kuhatarisha usalama wa

    wafanyakazi!

    M!"#!$%$&' S($)',

    'wa ujumla wake *rogramu kuu ya *rogramu ya >tawala na

    >endeshaji wa $%si ya &ais 0kulu imekadiriwa kutumia T:S

    -,(-4,/-4,999, 7Bilioni mbili mia moja ishirini na sita milioni lakitatu na ishirini na sita elfu8 ambazo kamati yangu inaona bado ni

    fedha chache kutengwa kwa $%si kubwa kama hii, hususan

    ukizingatia uchaka"u wa nyumba za 0kulu zinazohitaji kufanyiwa

    ukarabati ili ziweze kuendana na hadhi ya &ais wetu

    M!"#!$%$&' S($)',

    'amati yangu pia imepitia ratibu na >simamia shughuli za Baraza

    la Mapinduzi na kamati zake00! *rogramu ndogo ya tathmini ya uwajibikaji na utendaji kazi

    wa Taasisi za >mma

    (( ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    12/15

    000! *rogramu ndogo ya kukuza ufanisi wa kitengo cha Teknologia

    ya 2abari na Mawasiliano0?! *rogram ndogo ya utumishi na uendeshaji wa $%si ya Baraza

    la Mapinduzi

    ?! *rogram ndogo ya pili ni uimarishaji uwezo wa $%si katikakusimamia Sera, Sheria na >tumishi wa >mma

    PROGRAMU YA USIMAMIZI WA MA*UKUMU YA KIKATIBA NA

    KISHERIA YA BARAZA LA MAPINDUZI NA KAMATI YA

    MAKATIBU WAKUU

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogramu ya usimamizi wa Majukumu ya kikatiba na kisheria ya

    Baraza la Mapinduzi na 'amati ya Makatibu #akuu ambayo kwa

    ina lengo la kutayarisha na kusimamia "ikao "ya Baraza la

    Mapinduzi na 'amati ya Makatibu #akuu, programu hii ina

    *rogramu ndogo tatu, programu ndogo ya kwanza ni ya kuratibu

    na kusimamia shughuli za Baraza la Mapinduzi na kamati zake

    ambayo imekadiriwa kutekelezwa kwa T:S (9=,-99,999 7Milioni

    mia moja naTisa na laki mbili8 ambazo zitatumika katika

    kutayarisha "ikao (- "ya BDM na 'amati zake, kutayarisha "ikao

    (- "ya 'amati za Baraza la Mapinduzi kutayarisha "ikao 6 "yadharura "ya BDM na 6 "ya kamati ya Makatibu #akuu wa SM:,

    kutoa mafunzo ya kujenga uwezo kwa ?iongozi wa kisiasa na

    Sekretarieti ya Baraza la Mapinduzi!

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogram ndogo ya pili ni ya tathmini ya uwajibikaji na utendaji

    kazi wa Taasisi za >mma, ambayo imekadiriwa kutekelezwa kwa

     T:S /3,/49,999 7Milioni thelathini na tano laki tatu na sitini elfu8ambazo zitatumika katika shughuli za kutayarisha mikutano miwili

    ya tathmini ya utendaji kazi kati ya Mheshimiwa &ais na ?iongozi

    wa #izara za SM:, kusaidia shughuli za kijamii na masuala

    mtambuka kupitia Mawaziri wasio na #izara maalum!

    (- ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    13/15

    M!"#!$%$&' S($)',

    *rogram ndogo ya tatu ni ya kukuza ufanisi wa kitengo cha

     Teknologia ya 2abari na Mawasiliano ambayo nayo imepangiwa

    kutekelezwa kwa T:S /(,=/9,999 7Milioni thelathini na Moja, lakitisa na thelathini elfu8 katika kutekeleza shughuli za kusimamia

    huduma za mkonga wa Taifa wa Mawasiliano katika $%si, 'wa

    ujumla *rogramu kuu ya usimamizi wa Majukumu ya kikatiba na

    kisheria ya Baraza la Mapinduzi na 'amati ya Makatibu #akuu

    kwa mwaka wa fedha -9(4.-9(5 imekadiriwa kutumia

    (54,1=9,999 7Milioni Mia moja sabini na sita laki nne na tisiini

    elfu8!

    PROGRAMU YA UTUMISHI NA UTAWALA WA OFISI YABARAZA LA MAPINDUZI

    M!"#!$%$&' S($)',

    'amati yangu pia katika tumishi na >tawala wa $%si ya Baraza la Mapinduzi yenye lengo

    la kuimarisha mazingira ya kazi, mahusiano ya umma na

    kuwaongezea ujuzi wafanyakazi wa $%si, *rogram hii ina program

    ndogo mbili ambazo ni program ndogo ya utumishi na uendeshajiwa $%si ya Baraza la Mapinduzi na program ndogo ya uimarishaji

    uwezo wa $%si katika kusimamia Sera , sheria na >tumishi wa

    >mma, *rogramu ndogo ya utumishi na uendeshaji imepangiwa

    kutekelezwa kwa T:S (,(5=,-(9,999 7Bilioni moja, mia moja

    sabini na tisa Milioni, laki mbili na elfu kumi8 ambazo zimepangwa

    kutekelezwa katika shughuli mbali mbali, ikiwa ni pamoja na

    kuboresha miundombinu ya $%si, majengo pamoja na mazingira

    yake, kuiwakilisha $%si katika mikutano, warsha pamoja namakongamano ya ndani na nje ya nchi, na kurahisisha ufanisi wa

    shughuli za kio%si!

    M!"#!$%$&' S($)',

    (/ ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    14/15

      *rogram ndogo ya pili ni uimarishaji uwezo wa $%si katika

    kusimamia Sera, Sheria za >tumishi wa >mma, program hii

    imepangwa kutekelezwa katika mwaka huu wa fedha kwa T:S

    (/4,/99,999 7Mia moja thelathini na sita milioni na laki tatu8

    ambazo zimepangwa kutumika katika kuendesha shughuli zauanzishaji wa Maktaba ya Baraza la Mapinduzi, uimarishaji wa

    kitengo cha uhifadhi wa kumbukumbu za Baraza la Mapinduzi,

    kutayarisha ripoti ya mwaka ya hali ya utumishi wa umma pamoja

    na ukusanyaji na ufuatiliaji wa Sera,Sheria na Miongozo ya Baraza

    la Mapinduzi! 'wa ujumla wake *rogramu kuu ya >tumishi na

    >tawala wa $%si ya Baraza la Mapinduzi katika mwaka wa fedha

    -9(4.-9(5 imekadiriwa kutumia T:S (,/(3,3(9,999 7Bilioni

    moja,mia tatu kumi na tano Milioni, laki tano na elfu kumi8!

    M!"#!$%$&' S($)',

    'amati yangu baada ya kuzipitia *rogramu zote nilizozitaja hapo

    kabla imeona fedha hizo ni kidogo kutengwa kwa o%si kubwa

    kama hii ambayo ndio muhimili wa Serikali yetu, ambayo bado

    ina changamoto nyingi zinazohitaji kufanyiwa kazi zikiwemo zile

    za ubo"u na uchaka"u wa majengo ya nyumba za 0kulu, uhaba wa

    "itendea kazi, uhaba wa usa%ri kwa ajili ya 0dara mbali mbali!

    2i"yo 'amati inashauri kwamba hali itakaporuhusa katika Bajeti

    ya mwaka ujao -9(5.-9(6 watengewe fedha ambazo zitaweza

    angalau kupunguza changamoto zinazoikabili #izara hii muhimu

    hasa ile ya kukarabati nyumba za ikulu ikiwemo nyumba ya

    'upumzikia ya Mkokotoni ambayo inahitaji kujengewa uzio na ile

    ya Chake Chake ambayo iko katika hali isiyoridhisha!

    M!"#!$%$&' S($)',

    (1 ) * a g e

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS final.doc

    15/15

    Mwisho napenda kukushukuru tena kwa kunipa nafasi ya

    kuwasilisha maoni ya 'amati yangu kwa niaba ya 'amati pamoja

    na kuwashukuru #ajumbe wa Baraza lako Tukufu kwa kunisikiliza,

    sasa niwaombe #ajumbe wa Baraza lako waijadili na hatimae

    waiunge mkono bajeti hii ili wamuwezeshe #aziri kufanikisha nakutekeleza yale waliojipangia katika mwaka huu wa