jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania.doc

2
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo : “N G O M EMakao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203, Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 26 Agosti, 2015, Tele Fax : 2153426 Barua pepe : [email protected] Tovuti : www.tpdf.mil.tz Taarifa kwa Vyombo vya Habari Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana. Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria. Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano Makao Makuu ya Jeshi, Upanga S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania . Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 - 342279 0783- 309963

Upload: ngabwe

Post on 11-Jan-2016

269 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA.doc

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 26 Agosti, 2015,Tele Fax : 2153426Barua pepe : [email protected] : www.tpdf.mil.tz

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana.

Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na MahusianoMakao Makuu ya Jeshi, Upanga

S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 - 342279

0783- 309963