jamhuri ya muungano wa tanzania ofisi ya rais … · utambuzi wa na mba ya imei 10 namna ya kutum...
TRANSCRIPT
School Information System 2018
Mwongozo wa Mafunzo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
i
Yaliyomo
MWONGOZO WA MKUU WA SHULE 1
KWANINI SIS? 2
MKAKATI WA SIS 3
WANUFAIKA WA MFUMO WA SIS 4
MZUNGUKO WA SIS 5
MZUNGUKO WA MFUMO WA SIS UNAHUSISHA: 5
HATAU ZA SIS 6
AWAMU ZA UTEKELEZAJI WA SIS 6
FURSA ZA SIS 7
UENDELEVU NA UMILIKI 7
TAHADHARI WAKATI WA KUTUMIA TABLET 8
VIFAA 8
MPANGILIO WA SAMSUNG GALAXY TAB A6 9
UTAMBUZI WA NAMBA YA IMEI 10
NAMNA YA KUTUMIA SAMSUNG TAB A6 10
JINSI YA KUWASHA/ KUZIMA TABLET 11
SAMSUNG GALAXY TAB A6 11
NAMNA YA KUJIUNGA NA MTANDAO KATIKA TABLET YA GALAXY A6 12
NAMNA YA KUJIUNGA NA MTANDAO WA WI-FI 13
JINSI YA KUTAFUTA KIKOTOLEO 14
ALAMA MUHIMU NA KAZI ZAKE 14
JINSI YA KUFUNGUA MFUMO WA SIS 15
MENYU KUU YA SIS 16
MENYU YA MPANGILIO 17
MENYU YA MPANGILIO: MPANGILIO WA SHULE 18
MENYU YA MPANGILIO: TAFUTA MABORESHO 19
MENYU YA MPANGILIO: RUDISHA TOLEO LILILOPITA LA DATABASE 20
MENYU YA MPANGILIO: LUGHA 22
MENYU YA MPANGILIO: KUPANDISHA DARASA 23
SIS: MENYU YA TAARIFA MSINGI 24
TAARIFA ZA SHULE 25
TAARIFA ZA SHULE: KUREKODI VIPIMO VYA KIJIOGRAFIA 27
PICHA ZA SHULE 28
MADARASA YA ELIMU YA AWALI 29
ii
SAMANI ZA ELIMU YA AWALI 30
MTAALA NA UFUNDISHAJI KWA SHULE YA MSINGI 31
SIFA ZA DARASA NA SAMANI 32
MIUNDOMBINU YA SHULE 33
VYANZO VYA FEDHA 34
USIMAMIZI NA WALIMU 35
WALIMU NA WATUMISHI WASIOKUA WALIMU 36
WALIMU: MGAWANYO WA MASOMO 38
WANAFUNZI 39
UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI 40
DARASANI 41
MAHUDHURIO YA MWANAFUNZI 42
TABIA YA MWANAFUNZI 43
TATHMINI YA MWANAFUNZI 44
TAARIFA YA FEDHA 45
RIPOTI 46
KUHUSU SIS 48
ALAMA MUHIMU NA KAZI ZAKE 50
MENYU KUU 51
MENYU YA TAARIFA MSINGI 52
TAARIFA MSINGI 53
WALIMU NA WATUMISHI WASIO WALIMU 64
WANAFUNZI 66
WANAFUNZI 67
WANAFUNZI 68
DARASANI 69
TAARIFA YA FEDHA 76
RIPOTI 78
TAARIFA YA FEDHA 79
RIPOTI 79
MENYU YA MPANGILIO 82
ANGALIA MABORESHO… 83
HIFADHI 84
RUDISHA TOLEO LILILOPITA LA DATABASE 85
LUGHA 86
1
Mwongozo wa Mkuu wa ShuleMwongozo wa Mfumo wa Taarifa za Shule “SIS” wa Mkuu wa shule una haya yafuatayo:
• Taarifa ya Ujumla kuhusu SIS• Jinsi ya kutumia Samsung Galaxy Tab A6• Jinsi ya kujaza ripoti mbalimbali za SIS
Malengo 1. Maelezo kuhusu SIS 2. Jinsi ya kutumia Samsung Galaxy Tab A63. Jinsi ya kukamilisha fomu katika mfumo wa SIS
Maelezo ya jumla kuhusu SISSIS ni Nini? School Information System (Mfumo wa Taarifa za Shule).• SIS ni nyenzo ya usimamizi wa shule na kiini cha taarifa za shule.• SIS inatoa taarifa kwa muhtasari na kwa kina kuhusu utendaji wa shule.
Nini madhumuni ya SIS?Takwimu zinazopatikana kwenye mfumo wa SIS zinaweza kutumika kufanya mambo yafuatayo:
• Kusaidia katika kufanya maamuzi na kutengeneza sera;• Kutoa taarifa kuhusiana na hali ya Mfumo wa Elimu;• Kubainisha mahitaji ya kielimu; na • Kusaidia mamlaka kufanya maamuzi ya namna bora ya kugawanya rasilimali.
Maelezo kuhusu mfumo wa SIS Ni jukumu la nani kusimamia SIS?
Wafuatao wana jukumu la kusimamia SIS - Tanzania.
• TAMISEMI – Sera, Uchambuzi wa data/ Takwimu kitaifa, Uandaaji wa madodoso & Ukusanyaji wa takwimu, miundombinu ya kiteknolojia kwa ajili ya utendaji na ufanyaji kazi wa SIS.
• Mkoani – Kuratibu, usimamizi na ripoti. • Halmashauri – Usimamizi wa mfumo kwa ngazi ya halmashauri.• Mkuu wa Shule kwa usimamizi, utendaji kazi, utekelezaji na uendeshwaji wa kila siku katika ngazi
ya shule.
2
Kwanini SIS?
Upatikanaji wa papo kwa hapo wa takwimu za mahudhurio, tabia, utendaji, taarifa za fedha n.k.
Kujenga utamaduni na tabia ya matumizi ya takwimu katika kufanya maamuzi katika ngazi ya utoaji huduma (Shule) na Halmashauri.
Kuboresha usimamizi na utendaji wa utoaji wa elimu katika ngazi ya taifa (Nyenzo ya Uongozi na Usimazi wa shule).
Kuimarisha Uongozi, uratibu/ usimamizi na uangalizi.
3
Mkakati wa SIS
Upatikanaji wa papo kwa hapo wa takwimu za mahudhurio, tabia, utendaji, taarifa za fedha n.k.
Nyenzo ya usimamizi wa Elimu (Usimamizi wa shule kwa Ufuatiliaji na tathmini).
Upatikanaji wa kila siku wa takwimu (Kila siku, kwa wiki na kwa mwezi).
Matumizi ya takwimu katika ngazi ya utoaji huduma (Shule).
Ukusanyaji wa takwimu na matumizi katika ngazi ya chini.
Umiliki na uendelevu wa mfumo na takwimu.
Uwepo wa mfumo jumuishi wa takwimu za sekta ya elimu.
4
Wanufaika wa mfumo wa SIS
Utekelezaji & Ufuatiliaji
Viongozi Waandamizi Idara ya Usimamizi wa ElimuIdara ya Sera na MipangoIdara ya Serekali za Mitaa
Katibu Tawala wa MikoaA�sa Elimu wa MikoaA�sa Mipango wa MikoaMtakwimu wa MkoaMtaalamu wa TEHAMA Mkoa
Viongozi WaandamiziElimu ya MsingiElimu ya SekondariSera ya MpangoUfuatiliaji na Tathmini
KATA
SHULE
Mthibiti Mkuu wa Ubora KandaWathibiti Ubora Kanda
Mthibiti Mkuu wa Ubora WalayaWathibiti Ubora Wilaya
Wilaya MkuuMakamu Mkuu wa ShuleWalimuWatumishi wasio WalimuKamati ya Shule
A�sa Mtendaji wa KataA�sa Elimu KataA�sa Maendeleo ya Jamii Kata
Mkurugenzi Mtendaji wa HalmashauriA�sa Elimu wa HalmashauriA�sa Mipango wa HalmashauriA�sa Elimu Vifaa na TakwimuMtakwimu wa HalmashauriMtaalamu wa Tehama wa Halmashauri
WazaziUshirikiano wa Wazazi na Walimu (UWWMkutano wa Kijiji/MtaaMakundi mengine ya Kijamii
Sera na Viwango
OR-TAMISEMI
TAWALA ZA MIKOA
SEREKALI ZA MIATAA
UTHIBITIUBORAWILAYA
WEST
JAMII
UTHIBITI UBORAKANDA
5
Mzunguko wa Mfumo wa SIS unahusisha:
Mzunguko wa SIS
• Ukusanyaji wa takwimu kupitia shughuli za kila siku shuleni, • Uingizwaji na uchakatuaji wa takwimu kwenye mfumo wa kielektroniki,• Uchambuaji wa takwimu na utoaji wa ripoti, na• Kutoa taarifa za kimkakati, kiutawala, na utendaji kuhusu michakato ya kisera na mipango
katika ngazi ya shule.
Kusanya na Chakata Data
Ripoti & Chambua
Taarifa SeraTaarifu Mipango
• Mwanafunzi• Mwalimu• Vitabu• Miundombinu• Fedha
• Viashiria msingi vya Utendaji [KPIs]
• Ripoti• Dashibodi
• Kimkakati• Utawala• Utendaji
• Shule• Halmashauri• Mkoa• Taifa
6
Hatau za SISMchakato wa SIS unahusisha hatua zifuatazo:
Kutambua nakujifunzamfumo
Mafunzokuhusiana na
ukusanyaji watakwimu
Ukusanyaji wakila siku wa
takwimu
Uingizaji wa kila siku wa
takwimu kwenye Mfumo
Uchakatuaji watakwimu
Uhakiki watakwimu
Ripoti kuhusutakwimu
Uchambuzi watakwimu
Ripoti za vikaovya wiki
Vikao vyamwezi
Usambazaji wa Taarifa
Utathmini wa Mzunguko wa
SIS
Awamu za Utekelezaji wa SIS
April 2016 hadi Machi 2017
April 2017 hadi Machi 2018
April 2018 hadi Machi 2019
Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Rukwa, Mbeya, Songwe,
Njombe, Pwani, Geita, Mwanza, Kagera, Manyara, Dar es Salaam
Dashboard and Visualizations including SMS and Emailing
mechanism
Software Enchatment, Snags Clearence, Training, Data
Visualizations, Pre-Primary School
Iringa, Morogoro, Mtwara, ruvuma, Singida and KataviKigoma, Tabora, Shinyanga,
Simiyu, Mara, Dodoma and Lindi
Shule 4,452
Tablets, Software ProcessTraining Reporting
7
Fursa za SIS• Mawasiliano chanya na mahusiano ya kazi baina ya wizara husika katika Usimamizi wa Elimu
nchini.• Uwepo wa Mkongo wa Taifa wa mawasiliano na maendeleo endelevu katika miundombinu
ya Tehama katika sehemu mbalimbali nchini.• Utayari wa makampuni ya simu katika kuhakikisha mawasiliano/huduma ya mtandao
inapatikana.
Uendelevu na Umiliki• Uendelevu wa SIS unategemea na uwajibikaji wa Wakuu wa shule.• Bila umiliki wa mkuu wa shule na kujitoa SIS haitaweza kuwa endelevu.
Viashiria vya hatari katika utumiaji wa tablets na Jinsi ya kudhibiti
Viashiria Jinsi ya KudhibitiViashiria vya KiufundiShida ya Mtandao Mkuu wa Shule anaweza kukusanya
takwimu na kisha kutafuta sehemu yenye mtandao ili kutuma taarifa.
Athari za Virusi Mkuu wa Shule hatakiwi kuunganisha Tablet yake na vifaa vyovyote au mtandao wowote usiokua salama.
Viashiria vya UsimamiziTablet Kuibiwa/Kupotea Mkuu wa Shule anapaswa kuhifadhi Tablet
mahali salama.Tablet kuharibika Mkuu wa Shule anapaswa kuhifadhi na
kubeba Tablet kwa uangalifu mkubwa.Watumiaji wasio na ujuzi Uongozi unapaswa kufanya mafunzo ya
mara kwa mara “Muongozo wa mtumiaji wa SIS“ utumike.
8
Tahadhari wakati wa kutumia tablet
• Usidondoshe tablet.• Usiloanishe tablet.• Usidondoshe chaja inayotumia nishati ya jua (solar charger).• Weka mbali na watoto.• Epuka matumizi yasiyofaa ya tablet mf. Facebook, twitter, �lamu nk.• Usiingize takwimu kama chaji iko chini sana, unaweza poteza takwimu zako. • Usitumie tablet ukiwa unatembea au kuendesha. • Usichaji tablet kwa kutumia kompyuta/ laptop.
Vifaa
9
Mpangilio wa Samsung Galaxy Tab A6
1. Power/Lock Key: Bonyeza na Shikilia ilikuwasha/ kuzima Tablet na bonyeza kuwekaau kutoa loki katika Tablet.
2. Volume Keys: Bonyeza ili kubadili sauti wakatiwa kusikiliza mziki
3. MicroSD Slot: Simika kadi ya MicroSD Card inayotumika kuhifadhia mafaili.
4. SIM Card Slot: Simika kadi ya SIM kulinganana Mtandao husika.
5. Back Key: Bonyeza kurejea katika chaguolililotangulia
6. Home Key: Kuoneshaukurasa wa mwanzo waTablet.
7. Recent Key: Bonyeza na shikilia ili kuonakilichotumika karibuni
8. Ear Phone Jack: Bonyeza earphone ilikusikiliza mziki au mazungumzo.
9. Multipurpose Jack: Hutumika kubonyezaUSB kwa ajili ya kuhamisha mafaili au kuchaji.
10.Front-Facing Camera Lens : KuchukuaPicha na Video
11. Microphone : Rekodia Sauti
1. Power/Lock Key: Bonyeza na Shikilia ili kuwasha/ kuzima tablet na bonyeza. kuweka au kutoa loki katika tablet.
2. Volume Keys: Bonyeza ili kubadili sauti wakati wa kusikiliza mziki.
3. MicroSD Slot: Simika kadi ya MicroSD Card inayotumika kuhifadhia mafaili.
4. SIM Card Slot: Simika kadi ya SIM kulingana na Mtandao husika.
5. Back Key: Bonyeza kurejea katika chaguo lililotangulia.
6. Home Key: Kuonesha ukurasa wa mwanzo wa tablet.
7. Recent Key: Bonyeza na shikilia ili kuona kilichotumika karibuni.
8. Ear Phone Jack: Bonyeza earphone ili kusikiliza mziki au mazungumzo.
9. Multipurpose Jack: Hutumika kubonyeza USB kwa ajili ya kuhamisha mafaili au kuchaji.
10. Front-Facing Camera Lens: Kuchukua Picha na Video.
11. Microphone: Rekodia Sauti.
13. Rear Camera (Back Camera): Chukua Picha na Video.
14. Flash Light Lense: Kuongeza mwanga katika picha ikiwa kuna giza au mwanga mdogo.
15 & 16: Speaker: Sehemu iliyozoeleka kwa ajili ya kutoa sauti.
13. Rear Camera (Back Camera): ChukuaPicha na Video
14. Flash Light Lense: Kuongeza mwangakatika picha ikiwakuna giza au mwanga mdogo.
15&16. Speaker: Sehemu iliyozoelekakwa ajili ya kutoasauti
10
Utambuzi wa namba ya IMEI
• Kila tablet ina namba ya kipekee ya IMEI ambayo inawezesha kupatikana kwa tablet pindi imepotea/ imeibwa au kutofautisha tablet moja na nyingine.
• IMEI- Namba inayopatikana katika boksi la tablet, nyuma ya tablet na kwa kuandika *#06#
Namna ya kutumia Samsung Tab A6
Kwa usalama waTablet unashauriwakukitumia kikiwa juuya meza/ dawatiisipokuwa wakati wa kuchukua picha nakurekodi vipimo vyakijiografia
Kwa usalama wa tablet unashauriwa kuitumia ikiwa juu ya meza/ dawati isipokuwa wakati wa kuchukua picha na kurekodi vipimo vya kijiogra�a.
11
Jinsi ya Kuwasha/ Kuzima tablet Kuwasha Tablet bonyeza nakushikilia alama ya Power/ Lock kwa sekunde kadhaa
Kuzima Tablet bonyeza nakushikilia alama ya Power/ Lock kwa sekunde kadhaa
Kwenye menyu ya machaguoya Tablet, gusa Power Off, kisha zima tena
Kuwasha tablet bonyeza na kushikilia alama ya Power/ Lock kwa sekunde kadhaa.
Kuzima tablet bonyeza na kushikilia alama ya Power/ Lock kwa sekunde kadhaa.
Kwenye menyu ya machaguo ya tablet, gusa Power O�, kisha zima tena.
Samsung Galaxy Tab A6
Ulinzi wa Tablet • Tablet inajifunga yenyewe skrini yake
ikikaa bila matumizi kwa muda �ani au unaweza funga muda wowote unaotaka.
Kufungua tablet• Fungua tablet kwa “kuswipe” na kidole
chako kutoka upande mmoja kwenda mwingine wa skrini. Ufunguaji huu ni wa kawaida na hautoi ulinzi wowote.
Kufunga tablet• Bonyeza mara moja alama ya “Power.”
12
Namna ya kujiunga na mtandao katika tablet ya Galaxy A6
Hii inaweza fanyika kwa njia mbili 1. Kwa kuwasha data 2. Kupitia Wi-Fi.
2. Kwa kuwasha data: “Swipe” sehemu ya juu ya tablet na kisha tafuta Alama ya Data, kisha gusa data ili kuwasha.
13
Namna ya kujiunga na mtandao wa Wi-Fi
1. Katika ukurasa wa “Home” bonyeza Apps
2. Bonyeza Settings
3. Washa mtandao wa Wi-Fi
4. Chagua na Jiunge kwenye mtandao unaofanya kazi
14
Jinsi ya kutafuta Kikotoleo
Kwanza: Nenda katika Ukurasa wa Mwanzo kisha bonyeza Alama ya Apps kisha tafuta alama ya SAMSUNG na ichague, utaona kitufe cha kikokotoleo, bofya nauendelee kukitumia.
Alama muhimu na Kazi zake
Wakati wa kutumia tablet na mfumo wa SIS, Mkuu wa Shule atakutana na alama zifuatazo ambazo ni muhimu kuzielewa:
Wakati wa kutumia Tablet na mfumo wa SIS, Mkuu waShule atakutana na alama zifuatazo ambazo ni muhimukuzielewa:-
Mpangilio wa mfumo
Menyu
Intanet ipo au imeunganishwa kwenye mtandao wa Wi-Fi
Hakuna huduma ya Meseji / Mtandao
Kuhifadhi taarifa
Tafuta Mwalimu au Mwanafunzi
Ingiza Taarifa zilizo kwenye fomu
Futa taarifa ya mwalimu au mwanafunzi ili mradi asiwe amepangiwa masomo au darasa
15
Jinsi ya Kufungua Mfumo wa SIS
16
Menyu Kuu ya SIS
Menyu Kuu
Taarifa Msingi
Darasani
Taarifa ya Fedha
Ripoti
Menyu kuu ina machaguo manne:
Taarifa Msingi Wasifu wa Shule Walimu Wanafunzi
Darasani Mahudhurio Tathmini Tabia
Taarifa ya Fedha Ruzuku ya Uendeshaji
Ripoti Walimu Wanafunzi Mahudhurio
17
Menyu ya Mpangilio
Menyu ya Mpangilio
Menyu ya Mpangilio
Chagua Menyu ya Mpangilio kubadili:
1. Mpangilio wa Shule2. Mpangilio wa
Msimamizi Mfumo3. Angalia Maboresho4. Hifadhi database
yako5. Rudisha toleo
lililopita la database6. Lugha7. Kuhusu SIS8. Kupandisha
wanafunzi madarasa
18
Menyu ya Mpangilio: Mpangilio wa Shule
Menyu ya Mpangilio
Mpangilio wa Shule
Mpangilio wa ShuleChagua menyu ya Mpangilio wa Shule ili kubadili:Zingatia: Ujumbe utatokea kwa juu, gusa kwenye “Thibitisha”
1. Namba ya EMIS ya Shule2. Badili Jina la Shule3. Badili Awamu na Hatua
Baada ya marekebisho yoyote bonyeza Hifadhi
Ili kuhifadhi mabadiliko yako au Kitufe cha Rudi Nyuma ili kukataa Mabadiliko.
19
Menyu ya Mpangilio: Tafuta Maboresho
Menyu ya Mpangilio
Tafuta maboresho
Tafuta maboresho…Chagua menyu ya Tafuta maboresho ili kuthibitisha kama mfumo mpya unapatikana. Kama mfumo mpya upo, utaona ujumbe ufuatao:
Bonyeza Sawa ili kupakua mfumo mpya na na kisha Simika.
Endapo hakuna mfumo mpya, utaona ujumbe ufuatao:
20
Menyu ya Mpangilio: Rudisha toleo lililopita la database
Menyu ya Mpangilio
Hifadhi Nakala ya Database
Hifadhi Nakala ya Database
Chagua menyu ya Hifadhi ili kutengeneza nakala ya database. Ukiulizwa, chagua Ndani ya tablet au Mtandaoni:
Ndani ya tablet ikichaguliwa, nakala ya database itahifadhiwa katika tablet. Wakati Mtandaoni ikichaguliwa, utahitaji kuwa na intaneti ili kuhifadhi nakala ya database mtandaoni (server).
21
Menyu ya Mpangilio: Rudisha toleo lililopita la database
Menyu ya Mpangilio
Rudisha toleo lililopita la database.
Rudisha toleo lililopita la database
Chagua menyu ya Rudisha toleo lililopita la database ili kuweza kurejea katika toleo lililopita la database lililohifadhiwa ndani ya tablet yako au mtandaoni.Ukiulizwa kuhusu hifadhi iliyotumika, chagua Ndani ya tablet au Mtandaoni:
Ndani ya tablet ikichaguliwa, rejesho litafanyika kutoka katika tablet. Wakati Mtandaoni ikichaguliwa, utahitaji kuwa na intaneti na rejesho litafanyika kutoka katika mtandao (server).
Katika hatua hapo juu, hakikisha umechagua chaguo sahihi kutoka katika orodha.
22
Menyu ya Mpangilio: Lugha
Menyu ya Mpangilio
Lugha
Lugha
Chagua menyu ya Lugha ili kuchagua lugha ya kutumia:Lugha zilizopo:• English na • Kiswahili
Zingatia: Ukiulizwa lugha, Chagua lugha unayopendelea kutumia kisha endelea.
23
Menyu ya Mpangilio: Kupandisha darasa
Menyu ya Mpangilio
Kupandishwa darasa
Kupandishwa darasa
Chagua menyu ya Kupandishwa darasa ili kuwapeleka wanafunzi katika darasa linalofuata kielektroniki:
Zingatia: Ukiulizwa, Chagua Thibitisha kisha endelea.
24
SIS: Menyu ya Taarifa Msingi
Menyu ya Taarifa Msingi ina machaguo matatu:
Wasifu wa ShuleKatika Wasifu wa Shule kuna fomu zifuatazo:
Taarifa za Shule – Madarasa ya Elimu ya Awali – Mtaala wa Elimu ya Msingi na Maelekezo – Sifa za Madarasa ya Elimu ya Msingi na Samani – Miundombinu ya Shule – Vyanzo vya Fedha – Usimamizi na Walimu.
WalimuSehemu hii ina fomu zifuatazo:• Taarifa Binafsi za Walimu na Watumishi
wasiokuwa walimu
WanafunziSehemu hii ina fomu zifuatazo:• Taarifa Binafsi za Wanafunzi• Uandikishwaji wa Wanafunzi
Kila chaguo lina orodha ya vitu kadhaa ambavyo vimetajwa katika mfumo wa sasa wa SIS.
Maboresho mengine yatafanyika katika matoleo yajayo.
25
Taarifa za Shule
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Taarifa za Shule
Taarifa za Shule
Ingiza taarifa katika sehemu husika zilizopo. Taarifa hizi zinaweza rekebishwa muda wowote.
Tumia kidole chako kupeleka juu au chini katika fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea sehemu tofauti katika seksheni hii.Peleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO kutembelea fomu inayofuata.
Peleka kidole kutoka KUSHOTO kwenda KULIA kutembelea fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kitufe cha Hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii lazima ifanyike katika KILA fomu.
26
Taarifa za Shule
Namba 1 hadi 6 Taarifa hizi zinajazwa tayari na TAMISEMI.
Kamilisha taarifa zilizosalia kama ulivyoelekezwa.
27
Taarifa za Shule: Kurekodi vipimo vya Kijiogra�a
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Taarifa za Shule
Vipimo vya Kijiogra�a vya Shule
Jinsi ya kurekodi vipimo vya Kijiogra�a
• Ukiwa umesimama mbele ya o�si ya Mkuu wa Shule (sehemu yoyote inayotumiwa na Mkuu wa Shule kama o�si) gusa “anza kurekodi”.
• Nenda kwenye Taarifa za Shule, Namba 9 (Vipimo vya Kijiogra�a vya Shule)• Bofya “Anza Kurekodi Mahali”, ili kuanza kurekodi, baki hapo hapo mpaka vipimo vimepatikana kwa
usahihi.• Bofya “Sitisha Kurekodi Mahali” ili kusitisha kurekodi.
Zingatia:
• Baada ya kurekodi vipimo vya Latitude (katika mwonekano wa -6.762595320624896) na Longitude (katika mwonekano wa 39.25480499383832) bofya “sitisha” ili kusitisha kurekodi.
• Mkuu wa Shule anapaswa kutozunguka zunguka wakati wa kuchukua vipimo vya jiogra�a.• Hakikisha alama ya kurekodi Location iko ON wakati wa kurekodi vipimo vya Jiogra�a.
28
Picha za Shule
10. Picha za ShulePiga picha za shule kwa kuzingatia maeneo yafuatayoMuonekano wa Mbele za ShuleHuduma za majiVyooMadarasaNyumba za Walimu
ZINGATIA: Piga picha kama ulivyoelekezwa
Jinsi ya kuchukua Picha
• Shikilia tablet kwa mikono ilihali Skrini ikiangalia upande wa Mchukua Picha (kama inavyoonekana katika picha) na neno Samsung upande wa kushoto wakati huo alama ya Kuchukua Picha ikiwa upande wa kulia.
• Hakikisha vidole vya kushoto havizuii kamera upande wa nyuma wa tablet.
• Bonyeza alama ya Chukua Picha ili kuchukua picha na hifadhi picha ambayo ni bora kuliko zote.
• Chukua picha kadhaa kisha chagua iliyo bora zaidi.
Shikilia Tablet kwa mikonoilihali Skrini ikiangalia upandewa Mchukua Picha (kamainavyoonekana katika picha) naneno Samsung upande wa kushoto wakati huo alama ya Kuchukua Picha ikiwa upandewa kulia. Hakikisha vidole vya kushotohavizuii kamera upande wa nyuma wa Tablet. Bofya alama ya Piga Picha ilikupiga picha na hifadhi pichaambayo ni bora kuliko zote. Chukua picha kadhaa kishachagua iliyo bora zaidi.
29
Madarasa ya Elimu ya Awali
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Madara ya Elimu ya Awali
1. Madarasa ya Elimu ya Awali
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.
Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata.
Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kifute cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
30
Samani za Elimu ya Awali
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Samani za Elimu ya Awali
2. Samani za Elimu ya Awali
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.
Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata.
Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kifute cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
31
Mtaala na Ufundishaji kwa Shule ya Msingi
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Mtaala na Ufundishaji kwa Shule ya Msingi
3. Mtaala na Ufundishaji kwa Shule ya Msingi
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.
Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata.
Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kifute cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
32
Sifa za Darasa na Samani
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Sifa za Darasa na Samani
4. Sifa za Darasa na Samani
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.
Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata.
Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kifute cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
33
Miundombinu ya Shule
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Miundombinu ya Shule
5. Miundombinu ya Shule
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.
Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata.
Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kifute cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
34
Vyanzo vya Fedha
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Vyanzo vya Fedha
6. Vyanzo vya Fedha
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.
Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata.
Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kifute cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
35
Usimamizi na Walimu
Taarifa Msingi
Wasifu wa Shule
Usimamizi na Walimu
7. Usimamizi na Walimu
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza kubadilishwa muda wowote ujao.
Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu.
Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika tablet.
Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata.
Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kifute cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
36
Walimu na Watumishi wasiokua walimu
Walimu na Watumishi wasiokua walimu.
Kuongeza na Kurekebisha taarifa za walimu na watumishi wasiokua walimu.
Walimu na Watumishi wasiokua walimu
Mwanzoni orodha ya walimu na watumishi wasiokua walimu itakua wazi. Bonyeza kitufe cha “Ongeza” ili kuanza kuingiza taarifa za walimu na watumishi wasiokua walimu.
37
Walimu na Watumishi wasiokua walimu
Walimu na Watumishi wasiokua walimu.
Kuongeza na Kurekebisha taarifa za walimu na watumishi wasiokua walimu.
Walimu na Watumishi wasiokua walimu
Taarifa Binafsi
• Ingiza ID ya mwalimu (Cheki Namba).• Bonyeza Picha ili kumpiga picha mwalimu au mfanyakazi. Kumbuka kubonyeza Hifadhi pindi picha
imechukuliwa.• Chagua kama ni mwalimu wa darasa, wa somo au mfanyakazi. • Ni mwalimu wa darasa pekee ndiye mwenye uwezo wa kuingiza taarifa ya mahudhurio.• Jaza sehemu zilizobakia kwa taarifa sahihi.• Pindi fomu ina taarifa zote, LAZIMA ubonyeze hifadhi.• Mwishoni, peleka kidole chako kutoka kulia kwenda kushoto ili kuingiza taarifa za kitaaluma za
mwalimu.
38
Walimu: Mgawanyo wa Masomo
Walimu
Mgawanyo wa Masomo
MUHIMU
• Ni Mwalimu wa Darasa Pekee anayepaswa kuingiza taarifa za mahudhurio.
• Ni madarasa yaliyoingizwa katika fomu hii ndiyo yatakayotokea wakati wa kuingiza taarifa za Mahudhurio.
2. Mgawanyo wa Masomo
Tumia fomu hii ili kuingiza data za masomo YOTE yanayofundishwa na kila mwalimu. Somo linatafsiriwa katika mtiririko:
Awamu -> Hatua -> Darasa -> Mkondo -> Somo
Pindi mtiririko umekamilika, bonyeza kitufe cha Hifadhi ili kurekodi darasa husika. Unaweza jaza madarasa mengi mwalimu husika anayofundisha.
Hatua ikikamilika, bonyeza kitufe cha kurudi nyuma.
39
Wanafunzi
Wanafunzi
Kuongeza na kurekebisha taarifa za wanafunzi
Wanafunzi
Taarifa Binafsi
1. Ingiza ID ya Mwanafunzi (Namba ya Uandikishwaji). Namba hii ni LAZIMA iwe tofauti ndani ya shule.2. Bonyeza Picha ili kupiga picha ya mwanafunzi. Kumbuka kubonyeza Hifadhi baada ya picha kuwa
imepigwa.3. Jaza sehemu zilizobakia kwa taarifa sahihi.4. Pindi fomu ina taarifa zote, LAZIMA ubonyeze hifadhi.5. Mwishoni, peleka kidole chako kutoka kulia kwenda kushoto ili kuingiza taarifa za kitaaluma za
mwanafunzi.
40
Uandikishaji wa Wanafunzi
Wanafunzi
Uandikishaji
2. Uandikishaji
Uwekwaji wa ngazi ya darasa
Tumia fomu hii kuweka mkondo wa mwanafunzi. Mkondo unatafsiriwa katika mtiririko huu:
Awamu -> Hatua -> Darasa -> Mkondo
Baada ya kuwepo mtiririko, chagua kama mwanafunzi Amekariri, Mwanafunzi mpya au Mwanafunzi mpya mwenye Elimu ya Awali.
Bonyeza kitufe cha Hifadhi ili kurekodi mkondo huo.
Ukishakamilisha, bonyeza kitufe katika tablet ya Kurudi nyuma.
41
Darasani
Darasani
Mahudhurio
Tathmini
Tabia
Menyu ya Darasani ina machaguo matatu:
Mahudhurio
Rekodi mahudhurio ya kila siku kwa walimu na wanafunzi.
Tathmini
Rekodi tathmini ya kila mwanafunzi kwa somo.
Tabia
Rekodi tabia za kila mwanafunzi.
42
Mahudhurio ya Mwanafunzi
Darasani
Mahudhurio
Mahudhurio
Rekodi mahudhurio ya kila siku ya walimu na wanafunzi.
1. Weka tarehe husika.2. Chagua kama mwalimu yupo au hayupo.3. Kama jibu ni Hapana, chagua kama kuna msimamizi darasani au hapana.
43
Tabia ya Mwanafunzi
Darasani
Tabia
Tabia
Rekodi tabia za wanafunzi.
1. Weka tarehe husika.2. Chagua jina la mwalimu.3. Chagua somo4. Chagua Jina la Mwanafunzi5. Chagua tabia ya mwanafunzi6. Hifadhi taarifa
44
Tathmini ya Mwanafunzi
Darasani
Tathmini
Tathmini
Fanya tathmini ya wanafunzi.
1. Weka tarehe husika.2. Chagua jina la mwalimu.3. Chagua somo.4. Chagua aina ya Tathmini.5. Weka maksi za wanafunzi.6. Hifadhi taarifa.
45
Taarifa ya Fedha
Taarifa ya Fedha
Ruzuku ya Uendeshaji
Taarifa ya Fedha
1. Jaza nafasi zilizopo na takwimu husika.2. Baada ya kukamilisha kujaza fomu kwa taarifa sahihi, HAKIKISHA umehifadhi.3. Mwisho, peleka kidole chako kutokea upande wa kulia kuelekea kushoto ili kuingiza taarifa za
kitaaluma za mwalimu.
46
RipotiAina ya ripoti
Makundi yafuatayo ya ripoti yanatarajiwa kuwepo katika SIS:• Ripoti kuhusu Walimu• Ripoti kuhusu Wanafunzi• Ripoti kuhusu Mahudhurio
Ripoti: Walimu
Ripoti za Walimu
47
Ripoti: WanafunziRipoti ya wanafunzi
Ripoti: Mahudhurio
Ripoti ya Mahudhurio
48
49
Mfumo wa Taarifa za Shule SISToleo 2.10 – Mei 2018
SIS ni mfumo wa taarifa za shule ambao ndio kiini cha taarifa za shule, unaowezesha kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa, kwa ngazi ya shule na ngazi za juu. SIS inatumia mfumo wa kuUnawezasha taarifa, mtandao na/au meseji (SMS) kwa ajili ya kutuma vipindi (Sensa ya Shule ya Madarasa, Samani, Vitabu, Vifaa, Usajili wa Wanafunzi (enrollment), Wanaokariri (repeaters), Mdondoko (dropouts), Wanafunzi wapya wa darasa la kwanza), taarifa za kila siku za mahudhurio (wanafunzi na walimu), tathmini na tabia.
Kuhusu SIS
Mfumo wa Taarifa za Shule v.2.10
Muongozo wa Mtumiaji
50
Unaweza kutumia vitufe vyatablet, kama kitufe cha nyuma kufunga mfumo na kupunguza mfumo (minimize app).
Mpangilio wa mfumo
Menyu
Hakuna huduma ya Meseji / Mtandao
Kuhifadhi taarifa
Tafuta Mwalimu au Mwanafunzi
Ingiza Taarifa zilizo kwenye fomu
Futa taarifa ya mwalimu au mwanafunzi ili mradi asiwe amepangiwa masomo au darasa
Alama muhimu na Kazi zake
Intaneti ipo au imeuungwanisha kwenye mtandao wa Wi-Fi
51
Taarifa Msingi
Darasani
Taarifa ya Fedha
Ripoti
Orodha kuu ina machaguo manne:
Taarifa Msingi
• Sifa za Shule• Walimu• Wanafunzi
Darasani
• Mahudhurio• Tathmini• Tabia
Taarifa ya Fedha
Ripoti
Menyu Kuu
52
Sifa za Shule
Wasifu wa Shule - Madarasa ya Awali-Mtaala na Maelekezo ya Msingi - Sifa ya Madarasa ya Elimu ya Msingi na Samani - Miundombinu ya Shule - Vyanzo vya Mapato - Usimamizi na Wafanyakazi.
Walimu
Taarifa binafsi za Walimu na Watumishi wasio WalimuMgawanyo wa Masomo
Wanafunzi
Taarifa binafsi za WanafunziUandikishaji
Menyu ya Taarifa Msingi
53
Sifa za Shule
Wasifu wa Shule
1. Wasifu wa Shule Ingiza taarifa katika visanduku vyote. Taarifa hizi unaweza kubadilisha muda wowote baadae. Tumia kidole kusogeza fomu kwenda juu au chini. Kwa tarakimu utaona kisanduku chenye tarakimu. Kwa mchanganyiko wa heru� na tarakimu utaona kisanduku chenye mchanganyiko wa maandishi na tarakimu. Unaweza kuondoa kisanduku kwa kubofya kitufe cha kurudi nyuma. Unaweza kutoka ukurasa mmoja kwenda mwingine kwa kupangusa kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO katika ukurasa. Peleka kidole kutoka KUSHOTO kwenda KULIA kurudi ukurasa wa nyuma.
Kumbuka: Ni lazima ubonyeze kitufe cha kuhifadhi taarifa ziweze kuhifadhiwa.Hili lifanyike kwa KILA ukurasa.
Taarifa Msingi
54
Taarifa Msingi
Sifa za Shule Wasifu wa Shule.
Taarifa za Kijiogra�a za Shule
1. Wasifu wa Shule
Taarifa za Kijiogra�a za Shule
• Bonyeza anza kurekodi eneo.• Subiri majira yatokee.
• Bonyeza acha kurekodi eneo
55
Taarifa za Msingi
Sifa za Shule Wasifu wa Shule Picha za Shule
1. Wasifu wa Shule Picha za Shule
• Bonyeza alama ya Picha
• Piga picha• Bonyeza Kuhifadhi
56
Taarifa Msingi
Sifa za Shule Madarasa ya Elimu ya Awali
2. Madarasa ya Elimu ya Awali
Ingiza taarifa katika visanduku vyote. Unaweza kubadilisha taarifa hizi muda wowote baadae. Tumia kidole kusogeza fomu kwenda juu au chini.Kwa tarakimu utaona kisanduku chenye tarakimu. Kwa mchanganyiko wa heru� na tarakimu utaona kisanduku chenye machanganyiko wa maandishi na tarakimu. Unaweza kuondoa kisanduku kwa kubofya kitufe cha kurudi nyuma. Unaweza kutoka ukurasa mmoja kwenda mwingine kwa kupangusa kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO katika ukurasa. Peleka kidole kutoka KUSHOTO kwenda KULIA kurudi ukurasa wa nyuma.
Kumbuka: Ni lazima ubonyeze kitufe cha kuhifadhi taarifa ziweze kuhifadhiwa.Hili lifanyike kwa KILA ukurasa.
57
Taarifa Msingi
Sifa za Shule Mtaala na Ufundishaji
3. Mtaala na Ufundishaji Ingiza taarifa katika visanduku vyote. Taarifa hizi unaweza kubadilisha muda wowote baadae. Tumia kidole kusogeza fomu kwenda juu au chini. Kwa tarakimu utaona kisanduku chenye tarakimu. Kwa mchanganyiko wa heru� na tarakimu utaona kisanduku chenye machanganyiko wa maandishi na tarakimu. Unaweza kuondoa kisanduku kwa kubofya kitufe cha kurudi nyuma. Unaweza kutoka ukurasa mmoja kwenda mwingine kwa kupangusa kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO katika ukurasa. Peleka kidole kutoka KUSHOTO kwenda KULIA kurudi ukurasa wa nyuma.
Kumbuka: Ni lazima ubonyeze kitufe cha kuhifadhi taarifa ziweze kuhifadhiwa.Hili lifanyike kwa KILA ukurasa.
58
Taarifa Msingi
Sifa za Shule Sifa za madarasa ya Elimu ya Msingi na Samani
4. Sifa za Madarasa ya Elimu ya Msingi na Samani.
Ingiza taarifa katika visanduku vyote. Taarifa hizi unaweza kubadilisha muda wowote baadae. Tumia kidole kusogeza fomu kwenda juu au chini.Kwa tarakimu utaona kisanduku chenye tarakimu. Kwa mchanganyiko wa heru� na tarakimu utaona kisanduku chenye machanganyiko wa maandishi na tarakimu. Unaweza kuondoa kisanduku kwa kubofya kitufe cha kurudi nyuma. Unaweza kutoka ukurasa mmoja kwenda mwingine kwa kupangusa kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO katika ukurasa. Peleka kidole kutoka KUSHOTO kwenda KULIA kurudi ukurasa wa nyuma.
Kumbuka: Ni lazima ubonyeze kitufe cha kuhifadhi taarifa ziweze kuhifadhiwa.Hili lifanyike kwa KILA ukurasa.
59
Taarifa Msingi
Sifa za Shule Miundombinu ya Shule
5. Miundombinu ya Shule Ingiza taarifa katika visanduku vyote. Taarifa hizi unaweza kubadilisha muda wowote baadae. Tumia kidole kusogeza fomu kwenda juu au chini. Kwa tarakimu utaona kisanduku chenye tarakimu. Kwa mchanganyiko wa heru� na tarakimu utaona kisanduku chenye machanganyiko wa maandishi na tarakimu. Unaweza kuondoa kisanduku kwa kubofya kitufe cha kurudi nyuma. Unaweza kutoka ukurasa mmoja kwenda mwingine kwa kupangusa kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO katika ukurasa.Peleka kidole kutoka KUSHOTO kwenda KULIA kurudi ukurasa wa nyuma.
Kumbuka: Ni lazima ubonyeze kitufe cha kuhifadhi taarifa ziweze kuhifadhiwa.Hili lifanyike kwa KILA ukurasa.
60
Taarifa Msingi
Taarifa za Shule
5. Miundombinu ya shule
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu. Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika Tablet. Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata. Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kitufe cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
61
Taarifa Msingi
Taarifa za Shule Vyanzo vya Fedha
6. Vyanzo vya Fedha
Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu. Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika Tablet. Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata. Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kitufe cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
62
Taarifa Msingi
Taarifa za Shule
7. Usimamizi na Walimu Jaza taarifa katika sehemu zote husika. Taarifa hizi zinaweza badilishwa muda wowote ujao.Tumia kidole kupeleka juu au chini ya fomu. Katika sehemu zinazohitaji tarakimu utaona tarakimu zinatokea kuruhusu kuchagua. Katika sehemu zinazoruhusu tarakimu na heru� zitatokea tarakimu na heru� kuruhusu machaguo. Unaweza badili mwonekano hapo juu kwa kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma katika Tablet. Tembelea seksheni hii kwa kupeleka kidole kutoka KULIA kwenda KUSHOTO ili kwenda katika fomu inayofuata. Peleka KUSHOTO kwenda KULIA ili kurudi katika fomu iliyotangulia.
Zingatia: Ni lazima ubonyeze kitufe cha hifadhi ili taarifa zihifadhiwe. Hii ni lazima ifanyike katika KILA fomu.
63
Kuongeza na Kurekebisha taarifa za walimu na watumishi wasio walimu
Walimu na watumishi wasio walimuMwanzoni orodha ya walimu na watumishi wasio walimu itakua wazi. Bonyeza kitufe cha “Ongeza” ili kuanza kuingiza taarifa za walimu na watumishi wasio walimu.
Walimu na Watumishi wasio walimu
64
Kuongeza na Kurekebisha walimu na watumishi wasio walimu
1. Walimu na watumishi wasio walimu Taarifa Binafsi1. Ingiza namba ya utambulisho ya mwalimu (Cheki Namba).
Bonyeza Picha ili kumpiga picha mwalimu au mtumishi asiye mwalimu. Kumbuka kubonyeza Hifadhi pindi picha imechukuliwa3. Chagua kama ni mwalimu wa darasa, wa somo au mtumishi asiye mwalimu.4. Ni mwalimu wa darasa pekee ndiye mwenye uwezo wa kuingiza taarifa ya mahudhurio.5. Jaza sehemu zilizobakia kwa taarifa sahihi.6. Pindi fomu ina taarifa zote, LAZIMA ubonyeze hifadhi.
7. Mwishoni, peleka kidole chako kutoka kulia kwenda kushoto ili kuingiza taarifa za kitaaluma za mwalimu.
Walimu na Watumishi wasio walimu
65
Mgawanyo wa masomo
MUHIMU 1. Ni Mwalimu wa Darasa Pekee anayepaswa kuingiza taarifa za mahudhurio.2. Ni madarasa yaliyoingizwa katika fomu hii ndiyo yatakayotokea wakati wa kuingiza taarifa za Mahudhurio.
2. Mgawanyo wa masomo Tumia fomu hii ili kuingiza taarifa za masomo YOTE yanayofundishwa na kila mwalimu. Somo linajazwa katika mtiririko ufuatao: Awamu - Hatua - Darasa - Mkondo - Somo Pindi mtiririko umekamilika, bonyeza kitufe cha Hifadhi ili kurekodi darasa husika. Unaweza kujaza darasa zaidi ya moja kwa mwalimu husika.
Hatua ikikamilika, bonyeza kitufe cha kurudi nyuma.
Walimu na Watumishi wasio walimu
66
Kuongeza au kurekebisha taarifa za wanafunzi Kitufe cha kuongeza na kutuma
Wanafunzi Mwanzoni orodha ya wanafunzi itakuwa wazi. Bonyeza kitufe cha kuongeza kuanza kuingiza taarifa za wanafunzi.
Kumbuka: Fomu hii lazima itumike wakati wa usajili na wakati wowote mwanafunzi mpya atakaposajiliwa.
Kitufe cha kutuma LAZIMA kitumike punde tu baada ya usajili wa awali kufanyika. Hatua hii itatuma taarifa fupi ya usajili kwenda wizarani kwa matumizi ya kitakwimu.
Wanafunzi
67
Wanafunzi
Kuongeza au kurekebisha taarifa za wanafunzi
1. Wanafunzi Taarifa Binafsi Taarifa Binafsi1. Ingiza namba uandikishaji ya Mwanafunzi. Namba hii ni LAZIMA iwe tofauti ndani ya shule. 2. Bonyeza Picha ili kupiga picha ya mwanafunzi. Kumbuka kubonyeza Hifadhi baada ya picha kuwa imepigwa.3. Jaza sehemu zilizobakia kwa taarifa sahihi.4. Pindi fomu ina taarifa zote, LAZIMA ubonyeze hifadhi.
Mwishoni, peleka kidole chako kutoka kulia kwenda kushoto ili kuingiza taarifa za kitaaluma za mwanafunzi.
Namba ya Mwanafunzi,
68
Wanafunzi
Uandikishaji
2. Uandikishaji
Uwekwaji wa ngazi ya darasa Tumia fomu hii kuweka mkondo wa wanafunzi. Mkondo unatafsiriwa katika mtiririko huu: Mwaka - Awamu- Hatua - Darasa - Mkondo
Baada ya kuwepo mtiririko, chagua kama mwanafunzi Amekariri, Mwanafunzi mpya au Mwanafunzi mpya mwenye Elimu ya Awali. Bonyeza kitufe cha Hifadhi ili kurekodi mkondo huo. Ukishakamilisha, bonyeza kitufe katika Tablet cha Kurudi nyuma.
69
Mahudhurio
Tathmini
Tabia
Menyu ya Darasani ina machaguo matatu: Mahudhurio Rekodi mahudhurio ya kila siku kwa walimu na wanafunzi. Tathmini Rekodi tathmini ya kila mwanafunzi kwa somo. Tabia Rekodi tabia za kila mwanafunzi.
Darasani
70
Darasani
Mahudhurio
Mahudhurio Rekodi mahudhurio ya kila siku ya walimu na wanafunzi.
1. Weka tarehe husika2. Chagua jina la mwalimu wa darasa.
Darasani
Mahudhurio
Mahudhurio Weka mahudhurio ya kila siku ya walimu na wanafunzi 1. Weka tarehe husikaChagua mwalimu wa darasa
71
Darasani
Mahudhurio
Mahudhurio Hukusanya mahudhurio ya kila siku ya Walimu na Wanafunzi. 3. Je Mwalimu wa darasa yupo darasani? Kama jibu ni HAPANA, Chagua mbadala mmoja.
72
Darasani
Mahudhurio
Mahudhurio Hukusanya Mahudhurio ya kila siku ya Walimu na Wanafunzi. 4. Kama Mwalimu wa Darasa yupo darasani, Endelea kuchukua mahudhurio. 5. Bonyeza Hifadhi kisha maliza. Kama jibu ni HAPANA, Chagua mbadala mmoja.
Darasani
Tathmini
Tathmini Hukusanya Tathmini ya kila siku.1. Chagua tarehe ya tathmini.2. Chagua Jina la Mwalimu
73
Darasani
Tathmini
Tathmini Hukusanya tathmini ya kila siku. 3. Chagua Somo linalofundishwa.
Darasani
Tathmini
Tathmini Hukusanya tathmini ya kila siku. 4. Chagua Upimaji uliofanyika.
74
Darasani
Tathmini
Tathmini Hukusanya Tathmini ya kila siku. 5. Ingiza darasa analosoma Mwanafunzi husika. 6. Bofya Hifadhi kumaliza.
Darasani
Tabia
Tabia Hukusanya Tabia za Wanafunzi kila siku. 1. Chagua tarehe husika. 2. Chagua Jina la Mwalimu.
75
Darasani
Tabia
Tabia Hukusanya Tabia za Wanafunzi kila siku. 3. Chagua Somo linalofundishwa.
Darasani
Tabia
Tabia Hukusanya Tabia za Wanafunzi kila siku.4. Chagua Somo linalofundishwa.5. Chagua Tabia ambayo imejitokeza darasani.6. Bofya Hifadhi kumaliza.
76
Taarifa ya Fedha
Moduli ya Taarifa ya Fedha humsaidia Mkuu wa Shule kupata:
Bakaa
Kiasi kilichowekwa
Matumizi
Kiasi kilichopo sasa
Taarifa ya Fedha
77
Taarifa ya Fedha
Taarifa ya Fedha
Taarifa ya Fedha
Ingiza taarifa katika maeneo yote. Taarifa hizi zinaweza kurekebishwa muda wowote baadae.
Tumia kidole kupeleka fomu juu au chini.
Kwa maeneo yanayohitaji kuingiza namba utaona menyu ya namba. Unaweza kuiondoa menyu ya namba kwa kubofya alama ya Rudi Nyuma.
Kumbuka: Lazima ubofye alama ya Hifadhi kuhifadhi taarifa. Hii inatakiwa kufanyika kila Ukurasa unaoufanyia kazi.
78
Taarifa ya Fedha
Moduli ya Ripoti humsaidia Mkuu wa Shule kufuatilia:
Mahudhurio ya kila mwanafunzi
Mahudhurio kwa darasa na mkondo
Uwiano wa darasa kwa wanafunzi
Muhtasari wa taarifa za wanafunzi na walimu
Uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi
Ripoti
79
Taarifa ya Fedha
Mahudhurio ya wanafunzi wa Elimu ya Msingi
Mahudhurio ya Wanafunzi kwa Elimu ya Msingi kwa darasa na mkondo
Uwiano wa wanafunzi - darasa
Muhtasari wa wanafunzi na walimu
Uwiano wa wanafunzi - mwalimu
Ripoti
Mahudhurio ya wanafunzi wa Elimu ya Msingi
Mahudhurio ya wanafunzi wa Elimu ya Msingi
Inaripoti mahudhurio ya wanafunzi wa Elimu ya Msingi.
80
Ripoti
Mahudhurio ya Elimu ya Msingi kwa darasa na mkondo
Mahudhurio ya wanafunzi wa Elimu ya Msingi
Inaripoti mahudhurio ya Elimu ya Msingi kwa darasa na mkondo.
Ripoti
Uwiano wa wanafunzi - darasa
Uwiano wa wanafunzi - darasa
Inaonesha uwiano wa wanafunzi - darasa.
81
Ripoti
Muhtasari wa wanafunzi na walimu
Muhtasari wa wanafunzi na walimu
Inaonesha muhtasari wa wanafunzi na walimu.
Ripoti
Uwiano wa wanafunzi na mwalimu
Uwiano wa wanafunzi - mwalimu
Ripoti inaonesha uwiano kati wa mwalimu na wanafunzi.
82
Menyu ya MpangilioChagua Menyu ya Mpangilio ili kubadili au kuangalia:
1. Mpangilio wa Shule (USICHAGUE)
2. Mpangilio wa Msimamizi Mfumo
3. (USICHAGUE)
4. Angalia maboresho
5. Hifadhi database yako
6. Rudisha toleo lililopita la database
7. Lugha
8. Kuhusu SIS
9. Automatic promotion Kupandisha wanafunzi madarasa (USICHAGUE).
Menyu ya Mpangilio
83
Angalia maboresho…
Chagua menyu ya Tafuta maboresho ili kuthibitisha kama mfumo mpya unapatikana. Kama mfumo mpya upo, utaona ujumbe ufuatao:
Bonyeza Ok ili kupakua mfumo mpya na kisha Simika.
Endapo hakuna mfumo mpya, utaona ujumbe ufuatao:
84
Hifadhi
Hifadhi ili kutengeneza nakala ya database. Ukiulizwa, chagua Ndani ya Tablet au Mtandaoni:
Ndani ya Tablet ikichaguliwa, nakala ya database itahifadhiwa katika Tablet. Wakati Mtandaoni ikichaguliwa, utahitaji kuwa na intaneti ili kuhifadhi nakala ya database mtandaoni (server).
TAFADHALI HIFADHI NAKALA YA DATABASE NDANI YA TABLET NA MTANDAONI JAPO MARA MBILI KWA MWEZI!
85
Rudisha toleo lililopita la database
Chagua menyu ya Rudisha toleo lililopita la database ili kuweza kurejea katika toleo lililopita la database lililohifadhiwa ndani ya Tablet yako au mtandaoni.
Ukiulizwa kuhusu hifadhi iliyotumika, chagua Ndani ya Tablet au Mtandaoni:
Ndani ya Tablet ikichaguliwa, rejesho litafanyika kutoka katika Tablet. Wakati Mtandaoni ikichaguliwa, utahitaji kuwa na intaneti na rejesho litafanyika kutoka katika mtandao (server).
Katika hatua zote, hakikisha umechagua chaguo sahihi kutoka katika orodha.
86
Lugha
Chagua menyu ya Lugha ili kuchagua lugha ya kutumia:
Lugha zilizopo:
Ukiulizwa lugha, Chagua English au Kiswahili: