lift third annual meeting - 20 december 2015
TRANSCRIPT
LINDI ISLAMIC FOUNDATION OF TANZANIAMSINGI WA ASASI ZA KIISLAM LINDI TANZANIAMKUTANO MKUU WA TATU WA MWAKA20/12/2015.
AJENDA2:30 – 3:00 Asubuhi Usajiri3:00 – 3:10 Asubuhi Dua ya ufunguzi3:10 – 3:20 Asubuhi Maelezo ya ufunguzi na makaribisho3:30 – 3:45 Asubuhi Nini maana ya LIFT3:45 – 3:50 Asubuhi Mabadiliko ya mwaka 2015
Muundo wa asasi Mafunzo
3:50 – 4:30 Asubuhi Taarifa za kamati4:30 – 4:45 Asubuhi Chai4:45 – 5:00 Asubuhi Taarifa ya fedha na Matangazo maalum.5:05 - 5:15 Asubuhi Ahadi za Michango5:20 - 5:30 Asubuhi Majadiliano6:00 Mchana Dua ya ufunguzi wa kikao
MAELEZO YA UFUNGUZI
NINI MAANA Y A LIFT?
LIFT NI…..
DHIMA YETU
DIRA NA MAADILI YETU
LIFT inalenga kuwa shirika suna za Mtume Mohamad (S. W. A) sikivu, wazi, na ambalo hutoa kwa wakati na kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya, elimu, chakula na maji kwa waislamu wote, wanaoishi ndani ya mkoa wa Lindi-Tanzania. LIFT inaamini kuwa kila wafadhili wachangiaji na mchangiaji lazima aheshimiwe, na wote ni wenye thamani kwa kila mmoja. LIFT itazingatia viwango vya juu vya maadili ya quran na
MALENGO YETU1. Kutoa msaada wa dharura wa chakula kwa wazee, walemavu, na wengine wanaoishi katika mazingira magumu ambao ni wakazi wa mkoa wa Lindi.2. Kusaidia jamii katika kuanzisha huduma za afya stahili na salama.3. Kuwasaidia watoto kupata elimu bora za dini ya kiislamu na kidunia4. Kusaidia jamii katika kupata maji ya bomba na endelevu 5. Kusaidia jamii katika kujenga miundombinu na kuboresha usafi.6. Kukuza mazoea ya usafi salama7. Kuchangia kwenye taasisi za kiislamu, misikiti kwa ajili ya elimu ya kiislamu, misingi ya Quran, suna na hadithi halisi.
Changes for 2015MABADILIKO YA 2015
WAJIBU WA MJUMBE WA KAMATI Kuhudhuria vikao vya kamati . Kujitolea angalau masaa 4 kwa mwezi kwa ajili ya shughuli za LIFT. Kusaidiana na mwenyekiti na katibu kwenye utekelezaji wa
majukumu yao. Kusimamia utekelezaji wa agizo lolote linalokuwa limetolewa na
mwenyekiti wa kamati. Kupitia taarifa zozote zinazohusiana na mikutano ya kamati. Kuandaa kuchangia na kuzungumzia mambo yote yanayohusu
malengo ya kamati kenye kikao. Kupiga kura inapobidi jambo lolote linalohusu kamati. Kufuata sera za LIFT.
WAJIBU WA MWENYEKITI Mwenyekiti atakuwa Meneja wa kamati. Atawajibika kupanga ratiba za mkutano. Atawajibika kupanga ukumbi wa mikutano. Ataandaa na kugawa ajenda kwa wajumbe kabla ya mkutano . Atatakiwa kuhakikisha kwamba mihutasari ya vikao inanakiliwa na
kufikishwa ofisini ndani ya wiki moja baada ya mkutano . Atawajibika kutolea taarifa juu ya maendeleo yeyote ya mradi uliopo
kwenye kamati yake au kutolea maagizo juu ya kamati yake. Atawajibika kupanga malengo ya kamati. Mwenyekiti anaweza kumpa mjumbe yeyote jukumu lake lakini ahakikishe
kwamba anafanya ufuatiliaji.
MUUNDO WA ZAMANI WA UONGOZI
Board of Directors
Management Team
AdminstrationManager: Juma M. IddJuma M. Idd (Acting Financial Controller)Dr. Nur (Acting Bookkeeper)Asha Hamisi Kindeka (Office Reception)
Health & SanitationCo-Chairs: Dr. Zulfa Msami Ismail Mbani
EducationChair: Ally SeifCo Deputy Chairs: Abdallah MtangarahHassan Ahmad Alombile
DawahChair: Qassim Njonjoro
Juma Abdallah Mohamedi, Dr. Alexandria-Nur Osborne , Sharifa Y. Apottey, Saidi Ahmad Mnyengema, Amina Iddi Lippende, Dr. Hamis Ajali, Mahmoody Hemedy Nyihiran
Dr. Nur, ,Ally Seif, Qassim Njonjoro, Dr. Zulfa Msami, Ismail Mbani, Juma M. Idd
2015 MUUNDO WA UONGOZI
LIFT BODI YA WADHAMINI LIFT imeanzisha Bodi ya wadhamini inayohusisha watu wa4 ambao
hushughulikia masuala yote ya mali za LIFT vinavyohamishika na visivyohamishika mfano Ardhi.
Wanachama wa BODY OF TRUSTEES nia) SHEIKH MOHAMMED MUSHANGANIb) ABDALLAH MAULID NAMKOLWAc) MARIAM ALLY MANDUNDAd) ALI ISMAIL NALAGA
MAFUNZO NA
MAENDELEO
Lindi Islamic Foundation of Tanzania
MAFUNZO YA KAMATI
Lindi Islamic Foundation of Tanzania
Uzingatiaji wa mda na upangaji wa vifaa.Msingi wa uhamasishaji na usimamizi wa vifaa.Kufuatilia na kusimamia bajeti ya kamati.Wazo lipi ni muhimu na nini kijumuishweNini maana ya pendekezo la mradi? Na mambo
yapi ya kujumuishwa.Faida ya kutoa ripoti, kusimamia na kufanya
tathimini, Nini maana yake?
TAARIFA YA KAMATI
TAARIFA YA KAMATIMalengo ya kamati.Shughuli zilizopata fedha na kufanyika .Shughuli zipi au malengo ambayo hayajapata fedha na kufanyika.Changamoto.Mahitaji yanayohitajika ili kutimiza malengo.
TAARIFA YA MIRADIElimuAfya
ELIMU
KAMATI YA ELIMUKamati ya elimu ni moja kati ya kamati za LIFT yenye jukumu la kubuni, kutekeleza, kufuatilia na kufanya tathmini ya miradi inaweza kuinua kiwango cha Elimu.
MALENGO YA KAMATI YA ELIMUKufanya tathmini ya mahitaji ya shule za serikali na za kiislamuKusaidia kamati ya Daawa katika kutangaza elimu ya kiislamuKusaidia kamati ya afya katika vijarida vitakavyohamasisha kuwa na afya njema
MRADI WA KAMATI 2015
1) UJENZI WA KITUO CHA ELIMU YA WATOTO WADOGO MCHINGA 1
KITUO CHA ELIMU YA WATOTO WADOGO MCHINGA 1Kwa mwaka 2015 kamati ya Elimu ya LIFT ilijiwekea
kipaumbele cha kusimamia mradi wa ujenzi wa kituo cha elimu kwa ajili ya watoto wadogo huko Mchinga I
Kituo hicho kinakusudia kuwalea watoto wadogo wapatao 5O (kwa kuanzia) kutoka katika eneo la Mchinga na maeneo ya karibu
MALENGO YA KITUO CHA MCHINGA Kuwalea watoto katika malezi ya kiislamu Kuwapatia ajira wakazi wa lindi Kuwa na kituo cha kuhifadhisha quran tukufu
MALENGO……Kuwaandaa watoto kwa ajli ya elimu ya msingi na SekondariKuwa na kituo kwa ajili ya masomo ya ziada ya wanafunzi wa msingi na sekondari
HATUA ZA KUKAMILIKA KWA MRADI
Kushughulikia upatikanaji wa ardhi
Kuimiliki ardhi kisheria
Kuunda TASK FORCE kwa ajili ya kusimamia uanzishwaji wa Mradi
KAZI /SHUGHULI ZILIZOFANYIKA
1) KUUNDA KAMATI YA WANAJAMIIKwa kuwa mradi ni wa kijamii lift iliunda kamati ya
wanajamii kutoka katika maeneo mbalimbali ya Mchinga. Kila msikiti ulitoa wajumbe wawili na idadi ya wajumbe ikiwa
kumi. Kamati hii inashirikiana na kamati ya elimu katika kuratibu mradi wa shule ya Mchinga 1
2) KUSAFISHA PORI
Kamati ya elimu kwa kushirikiana na kamati ya jamii zilihamasisha waislamu wa mchinga kusafisha pori ambapo LIFT inatarajia kujenga shule ya watoto
3) KUMILIKI ARDHI KISHERIA
LIFT imefanikiwa kupata hati za umilikiwa ardhi ya eneo ambalo tunataka kujenga shule.
Bado sharia za kuhalalisha ardhi na shughuli zitakazofanyika katika eneo hilo zinaendelea.
4) KUAJIRI MTAALAMU WA MRADI
Kutokana na ukubwa wa mradi lift ililazimika kuajiri mtaalamu wa miradi ya kijamii ili kusimamia kazi ya mradi wa ujenzi wa kituo cha elimu cha mchinga.
Dada NURU ALLY mhitimu wa chuo kikuu cha SUA Morogoro fani ya maendeleo ya vijijini ndio mtaalamu na msimamizi wa miradi ya lift ikiwemo huu wa mchinga
MTAALAMU (SISTER NUR –MCHINGA)
5) KUSAFISHA ENEO
Lift imedhamiria kutumia bulldozer ili kusafisha eneo na kutoa visiki ili liwe tayari kwa ujenzi wa shule ya awali
CHANGAMOTO ZA MRADIo Rasilimali watu kwa ajili ya kusimamia hatua za mradi o Pesa za kutosha kufanikisha mradi o Muda wa kusimamia mradi
EDUCATION2. QURAN CONTEST (MASHINDANO YA USOMAJI QURAN….
LIFT SECOND ANNUAL RAMADAN QURAN RECITATION CONTEST
JULY 11, 2015ILULU STADIUMLINDI TANZANIA
ZAIDI YA WANAFUNZI 60 KUTOKA SHULE 12 ZA KIISLAM (MADRASSA) WALISHINDANA KATIKA VIPENGELE VINNE VIFUATAVYO.JUZUU # Students1 292 213 84 8
Zawadi zilihusisha Baiskeli, Radios, Saa, Mabegi yenye vifaa vya shule , mikeka ya kuswalia (miswala) pamoja na vitabu vya Quran.
Mwenyekiti wa kamati ya Elimu aliyetoa jitihada kubwa sana katika Kuandaa tukio hili.
Wanafunzi wakisubiri….
Wageni…
Sheikh wa mkoa wa Lindi akitoa dua ya funguzi.
Ufunguzi wa sherehe LIFT
Jaji akifungua kwa kusoma quran.ation
Guest of Honor (center), Representative for Regional Commissioner (Deputy RAIS)
MC akiwaita wanafunzi kwa namba na wanafunzi walichagua bahasha yenye mistari ya Quran...
……na wakakabidhi bahasha kwa majaji
Mwanafunzi akisoma Juzuu ya 4… hakika alikuwa mshindi wa kwanza katika kipengele chake….
LIFT Chairman of the Board prepares for ifar (wakiandaa ftari )
Maandalizi ya iftar yakiendelea.
HEALTH AND SANITATION
KAMATI YA AFYA NA MAZINGIRA WAJUMBE WA KAMATI1. DR ZULFA MSAMI MW/KIT2. MR ISMAIL MBBANI MW/KITI MWENZA3. DR HAMISI AJALI –KATIBU4. MR MSWALA –MJUMBE5. MR MAKOLELA –MJUMBE6. BI SIWEMA SINANI-MJUMBE7. BI RAYA - MJUMBE
MALENGO YA KAMATIKatika kipindi cha mwaka 2014/15 kamati ilikua na
malengo ya kuchunguza wanawake 300 saratani ya shingo ya kizazi.
Kufanya ufuatiliaji wa wanawake walio chunguzwa na kukutwa na matatizo.
MAFANIKIO YA KAMATIKamati iliweza kuandaa na kuanisha maeneo ya
wanawake wajiandikishe ili wafanyiwe uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi katika kipindi cha miezi mitatu 9oct – dec 2014)maeneo hayo ambayo ni Kitomanga,Mchinga,Kilangala,Mvuleni,Mipingo,Namkongo,Kingulungudwa na Kilolabwani.
Jumla ya wanawake 273 walijiandikisha. Januari 2015 kamati ikishirikiana na shirika lisilo la serikali STAPPING TOGETHER lililopo marekani tulifanya uchunguzi wa saratani ya chingo ya kizazi kwa wanawake 220 kati ya 224 waliosajiliwa,wanawake 2 walikutwa na dalili za awali za saratani na wengine 35 walichukuliwa vipimo kwa uchunguzi zaidi.
MAFANIKIO YANAEND……….
Wanawake 2 walionekana kuwa wanasaratani ya shingo ya kizazi. Kati yao 1 Walipata matibabu na mmoja alifariki. Mwezi wa nane 2015 kamati ilipanga muda wa kufuatilia wale waliochunguzwa mwezi januari
Sambamba na ufuatiliaji kamati ilishiriki katika maonyesho ya NANE NANE Ngongo katika kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi. Jumla ya wanawake 104 walichunguzwa na wanawake 17 kati ya 20 walikuwa wanafutiliwa kutoka uchunguzi wa januari nao pia walichunguzwa.
Kamati imeweza kushiriki kikamilifu katika siku ya usafi ya kitaifa katika maazimisho ya siku ya uhuru 9 desemba 2015 kwa kununua vifaa vya usafi.
MATARAJIO
Kamati inatarajia kuchunguza jamii ya lindi afya ya kinywa na meno ifikapo 2016 sasa ipo kwenye maandalizi ya eneo na wataalam.
CHANGAMOTO
Kukosekana kwa mawasiliano kwa baadhi ya wanawake ambao walichunguzwa ili wapate majibu yao ya uchunguzi wa wasaratani ya shingo ya kizazi.
Ufinyu wa bajeti kwa Taasisi Wajumbe wa kamati kuwa na majukumu mengine nje ya taasisi.
.
.DR. KENYA NUMAN FROM STEPPING TOGETHER AND DR. NUR FROM LIFT UPON THE TEAM’S INITIAL ARRIVAL AT KITOMANGA HEALTH CENTER
THE STEPPING TOGETHER HOST (ZUWENA) AND DR. K. BINGHAM WAIT FOR WELCOMING CEREMONY AT KITOMANGA
THE GUEST VOLUNTEERS DR. K. BINGHAM AND KERRI RN WITH THEIR HOME HOST IN KITOMANGA
MP MHE SAID MTANDA WELCOMES GUESTS
WELCOMING CEREMONY
DR. ZULFA MSAMI (CO CHAIR OF LIFT HEALTH & SANITATION COMMITTEE) WELCOMES GUESTS AND SUMMARIZES LIFT’S PROGRAMS.
AFTER OPENING CEREMONY, TOUR OF THE WARD WHERE THE CLINIC WOULD BEGIN THE FOLLOWING DAY. THIS WAS AN EMPTY BUILDING A FEW WEEKS EARLIER.
AFTER SETUP OF THE CLINIC
DAY 1 OF CLINIC- PATIENTS AWAIT OUTSIDE
AFTER THE END OF THE FIRST DAY FOR SCREENING WOMEN, TANZANIA AND AMERICAN HEALTH TEAM POSE FOR A PICTURE
DAY 2 OF SCREENING- PATIENTS ARE BEING REGISTERED
TRAINEE FROM MCHINGA DISPENSARY
NURSE FROM SOKOINE HOSPITAL (LINDI REGIONAL HOSPITAL) –JOB WELL DONE!
NURSE FROM SOKOINE HOSPITAL (LINDI REGIONAL HOSPITAL) WITH PATIENT –JOB WELL DONE!
SPECIAL CHAIR THE HONORABLE RIZIKI LULIDA VISITS CLINIC AND TALKS WITH DR. KENYA
PATIENTS, HEALTH TEAM, POSE WITH MHE. RIZIKI LUDIDA
DR. HAMIS AJALI (LIFT) DR. KENYA NUMAN (STEPPING TOGETHER), AND TRAINEE VERA (KITOMANGA) DISCUSS TREATMENT OPTIONS WITH PATIENT.
THE LIFT MEN BEHIND THE SUCCESS, ALL ARE MEMBERS OF LIFT HEALTH & SANITATION COMMITTEE. THEY MADE SURE SUPPLIES AND PATIENTS WERE TRANSPORTED, PATIENTS WERE REFERRED, PATIENTS WERE FED AND MUCH MORE.
PATIENT AFTER HER EXAM
DR. KENYA CONSULTS
GRANDMOTHER WITH HER ORPHANED GRANDSON ARRIVE FROM MTAPWA ON MOTORCYCLE. SHE WAS FAMILIAR TO US AS LIFT PROVIDED INFANT FORMULA MILK FOR THE BABY FOR ONE YEAR.
THE BUSIEST DAY OF THE CLINIC. 58 WOMEN SEEN ON DAY 4.
AT AGA KHAN HOSPITAL IN DAR ES SALAAM. THE PAP SMEAR KITS ARE DELIVERED FOR PATHOLOGICAL TESTING.
Nurses, LIFT Members, and our partner physician
One of two exam rooms in tents set-up at the Tanzania National Agriculture Fair (Nane Nane)
LIFT Members: registration volunteer and two Board Directors
Our sagging sign at the festival
Preparing for the first patients. Registration desk.
Reviewing supplies
Engaging men: Nurse explains the importance of screening women to a passerby.
Patients are screened for HIV prior to the exam
Dr. enters data as patient is being registered.
LIFT members Drs. Ajali, Hawa,and Dr. Msami at registration desk at Kitomnga Health Center
Patient with her orphaned grandson. Mother died in childbirth. LIFT first met this grandma in Lindi when she needed milk for a 1 month old baby. Always so happy to see them. LIFT provided baby formula for 1 year.
At Kitomanga Health Center on last day. A multi-disciplined team
MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA USAFI KWA AJILI YA 09 DEC 2015
QURBANI/ UDHIYA PROGRAM DHUL HIJJAH 1436 (2015)
EID UL ADHA
SEPTEMBER 24, 2015
All communities confirmed the carrying out if Eid Qurbani.
Note: some of the following pictures are vivid .
Jazakir’Allahu’Khahirto our brothers and
sisters from Malaysia, USA, and UK who made this Eid special for so
many.
4. IFTAR RAMADAN PROGRAM
………………………………………………………………………………
Mapumziko ya Chai-15 dakika
FINANCIAL REPORT (TAARIFA YA FEDHA
2015 CASH-FLOW (TSH) AS OF DECEMBER 1, 2015
2014 Carry-Over 7,244,557Petty Cash 12,0002015 Donations 29,871,330.65Total Revenue 37,127,887.65
YTD 2015 ExpendituresBank Charges 191,000Disbursements: 15,269,015.65 Total Expenditures 15,460,015.65
Cash on hand 21, 667,872---------------------------------------------------------------------------------------------
2015 BUDGET.
MIRADI AMBAYO HAIKUWEPO KWENYE BAJETI
1. EID ALHAJI
Tulipokea 31,189,363 TSHTulitumia -23,662,658 TSHIkabaki 7,526,705 TSH
2. HEALTH SCREENING NANENANE
3. EDUCATION AND ZAKAT
Incoming: 22,332,204*
Expenditures: Educational Assistance (1,958,280 Mchinga Project (1,303,000)
Net Proceeds: 19,070,924
*Includes proceeds from Eid Qurbani Program
4. QURAN CONTEST
Incoming: 3,401,000
Expenditures: (2,700,000)
Net Proceeds: 701,000
5. IFTAR
Incoming: 750,000
Expenditures: (750,000)
Net Proceeds: 0
PLEDGES FROM MEMBERS
Promises made: 1,230,000 tsh per year
Collected: Less than 100,000
Net Proceeds: ???????????????
Utiaji sahihi wa wanachama wa kujitolea kwenye
mikutano
Lindi Islamic Foundation of Tanzania
AHADI ZA MICHANGO YA KUCHANGIA KWENYE
KAMATI
Lindi Islamic Foundation of Tanzania
MAJADILIANO
Lindi Islamic Foundation of Tanzania