jamhuri va mungano wa tanzania - tamisemi.go.tz secondary... · shule itamlea kila mwanafunzi na...

12
" JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA OFISI VA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MKOA WA RUVUMA Simu Na. 0788-269091 0754-619326 SHULE VA SEKONDARI TUNDURU S. L. P 78 TUNDURU Unapojibu tafadhali taja: Kumb. Na. TSS/U.KIOT.V /vet.u TAREHE . KWA: _ VAH: MAELEKEZO VA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SHULE VA SEKONDARI TUNDURU . . KWA MWAKA 2018/19. Nafurahi kukutaarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2018/19 katika Shule va Bweniva Tunduru Sekondari katika mchepuo wa . r Shule va Sekondari Tunduru inapatikana Mkoa wa Ruvuma Wi lava va Tunduru. Shule ipo mjini umbali wa kilometa 1.5 kutoka katikati va mji wa Tunduru kuelekea upande wa Kaskazini Magharibi. Kokote utokeapo kupitia Oar-es Salaam au Songea unaweza kufika kwa siku moja. Kwa wale watokeao Oar - es - Salaam kuja .: Tunduru unashauriwa kutumia barabara va Kilwa kupitia Rufiji, Masasi, Mangaka kisha Tunduru kwa siku moja . ..• ,'.. Kuna usafiri wa uhakika kwa njia yovote utakavopita . . , Muhula wa masomo unaanza tarehe 02/07/2018. Mwisho wa kuripoti ni tarehe 16/ 7/2018 baada va hapo hutapokelewa. ,j, ••.• .! ••• Pamoja na barua hii, nimeambatanisha na fomu zifuatazo:- (a) Fomu Na. 1 Orodha va mahitaji va Shule. (b) Fomu Na. 2 Sheria za shule. Tafadhali soma kwa makini sheria hizo kabla wewe na mzazi/mlezi wako " hamjasaini fomu hive na kuamua kuja shuleni hapa. (c) Fomu Na. 3 va kukubali/kukataa nafasi ulivoteuliwa katika shule hii. (d) Fomu Na. 4 Fomu va utambuzi wa afva vako (Request for Medical Examination) vipimo vifanvike hospitali va Serikali va Wilava/Mkoa na kuidhinishwa na Mganga Mkuu. (e) Fomu Na. 5. Taarifa za ndugu watakaofika kumuona na kusikiliza shida mbalimbali za mwanafunzi. (f) Fomu Na 6.0rodha va vitabu muhimu kwaajili va kujisomea. . ' NB: Zisome kwa umakini kila fomu kisha jaza kwa umakini kabla ya kufika shuleni. Nakutakia maandalizi mema na safari njema va kuja Tunduru Sekondari. Kwa niaba va wanajumuiva wa Tundu ru Sekonda ri, Tunakukaribisha sana. . ~. 01- "31\~ {, ~ il't I LlMIA M. A. .,.. Hi: "OMA~iR:R:iJCHO(h URtI 5" C(JMbA 1 MKUU WA SHULE ~O, BOX 7~ TUMD(J~.u P.I!J. ~ ....

Upload: others

Post on 04-Oct-2019

52 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

" JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIAOFISI VA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MKOA WA RUVUMASimu Na. 0788-269091

0754-619326

SHULE VA SEKONDARI TUNDURUS. L. P 78

TUNDURU

Unapojibu tafadhali taja:Kumb. Na. TSS/U.KIOT.V /vet.u

TAREHE .

KWA: _

VAH: MAELEKEZO VA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SHULE VA SEKONDARI TUNDURU. .KWA MWAKA 2018/19.

Nafurahi kukutaarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2018/19 katika Shule va

Bweniva Tunduru Sekondari katika mchepuo wa .

r Shule va Sekondari Tunduru inapatikana Mkoa wa Ruvuma Wi lava va Tunduru. Shule ipo mjini umbali wa

kilometa 1.5 kutoka katikati va mji wa Tunduru kuelekea upande wa Kaskazini Magharibi. Kokote utokeapo

kupitia Oar-es Salaam au Songea unaweza kufika kwa siku moja. Kwa wale watokeao Oar - es - Salaam kuja

.: Tunduru unashauriwa kutumia barabara va Kilwa kupitia Rufiji, Masasi, Mangaka kisha Tunduru kwa siku moja .

..•,'.. Kuna usafiri wa uhakika kwa njia yovote utakavopita .. ,

Muhula wa masomo unaanza tarehe 02/07/2018. Mwisho wa kuripoti ni tarehe 16/ 7/2018 baada va hapo

hutapokelewa.

,j,••.• .! •••

Pamoja na barua hii, nimeambatanisha na fomu zifuatazo:-

(a) Fomu Na. 1 Orodha va mahitaji va Shule.

(b) Fomu Na. 2 Sheria za shule. Tafadhali soma kwa makini sheria hizo kabla wewe na mzazi/mlezi wako"hamjasaini fomu hive na kuamua kuja shuleni hapa.

(c) Fomu Na. 3 va kukubali/kukataa nafasi ulivoteuliwa katika shule hii.

(d) Fomu Na. 4 Fomu va utambuzi wa afva vako (Request for Medical Examination) vipimo vifanvike

hospitali va Serikali va Wilava/Mkoa na kuidhinishwa na Mganga Mkuu.

(e) Fomu Na. 5. Taarifa za ndugu watakaofika kumuona na kusikiliza shida mbalimbali za mwanafunzi.

(f) Fomu Na 6.0rodha va vitabu muhimu kwaajili va kujisomea.. '

NB: Zisome kwa umakini kila fomu kisha jaza kwa umakini kabla ya kufika shuleni.

Nakutakia maandalizi mema na safari njema va kuja Tunduru Sekondari. Kwa niaba va wanajumuiva wa

Tundu ru Sekonda ri, Tunakukaribisha sana. . ~. 01-"31\~ {, ~ il't I

LlMIA M. A. .,.. Hi: "OMA~iR:R:iJCHO(hURtI 5" C(JMbA 1 •

MKUU WA SHULE ~O, BOX 7~ TUMD(J~.uP.I!J. •~....

• •

Page 2: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

Fomu na. 01

1. MAHITAJI VA SHULE.

1.1 SARE ZA SHULE

a) SARE ZA DARASANIi. Suruali mbili za shule rangi ya light blue ziwe na mshono wa kawaida, isiyobana, UPANA

WA MIGUUNI USIOPUNGUA inchi 15.Shati nyeupe mbili za mikono mirefu (tetron) zenye kola shingoni siyo za kubana.Viatu vyeusi vya ngozi vya kufungana kamba joz~ mbili.Soksi nyeusi zaidi ya jozi mbili.Sweta rangi ya bluu (mawili).Track suit pair moja ya light blue.Ndala au kanda mbili jozi (pair) mojaVestifsingland mbili rangi nyeupe.

Mkanda wa ngozi wa kawaida rangi nyeusi wenye bakoni ya kawaida.

Laboratory coat (koti la maabara) rangi nyeupe lenye mikono mirefu na urefu usiozidi

magoti kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi.

ii.iii.iv.v.vi.

vii.viii.

ix.

x.

b) SARE ZA KAZI.

i. Suruali nyeusi mbili zenye vipimo sawa na maelekezo ya kipengele namba (a) (i) hapo juu.NGUO HIZI HUVALIWA WAKATI WA KAZI TU.

I•.. .w:. ,

ii.

• ,l •••.

,NB: (Suruali ya jeans, kodrai au kadeti haziruhusiwi).Mwanafunzi harususiwi kuja shule na nguo za aina yoyote ile tofauti na nguo zilizoorodhedhwakwenye fomu hii, hata pindi akiwa safarini kuja shuleni ni LAZIMA avae sare ya shule.

T-shirt za shule rangi ya njano yenye kola shingoni. Isiwe na rangi nyingine yoyote mfano;kwenye kola, kwenye pindo za mikono .

c) SARE ZA MICHEZO

i) T. shirt rangi nyeupe (Real Madrid) kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na T. shirt rangi

nyekundufblue (Barcelona) kwa wanafunzi wa masomo ya sanaa.

Bukta mbili rangi sawa na maelekezo ya T. shirt hapo juu kipengele (c) (i)

Raba (daruga) jozi moja.,Soksi ndefu jozi mbili.

ii)

iii)

iv)\

-d) SARE VA KUVAA WAKATI WA KUJISOMEA USIKU

i. Track suit nzito mbili rangi ya light blue.

2"#- ...• •

Page 3: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

.~1.2 ADA NA MICHANGO MINGINE

(a) Ada ya shule niTsh. 70,000 kwa mwaka. Tsh. 35,000/= kwa muhula. Ada na michango mbalimbali ya

shule ilipwe kupitia benki, Akaunti namba 70901100051 NMB- TUNDURU SEKONDARI. Baada \ffJ.

malipo Risiti ya Benki (BPS) iwasilishwe Ofisi ya Makamu mkuu wa Shule. Fedha taslimuhazitapokelewa shuleni.

(b) Michango mingine inavotaklwa kulipa

• Ukarabati wa samani".• Kitambulisho na picha• Mchango wa Taaluma• Gharama za kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine• Mchango wa huduma ya kwanza• Fedha ya tahadhari (Caution Money)•• Nembo ya shule• Welcome form five• Mahafali ya kidato cha sita

T. sh 15,000/=T.sh 6,000/=T.sh 20,000/= kwa mwakaT.sh 30,000/=T.sh 10,000/= kwa rnwakaT.sh 5,000/= (haitarudishwa)T. sh 2,000/=T.sh 5,000/=T. sh 10,000/=

NB: i. Michango vote ilipwe kupitia benki. Baada ya malipo Risiti ya Benki (BPS) iwasilishwe Ofisi

ya Makamu Mkuu wa Shule. Fedha taslimu hazitapokelewa.

ii. Mzazi unatakiwa kufungua bima ya afya (NHIF) kwaajili ya mwanao hukohuko nyumbani kabla ya4

kuripoti sh'uleni ambapo gharama kwa mwaka ni T. sh.50, 400/=. Hapa shuleni kuna huduma yai •

.~~. kwanza tu., ,

Endapo rnzaz: hutaweza kufungua bima ya afya (NHIF) kwa mwanao, itakupasa kugharimia matibabu kila

mara mwanao takapokuwa mgonjwa.

Kama mwanao tavarl ana bima va afva (NHIF) basi ni muhimu akaja navo ili kuepuka gharama va

kufungua bima nvlnglne.

1.3 MAHITAJI MENGINE MUHIMU AMBAVO MWANAFUNZI ANAPASWA KUJA NAVVO SHUlENI:-

a) Ream papers A4 mbili kwa mwaka.

b) Fedha za matumizi mengine va mwanafunzi awapo shuleni. Matumizi have kama vile kununua

daftari, kalamu, matumizi ya kawaida n.k.

,-1.4 MAHITAJI VA BWENINI

a. Godoro moja F + 2Y2 kwa 6

b. Mto na foronya rangi ya light blue

c. Chandarua moja kwa kujilinda na mbu

d. Shuka mbili zenye rangi ya light blue.

e. Ndala (kandambili jozi mojaf. Vyombo vya chakula (Kikombe 1, kijiko 1, Sahani 1 na bakuli 1)

3".. ~

• •

Page 4: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

"-

-,1.5 VIFAA VYA KUFIKA NAVYO SHULENI

a) Vifaa vVa madarasani

• Karatasi ream 1 A4 kwa matumizi yake binafsi darasani.

• Scientific calculator function fx-991MS kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi ..

• Graph paper booklet 5 kwa matumizi yake binafsi darasani.

• Kalamu za kutosha

• Daftari [counterbook) zisizopungua 12 kwa wanafunzi wanaosoma sayansi, na kwa wanafunzi

wanaosoma rnasorno ya arts waje na daftari (counterbook) zisizopungua 8 --

• Dissection kit na dissection dish kwa wanafunzi wanaosoma somo la biology.

b) Vifaa vva na elimu va kujitegemea na usafi.

• Ndoo mbili ndogo za lita kumi (10) zenye mifuniko

• Dawa ya kusafishia choo lita 5 kwa mwaka

• Jembe 1 jipya lenye mpini, ufagio wa chelewa uliojaa vizuri (usiwe na rnshikio wa mti) na fagio

laini (soft broom)-vifaa hivi vletwe na wanafunzi wote.

Pamoja na have;

i. Wanafunzi wa mchepuo wa PCB wanapaswa kuleta shoka llenye mpini.

ii. Wanafunzi wa mchepuo wa sanaa wanapaswa kuleta reki 1, na fagio ngumu (hard broom)l

III. Wanafunzi wa mchepuo wa PCM na CBG wanapaswa kuleta panga na mop per.

... .~;. ,1.5 Mahitaji mengine ya kuzingatia kwa ajili ya usajili

• Nakala ya cheti cha matokeo (Result slip)

• Nakala ya cheti cha kuzaliwa (siyo Affidavit)

• Nakala ya cheticha uraia kwa wasio watanzania

• Picha. tatu za passport

1.6 BAADHI YA VIFAA AMBAVYO HAVITAKIWI KABISA SHULENI

• Mwanafunzi haruhusiwi kuja na simu va mkononi shuleni na endapo ataonekana kumiliki simushuleni; simu itataifishwa na mwanafunzi kufutwa shule.

• Mwanafunzi haruhusiwi kumiliki kamera, redio, tablet au kornpvuta mpakato (laptop).,

4

.,.. ~• •

Page 5: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

"t=omUlla.02

SHERIA ZA SHUlE

Shule ni mahali ambapo kijana wa kike au kiume hujipatia elimu na mategemeo ya kujitayarisha kwa m~shayake ya baadae.

Anategemewa kutumia uwezo wake wote kujiendeleza kielimu (maarifa ya kukabiliana na mazingira vake),kinidhamu, utii na vile vile kuishi vizuri katika jumuiya ya shule ndani na nje ya shule.

IIi kuhakikisha kuwa lengo hila linafanikiwa, SHERIAZA SHULEzimewekwa. Sheria hizi ni rnuhirnu kwa .sababuzina jukumu kubwa la kulinda haki na utu, wa kila mwanafunzi na sifa nzuri ya shule.

Walimu na wafanyakazi wasio walimu, wote ni viongozi na walezi wa wanafunzi shuleni. Kilarnrnoja ana

wajibu wa kuhakikisha kuwa maisha ya kila mwanafunzi yanakuwa mazuri shuleni na baadae.

Nia ya shule ni kujenga katika kila mwanafunzi busara ya kushika madaraka, kutii sheria na kutovunja ahadi,ushirikiano na hisani, licha ya kumuendeleza kitaaluma darasani.

Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa nar kuthamini wengine katika jamii yake ndani na nje ya shule.

Hivyo utamthamini mtu baadae sio kwa sababu ya Elimu yake tu, bali hata kwa matendo yake mazuri na imani. .vake.

I•. ....••. ~. ,

.IIi, kumpatia mwanafunzi misingi hiyo inayofaa katika maisha yake ya baadae, anapaswa kuzingatia sheria zashule kama ifuatayo:-

.'~1. Kila mwanafunzi anapaswa kutumia akili zake za asili na busara katika kufanya uamuzi wa vitendo

mbalimbali shuleni na nje ya shule, k.m kutohudhuria darasani au kuongea lugha ya matusi ni makosa

makubwa.

2. KUWAHI:

(a) Kila mwanafunzi anapaswa kuwahi kuamka asubuhi na kufanya usafi wa mazingira na kuwahi

kwenye paredi saa 1.00'asubuhi. KucheLe"".ani kosa.\

(b) Kila mwanafunzi anapaswa kuwahi kwenye eneo la paredi "Assembly ground" kila inapogongwa~ kengele.

(c) Kila mwanafunzi lazima awahi (Kukimbia) anapoitwa na kiongozi (Mwalimu au Kiranja).

5•#_ .•.

• •

Page 6: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

3. HESHIMA:

Wanafunzi wanapaswa kuheshimiana wenyewe na kumheshimu mtu aliyewazidi makamo. Kwa hiyo

lazima kwa mwanafunzi kusalimiana na watu wazima kwa kutoa "shikamoo" au kusalimia kwa -kiingereza anapokutana na mwalimu wake.

.~

4. SARE:

Ni kosa kwa mwanafunzi kutovaa sare ya shule anapokuwa shuleni wakati wa vipindi (nje na ndani ya

darasa) na wakati wowote anapotoka nje ya shule .. Ni marufuku kuvaa kofia, ndala na mapambo va

aina vovote kama mkufu, bangili, pete n.k. __

S. UTORO:

Ni kosa la mwanafunzi kutoroka shuleni/darasani. Mwanafunzi wakati wowote ule anapopaswa kuwa

shuleni/darasani. Kwa hiyo usitoke nje ya shule bila kibali (ruhusa) cha/va mwalimu wa zamu.

.•.

6. UTUNlAJI WA VIFAA VYA SHULE

Ni kosa kwa mwanafunzi yeyote kuharibu mali yake na ya shule kama vile vitabu, viti, madawati n.k .. 7. Will

Ni kosa kwa mwanafunzi (hata mtu yeyote) kuiba au kushiriki katika kitendo cha wizi hata kikiwa

kidogo.

8.4

UTULIVU NA AMANI:

(a) Ni kosa kwa mwanafunzi kupiga KELELEakiwa darasani au hata nje ya darasa katika mazingira ya

shule .

(b) Ni kosa kwa mwanafunzi kugombana au kuchochea ili wengine wagombane.

(c)· Ni kosa kwa mwanafunzi kufanya mgono au kushiriki katika aina yoyote ya mgomo.

t•.

.~~. '. ,

,j,. "'9. KAll

Kazi ni wajibu wa kila mwanafunzi, kwa hiyo ni kosa kwa mwanafunzi kutofanya au kutega kazi za

mikana ambazo zitakuwa zimepangwa na viongozi wako .

..10. TAALUMA:

Ni kosa kwa mwanafunzi kutofanya kazi za darasani ambazo zimetolewa na mwalimufkiongozi na

kutohudhuria darasani bila 'sababu ya msingi.\

11. ULEVI NA UVUTAJI:

~ (a) Ni kosa kubwa kwa mwanafunzi kuvutafkuuza sigara, bangi ma kunywa aina yoyote ya pam be.

(b) Ni kosa kwa mwanafunzi kuonekana akizurura kwenye maeneo ya nyumba za wageni (Guest

Houses) na mabaa ya pam be.

12. Ni kosa kwa mwanafunzi kujihusisha na vitendo vya uasherati na iwapo mwanafunzi (Mvulana

atasababisha mwanafunzi mwenzake (msichana) kupata mimba, atakuwa amejifukuzisha shule

mwenyewe.

6•#....

• •

Page 7: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

-,

...•13. Ni kosa kwa mwanafunzi kuonekana kwenve nvurnba za walimu au wafanvakazi wasio walimu bila ruhusa

va Mkuu wa Shule. -14. Ni makosa kwa mwanafunzi kutojua sheria za shule

15. Wakati wote unatakiwa kutumia akili na busara.

16. Ni marufuku kwa kila mwanafunzi kufanva vitendo viovu vinavvoweza kudhalilisha na kushusha heshima

au kuleta sifa rnbava kwa shule kwani kwa makosa have, mwanafunzi anaweza kufukuzwa shule.

MAKOSA YANAYOWEZA, KUSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE1. Wizi.

2. Kutohudhuria masomo kwa zaidi va siku 90 bila taarifa/utoro.

3. Kuchochea na kuongoza mgomo au kuvuruga amani na usalama wa watu shuleni.

4. Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, waalimu/walezi na jamii kwa ujumla.

5. Kupiga mwanafunzi au mwalimu au kupigana na mwanafunzi au mwalimu.

6. Kufiiga ndevu ...

. , 7. Ulevi au unvwaji wa pombe na matumizi va madawa va kulevva .

8. Uvutaji bangi na sigara.9.. Uasherati, Ubakaji, kuoa na Ushoga .

. .'f· .•10. Kushiriki matendo va uhalifu, siasa na matendo vovote vake vanavovunja sheria za nchi.

11. Kusababisha mimba ndani na nje va shule.

12. Kutembelea majumba va starehe na nvurnba za kulala wageni.

,13. Kumiliki, kukutwa au kutumia simu va mkononi katika mazingira va shule.

\14. Kudharau Bendera va Taifa.

15. kufanva jaribio lolote la kujiua, au kutishia kujiua kama kunvwa sumu n.k

16. Kuharibu kwa makusudi mali va Umrna/Shule.17. Makosa va Jinai.18. Kukataa adhabu kwa makusudi.

l - \>_ ,,. 't>hIA'3TER~ nS;' v ':zCHQ(ll................................. URtI SfCOMbAR I Oil'

LlMIA M.A ~Op'.(J. BOX 7~ TVf'{OlJft&JMKUU WA SHULE

7

Form na. O~.~• •

Page 8: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

FOMU VA KUKUBALI/KUKUBALI KUJIUNGA NA SHULE HII

A: KUMBUKUMBU KAMllI:

1. Jina kamili la mwanafunzi .

2. Taifa tarehe ya kuzaliwa kabila .

3. Mkoa Wilaya Kata .

4. Lugha inayozungumzwa nyumbani Lugha ya kuzaliwa .

5. Jina Karnili la Baba Amefariki/Hai .

6. Jina karnili la Mam~ Amefariki/Hai .

7. Jina kamili la Mlez1 (kama huna wazazi) : ---

Uhusiano wa Mlezi .

8. Kazi ya Baba/ Mama/ Mlezi .. .

9. Je umewahi kuwa kiongozi katika shule uliyotoka? NDIYO/ HAPANA .-.. J

10. Michezo unayopenda: (i) (ii) (iii) .

-11. Sina/Ninayo matatizo ya kiafya kama yapo ni yepi .

12. Andika jina na anuani kamili ya mzazi/mlezi wako inayotumika sasa, pa,moja na namba yake ya simu.

Jina: .

Anuani : .

Simu: .

13. Andika jina na anuani karnili ya ndugu yako wa karibu (kama yupo) ambaye anaishi hapa mjini Tunduru.

Jina: : .

Anuani: : .

t. B: KUKUBALI KUJIUNGA NA SHULE HII....••.~. , 1. MWANAFUNZI

Nimesoma na kuzielewa sheria na taratibu zote za shule na ninakubali/sikubali kujiunga na shule hii.

Ninaahidi nitazifuata sheria zote na kuzitekeleza kwa mujibu wa shule inavyotaka na endapo sitofuata

taratibu hizo basi nirudishwe nyumbani kwa wazazi

Jina: Saini: Tarehe .

2. MZAZI

Nimezisoma sheria, taratibu na kanuni za shule. Nimekaa na mtoto wangu na tumekubaliana kufuata

na kutekeleza sheria zote, hivyo hatavunja sheria hiza/kanuni hizo.

Nimemuasa vya kutosha na amenielewa na endapo itatokea kwenda kinyume na taratibu hizo hatua

za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake.I

Ninakubali kulipa ada na michango vote iliyotolewa na kufuata maelekezo mengine yatakayotolewa\

na shule. Kijana huyu hana Simu na Sijampatia Simu.

Jina Saini: .

Namba ya Simu: : :. Tarehe .

Tafadhali soma kwa makini maelezo/maagizo haya na kuyatekeleza kikamilifu.

k .: "t ~ ~l>WlA!;"ERsCH"r".......~s.... 'f\ ~ cQ,,\lJ~if( /JLlMIA M A _~f'o~.~\1 ..••~ TV~DI..lP.

. - \11""'''' )(. 1~MKUU WA SHULE p·.o, 80

8

Fomu na ..o4,,~• •

Page 9: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

'. MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY. RUVUMA REGION: Tunduru Secondary ~chool,TEL: 025 - 2680229 P.O BOX 78

TUNDURU.,REF. NO. TSS/U/KDT.V/2012 DATE ,

TO. MEDICAL OFFICER

REF: REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION

Please, examine Mr. Form fiveAs tohis fitness for pursuing secondary School studies in this school

General condition of his Health.

combination _

Head Eye/Vision .

Ears/Hearing .

Mouth/Speech .

-Nose .

. .'Chest x-"'., ,

Ray report:

Blood group .

Stool .

Urine e •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• : ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

HB % .

Leucocytes .

E.S.R : .

Others .

MEDICAL CERTIFICATE:

I have examined the above named student and consider and recommend him fit/not fit for studies. Special

medical recommendation (if any) T ~ .

...........................................................................................................................................................~

Date . Signature .

Designation .

9•#

- "Ii, .

Page 10: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

.~Form na. 5

TAARIFA ZA NDUGU WATAKAOFIKA KUMUONA NA KUSIKILIZA SHIDA MBALIMBALI ZA M"YANAFUNZI

JINA LA MWANAFUNZI .KIDATO CHA MCHEPUO WA : .

~rcHA ZA WAZAZI/WAlEZI WAWllI ZIBANDIKWE_HAPA

"<

A. NDUGU WA KUMTEMBELEA NA KUSIKILIZA SHIDA ZA MWANAFUNZI1. JINA .

JINSIA KABILA : .ANAKOTOKA .UHUSIANO WAKE NA MWANAFUNZI .NAMBA VAKE VA SIMU '-- ----'

e,

2. JINA .JINSIA KABILA .AI\I.AKOTOKA .UHUSIANO WAKE NA MWANAFUNZI. : .NAMBA VAKE VA SIMU .

B. MZAZI AWAIDHINISHE HAO NDUGU WA MWANAFUNZI.MIMI MZAZI/MLEZI WA MWANAFUNZI .NINAWAIDHINISHA WATAJWA HAPO JUU KUWA NI NDUGU WA MWANANGU NA WATAKUWAWAKIFIKA KUMUONA NA KUSIKILIZA SHIDA MBALIMBALI WAKATI AMBAO MIMI KAMAMZAZI/MLEZI NITAKUWA NIMESHINDWA KUFIKA.

\

SAHIHI ...........................••..................... NAMBA VA SIMU TAREHE .

C. KIONGOZI WA SERIKALI VA MTAA/KrJlJl ATHIBiTISHE TAARIFA HI!MIMI CHEO KIJIJI/MTAA .NATHIBITISHA HAPO JUU WAMETEULIWA NA MZAZI/MLEZI WA MWANAFUNZI .NA NINAKUOMBA UWAPOKEE WAWE WALEZI MBADALA NA MWANAFUNZI TAJWA APO JUU.

SAHIHI MUHURI TAREHE NAMBA VA SIMU : .

Fomu na. 6

10"~~, .

Page 11: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

VITABU MUHIMU KWAAJllI YA MASOMOIfuatayo ni orodha ya mapendekezo ya vitabu vya ziada ambavyo vinatumika kwaajili ya kujisornea kwawanafunzi wa kidato cha tano na sita. Ni muhimu sana mzazi/mlezi ukanunua kwaajili ya mwanao walauvitabu viwili kwa kila somo atakalosomea kulingana na mchepuo aliochaguliwa.

.~

SOMO LA GENERAL STUDY (Somo hili linafundishwa kwa wanafunzi wote wa masomo va savansi na sanaa)1. Contemporary approach for advanced level (2009)-Nyambari Nyangwine

2. General studies, advanced certificate form five (2011) Richard R. F Mbalase. "(

VITABU KWA MASOMO YA SANAA.SOMO LA HISTORYHISTORY II

• Essentials in advanced level history paper two (2015) Saleh Yassin

• Mastering advanced level paper ii second edition (2017) Kato Aboubakari

HI5.TORY I

• Mastering advanced level paper I second edition (2017) Kato Aboubakari

SOMa LA ENGLISH LANGUAGE• Advanced English Language-Nicholous Asheri

• Advanced English Language-Ustaadh Shaban

• Essential For Advanced English Language 2-Nicholous Asheri

i •. .",, ,

SOMO LA GEOGRAPHY• Pritchard, J.M (1979)- a study Geography For Advanced Students, Longman, London.

• Msabila D.T (2005) An intergrated Regional study on Human and Economic Geography Advanced Level

Paper 2

• ani-ide, s. Ejiogu (1972) Population Growth and Economic Development In Africa, Heinmann, London.

• Morgan, G, C & Goh Chenf, L. (1984) human and Economic Geography. London, Ocep

• Monkhouse. F. J (1975) Principle of Physical Geography 90, Tottenham Court Road. London: Wip 9he

• Buckle, c (1978). Landforms in Africa. London

• Collin and longman (1980) General Geography-Diagrams, Longman.

• White. R. (1984) physical geography, macmillan, t.ondsn.

SOMO LA KISWAHllI(a) Tarnthiliva

• Morani-E.Mbogo

• Kivuli klnalshi-Lf+ussein~ (b) Riwava

• Vuta n'kuvute-S.A. Shafi

• Usiku utakapokwisha-M.Msokile(c) Ushairi

• Chungu tamu-T.Mvungi

• Kimbunga-H.G Haji

1 1•#..., .

Page 12: JAMHURI VA MUNGANO WA TANZANIA - tamisemi.go.tz SECONDARY... · Shule itamlea kila mwanafunzi na kumkuza katika misingi ya jamii katika hali yake ya uhuru, utu, usawa na r kuthamini

Vitabu vya maandiko ya Kiswahili-l1. Nadharia ya lugha-M.C 5aluhaya

2. Kamusi kuu ya Kiswahili-BAKITA

Vitabu vya maandiko ya Kiswahili-21. Nadharia ya tahakiki ya fasihi-M.C 5aluhaya

VITABU KWA MASOMO YA SAYANSISOMa LA PHYSICS

1. 5' Chand I (Class Xii.2. 5' Chand Ii (Class Xii)

3. Nelkon and Parker (Any Edition)

4. Roger and Moncastors

SOMa LA CHEMISTRY•• Chand 5. f( Conceptual Chemistry" Volume Xi And Volume Xii

• Chemistry For A-Level "Mzumbe Project Book"

SOMa LA BIOLOGY• Biological science s" edition by tylor, et al

• Understanding biology by glenn and toole

• Biology review paper 1

• Biology review paper 2

. -. SOMa LA MATHEMATICS.-~• Pure mathematics 1&11 J.K BOOK HOU5E

• Pure mathematics by c.J TRUNTER

• Advanced mathematics by Chand (class XI and XII)

, ,

12"#....• •