hotuba ya rais wakati wa kulihutubia bunge maalumu la katiba
TRANSCRIPT
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 1/24
1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE,
WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21
MACHI, 2014, DODOMA
Mheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba;
Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanania;
Mheshimiwa Dkt. !li Mohamed Shein, Rais wa "anibar na Mwenyekiti wa Baraa la
Ma#indui;
Mheshimiwa Miengo $eter $inda, %airi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania;
Mheshimiwa Maalim Sei& Shari& 'amad, Makamu wa Kwana wa Rais wa "anibar;
Mheshimiwa Baloi Sei& !li (ddi, Makamu wa $ili wa Rais wa "anibar
Mheshimiwa !nne Semamba Makinda; S#ika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano;
Mheshimiwa $andu !meir Ki&i)ho, S#ika wa Baraa la %awakilishi na Mwenyekiti wa
Muda wa Bunge Maalum la Katiba ;
Mheshimiwa Rashid *thman +hande, Jai Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania;
Mheshimiwa *thman Makungu, Jai Mkuu wa "anibar;
-iongoi %akuu %astaa&u;
%aheshimiwa %aumbe wa Bunge Maalum la Katiba;
%aheshimiwa %aumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;
%ageni waalikwa;
Mabibi na Mabwana;
Pong!"
Nakushukuru sana Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kunipa fursa ya kuja kuzungumza na
Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge letu Maalum la Katiba katika siku hii muhimu na ya
kihistoria kwa nchi yetu. Nimekuja kuwatakia heri na naungana na Watanzania wenzetu wote
kuwaombea baraka za Mwenyezi Mungu, ili muweze kuifanya kazi yenu kwa utulivu, hekima,
umakini mkubwa na kuimaliza kwa salama na kwa mafanikio yanayoyatarajiwa na
Watanzania.
Natoa pongezi nyingi kwako na kwa Makamu wako kwa kuchaguliwa kwenu kuongoza
Bunge hili maalumu na la kihistoria. shin!i mkubwa mliopata ni kielelezo tosha cha imani
kubwa na matumaini waliyonayo Wajumbe wenzenu kwenu. Matumaini yao n!iyo matumaini
ya Watanzania wote, kwamba mtaliongoza vizuri Bunge hili, ili liweze kutimiza kwa ufanisi
mkubwa jukumu lake muhimu sana katika historia ya "amhuri ya Muungano wa #anzania.
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 2/24
2
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Niruhusu pia niwapongeze kwa !hati Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kwa
bahati ya aina yake waliyopata ya kutunga Katiba mpya ya "amhuri ya Muungano wa
#anzania. $ursa hii hutokea mara chache sana katika historia ya nchi yo yote na watu wake.
Mkifanikiwa kuipatia nchi yetu Katiba nzuri majina yenu yataan!ikwa kwa wino wa !hahabu,
katika kumbukumbu za historia ya "amhuri ya Muungano wa #anzania.
Ni matarajio ya Watanzania kuwa mtatunga Katiba itakayokubalika na wengi. Katiba
inayotekelezeka. Katiba itakayoimarisha Muungano wetu kwa kuon!oa changamoto zilizopo
sasa. Katiba itakayoipa nchi yetu mfumo bora wa kuongoza na kuen!esha mambo yetu.
Katiba itakayoimarisha umoja, upen!o, ushirikiano na mshikamano miongoni mwa wananchi
wa #anzania, licha ya tofauti zao za asili za upan!e wa Muungano na maeneo watokako, au
tofauti za jinsia, rangi, kabila, !ini na ufuasi wa vyama vya siasa. Katiba itakayo!umisha
amani, usalama na utulivu nchini. Katiba itakayostawisha zai!i !emokrasia, haki za bina!amu,
utawala wa sheria, utawala bora na ku!hibiti maovu. Na, mwisho ingawaje siyo mwisho kwa
umuhimu, Katiba itakayoweka mazingira mazuri kwa uchumi wa nchi kukua, na wananchi
wengi kunufaika sawia na maen!eleo yatayopatikana.
H"#$o%"& '& K&$"(& N)*"n"
Mheshimiwa Mwenyekiti na %aheshimiwa %aumbe;
%ii itakuwa mara ya tatu tangu kuzaliwa kwa "amhuri ya Muungano wa #anzania
&prili '(, )*(+, kwa nchi yetu kuwa na mchakato wa kutunga Katiba mpya. Mara ya kwanza
ilikuwa mwaka )*( ilipotungwa Katiba ya Mu!a na mara ya pili ni mwaka )*-- ilipotungwa
Katiba ya Ku!umu tuliyonao sasa. #ofauti na mara mbili zilizopita, safari hii mchakato
unahusisha watu wengi zai!i. Wananchi wameshiriki moja kwa moja kutoa maoni yao kwa
#ume ya Maba!iliko ya Katiba, na n!io watakaofanya uamuzi wa mwisho kuhusu Katiba
mpya kwa kura ya maoni. Wananchi pia walipata nafasi ya kuchagua Wajumbe wa Mabaraza
ya Katiba ya Wilaya yaliyoja!ili asimu ya Kwanza ya Katiba. /ia walipata nafasi ya kutoa
maoni yao kupitia Mabaraza ya Katiba ya taasisi. Katika Bunge hili wapo wananchi 201
kutoka makun!i mbalimbali.
Katika mchakato wa kutunga Katiba za mwaka )*( na )*-- kulikuwapo #ume za
Kuan!aa asimu na Bunge Maalum la Katiba kama ilivyo katika mchakato huu. %ata hivyo,
kwa Katiba zilizopita Wabunge wa Bunge la "amhuri ya Muungano pekee n!io walioun!a
Bunge Maalum. 0afari hii Bunge Maalum linajumuisha Wabunge, Wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi na wananchi '1) wanaotoka kwenye jamii, wakiwakilisha asasi na makun!i
mbalimbali ya Watanzania kutoka 2anzibar na #anzania Bara. Mchakato wa sasa utaishia
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 3/24
3
kwenye kura ya maoni itakayoshirikisha wananchi wote wa #anzania wanaoruhusiwa kupiga
kura. Michakato iliyopita iliishia Bunge Maalum pekee.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
#angu kutungwa kwake, tarehe ' &prili, )*--, mpaka sasa Katiba ya "amhuri ya
Muungano ya mwaka )*-- imefanyiwa maba!iliko takriban mara )+. Maba!iliko hayo
yalitokana na kufanyika au kutokea kwa maba!iliko muhimu ya kiuchumi, kisiasa na kijamii
katika nyakati mbalimbali hapa nchini na katika "umuiya ya &frika Mashariki.
Kwa ruksa yako naomba nitaje baa!hi ya maba!iliko yaliyofanywa34
). Maba!iliko ya )*-* yaliun!a Mahakama ya ufani ya #anzania kufuatia kufa kwa
Mahakama ya ufani ya &frika Mashariki baa!a ya kuvunjika kwa "umuiya ya
&frika Mashariki mwaka )*--.
'. Maba!iliko ya mwaka )*51 yalifanyika baa!a ya kutungwa kwa Katiba ya
2anzibar, hivyo kulazimu Katiba hiyo kutambulika kwenye Katiba ya "amhuri ya
Muungano.
6. Maba!iliko ya mwaka )*5+ yaliweka utaratibu wa ukomo wa vipin!i vya rais
ambao haukuwepo kabla ya hapo. &i!ha, masuala ya %aki za Bina!amu 7Bill of
ights8 yaliingizwa kwa mara ya kwanza katika Katiba. 9ilevile, Mahakama ya
ufani ya #anzania na mambo mengine ya iliyokuwa "umuiya ya &frika Mashariki
yaliongezwa katika :ro!ha ya Mambo ya Muungano.
+. Mwaka )**', yalifanyika maba!iliko yaliyoanzisha Mfumo wa 9yama 9ingi vya
0iasa ba!ala ya ule wa ;hama kimoja uliokuwepo tangu )*(. /ia utaratibu wa
uchaguzi wa ais na Wabunge ulirekebishwa ili uen!ane na mfumo wa vyama
vingi vya siasa. 9ilevile utaratibu wa kuwa na viti maalum vya wanawake katika
Bunge ulianzishwa. Wakati ule ilikuwa asilimia ) ya Wabunge wote. &i!ha, kwa
mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Bunge lilipewa mamlaka ya
kumwajibisha ais na Waziri Mkuu kupitia kura ya kutokuwa na imani.
. Maba!iliko ya mwaka )**+ yaliweka mfumo mpya wa kumpata Makamu wa aiskupitia Mgombea Mwenza.
(. Mwaka '111 na '11, pamoja na mambo mengine yalifanyika maba!iliko
yaliyopanua wigo wa %aki za Bina!amu na kuongeza uwakilishi wa wanawake.
U+*"+ -& M&(&."/"o '& K&$"(&
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Kufanyika kwa maba!iliko hayo kunathibitisha utayari wa 0erikali kufanya maba!iliko
kila ilipoonekana inafaa kufanya hivyo. /amoja na kufanya yote hayo na 0erikali kuwa na
msimamo huo, kumekuwepo na ma!ai yaliyokuwa yanajiru!ia ya kutaka Katiba ya #anzania
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 4/24
4
ian!ikwe upya. Wako watu walioimithilisha Katiba yetu na nguo yenye viraka vingi mno kiasi
kwamba ingefaa kununua mpya ba!ala ya kuen!elea kuivaa.
Ma!ai ya kutaka Katiba mpya yalipazwa sauti baa!a ya kuanza kwa mfumo wa vyama
vingi vya siasa. Wapo waliokuwa wana!ai Katiba mpya kwa imani, eti kwamba,
itawawezesha kuishin!a ;;M. <akini, si hayo tu, hata katika mchakato wa 0erikali zetu mbili
kushughulikia kero za Muungano, ime!hihirika kuwa baa!hi ya changamoto zilikuwa
zinahitaji maba!iliko ya Katiba ili kuzipatia ufumbuzi wa uhakika na wa ku!umu.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Kwa kutambua ukweli huo na baa!a ya kushauriana na kukubaliana na viongozi
wenzangu wakuu wa ;hama tawala na 0erikali zetu mbili wakati ule, n!ipo tarehe 6)
=esemba, '1)1, nikatangaza !hamira ya kuanzisha mchakato wa kutunga Katiba mpya.
Nilieleza siku ile kuwa katika mchakato huo tutakuwa na ushirikishwaji mpana wa wananchi
wa #anzania kwa makun!i yao ya jinsia, !ini, siasa na shughuli wazifanyazo kujipatia riziki na
kwa maeneo wanayotoka katika pan!e zetu mbili za Muungano.
M)*&&$o -& K&$"(& M'&
Mheshimiwa Mwenyekiti;
#arehe )( Machi, '1)) Baraza la Mawaziri liliri!hia kutungwa kwa 0heria ya
Maba!iliko ya Katiba ya kuliongoza taifa katika mchakato wa kutunga Katiba mpya ya
"amhuri ya Muungano wa #anzania. #arehe )5 Novemba, '1)) Bunge la "amhuri ya
Muungano wa #anzania lilipitisha Muswa!a wa 0heria ya Maba!iliko ya Katiba. Kwa mujibu
wa 0heria hiyo, mchakato wa kutunga Katiba Mpya ulikuwa unaanza kwa kuun!a #ume ya
Maba!iliko ya Katiba. #ume hiyo imepewa jukumu la kusikiliza maoni ya wananchi mmoja
mmoja na kwa makun!i yao ya maslahi, taasisi zao na kupitia Mabaraza ya Katiba.
Mwishowe #ume imetakiwa kutengeneza asimu ya Katiba mpya itakayofikishwa kwenye
Bunge Maalum la Katiba kuja!iliwa na Katiba mpya kutungwa. Mchakato wa Katiba
utahitimishwa kwa wananchi kupiga kura ya maoni ya kuamua kama wanaikubali au kuikataa
Katiba mpya.
#arehe ( &prili, '1)' nilifanya uteuzi wa Wajumbe wa #ume ya Maba!iliko ya Katiba
na kuwaapisha tarehe )6 &prili, '1)'. #ume ilianza kazi tarehe ' Mei, '1)' na kuikamilisha
kwa mafanikio, hatua zote zilizoihusu na kukabi!hi kwangu na kwa ais wa 2anzibar, #aarifa
ya #ume na asimu ya Katiba tarehe 61 =esemba, '1)6. Kiten!o cha Mwenyekiti wa #ume,
Mheshimiwa "oseph Warioba kuwasilisha asimu hiyo mbele ya Bunge hili tukufu tarehe )5
Machi, '1)+, kinahitimisha rasmi kazi ya #ume ya Maba!iliko ya Katiba. Kazi inayofuatia ni
ya Bunge hili kuja!ili, kuamua na kutunga Katiba mpya. Baa!a ya hapo Katiba mpya
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 5/24
5
itafikishwa kwa wananchi kwa uamuzi wa mwisho kwa njia ya kupiga kura ya N=>?: au
%&/&N&.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
asimu ya Katiba ilichapishwa kwenye gazeti la 0erikali na magazeti mengine
yanayosomwa na wananchi kama ilivyoagizwa katika Kifungu cha '17'8 cha 0heria ya
Maba!iliko ya Katiba. /amoja na hayo, #aarifa ya #ume na asimu ya Katiba viliwekwa wazi
kwenye tovuti ya #ume kwa kila mtu kusoma. >nafurahisha kuona kuwa watu wengi
wameisoma #aarifa ya #ume na asimu ya Katiba na kumekuwa na mja!ala mpana kuhusu
nyaraka zote hizo muhimu. Watu wengi wametoa maoni yao na wanaen!elea kufanya hivyo.
Kwa maoni yangu hili ni jambo jema sana na ni kielelezo thabiti kuwa !emokrasia imestawi na
inazi!i kuota mizizi #anzania. /ia, kwamba, Watanzania wako huru kushiriki na kutoa maoni
yao kwa mambo yanayowahusu.
Pong!" -& T+
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Kwa mara nyingine tena naru!ia kutoa pongezi za !hati kwa Wajumbe wa #ume ya
Maba!iliko ya Katiba chini ya uongozi wa Mheshimiwa "aji "oseph Warioba akisai!iwa na
Mheshimiwa "aji &ugustino ama!hani, kwa kazi kubwa na nzuri waliyofanya. Kazi yao
haikuwa rahisi hasa ukizingatia ukubwa wa nchi yetu, wingi wa watu wake, utitiri wa taasisi na
pigo la kumpoteza Mjumbe mwenzao muhimu =kt. 0engon!o Mvungi aliyetangulia mbele ya
haki katikati ya mchakato.
/amoja na hayo, kwa bi!ii kubwa Wajumbe wa #ume wameweza kutembelea mikoa
yote nchini na kuwafikia watu 31,44 waliotoa maoni yao kwa m!omo na kwa maan!ishi5
%alika!halika, walipokea na kuchambua maoni 662,211 kutoka kwa wananchi na taasisi
mbalimbali. Baa!a ya kupokea maoni ya wananchi, kufanya utafiti na kwa kutumia maarifa na
uzoefu wao, Wajumbe wakafanya kazi ngumu, kuliko yote, ya kutengeneza asimu ya Katiba
iliyoko mbele ya Bunge hili. Ni kweli kwamba Wajumbe hawakuweza kuwafikia wananchi
wote wa #anzania, lakini wameweza kuwafikia wananchi wengi, ambao kwa kiasi kikubwa
wanawakilisha taswira na mitazamo mipana ya jamii yetu.
B&&.*" '& M&#&/& Y&/"'o7"$o!& K&$"& M7&.&/& -& M&n.!o '& T+
Mheshimiwa Mwenyekiti;
#ume imefanya kazi nzuri, yenye thamani kubwa na ya manufaa kwa taifa la #anzania.
asimu imean!ikwa vizuri na kwa wele!i wa hali juu. #ume imetoa mapen!ekezo ambayo
kwa kiasi kikubwa yanahuisha na kuboresha Katiba ya nchi yetu, kwa namna ya pekee. Katiba
inayopen!ekezwa, imejumuisha !hana na mambo ka!haa mapya yanayokwen!a vyema na
wakati tulionao na kuweka msingi mzuri kwa huko mbele tuen!ako. Kwa taratibu za kawai!a
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 6/24
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 7/24
7
au jingine ambayo haina uwezo nayo. Ni muhimu sana mambo kama hayo muyatazame ili
tusije kuwa na Katiba ambayo ni ngumu kutekeleza.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
?apo pia maoni kuwa baa!hi ya vifungu vina upungufu katika uan!ishi wake, hivyo
kuhitaji kufanyiwa marekebisho. >sipofanyika hivyo kunaweza kuwepo athari na nyingine
zinaweza kuwa mbaya. Kwa mfano, >bara ya ' ya asimu inayotambulisha eneo na mipaka ya
nchi yetu. >bara hiyo inasomeka kuwa A neo la Jamhuri ya Muungano wa Tanania ni
eneo lote la Tanganyika likiumuisha sehemu yake ya bahari na eneo lote la "anibar
likiumuisha sehemu yake ya bahari/.
Maelezo hayo yameacha kutambua, kwa upan!e wa #anzania Bara, sehemu yetu ya
maziwa na mito ambayo ni kubwa sana. Kwa nini tuache kuitaja "e hatutoi nafasi kwa nchi
tunazopakana nazo siku moja wakaja kupora sehemu zetu hizo na sisi kukosa utetezi kwa kuwa
hata Katiba yetu haikuyatambua maeneo hayo kuwa ni yetu %ili ni jambo kubwa ambalo
Bunge hili lazima mlirekebishe. Wakati n!iyo huu hakuna mwingine.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
"ambo jingine kuhusu uan!ishi ni mgongano kati ya pen!ekezo la msingi la #ume la
kuwa na muun!o wa 0erikali tatu na majukumu ya 0erikali ya Muungano ambayo kimsingi ni
majukumu ya 0erikali za nchi washirika. Katika asimu hii malengo ya taifa yameainishwa
na 0erikali ya Muungano inatakiwa kuhakikisha kuwa malengo hayo yanatekelezwa na itoe
taarifa Bungeni. Katika mfumo wa 0erikali tatu unaopen!ekezwa na #ume masuala yahusuyo
uchumi na maen!eleo ya jamii kama vile kukuza kilimo, ufugaji, uvuvi, viwan!a, biashara,
pembejeo, elimu, hifa!hi ya jamii na ka!halika yako chini ya mamlaka ya 0erikali za nchi
washirika. Mamlaka ya 0erikali ya Muungano ni kwa mambo saba tu yafuatayo34 Katiba na
Mamlaka ya "amhuri ya Muungano, linzi na salama wa "amhuri ya Muungano, raia na
hamiaji, 0arafu na Benki Kuu, Mambo ya Nje, sajili wa 9yama vya 0iasa, shuru wa
Bi!haa na Mapato yasiyo ya ko!i yatokanayo na Mambo ya Muungano.
Kwa asimu kupen!ekeza muun!o wa 0erikali tatu na kuipa 0erikali ya Muungano
majukumu ambayo haina mamlaka nayo, ni kuzusha utata na migongano kati ya 0erikali ya
Muungano na nchi washirika. Mkichagua mfumo wa 0erikali tatu, inawalazimu muyaon!oe
mambo hayo kwani 0erikali ya Muungano haistahili kuyatekeleza na wala haina uwezo wa
kuweka masharti kwa 0erikali za nchi washirika kwa mambo yaliyo kwenye mamlaka ya nchi
hizo. <akini kama mtaamua tuen!elee na muun!o wa 0erikali mbili, mambo haya mazuri
yanatekelezeka na 0erikali ya Muungano bila ya matatizo. Katika uan!ishi wa asimu
tumishi katika 0erikali ya Muungano haumo katika :ro!ha ya Mambo ya Muungano. Ni
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 8/24
8
lazima liwemo. %ayo ni baa!hi tu ya masuala yahusuyo uan!ishi katika asimu. Naamini
mkiisoma asimu kwa makini mnaweza kuyagun!ua mengineyo.
D*&n& M'&
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Katika asimu kuna !hana mpya na mambo mapya ka!haa yaliyoingizwa ambayo
yanaba!ili utaratibu wa sasa wa uen!eshaji wa nchi na mambo mbalimbali. Nawaomba
mfanye uchambuzi wa kina kwa kila kinachopen!ekezwa na kujiri!hisha kuhusu kufaa kwake
na manufaa yake. $anyeni hivyo ili tujihakikishie kuwepo kwa mambo mazuri na uen!eshaji
mzuri wa shughuli katika taifa letu changa.
Mambo ni mengi na kwa ufinyu wa mu!a sitaweza kuyazungumzia yote. Niruhusuni
nizungumzie baa!hi ya !hana na mambo mapya yaliyomo katika asimu. "ambo la kwanza,
kwa mfano, linahusu >bara ya )'5 7'87!8 inayoleta !hana ya AMbunge kupoteza bunge iwapo
atashin!wa kufanya kazi za Mbunge kwa miezi sita mfululizo kutokana na mara!hi au kizuizi
n!ani ya gerezaC. Watu hawana tatizo na Mbunge kuwa kizuizini n!ani ya gereza kama
amepatikana na hatia Mahakamani na kuhukumiwa kifungo. <akini, isijekuwa yuko ruman!e
kwa tuhuma akisubiri kesi kusikilizwa. "e akija kuonekana hana hatia na kuachiliwa
Naungana na wale wanaoshauri kuwa jambo hili lifafanuliwe vizuri na kutambua Mbunge
kutiwa hatiani na kupata a!habu ya kifungo cha kipin!i hicho. Ni bora ifanyike hivyo sasa ili
kuon!oa mikanganyiko. %akuna haja ya kusubiri mpaka jambo hili lije kufafanuliwa baa!aye
kwa 0heria itakayotungwa na Bunge.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Kwa upan!e wa mtu kupoteza bunge kwa sababu ya 8g& -& +"!" #"$&
+9//"!o: ni maoni ya watu wengi kuwa huu ni ukatili ambao haustahili kufanywa na Katiba.
Kuugua n!iyo ubina!amu na wakati mwingine Mbunge anaweza kupata ajali akiwatumikia
wananchi wa "imbo lake. &naweza kuugua kwa miezi sita au zai!i na kupona kabla ya kipin!i
chake cha bunge kufika mwisho. Kwa nini awekewe ukomo wa miezi sita Katiba ya
mwaka )*-- tunayotumia sasa haina sharti hilo. Watu wanauliza hoja na haja ya kuwa na
sharti hili kwenye Katiba mpya ni ipi Wanasema kwa kweli anachostahili Mbunge huyu
kufanyiwa ni kuuguzwa afya yake iimarike ili aen!elee kutumikia watu wake, na siyo kupoteza
uongozi wake. #usiwatie watu kishawishi cha kukatiza matibabu ili kukwepa sharti hilo. Ni
vyema jambo hili mkalitazama kwa makini, na muone kama linastahili kuwepo au hapana.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Katika asimu hii imeingizwa !hana mpya ya kuweka ukomo wa vipin!i vitatu kwa
Wabunge. #ena mapen!ekezo haya hayasemi vipin!i vitatu mfululizo au laD. "ambo hilo
limezua mja!ala motomoto katika jamii. Ni vizuri mkajiri!hisha juu ya sababu za msingi na
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 9/24
9
manufaa ya kufanya hivyo hapa #anzania. Mazoea yetu na ya kwingineko !uniani ni kuweka
ukomo kwa Wakuu wa Nchi kwa sababu nzuri na rahisi kuzielezea. <akini, kuwawekea
ukomo Wabunge ni jambo jipya na huen!a #anzania tukawa wa kwanza. Nashawishika
kuungana na wale wanaopen!ekeza kuwa pengine ni mapema mno kuanzisha utaratibu huo
hapa kwetu. Nachelea kuwa tutainyima nchi yetu fursa ya kupata watu wenye maarifa na
uzoefu mzuri wa uongozi kwa nafasi ya bunge au kwa nafasi za uongozi wa #aifa bila ya
sababu za msingi.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
"ambo lingine jipya linalopen!ekezwa na #ume ni utaratibu wa kumuon!oa Mbunge
katikati ya kipin!i chake cha uongozi. Kwa hoja linaonekana kuwa jambo jema lakini naomba
athari zake mzitafakari vizuri. Kuna hatari ya kuanzisha misuguano kwenye Majimbo na
kuwaacha Wabunge wasifanye kazi zao kwa utulivu bali wawe wanajihami !hi!i ya wapinzani
wao kuwatengenezea fitna za kuwatoa. taratibu unaopen!ekezwa wa ;hama chake kujaza
nafasi ya Mbunge inapokuwa wazi katika mazingira hayo nao unaweza kuwa n!icho
kichocheo kikubwa cha vuguvugu la kumuon!oa Mbunge. Walioshin!wa kwenye kura ya
maoni wanaweza kufanya kazi ya kuwachimba wenzao mpaka waon!oke. "ipeni mu!a wa
kupima fai!a na hasa thamani inayoongezwa na kuanzisha utaratibu huo. Naomba tujiri!hishe
kama jambo hili jipya lina tija. %ivi kupewa nafasi kila miaka mitano kuru!i kwa wananchi
hakutoshi kumuon!oa Mbunge ambaye watu wamemchoka
Mn.o -& Mng&no
Mheshimiwa Mwenyekiti;
"ambo lingine kubwa lililopen!ekezwa na #ume ambalo limevuta hisia za karibu watu
wote nchini linahusu muun!o wa Muungano wetu kuwa wa 0erikali tatu ba!ala ya mbili za
sasa. /en!ekezo hili limezua mja!ala mkubwa tangu lilipotolewa katika asimu ya kwanza
na kuru!iwa katika asimu ya pili. Wakati mwingine mja!ala umekuwa mkali na wa hisia
kali kwa kila upan!e.
Kwa kweli hili n!ilo jambo kubwa kuliko yote katika asimu kwa sababu
linapen!ekeza kuanzishwa kwa muun!o na mfumo mpya wa kuen!esha nchi yetu. %ii n!iyo
agen!a mama ya Bunge hili ambayo kila Mtanzania anasubiri kwa hamu uamuzi wenu
utakuwa upi. :mbi langu kwenu ni kuwa watulivu mnapoja!ili suala hili. Epukeni jazba ili
mfanye uamuzi ulio sahihi. <azima mtambue uamuzi usiokuwa sahihi kwa jambo hili una
hasara kubwa. #unaweza kupoteza kitu tulichokijenga kwa gharama kubwa kwa nusu karne
iliyopita. #anzania inaweza kuwa nchi iliyojaa migogoro na matatizo mengi ambayo
hatunayo.
Mheshimiwa Mwenyekiti, %aheshimiwa %aumbe;
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 10/24
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 11/24
11
0ababu hizi mbili kuu zilizotolewa na #ume zimezua mja!ala mkali katika jamii. Wapo
wanaokubaliana na #ume na wapo wasiokubaliana nayo. Wapo wanaosema #ume imesema
kweli kwamba Watanzania wengi wanaunga mkono muun!o wa 0erikali tatu, hivyo muun!o
wa 0erikali tatu hauepukiki. N!iyo matakwa ya wengi hivyo msemo wa Kiswahili usemao
wengi wape uheshimiwe.
<akini wapo wanao!ai kuwa takwimu za #ume hazionyeshi ukweli huo. Wanasema
kuwa taarifa ya #ume imeonesha kuwa Watanzania waliotoa maoni yao kwa #ume kwa
m!omo na maan!ishi walikuwa 31,4. Kati yao ni wananchi 46,=20 au sawa na &#"/"+"&
15 n!iyo waliokerwa na muun!o wa Muungano hivyo wakauzungumzia. Wananchi 0,=44
au sawa na &#"/"+"& =54 muun!o wa Muungano kwao halikuwa tatizo, n!iyo maana
hawakuuzungumzia kabisa. Wanahoji kuwa iweje leo &#"/"+"& 15 ya Watanzania wote
waliotoa maoni wageuke kuwa n!iyo Watanzania walio wengiD
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Wanasema pia, kwamba mbona #aarifa ya #ume yenyewe, kuhusu takwimu 7uk. (( na
(-8, inaonesha kwamba kati ya hao watu 46,=20 waliotoa maoni kuhusu Muungano, ni watu
16,2=0 tu ambao ni sawa na &#"/"+"& 652 n!iyo waliotaka muun!o wa 0erikali tatu, &#"/"+"&
2>5= walitaka 0erikali mbili, &#"/"+"& 235 walipen!ekeza 0erikali ya Mkataba n& &#"/"+"& 656
walipen!ekeza 0erikali moja. %ii hoja ya Watanzania wengi kutaka 0erikali tatu msingi wake
upi
Mheshimiwa Mwenyekiti;
#akwimu za #ume 7uk. -8 zinaonyesha, vilevile kuwa #ume ilipokea maoni 662,2115
Kati ya hayo &#"/"+"& 1054 tu n!iyo yaliyozungumzia muun!o wa Muungano na a#"/"+"& ==5
hayakuzungumzia Muungano bali mambo mengine. %ivyo basi wanahoji pia kwamba kama
muun!o wa Muungano ungekuwa ni jambo linalowakera Watanzania wengi, linge!hihirika
kwenye i!a!i ya watu waliotoa maoni na kwenye i!a!i ya maoni yaliyotolewa. ?ote hayo
hayakujitokeza. Waliouzungumzia Muungano walikuwa &#"/"+"& 15 tu ya watu wote
waliotoa maoni na maoni yanayohusu Muungano yalikuwa &#"/"+"& 1054 ya maoni yote.
%ivyo basi, wanauliza Ausahihi wa hoja ya Watanzania wengi kutaka 0erikali tatu uko wapiC
C*&ng&+o$o !& Mn.o -& S%"&/" M("/"
Mheshimiwa Mwenyekiti na %aheshimiwa %aumbe;
Kama nilivyokwishagusia awali, sababu ya pili ambayo #ume inatoa kuhusu kufaa
kwa muun!o wa 0erikali tatu ni kwamba mfumo huu unajibu changamoto nyingi za muun!o
wa 0erikali mbili. #ume imeainisha vizuri changamoto za muun!o wa 0erikali mbili. Kwa
upan!e wa 2anzibar wanalalamikia kile kinachoitwa #anzania Bara kuvaa koti la "amhuri ya
Muungano wa #anzania na hivyo kutumia mamlaka ya 0erikali ya Muungano kujinufaisha
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 12/24
12
yenyewe. $ursa hiyo 2anzibar hainayo. &i!ha, wanasema mipaka na mamlaka ya 0erikali ya
Muungano kwa mambo ya Muungano, na kwa mambo ya #anzania Bara haijaainishwa vizuri
ikaeleweka. Wazanzibari pia, wanazungumzia mkanganyiko kuhusu ugawanaji wa mapato, na
jinsi ya kuchangia shughuli za Muungano baina ya 0erikali ya Muungano na 0erikali ya
Mapin!uzi ya 2anzibar. 9ilevile, wanalalamikia ais wa 2anzibar kuon!olewa kuwa
Makamu wa ais wa "amhuri ya Muungano. &i!ha, kuna malalamiko kuwa oro!ha ya mambo
ya Muungano iliyoongezwa kutoka mambo 11 mwaka )*(+ mpaka 22 mwaka )**'
imepunguza uhuru wa 2anzibar kwa mambo yake ya n!ani.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Kwa upan!e wa #anzania Bara, #ume inaeleza kuwepo kwa manung@uniko kuwa
Muungano wa 0erikali mbili umepoteza utambulisho wa kihistoria wa #anganyika na fursa ya
watu wa upan!e wa #anzania Bara kutetea maslahi yao n!ani ya Muungano. Wanasema
2anzibar sasa imekuwa nchi huruG ina ben!era yake, wimbo wake wa taifa na 0erikali yake.
&i!ha, wanasema 2anzibar imeba!ili Katiba na kujitambulisha kama nchi na kuchukua
ma!araka ya Bunge la Muungano, kwa vile 0heria zinazotungwa na Bunge lazima zipelekwe
kwenye Baraza la Wawakilishi kupata kibali cha kutumika 2anzibar. Wananchi wa #anzania
Bara pia wanalalamikia kutokuwa na haki ya kumiliki ar!hi 2anzibar wakati wenzao wa
kutoka 2anzibar wanayo haki hiyo #anzania Bara. Na wao vilevile wananung@unikia
mkanganyiko kuhusu ugawaji wa mapato na jinsi ya kuchangia gharama za uen!eshaji wa
shughuli za Muungano baina ya 0erikali ya Muungano na 0erikali ya 2anzibar. %izi n!izo
baa!hi ya changamoto ambazo #ume inaona jawabu lake ili kuzitanzua ni kuba!ili muun!o wa
Muungano kuwa wa 0erikali tatu ba!ala ya mbili za sasa.
?&".& !& Mn.o -& S%"&/" T&$
Mheshimiwa Mwenyekiti;
#ume ya Maba!iliko ya Katiba imefafanua kwamba mfumo wa 0erikali tatu
utagawanya vizuri ma!araka kati ya mamlaka tatu za Muungano. nawezesha Washirika wa
Muungano kubaki na utambulisho wao wa kihistoria na kiutama!uni na hivyo, utawezesha
kuon!oa hisia za 2anzibar kumezwa na Muungano. /ia unawezesha kila upan!e wa #anzania
kuen!esha mambo yake yasiyo ya Muungano ka!ri wanavyoona inafaa. 9ile vile unaweza
ukaleta ushin!ani wa kimaen!eleo baina ya washirika na hivyo kusai!ia kukuza maen!eleo ya
nchi.
?&".& !& Mn.o -& S%"&/" M("/"
Mheshimiwa Mwenyekiti;
/amoja na kuainisha changamoto za muun!o wa 0erikali mbili na kupen!ekeza kuwa
muun!o wa 0erikali tatu n!io utakaosai!ia kuzitatua, #ume haikuacha kutambua manufaa na
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 13/24
13
mchango muhimu uliotolewa na muun!o wa 0erikali mbili kwa nchi yetu. #ume inasema
kuwa muun!o wa 0erikali mbili unapunguza gharama za uen!eshaji wa shughuli za umma.
mesai!ia kujenga uhusiano na ushirikiano mzuri katika )6nyanja mbalimbali baina ya
wananchi wa pan!e zetu mbili za Muungano. mezuia mkubwa kummeza m!ogoG na
ume!umisha Muungano mpaka kuufikisha hapa ulipo tangu kuasisiwa kwake takriban miaka
1 iliyopita 7)*(+8. &i!ha, umesai!ia ku!umisha amani, umoja na utulivu hapa nchini.
C*&ng&+o$o !& Mn.o -& S%"&/" T&$
Mheshimiwa Mwenyekiti;
/amoja na kuelezea ubora wa muun!o wa 0erikali tatu kama jawabu kwa changamoto za
0erikali mbili, #ume inakiri kuwa hata muun!o huu nao una changamoto zake. Kwanza
kabisa, #aarifa ya #ume inaeleza kuwa kutakuwa na gharama kubwa za uen!eshaji wa
shughuli za umma. Mheshimiwa "aji "oseph Warioba alitutoa hofu kuhusu gharama ingawaje
mwaka )**6, Mwalimu alikuwa na mawazo tofauti. &lisema kwamba3 8watu @
wanaodhani kuwa gharama ya Serikali yo yote kati ya hio ingekuwa ndogo, 0%aulieni
%aanibari1 na wala gharama ya Serikali ya Shirikisho isingekuwa ndogo hata bila
gharama ya mambo yasiyo ya Shirikisho/. Ni matumaini yangu kwamba katika mja!ala wenu
mtajipa nafasi ya kulitafakari suala hili kubwa na nyeti.
#ume imesema pia kwamba, Muun!o huu, unaweza kuibua tatizo la uchangiaji wa
gharama za uen!eshaji wa shughuli za umma baina ya nchi washirika. 9ilevile, kuna
uwezekano wa kuwepo sera zinazokinzana au kutofautiana juu ya masuala ya msingi ya nchi
na kuzua mgogoro kati ya washirika wa Muungano na baina ya nchi washirika na 0erikali ya
Muungano. &i!ha, upo uwezekano mkubwa kwa muun!o huu kuleta tofauti za kimaen!eleo
baina ya pan!e mbili za Muungano kutokana na kila upan!e kuwa na sera na mipango tofauti.
#ume pia imeelezea hatari ya muun!o wa 0erikali tatu kukuza hisia za utaifa
7nationalistic feelings8 kwa nchi washirika, hivyo kuweza ku!hoofisha Muungano. Muun!o
huu pia unaweza kuleta misuguano 7 paralysis and deadklocs in decision making) katika
kufanya uamuzi juu ya masuala muhimu ya kitaifa. ;hangamoto hizo si tu zinaweza kuwa
tishio kwa ustawi wa Muungano bali pia hata uhai wake. Kwa ajili hiyo kuchagua muun!o wa
0erikali tatu kuna maana ya kufanya kazi ya zia!a ya kuzikabili changamoto hizi ili zisiue
Muungano wenyewe. ;hangamoto ambazo si n!ogo hata ki!ogo.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Wanaounga mkono muun!o wa 0erikali mbili wanasema kuwa kwa mlolongo huu wa
changamoto zilizoainishwa na #ume yenyewe, una!hihirisha kuwa muun!o wa 0erikali tatu
hautapunguza matatizo ya Muungano wetu bali utayaongeza mara!ufu kuliko ilivyo sasa.
Wanakiri kuwepo kwa changamoto katika muun!o wa sasa wa Muungano. %ata hivyo,
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 14/24
14
wanaamini zinaweza kushugulikiwa na kupatiwa ufumbuzi bila ya kuhitaji kuwa na 0erikali ya
tatu. Wanatoa mifano ka!haa ya jinsi 0erikali zetu zilivyoshughulikia changamoto za
Muungano katika kipin!i cha uhai wake na mafanikio yaliyopatikana.
Katika kushughulikia kero za Muungano, 0erikali zetu mbili ziliun!a #ume ya
0helukin!o mwaka )**' na Kamati ya /amoja ya 0erikali zetu mbili mwaka )**6. Mambo
mengi yaliyoainishwa katika #ume ya 0helukin!o na Kamati ya /amoja yameshughulikiwa na
kupatiwa ufumbuzi. Kwa upan!e wa kero zilizoelezwa kwenye #ume ya 0helukin!o,
ilipofikia mwaka '11( yalikuwa yamebakia mambo 1 kati ya 15 Kwa jumla, kwa kero
zilizoibuliwa na #ume ya 0helukin!o na Kamati ya /amoja, hivi sasa yamesalia mambo #"$&
tu. Kimsingi ni mambo yahusuyo maslahi ya kiuchumi na yote yapo katika hatua nzuri za
kuyamaliza. Mambo hayo ni3
). Mgawanyo wa mapato3
7a8 %isa za 0M2 zilizokuwa katika Bo!i ya 0arafu ya &frika Mashariki
7b8 Mgawanyo wa Mapato yatokanayo na fai!a ya Benki Kuu.
'. tafutaji na uchimbaji mafuta na gesi asili.
6. shirikiano wa 2anzibar na taasisi za nje.
+. &jira kwa watumishi wa 2anzibar katika taasisi za Muungano.
. sajili wa vyombo vya moto.
(. #ume ya /amoja ya $e!ha.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
0erikali zetu mbili zimeamua kwa !hati kutumia fursa ya mchakato huu wa maba!iliko
ya Katiba kuyamaliza yale yanayohitaji kuingizwa kwenye Katiba ya "amhuri ya Muungano
wa #anzania. Mambo hayo ni matatu yafuatayo3
). tafutaji na uchimbaji mafuta na gesi asili.
'. shirikiano wa 2anzibar na taasisi za nje.
6. #ume ya /amoja ya $e!ha.
Matatu mengine yatamalizwa kwa kutumia taratibu za kiutawala. %ali ka!halika, katika
kipin!i cha mpito kinachopen!ekezwa na #ume yaani '1) H '1)5 ni nafasi nzuri ya
kushughulikia masuala yenye migongano kati ya Katiba ya 2anzibar na ile ya "amhuri ya
Muungano. Mimi naishi kwa matumaini na kwa vile tunayo !hamira njema ya kuimarisha
Muungano wetu, naamini tutaweza kuzion!oa tofauti zilizopo.
O%o.*& '& M&+(o '& Mng&no
Mheshimiwa Mwenyekiti;
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 15/24
15
Kuhusu oro!ha ya mambo ya Muungano kuwa 22 ba!ala ya 11 ya awali, napen!a
kuwahakikishia kuwa 0erikali ya Muungano na 0erikali ya Mapin!uzi ya 2anzibar hazina
kigugumizi wala upungufu wa !hamira ya kisiasa ya kuyapunguza yale yanayopunguzika.
Napen!a kwanza kabisa, ieleweke kuwa kilichoongeza oro!ha hiyo si hila za 0erikali ya
Muungano kutaka kupunguza ma!araka ya 2anzibar kwa mambo yake ya n!ani. Na, wala siyo
u!haifu wa viongozi wa 2anzibar katika kutetea maslahi ya nchi yao. <a hasha.
/ili, naomba ieleweke kuwa, kila kilichoongezwa katika :ro!ha ya Mambo ya
Muungano kilikuwa na sababu inayoeleweka, inayoelezeka na iliyokubalika na pan!e zote
mbili za Muungano. %akuna hata jambo moja lililoingizwa kwenye Katiba kwa kificho.
#aratibu stahiki za kikatiba na kisheria zilifuatwa. %oja ziliwasilishwa Bungeni na kuja!iliwa
kwa uwazi na uamuzi ulifanywa na Bunge kwa kuzingatia kanuni ya theluthi mbili ya kura za
kila upan!e wa Muungano. Kumbukumbu zipo katika %ansar! za Bunge la Muungano,
ambazo ziko wazi kwa kila mtu anayetaka kuzisoma asome. Nashauri mkazisome ili mpate
kujua ukweli na un!ani wa kila kilichoongezwa na sababu za kufanya hivyo.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Nchi zetu mbili zilipoungana mwaka )*(+ na kuzaa "amhuri ya Muungano wa
#anzania, kulikuwa na mambo 11 kwenye :ro!ha ya Mambo ya Muungano. Mambo hayo ni
haya yafuatayo3
). Katiba ya "amhuri ya Muungano,
'. Mambo ya Nje,
6. linzi,
+. /olisi,
. %ali ya %atari,
(. raia,
-. hamiaji,
5. Biashara ya nje na mikopo,
*. tumishi katika 0erikali ya Muungano,
)1. Ko!i ya Mapato, Ko!i ya Makampuni, shuru wa $oro!ha na shuru wa Bi!haa,)). Ban!ari, Mambo ya &nga, /osta na 0imu.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Kati ya mwaka )*( na )**' mambo ya Muungano yaliongezeka kutoka 11 ha!i
kufikia 22, kimsingi kutokana na mambo mbalimbali yaliyotokea nchini na kwenye ukan!a
wetu wa &frika Mashariki. /an!e zetu mbili za Muungano zilikubaliana kuwa mambo hayo
yaongezwe katika Katiba na taratibu za kisheria na Kikatiba zilifuatwa. Kwa i!hini yakonaomba nitoe maelezo kwa ufupi kwa yale yaliyoongezwa na kitu kilichosababisha maba!iliko
hayo kufanywa.
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 16/24
16
). "ambo la kwanza kuongezwa, yaani la 12 lilikuwa ni Asarafu, mabenki na fe!ha za
kigeniC. %ii ilifanyika tarehe )1 "uni, )*( kufuatia kuvunjika kwa Bo!i ya 0arafu ya
&frika Mashariki 7East &frican ;urrency Boar!8 mwaka )*(+. Kwa ajili hiyo, kila
nchi mwanachama wa "umuiya ililazimika kuwa na sarafu yake na mipango yake ya
kusimamia mambo yake ya kibenki na fe!ha. 0erikali zetu mbili zilikubalianamasuala hayo yashughulikiwe na 0erikali ya Muungano na Muswa!a husika wa Bunge
ulii!hinishwa kuwa 0heria na Mzee &bei! &mani Karume aliyekuwa akikaimu rais
tarehe )1 "uni, )*(.
'. #arehe )) &gosti, )*(- yaliongezwa mambo yafuatayo kwenye :ro!ha ya Mambo ya
Muungano34
7a8 <eseni za 9iwan!a na #akwimu, 7"ambo la 18
7b8 Elimu ya "uu, 7"ambo la 148
7c8 "ambo la 13 lilikuwa ni mambo yote yaliyokuwa kwenye Nyongeza ya 10 ya
Mkataba wa "umuiya ya &frika Mashariki. Nyongeza hiyo ilikuwa na mambo 26
ambayo 0erikali ya Muungano ilipewa jukumu la uratibu. Mambo hayo ni pamoja
na Mahakama ya ufani ya &frika Mashariki, tabiri wa %ali ya %ewa, tafiti,
9ipimo na Mizani, %u!uma ya safiri wa eli, Barabara, safiri wa Majini na
ka!halika.
6. #arehe '' "ulai, )*(5 Arasilimali ya mafuta, petroli na gesi asiliaC iliongezwa kwenye
:ro!ha ya Mambo ya Muungano na kuwa jambo la 1. Kimsingi 0erikali ya
Muungano ilipewa jukumu la kuagiza mafuta ya petroli na gesi asilia kwa ajili ya nchi
nzima. Baa!a ya kupanga upya :ro!ha ya Mambo ya Muungano, suala la rasilimaliya mafuta likawa la 13.
+. #arehe '' Novemba, )*-6 Baraza la Mitihani la #aifa liliongezwa na kuwa jambo la
15 %ii ilifuatia kuvunjika kwa Baraza la Mitihani la &frika Mashariki mwaka )*-) na
hivyo nchi yetu kulazimika kuun!a Baraza la Mitihani la #aifa mwaka )*-6.
. Mwaka )*5+ yalipofanyika maba!iliko makubwa katika Katiba ya mwaka )*--,
:ro!ha ya Mambo ya Muungano ilipangwa upya. Mambo yaliyokuwemo kwenye
Nyongeza ya 10 ya "umuiya ya &frika Mashariki na kuoro!heshwa kama "ambo la 13
katika :ro!ha ya Mambo ya Muungano yalipunguzwa na kubaki +&$&no. Mambo
hayo yalipewa namba kama ifatavyo34 safirishaji wa &nga kuwa "ambo la 16, tafiti
kuwa la 1=, tabiri wa %ali ya %ewa kuwa la 1> na #akwimu kuwa la 20 na
Mahakama ya ufani ya #anzania ikawa jambo la 21.
(. #arehe )- Mei, )**' likaongezwa jambo la Aan!ikishaji wa 9yama vya 0iasaC na
kuwa jambo la 225 %ii ilifuatia kuanzishwa kwa Mfumo wa 9yama 9ingi vya 0iasa na
hasa uamuzi kuwa vyama vitakuwa vya kitaifa.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Bila ya shaka maelezo haya yatasai!ia kuelezea nini kimeongezwa na mazingira ya
kuongezwa kwake ni yepi. Kulikuwepo na sababu za msingi na wala siyo hila ya namna yo
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 17/24
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 18/24
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 19/24
19
Katika mja!ala kuhusu mapen!ekezo ya kuwa na muun!o wa Muungano wenye
0erikali tatu, wananchi wametoa maoni na mapen!ekezo mengi mazuri kuhusu changamoto za
0erikali tatu zilizoainishwa na #ume na namna ya kuzitatua. #ena yapo maoni ya watu
wanaopen!a muun!o wa 0erikali tatu na wasiopen!a muun!o wa 0erikali tatu. Nawaomba
myatafakari kwa uzito unaostahili. ?apo mambo muhimu ya kuyatafutia ufumbuzi. Kwanza,
kwa mfano ni ile hoja kwamba 0erikali ya Muungano inayopen!ekezwa haikujengeka kwenye
msingi imara. %aina nguvu yake yenyewe za kusimama. >nategemea mno ihsani ya nchi
washirika. Kwa sababu hiyo inaweza kuanguka wakati wowote, na Muungano kusambaratika,
iwapo itakosa ihsani ya nchi washirika. #ena inaweza kuwa hivyo hata kama ni mmoja wa
washirika amefanya hivyo.
/ili, kwamba, haielekei 0erikali hiyo ina chanzo cha uhakika cha mapato ya
kuiwezesha kusimama yenyewe na kutekeleza majukumu yake. shuru wa bi!haa
unaopen!ekezwa unatiliwa shaka kuwa hautatosheleza mahitaji. /ia, kwamba, hakuna uhakika
wa fe!ha hizo kupatikana kwa vile, 0erikali ya Muungano haina chombo chake chenyewe cha
kukusanya mapato hayo. >tategemea vyombo vya nchi washirika kuikusanyia na kuipelekea.
Kuna hatari ya shughuli za 0erikali ya Muungano kusimama wakati wo wote au hata
kusimama kabisa kwa sababu ya nchi washirika kuchelewa au kushin!wa kuwasilisha
makusanyo ya kutoka kwao.
Bahati mbaya 0erikali ya Muungano haina uwezo wala nyenzo za kuhakikisha kuwa
mapato yake yanawasilishwa. 0erikali hiyo haina mamlaka ya kuzibana nchi washirika
kuwasilisha au kuziwajibisha zisipofanya hivyo. Katika mazingira hayo ni rahisi kwa 0erikali
ya Muungano kukwama na kushin!wa kutekeleza majukumu yake. %uu ni muun!o ambao
inakuwa ni rahisi sana kwa Muungano kuvunjika.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Katika asimu ya Katiba, 0erikali ya Muungano inapewa fursa ya kukopa kama chanzo
cha kujipatia mapato ya kuen!esha shughuli zake. <akini, kwa sababu ya kukosa rasilimali
zake yenyewe, huen!a ikawa vigumu kwa 0erikali hiyo kukopesheka. Kwa jumla hii ni
0erikali ambayo ukuu wake hauna nguvu iliyo thabiti, na watu wengine wanaona kama vile
ukuu huo haupo kabisa. &kitokea kiongozi ye yote wa nchi washirika akatunisha misuli !hi!i
ya ais wa Muungano au kupinga maamuzi ya 0erikali au chombo cha Muungano, ais na
0erikali yake watakuwa hawana lo lote la kufanya. Kwa kweli uhai wa Muungano katika
muun!o wa 0erikali tatu ni wa mashaka makubwa.
%ofu hizi kuhusu u!haifu wa 0erikali ya Muungano chini ya mfumo wa 0erikali tatu
unaopen!ekezwa, zinawasumbua hata wale wanaopen!elea mfumo wa 0erikali tatu kuwepo.
Wao wangepen!a iwepo 0erikali ya Muungano yenye nguvu na inayoweza kusimama
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 20/24
20
yenyewe kwa kujitegemea. Wanaona kilichopen!ekezwa hakitoi matumaini hayo. %ii ina
maana kuwa lazima mawazo bora zai!i yatolewe ili kupata 0erikali ya tatu yenye ukuu
unaoonekana na inayoweza kusimama yenyewe bila kuwa tegemezi na egemezi kwa nchi
washirika. /ia inaweza kuwa nguzo ya kutegemewa na nchi washirika. Bila ya shaka Bunge
hili likiamua tufuate mfumo huo linaweza kuonyesha njia ya kuon!oa hofu hizo. Kwa
waumini wa 0erikali mbili wanaona kuwa huu ni uthibitisho wa ubora wa muun!o wa 0erikali
mbili.
C*&ng&+o$o !& H"#"& !& U$&"9&
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Katika kuainisha changamoto za muun!o wa 0erikali tatu, #ume ya Maba!iliko ya
Katiba imeyataja mambo mengine mawili makubwa ambayo ningepen!a Waheshimiwa
Wajumbe muyape tafakuri stahiki. Mambo hayo ni +o#", misuguano na mikwamo 7deadlocks
and paralysis8 katika kuja!ili na kufanya uamuzi kuhusu mambo muhimu ya Muungano. Na
"/", ni kuibuka kwa hisia za utaifa 7nationalistic sentiments8 wa zamani kwa nchi washirika.
Nawaomba myatafakari kwa makini sana mambo haya, kwa sababu ya uwezo wake mkubwa
wa kuhatarisha siyo tu ustawi na uhai wa Muungano, bali hata usalama wa raia na mali zao.
Naona hata #ume haikuweza kupata ufumbuzi ulio mwafaka kabisa kwa changamoto hizi.
Bila ya shaka katika mija!ala yenu Waheshimiwa Wajumbe mnaweza kusai!ia.
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Ni lazima lifanyike kila linalowezekana kuhakikisha kuwa maamuzi hayakwami kwani
yakikwama maana yake shughuli za Muungano zitakuwa zimekwama. Kama
hazitakwamuliwa kwa wakati ustawi wa Muungano utaathirika. >kishin!ikana kabisa
kupatikana ufumbuzi Muungano unaweza kuvunjika. Kuibuka na kukua kwa hisia za utaifa
7nationalistic feelings8 kwa nchi washirika, yaani tanganyika na zanzibari ni tishio kubwa
sana kwa uhai wa Muungano. %ebu fikiria, watu walioishi pamoja ki!ugu na kwa
kushirikiana, kama watu wamoja na raia wa nchi moja yaani Watanzania kwa miaka 1, kuja
kujikuta uhusiano wao kuwa ni kati ya Watanganyika na Wazanzibari na siyo kati ya
Watanznaia. Kwa mujibu wa sensa iliyopita takriban &#"/"+"& >0 ya Watanzania waliopo sasa
wamezaliwa baa!a ya mwaka )*(+. Nchi wanayoijua ni #anzania. <itakuwa ni jambo lenye
mshtuko mkubwa na athari zisizoweza kutabirika, watu hao watakapojikuta ni wageni
wanaotakiwa kutengenezewa utaratibu maalum wa kusafiri na kuishi wakiwa upan!e wa
Muungano ambao siyo kwao kwa asili. Wanakuwa wageni na fursa walizokuwa wanazipata
waen!apo popote haiwi rahisi tena kuzipata.
Katika mazingira hayo ni rahisi sana chuki kupan!ikizwa na watu waliokuwa n!ugu
mara moja watajikuta maa!ui. &i!ha, watu wanaweza kujikuta wakilazimika kuru!i kwao
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 21/24
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 22/24
22
Mambo ya kuyasemea ni mengi mno lakini kwa sababu ya ufinyu wa mu!a,
nisingeweza kuyazungumzia yote. Naamini, mtayaona katika kuipitia asimu na kwenye
maja!iliano yenu. Napen!a kusisitiza kwenu kuwa kazi iliyo mbele yenu ni kubwa sana. Ni
kubwa kwa maana mbili. Kwanza, jukumu lenyewe la kutunga Katiba ya nchi ni zito sana.
#aswira ya nchi yetu itakuwaje na itaen!eshwa vipi kwa miaka mingi ijayo iko mikononi
mwenu. >peni nchi yetu hatima njema. /ili, ni kubwa kwa maana ya uzito wa mambo ya
kuja!ili na kuyafanyia uamuzi. Kwa ajili hiyo, ni muhimu sana kuisoma asimu na #aarifa ya
#ume kwa makini na kuzielewa. "ipeni mu!a wa kutafakari kila neno, kila sentensi, na kila
!hana ili muweze kufanya uamuzi ulio sahihi. Mkifanya hayo mtakuwa mmeisai!ia nchi yetu
na Watanzania wote kupata Katiba nzuri.
Nimefarijika sana kusikia kuwa mtajigawa kwenye Kamati )' wakati wa kuja!ili
asimu. %uu ni utaratibu mzuri kwani mkiwa katika vikun!i vya watu wachache, mtakuwa na
mija!ala ya kina zai!i. Watu wote wanaweza kupata fursa ya kutoa maoni yao, kwa kila
kifungu na kila jambo linaloibuliwa na kuzungumzwa. Kwa kufanya hivyo, mtatimiza kwa
ukamilifu jukumu lenu la kutunga Katiba. Wote mtakuwa mmeshiriki kuja!ili kila sura na
vipengele vyake vyote. Mkimaliza kazi yenu mtapokea kwa haki sifa nzuri kama Katiba
itakuwa nzuri, au lawama stahiki iwapo itakuwa kinyume chake.
Pong!" -& M-n'"$" -& M.&
Mheshimiwa Mwenyekiti;
Nitakuwa mwizi wa fa!hila kama nitamaliza hotuba yangu bila ya kutambua kazi nzuri
iliyofanywa na Mheshimiwa /an!u &meir Kificho, 0pika wa Baraza la Wawakilishi,
alipokuwa Mwenyekiti wa Mu!a wa Bunge hili. Kazi yake haikuwa rahisi hata ki!ogo, lakini
kwa umahiri na usta!i mkubwa ameweza kufanikisha mambo kwa kiasi ambacho anastahili
pongezi zetu sote. &nastahili pongezi kwa sababu yeye alien!esha Bunge hili bila ya kuwepo
kwa kanuni. #atizo hili hatakuwa nalo Mwenyekiti wa Ku!umu kaka yangu Mheshimiwa
0amuel 0itta.
Napen!a pia kuwapongeza Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kwa
hatua mliyofikia. %ata hivyo, mmechukua mu!a mwingi katika hatua ya awali hivyo hamna
bu!i kuongeza kasi. Naomba niwakumbushe kuwa mija!ala yenu hii inafuatiliwa kwa karibu
sana na Watanzania. Wamewekeza sana matarajio yao kwenu. %amna bu!i, haiba na taswira
ya uongozi muionyeshe wakati wote wa kuen!esha mija!ala yenu kwa lugha na viten!o vyenu.
Wakati wa semina na mja!ala wa kupitisha Kanuni za Bunge hili, baa!hi ya wananchi
wamekwazika sana na mwenen!o wa baa!hi ya Wajumbe. %awakutegemea kuyaona
maten!o waliyoyaona mkifanya na kusikia maneno waliyoyasikia kutoka kwenye vinywa vya
baa!hi yenu.
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 23/24
8/12/2019 Hotuba Ya Rais Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba
http://slidepdf.com/reader/full/hotuba-ya-rais-wakati-wa-kulihutubia-bunge-maalumu-la-katiba 24/24
24
&liongoze Bunge hili na Wajumbe wake waweze kufanya uamuzi ulio sahihi na wenye
manufaa kwa taifa letu kwa kila watakaloliamua.
Baa!a ya kusema maneno yangu mengi hayo, niru!ie kukushukuru Mheshimiwa
Mwenyekiti kwa kunipa fursa hii a!himu ya kulihutubia Bunge Maalum la Katiba.
Nawatakieni kila la heri na mafanikio mema. K&$"(& M'& In&-!&n&, T"+"!& W&7"(
W&o5
Mng I(&%"" T&n!&n"&
Mng L"(&%"" Bng M&&/+ /& K&$"(&
A#&n$n" #&n& -& n"#""/"!&