koitet ab betusiekr 2018 - idhsustainabletrade.com · ribsetab tugaa en gaa, nguni atinye chego...

16
KALENDA 2018 KOITET AB BETUSIEKR 2018 Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai. Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Upload: volien

Post on 30-May-2019

216 views

Category:

Documents

0 download

TRANSCRIPT

KALENDA 2018

KOITET ABBETUSIEKR 2018Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.

Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

ISLA KENYA

ISLA eng Kenya kotetutiet ne indochin IDH, Kibangengeitab Kokwotinuek Chemenye Yenekit ak Osnet, Kibangengeitab Biik Cheboisien Beek, Kibangengeitab Serkali Neindochin Osnos-iek, Serkalisek Chemengech, Kambunisiek, ak Kibangengeisiek Chetononjinge. Echek mengingab murot katam nebo osnetab Mau keboisiei ak choronok alak chebo ISLA kecheng ortinwek chekonech kesob eng melekto netesetai. Noton anyun keribe osnetab Mau amun osnetab Mau ko olebonu melekto ak sobet. Biik chemenye olenegit ak osnet konyoru keljin nebo konetisiet ak tuguk alak chetononjin ISLA.

Konetisiet kou:

• Kinetge ole kiribtoi tuga eng oret negonu chego chechang ak banyek ak rabininik eng korikyok• Nyorunetab kumiik• Minetab omitwogik eng chon’gindo• Ortinwek chekiriben osnet ak kondametusiekab beek, asi mokibononse eng kemeut• Ortinwek che nyumyum en chobetab omitwogik ak keboisien kwenik che tuten chebonu osnet• Kinetge ole kinyorundoi rabinik eng chenget nemoityin ngemetab osnet

ISLA Kenya ni programu yetu inayoendeshwa na IDH, Mashirika ya Misitu ya Jamii, Ushirika wa Rasilimali ya Maji,

Huduma ya Misitu ya Kenya, Serikali za Kaunti, Makampuni na Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali. Sisi, watu tunaoishi

pembezoni mwa Misitu ya Kusini Magharibi ya Mau hufanya kazi na washirika wengine wa ISLA kutafuta njia za kuishi

maisha yenye ustawi na endelevu. Hii inamaanisha tunalinda misitu ya Mau kwa sababu ni chanzo cha ustawi wetu na

maisha yetu. Watu wanaoishi pembezoni mwa msitu wanaweza kufaidika na mafunzo na shughuli nyingine

zinazopangwa na ISLA.

Mafunzo ni pamoja na:

• Kujifunza jinsi ya kutunza mifugo kwa njia ambayo hutoa maziwa na nyama zaidi na fedha kwa familia zetu

• Uzalishaji wa asali

• Kuzalisha chakula kwa ufanisi zaidi

• Njia za kulinda misitu na vyanzo vya maji, hivyo kutokuathirika na ukame

• Kutumia mbinu za kupika ambazo ni nafuu na zenye kupunguza matumizi ya miti kutoka kwenye msitu

• Kujifunza jinsi ya kupata fedha kupitia shughuli ambazo hazisababishi uharibifu wa misitu

ISLA KENYA

National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National HolidayNational Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday

00 00 00 00 00 00 00

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

1 2 3 4 5 6 7

8 9 10 11 12 13 14

15 16 17 18 19 20 21

22 23 24 25 26 27 28

29 30 31 1 2 3 4

5 6 7 8 9 10 11

“En sugul kinetech olekisorundo Mau si

kobuchech en betusiek ab tai.”

Tos imoche konetisiet en sugulingwong ii?Teben Rhino Ark anan ko Community Forest Association ne negit en inye.

Je mungependa mafundisho shuleni mwenu? Wasiliana na Rhino Ark ama shirika la misitu la kijamiii katika mtaa.

MULGUL 2018 JANUARI 2018

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

“Shuleni twajifunza kuokoa mau kwa

ajili ya siku zetu za usoni.”

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Siku ya Mwaka Mpya

Betut nebo Tai en Kenyit

National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National HolidayNational Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday

00 00 00 00 00 00 0029 30 31 1 2 3 4

5 6 7 8 9 10 11

12 13 14 15 16 17 18

19 20 21 22 23 24 25

26 27 28 1 2 3 4

5 6 7 8 9 10 11

“Kianetge agobo ribsetab tugaa en gaa,

Nguni atinye chego cheyome abaen konyun tugul ak kongetwon che

oldoi en tuget.”

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

NGOTIOTO 2018 FEBRUARI 2018

“Nilijifundisha jinsi ya kulinda ngombe nyumbani sasa nina maziwa ya kutosha kulisha familia yangu na yakusalia

kuuzwa sokoni.”

World WetlandsDay

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Kimuuche ketoretin kinetin olennyorundoi chego che chang en tugug en gaa.Teben Community Forest association anan ko SNV siyegu agenge en chegineti.

Tunaweza wafundisha jinsi ya kupata maziwa zaidi kupitia kwa ngombe wenu nyumbani.wasiliana na ushirika wa msitu katika mtaa ama SNV kujiunga na Mafundisho.

National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National HolidayNational Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday

00 00 00 00 00 00 00

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

26 27 28 1 2 3 4

5 6 7 8 9 10 11

12 13 14 15 16 17 18

19 20 21 22 23 24 25

26 27 28 29 30 31 1

2 3 4 5 6 7 8

Tiongikab timin ko borotetab emenyon.

Ara ongerib.

World Wildlife Day

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

KIPTAMO 2018 MACHI 2018

Viumbe vyetu ni fahari kwa taifa letu. Hebu

tuvilinde.

International Day of Action for Rivers

World Water Day

En Boiboiyet ab Kasitab Mut

Ijumaa Kuu

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National HolidayNational Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday

00 00 00 00 00 00 00

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

26 27 28 29 30 31 1

2 3 4 5 6 7 8

9 10 11 12 13 14 15

16 17 18 19 20 21 22

23 24 25 26 27 28 29

30 1 2 3 4 5 6

Indee kamongunen-gung ketit negemin, amun boisiet kotinye arorutiet en betusiek

chebo tai.

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

IWATKUT 2018 APRILI 2018

Weka tumaini lako kwenye mmea

ulilopanda.

Pasaka

Betut ab Pasaka

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Onamgei ak kibangei nebo minsetab ketik.ongalal ak bik chebo kokwet che ribe timwek agobo anan Community Forest Association ketik che kiminei.

Jiungee na vugu vugu la upandaji miti. Wasiliana na shirika la misitu la kijamiii kwa kupata miche.

National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National HolidayNational Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday

00 00 00 00 00 00 00

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

30 1 2 3 4 5 6

14 15 16 17 18 19 20

21 22 23 24 25 26 27

28 29 30 31 1 2 3

4 5 6 7 8 9 10

7 8 9 10 11 12 13

Tiongikab timin ko borotetab emenyon.

Ara ongerib.

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

MAMUT 2018 MEI 2018

Viumbe vyetu ni fahari kwa taifa letu. Hebu tuvilinde.

Siku ya Wafanyi kazi

Endangered Species Day

World Biodiversity Day

Betut ab Kiboitinik

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Ngotoker baretab tiongiab timin anan ko biik ab loget omwachi ketisietab ripsetab osnosiek (Kenya Forest Service) ana ko ketisietab ripsetab tiongikab timin (Kenya Wildlife Service).

Unapo ona uwindaji haramu piga ripoti kwa Kenya forest Service or Kenya Wildlife service.

National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National HolidayNational Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday National Holiday

00 00 00 00 00 00 00

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

28 29 30 31 1 2 3

4 5 6 7 8 9 10

Eid al Fitr

11 12 13 14 15 16 17

18 19 20 21 22 23 24

25 26 27 28 29 30 1

2 3 4 5 6 7 8

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron

ak kotestai.

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

BAKI 2018 JUNI 2018

Kwa pamoja tunajenga Maisha

yetu yanayobobea ya baadaye. Sherehe kuu

ya Mau.

World Environment Day

5Siku ya Madaraka

Betut ab Madaraka

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Mongetu tu en tuminitab MAU en tarigit 5 arawetab lo kenyitaab 2018.

Usikosee sherehe kuu ijayo ya mau tarehe 5 juni 2018!

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

25 26 27 28 29 30 1

2 3 4 5 6 7 8

9 10 11 12 13 14 15

16 17 18 19 20 21 22

23 24 25 26 27 28 29

30 31 1 2 3 4 5

Beek ko yebunu sobeet ago MAU

koyebunu beekyok.

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

Maji ni kiini cha Maisha na Mau ni

kiini cha maji.

NGEIYET 2018 JULAI 2018

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Minet ab ketik kotere komoyomio oinosiek.tebeen biik chetononchinngalek ab beek kana ko GIZ siyegu agenge en che ribe beek.

Ukuzaji wa miti uzuia mito madogo kuyeyuka.Wasiliana na water resource management authority na GIZ na uhusishwe kwa utunzaji wa maji.

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

30 31 1 2 3 4 5

6 7 8 9 10 11 12

13 14 15 16 17 18 19

20 21 22 23 24 25 26

27 28 29 30 31 1 2

3 4 5 6 7 8 9

Osnetab Mau ko agenge en Osnos-iek che echen kot en Africa ak agenge en chekororon missing

en Africa. Ara ongerib.

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

Mau yetu ni mojawapo ya misitu mikubwa na ya ku-

pendeza zaidi Afrika.Hebu tuvilinde.

ROPTUI 2018 AGOSTI 2018

Betut nebo Konunotoik

Sikukuu ya Sadaka

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

27 28 29 30 31 1 2

3 4 5 6 7 8 9

10 11 12 13 14 15 16

17 18 19 20 1 22 23

24 25 26 27 28 29 30

1 2 3 4 5 6 7

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

Msitu na chai ni kama chanda na

pete. Wacha tulinde misitu iwe ya afya

kwa minajili ya kuku-za na kuuza chai.

EBESO 2018 SEPTEMBA 2018

Osnet ak chaik kou peteit ak siyet. Ongerib

osnet nyon ko kara-ranit si kemin chaik ak

keyalde.

World Clean Up Day

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

1 2 3 4 5 6 7

8 9 10 11 12 13 14

15 16 17 18 9 20 21

22 23 24 25 26 27 28

29 30 31 1 2 3 4

5 6 7 8 9 10 11

“Chome logogyuk kumiat nebo

segemikyuki.”

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

“Watoto wangu wanapenda asali

kutoka kwa nyuki.”

BURET 2018 OKTOBA 2018

Siku ya Mashujaa

Betut ab Mashujaa

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Tebeen Rhino Ark anan ko kibagenge nebo kokwotunwek chetononchin osnet ne negit en inye sikwororun akobo konetisiet ab baetab segemik.

Wasiliana na Rhino Ark ama ush-irika wa msitu wa kijamii katika mtaa ili kufuga nyuki.

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

29 30 31 1 2 3 4

5 6 7 8 9 10 11

12 13 14 15 16 17 18

19 20 21 22 23 24 25

26 27 28 29 30 1 2

3 4 5 6 7 8 9

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

KIPSUNDE 2018 NOVEMBA 2018

“Ikiwa unataka kwenda haraka, nenda peke yako. Ikiwa unata-ka kwenda mbali, nenda

pamoja.”

“Yon imoche ichagte, iwe inyegen.. angot

imoche iwe oleloo, obe ak biik en kibangenge.”

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Onamgeieun ak boisioni. Ongalal ak kibangei nebi kokwet. Ongerib MAU.

Jiunge na utekelezaji,wasiliana na kundi lako la kijamii. Linda Mau.

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

26 27 28 29 30 1 2

3 4 5 6 7 8 9

10 11 12 13 14 15 16

17 18 19 20 21 22 23

24 25 26 27 28 29 30

31 1 2 3 4 5 6

“Kayagetab tuga en gaa kogonon

chego che chang ak melekto neo.”

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

CHUMATATU KASITAB AENG’ KASITAB SOMOK KASITAB ANG’WAN KASITAB MUT CHUMAMOS CHUMAMBILI

KIPSUNDEE 2018 DESEMBA 2018

“Kulinda ngombe wangu nyumbani

uniwezesha kupata maziwa kwa wingi na pia pesa Zaidi.”

Siku ya Krismasi Sikukuu ya Kupea-na Vijisanduku

Siku ya Mwaka Mpya

Siku ya Jamhuri

Betut ab Krismas Betut ab Kagoitoi-yet ab Zawadisiek

Betut ab Jamhuri

Betut nebo Tai en Kenyit

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.Kwa pamoja tunajenga maisha yetu mazuri ya baadaye.

Kimuuche ketoretin kinetin olennyorundoi chego che chang en tugug en gaa.Tebeen kibagengeit ab kokwet ne negit en inye anan ko SNV siyegu agenge en chegineti.

Twaweza kukufundisha jinsi utakavyo pata maziwa zaidi kwa ngombe wako nyumbani wasiliana na shirika lako la msitu wa kijamii ama SNV na ujiungee na mafundisho.

Community GroupsCommunity Forest AssociationsWater Resource Users AssociationsOgiek Council of Elders

Local governmentsKericho CountyBomet County Nakuru County

CompaniesUnileverJames Finlay (K) LtdKenya Tea Development AgencySafaricom FoundationKENGENTimber Manufacturers Association

National government agenciesKenya Forest ServiceKenya Wildlife ServiceWater Resources Management AuthorityNyayo Tea Zones DevelopmentKenya Water Towers Agency

MinistriesMinistry of Environment and Natural ResourcesMinistry Water and Irrigation

International partnersIDHGIZRhino ArkCIFORNetherlands Ministry of Foreign Affairs

CHORONOK AB TETUTIET WASHIRIKA WA PROGRAMU

Kibagenge inyon tugul koteche sobet nenyon nebo koron ak kotestai.