jarida la wiki...jarida la wiki . toleo la saba . 1 jarida la wiki n yota ya nahodha wa timu ya...

11
Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 1 N yota ya nahodha wa timu ya taifa ya Taifa Stars ,Mbwana Samatta ‘Samagoal’, im- eendelea kung’ara baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka mwenye asili ya Afrika; kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama ‘D’EBBEN Golden Shoe’ Samata amesema kwamba hawezi kuwa mchoyo wa fadhila,kwakuwa anafahamu asingeweza kufikia hatua hiyo bila ya msaada wa wachezaji wenzake,benchi la ufundi,mashabiki na kila mmoja ndani na nje ya klabu yake ya KRC Genk pamoja na wale wote waliompigia kura. Nahodha huyo,pia aliwashukuru Watanzania kwa kuwa naye bega kwa bega siku zote ka- tika maombi na kumpa moyo kwa namna moja ama nyingine. Samatta amechukua tunzo hiyo kwa mara ya kwanza huku,mchezaji mwenzake wa Genk, Hans Vanaken akinyakua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa mara ya pili mfululizo. Samatta atwaa tunzo Ubelgiji Toleo namba 007 | Mei 15,2019

Upload: others

Post on 02-Feb-2020

8 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 1Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 1

J A R I D AL A W I K I

Nyota ya nahodha wa timu ya taifa ya Taifa Stars ,Mbwana Samatta ‘Samagoal’, im-eendelea kung’ara baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka

mwenye asili ya Afrika; kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama ‘D’EBBEN Golden Shoe’

Samata amesema kwamba hawezi kuwa mchoyo wa fadhila,kwakuwa anafahamu asingeweza kufi kia hatua hiyo bila ya msaada wa wachezaji wenzake,benchi la ufundi,mashabiki na kila mmoja ndani na nje ya klabu yake ya KRC Genk pamoja na wale wote waliompigia kura.

Nahodha huyo,pia aliwashukuru Watanzania kwa kuwa naye bega kwa bega siku zote ka-tika maombi na kumpa moyo kwa namna moja ama nyingine.

Samatta amechukua tunzo hiyo kwa mara ya kwanza huku,mchezaji mwenzake wa Genk, Hans Vanaken akinyakua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa mara ya pili mfululizo.

Samatta atwaa tunzo Ubelgiji

Toleo namba 007 | Mei 15,2019

. Jarida la Wiki . Toleo la Saba2

Kamati ya Soka la vijana chini ya Chama Cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), yameandaa mashindano maalum ya wato-to chini ya umri wa miaka 11 na 13,ya-takayofanyika Mei 18,mwaka huu katika viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park.

Mwenyekiti wa DRFA,Almasi Kasongo,alisema mashindano hayo yamekuja kama chachu ya kuwatengeneza watoto ambao kwa siku za usoni watakuwa tayari kushiriki mashindano ya NDONDO ACADEMY ambayo ni chini ya umri wa miaka 15 na 17.

Alisema,kimsingi mashindano hayo, yanalenga zaidi kuwaibua watoto waliopo mashuleni (shule za msingi) na kwenye vituo vya kulelea watoto maarufu kama Akademi.

Viingilio vya mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya soka ya Simba dhidi ya Sevil-la ya Hispania utakaochezwa Mei 23,mwaka huu vimetajwa, akizungumza Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Cornel Barnabas,amevitaja viingilio hivyo, kuwa upande wa mzunguko itakuwa shilingi 5000,VIP B 15000 na kwa wale wataza-maji wa tiketi za Platinum itakuwa shilingi 100,000.

Kwa upande wa Mkurugenzi wa Udhibiti na Utawala wa Sport Pesa ,amesema kwamba mchezo huo,unatarajiwa kuchezwa kuanzia saa moja kamili usiku katika dimba la uwanja wa taifa.

Viingilio Mechi ya Simba na Sevilla vyatajwa

DRFA yaandaa Mashindano ya U11 na U13

Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 3

Kikosi cha Sevilla (Hispania) Kikosi cha Simba SC (Tanzania)

Stars yafungua dimba na Senegal

Kikosi cha timu ya soka cha Taifa ‘Taifa Stars’ kina-tarajia kuanza kutupa karata yake ya kwanza ka-tika Michuano ya Mataifa Afrika dhidi ya Senegal.

Mtanange huo wa kundi C unatarajiwa kuchezwa Juni 31katika dimba la 30 June,jijini Cairo,Misri.

Kikosi cha Stars,kabla ya. kuivaa Senegal inat-arajia kucheza mchezo wa kirafi ki wa kimataifa dhidi ya wenyeji Misri Juni 13.

CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBALL 3 Abdel Khalek Tharwat Street, El Hay El Motamayez, P.O. Box 23 6th October City, Egypt - Tel.: +202 38247272/ Fax : +202 38247274 – [email protected]

CALENDRIER DE LA CAN 2019 / FIXTURES OF AFCON 2019 Matches de groupe / Group matches

No. Match Group(e) Date Time/Heure Venue/Lieu 1 EGYPT vs ZIMBABWE A Fri 21/06/19 22.00 Cairo 2 DR CONGO vs UGANDA A

Sat 22/06/19 16.30 Cairo

3 NIGERIA vs BURUNDI B 19.00 Alexandria 4 GUINEA vs MADAGASCAR B 22.00 Alexandria 5 SENEGAL vs TANZANIA C

Sun 23/06/19 19.00 30 June Cairo

6 ALGERIA vs KENYA C 22.00 30 June Cairo 7 MOROCCO vs NAMIBIA D 16.30 Al Salam Cairo 8 CÔTE D’IVOIRE vs SOUTH AFRICA D

Mon 24/06/19 16.30 Al Salam Cairo

9 TUNISIA vs ANGOLA E 19.00 Suez 10 MALI vs MAURITANIA E 22.00 Suez 11 CAMEROON vs GUINEA-BISSAU F Tue 25/06/19 19.00 Ismailia 12 GHANA vs BENIN F 22.00 Ismailia 13 EGYPT vs DR CONGO A

Wed 26/06/19 22.00 Cairo

14 UGANDA vs ZIMBABWE A 19.00 Cairo 15 NIGERIA vs GUINEA B 16.30 Alexandria 16 MADAGASCAR vs BURUNDI B

Thu 27/06/19 16.30 Alexandria

17 SENEGAL vs ALGERIA C 19.00 30 June Cairo 18 KENYA vs TANZANIA C 22.00 30 June Cairo 19 MOROCCO vs CÔTE D’IVOIRE D

Fri 28/06/19 19.00 Al Salam Cairo

20 SOUTH AFRICA vs NAMIBIA D 22.00 Al Salam Cairo 21 TUNISIA vs MALI E 16.30 Suez 22 MAURITANIA vs ANGOLA E

Sat 29/06/19 16.30 Suez

23 CAMEROON vs GHANA F 19.00 Ismailia 24 BENIN vs GUINEA-BISSAU F 22.00 Ismailia 25 UGANDA vs EGYPT A

Sun 30/06/19

21:00 Cairo 26 ZIMBABWE vs DR CONGO A 21:00 30 June Cairo 27 MADAGASCAR vs NIGERIA B 18:00 Alexandria 28 BURUNDI vs GUINEA B 18:00 Al Salam Cairo 29 KENYA vs SENEGAL C

Mon 01/07/19

21:00 30 June Cairo 30 TANZANIA vs ALGERIA C 21:00 Al Salam Cairo 31 SOUTH AFRICA vs MOROCCO D 18:00 Al Salam Cairo 32 NAMIBIA vs CÔTE D’IVOIRE D 18:00 30 June Cairo 33 MAURITANIA vs TUNISIA E

Tue 02/07/19

21:00 Suez 34 ANGOLA vs MALI E 21:00 Ismailia 35 BENIN vs CAMEROON F 18:00 Ismailia 36 GUINEA-BISSAU vs GHANA F 18:00 Suez

A Cairo EGYPT DR CONGO UGANDA ZIMBABWE A B Alexandria NIGERIA GUINEA MADAGASCAR BURUNDI B C 30 June Cairo SENEGAL ALGERIA KENYA TANZANIA C D Al Salam Cairo MOROCCO CÔTE D’IVOIRE SOUTH AFRICA NAMIBIA D E Suez TUNISIA MALI MAURITANIA ANGOLA E F Ismailia CAMEROON GHANA BENIN GUINEA-BISSAU F

FIXTURE OF AFCON 2019

. Jarida la Wiki . Toleo la Saba4

RCL

GROUP ANO TEAMS P W D L GF GA GD PTS1 BARIADI UNITED (SIMIYU) 1 1 0 0 2 0 2 32 ISANGA RANGERS (MBEYA) 1 1 0 0 2 0 2 33 DTB (DAR) 1 0 0 1 0 2 -2 04 TOP BOYS (RUVUMA) 1 0 0 1 0 2 -2 0

GROUP BNO TEAMS P W D L GF GA GD PTS1 MJI MPWAPWA (DODOMA) 1 1 0 0 2 1 1 32 MBUNI FC (ARUSHA) 1 0 1 0 2 2 0 13 PAN AFRICAN (DAR) 1 0 1 0 2 2 0 14 MKURUGENZI (KATAVI) 1 0 0 1 1 2 -1 0

FINALS RCL 2019

FINALS RCL 2019

TANZANIA FOOTBALL FEDERATION

TANZANIA FOOTBALL FEDERATION

Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 5

Matukio katika Picha ya Ligi ya Vijana U20Premier League

. Jarida la Wiki . Toleo la Saba6

U15 & U17 Katika Picha

Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 7

Teams P W Wx Wp L GF GA GD PTS1 Mburahati Fc 11 7 0 1 3 65 48 17 222 Buza Fc 11 6 1 0 4 53 48 5 203 Tanzania Prisons Fc 11 5 1 0 5 63 47 16 174 Friends Rangers Fc 11 5 0 2 4 48 45 3 175 Kijitonyama Sands Heroes 11 5 1 0 5 65 63 2 176 Friends Of Mkwajuni Sc 11 5 1 0 5 49 51 -2 177 Kisa Fc 11 5 0 1 5 57 47 10 168 Vingunguti Kwanza Fc 11 5 0 0 6 45 47 -2 159 Tabata Souls Sc 11 5 0 0 6 58 64 -6 15

10 Savannah Boys 11 3 0 1 7 35 52 -17 1311 Six Home City Fc 11 3 0 1 7 41 47 -6 1012 Ilala Fc 11 2 0 0 9 41 61 -20 6

132 56 4 6 66 620 620 0 185

TANZANIA FOOTBALL FEDERATIONBEACH SOCCER LEAGUE 2019

STANDING

Beach Soccer

. Jarida la Wiki . Toleo la Saba8

NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS1 JKT QUEENS 21 21 0 0 123 5 118 632 SIMBA QUEENS 21 14 2 5 61 15 46 443 ALLIANCE GIRLS 21 14 2 5 60 20 40 444 MLANDIZI QUEENS 21 13 3 5 41 15 26 425 PANAMA FC 21 13 3 5 53 33 20 426 SISTERZ FC 21 8 4 9 32 33 -1 287 YANGA PRINCESS 21 8 1 12 30 54 -24 258 BAOBAB QUEENS 21 5 5 11 22 59 -37 209 TANZANITE SC 21 6 1 14 18 46 -28 1910 MARSH QUEENS 21 3 6 12 20 60 -40 1511 EVERGREEN QUEENS 21 2 4 15 11 64 -53 912 MAPINDUZI QUEENS 21 2 3 16 5 72 -67 9

TOTAL 126 54.5 17 54.5 476 476 0 360

Champions

Relegation

TANZANIA FOOTBALL FEDERATIONWOMEN'S PREMIER LEAGUE 2018/2019

WPL - ROUND 21

Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake baada ya mzunguko wa 21

SWPL

Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 9

TPL

Msimamo wa TPL

Mchezaji Bora wa Mwezi ApriliJohn Bocco (Simba SC)

Kocha Bora wa Mwezi ApriliPatrick Aussems(Simba SC)

NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS1 YOUNG AFRICANS 36 26 5 5 55 25 30 832 SIMBA SC 33 26 4 3 69 14 55 823 AZAM FC 36 19 12 5 50 21 29 694 KMC 36 11 16 9 36 25 11 495 MTIBWA SUGAR 35 14 7 14 35 28 7 496 LIPULI 36 12 12 11 30 36 -6 487 NDANDA FC 36 12 11 12 23 31 -8 478 SINGIDA UNITED 36 11 12 13 30 37 -7 459 COASTAL UNION 35 10 14 11 31 41 -10 4410 MBAO FC 36 11 11 14 26 38 -12 4411 MBEYA CITY 34 12 7 15 35 36 -1 4312 TANZANIA PRISONS 36 10 13 13 26 28 -2 4313 KAGERA SUGAR 35 10 13 12 32 38 -6 4314 RUVU SHOOTING 36 10 12 14 33 41 -8 4215 ALLIANCE FC 35 10 11 14 29 39 -10 4116 JKT TANZANIA 36 9 14 13 25 35 -10 4117 STAND UNITED 35 11 8 16 33 44 -11 4118 BIASHARA UNITED 34 10 10 14 25 30 -5 4019 MWADUI FC 36 10 8 18 41 51 -10 3820 AFRICAN LYON 35 4 10 21 20 46 -26 22

TOTAL 353.5 124 105 123.5 684 684 0 954

CAF Champions League(CL)PlayOff (Knockout)

TANZANIA FOOTBALL FEDERATIONSTANDING TANZANIA PREMIER LEAGUE (TPL) 2018/2019

. Jarida la Wiki . Toleo la Saba10

Taarifa kwa WatanzaniaMashabiki wa soka nchini ambao watakuwa wanampango wa kusafi ri kwenda katika michua-no ya Mataifa Afrika nchini Misri mwaka huu,wanatakiwa kuingia kwenye tovuti (website) ya TFF kwenye sehemu iliyoandikwa ‘Media Center’ na kupakua (download)fomu maalum ya kuombea Visa.

PLAY FAIR, BE POSITIVE

SHABIKI MKUU WA TAIFA STARS @TFFTANZANIA @TANFOOTBALL @TFF TV WWW.TFF.OR.TZ

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA (TAIFA STARS)

HAIRUHUSIWI KUSAMBAZWA AU KUUZWA KWA WALIO NA UMRI CHINI YA MIAKA 18. TAFADHALI KUNYWA KISTAARABU

@TANFOOTBALL

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA (TAIFA STARS)

Aishi Manula (Simba SC)Metacha Mnata (Mbao FC)Suleiman Salula (Malindi FC-Zanzibar)Aron Kalambo (Tz Prisons)Claryo Boniface (U-20)Hassan Kessy (Nkana - Zambia)Vicent Philipo (Mbao FC)Shomari Kapombe (Simba SC)Gadiel Michael (Yanga SC)Abdi Banda (Baroka FC-South Africa)Ally Mtoni (Lipuli FC)Mohamed Hussein (Simba SC)Agrey Morris (Azam FC)Kelvin Yondani (Yanga SC)Erasto Nyoni (Simba SC)David Mwantika (Azam FC)Ally Ally (KMC)Kennedy Wilson (Singida Utd)Feisal Salum (Yanga SC)Himid Mao (Petrojet - Egypty)

PLAY FAIR, BE POSITIVE

SHABIKI MKUU WA TAIFA STARS

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA (TAIFA STARS)

SHABIKI MKUU WA TAIFA STARS

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA (TAIFA STARS)

(Malindi FC-Zanzibar)

(Baroka FC-South Africa)

Mudathir Yahya (Azam FC)Yahya Zaydi (Ismaily-Egypty)Jonas Mkude (Simba SC)Ibrahi Ajib (Yanga SC)Fred Tangalu (Lipuli FC)Shabani Chilunda (Tenerife-Spain)Frank Domayo (Azam FC)Shiza Ramadhani (Enppi-Egypty)Simon Msuva (Difaa El Jadid-Morocco)Rashid Mandawa (BDF-Botswana)Mbwana Samatta (Genk-Belgium)Thomas Ulimwengu (JS Saoura-Algeria)John Bocco (Simba SC)Farid Mussa (Tenerife-Spain)Ayoub Lyanga (Coastal Union)Kassim Hamis (Kagera Sugar)Miraji Athuman (Lipuli FC)Kelvin John (U-17)Adi Yussuf (Solihull Moors-England)

Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 11

RATIBA YA MATUKIO YAJAYOMechi ya Kirafi ki Simba vs Sevilla ya Hispania:

RCL Fainali

Azam Sports Federation Cup Fainali

Kombe la Mataifa Afrika (Misri):

Kagame Club Cup Championship (Rwanda):

CECAFA under 15 boys Challenge Cup:

CECAFA under 20 boys Challenge Cup (Uganda):

CECAFA Senior Women Challenge Cup (Tanzania):

CECAFA Senior Challenge Cup and Women Under 17 (Uganda)

CECAFA Women Under 20 (Kenya): (TBC)

Mei 23

Mei 10 - 19

Juni 1

Juni 21 – Julai 19

Julai 26 – Aug 10

Aug 17 – Sept 1

Sept 14 – Sept 28

Nov 16 – Nov 28th

Dec 1 – Dec 19

Fainali Kombe la Shirikisho 2018/201901.06.2019

VSIlulu - Lindi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)Karume Memorial StadiumUhuru/Shaurimoyo Road P.O.Box 1574Telefax: +255 22 286 1815 Ilala - Dar es SalaamEmail: [email protected]: www.tff.or.tz