kozi za bure za kiingereza - home - nsw ames · 2018-09-15 · lazima ujisajili na amep kati ya...

Kozi za Bure za Kiingereza Adult Migrant English Program (Mpango wa Kiingereza kwa Wahamiaji Ngumbaru) NSW Department of Education AMEP Consortium Je! Mpango wa Kiingereza kwa Wahamiaji Ngumbaru ni nini? Mpango wa Kiingereza kwa Wahamiaji Ngumbaru (AMEP) unaweza kukusaidia kujifunza Kiingereza. The AMEP hutoa saa zisizozidi 510 za masomo ya Kiingereza na utunzaji wa watoto usiokuwa na malipo kwa wahamiaji, wakimbizi na wahisani wapya waliowasili. Je! Nitajifunza nini? Utajifunza Kiingereza ili kukusaidia kutulia kwa ufanisi nchini Australia. Utajifunza pia kuhusu jamii ya Australia, utamaduni na desturi na kufanya kazi nchini Australia. Utajifunza kuongea, kusikiliza, kusoma na mbinu za kuandika - kwa maisha ya kila siku, kwa kazi na masomo zaidi. Ninawezaje kusoma? katika madarasa ya muda wote au muda maalum, kwa siku, jioni au Jumamosi nyumbani na mkufunzi • kwenye kompyuta na masomo ya pepe ya kibinafsi • kwa elimu ya mbali Je, madarasa yanatekelezwa wapi? Angalia ukurasa wa 2 kwa orodha ya maeneo ya darasa la AMEP. Je, utunzaji wa watoto unapatikana? Tunaweza kupanga utunzaji wa watoto unapokuwa ukihudhuria madarasa. Utunzaji wa watoto usiokuwa na malipo kwa watoto chini ya umri wa kwenda shule. Je, nitajuaje ninastahiki? Tupigie simu au tembele kituo karibu na wewe ili ujue kama unastahiki AMEP. Maelezo ya visa na pasipoti yako yatatueleza ikiwa unastahiki. Ninawezaje kujiandikisha? Hudhuria mahojiano katika moja ya vituo vyetu vya mafunzo ili tuweze kutathmini kiwango chako cha Kiingereza na tupange mpango wa mafunzo unaokufaa. Lazima ujisajili na AMEP kati ya miezi sita (6) ya tarehe ya kuanzia viza yako au kuwasili nchini Australia. Swahili Mpango wa Wahamiaji Watu wazima (AMEP) unafadhiliwa na Idara ya Elimu na Mafunzo ya Serikali ya Australia.

Upload: others

Post on 30-Jan-2020

11 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Kozi za Bure za Kiingereza - Home - NSW AMES · 2018-09-15 · Lazima ujisajili na AMEP kati ya miezi sita (6) ya tarehe ya kuanzia viza yako au kuwasili nchini Australia. Swahili

Kozi za Bure za Kiingereza

Adult Migrant English Program(Mpango wa Kiingereza kwa Wahamiaji Ngumbaru)

NSW Department of Education AMEP Consortium

Je! Mpango wa Kiingereza kwa Wahamiaji Ngumbaru ni nini?Mpango wa Kiingereza kwa Wahamiaji Ngumbaru (AMEP) unaweza kukusaidia kujifunza Kiingereza.

The AMEP hutoa saa zisizozidi 510 za masomo ya Kiingereza na utunzaji wa watoto usiokuwa na malipo kwa wahamiaji, wakimbizi na wahisani wapya waliowasili.

Je! Nitajifunza nini? Utajifunza Kiingereza ili kukusaidia kutulia

kwa ufanisi nchini Australia. Utajifunza pia kuhusu jamii ya Australia, utamaduni na desturi na kufanya kazi nchini Australia.

Utajifunza kuongea, kusikiliza, kusoma na mbinu za kuandika - kwa maisha ya kila siku, kwa kazi na masomo zaidi.

Ninawezaje kusoma?• katika madarasa ya muda wote au muda

maalum, kwa siku, jioni au Jumamosi

• nyumbani na mkufunzi

• kwenye kompyuta na masomo ya pepe yakibinafsi

• kwa elimu ya mbali

Je, madarasa yanatekelezwa wapi?Angalia ukurasa wa 2 kwa orodha ya maeneo ya darasa la AMEP.

Je, utunzaji wa watoto unapatikana?Tunaweza kupanga utunzaji wa watoto unapokuwa ukihudhuria madarasa. Utunzaji wa watoto usiokuwa na malipo kwa watoto chini ya umri wa kwenda shule.

Je, nitajuaje ninastahiki?Tupigie simu au tembele kituo karibu na wewe ili ujue kama unastahiki AMEP. Maelezo ya visa na pasipoti yako yatatueleza ikiwa unastahiki.

Ninawezaje kujiandikisha?Hudhuria mahojiano katika moja ya vituo vyetu vya mafunzo ili tuweze kutathmini kiwango chako cha Kiingereza na tupange mpango wa mafunzo unaokufaa.

Lazima ujisajili na AMEP kati ya miezi sita (6) ya tarehe ya kuanzia viza yako au kuwasili nchini Australia.

Swahili

ETRANSLATE: Please insert Swahili funding statement here using the same font as the main text above.Mpango wa Wahamiaji Watu wazima (AMEP) unafadhiliwa na Idara ya Elimu na Mafunzo ya Serikali ya Australia.