masimbwe sekondari

2
NAFASI ZA MASOMO NA UFADHILI WA WANAFUNZI KWA MWAKA 2014/2015 SHULE YA SEKONDARI NA UFUNDI MASIMBWE S.L.P 46 NJOMBE [email protected] MKUU WA SHULE YA SEKONDARI MASIMBWE ILIYOKO MKOANI NJOMBE WILAYA YA LUDEWA, ANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA AWALI, KIDATO CHA KWANZA NA WANAFUNZI WA KUHAMIA KIDATO CHA KWANZA HADI CHA TATU KWA MWAKA 2014/2015. KIDATO CHA KWANZA AWALI (PRE FORM ONE) ADA NI SHILLINGI ELFU AROBAINI (40,000) TU KWA KUTWA NA LAKI MBILI (200,000) KWA BWENI KWA MIEZI YOTE MITATU. MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA AWALI(PRE FORM ONE) YATAANZA TAREHE 22/09/2014, NA KIDATO CHA KWANZA YATAANZA MWEZI WA KUMI NA MBILI(12). KIDATO CHA KWANZA HADI CHA NNE ADA NI SHILINGI 570,000 TU KWA KUTWA NA SHILINGI 800,000 TU KWA BWENI. MWANAFUNZI WA KUTWA ATAKULA CHAKULA CHA MCHANA SHULENI. SHULE INA MICHEPUO YA SAYANSI NA SANAA NA MWANAFUNZI ANARUHUSIWA KUCHAGUA MCHEPUO ANAOPENDELEA. UFUNDI CHUO CHA UFUNDI KINATOA MAFUNZO KATIKA KOZI ZA KOMPYUTA, SEKRETARIAL, UMEME, MAGARI NA USHONAJI. TUNATOA KOZI NDEFU NA FUPI NA ADA INAPANGWA KUTEGEMEA KOZI HUSIKA. MIUNDO MBINU YA KUSOMEA NA MAHITAJI MUHIMU MAABARA ZA KISASA, VITANDA, MAGODORO, MAJI YA BOMBA, HOSPITALI YA KANISA NA YA SERIKALI, NA CHAKULA KIZURI. MAFANIKIO : SHULE IMEFAULISHA WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA PILI KWA MWAKA 2013 NA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA WILAYA YA LUDEWA. SHULE IMESAJILIWA KWA NAMBA S0694 NA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI NA NAMBA S0830 NA BARAZA LA TAIFA LA MITIHANI (NECTA). KITUO CHA MITIHANI KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA KIMESAJILIWA KWA NAMBA P0830. CHUO KIMESAJILIWA KWA NAMBA VTC/209/2000 DARAJA C.

Upload: ysdo-and-map

Post on 24-Jun-2015

208 views

Category:

Education


2 download

DESCRIPTION

JE, UNATAKA KUSOMA KWA UFADHILI KATIKA SHULE YA MASIMBWE KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA NNE? HUU NI WAKATI MWAFAKA KWA WEWE KUCHUKUA FOMU. TUPIGIE SIMU NAMBARI 0756058976

TRANSCRIPT

Page 1: Masimbwe sekondari

NAFASI ZA MASOMO NA UFADHILI WA WANAFUNZI KWA MWAKA 2014/2015

SHULE YA SEKONDARI NA UFUNDI MASIMBWE

S.L.P 46 NJOMBE [email protected]

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI MASIMBWE ILIYOKO MKOANI NJOMBE WILAYA YA LUDEWA, ANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA AWALI, KIDATO CHA KWANZA NA WANAFUNZI WA KUHAMIA KIDATO CHA KWANZA HADI CHA TATU KWA MWAKA 2014/2015.

KIDATO CHA KWANZA AWALI (PRE FORM ONE)

ADA NI SHILLINGI ELFU AROBAINI (40,000) TU KWA KUTWA NA LAKI MBILI (200,000) KWA BWENI KWA MIEZI YOTE MITATU. MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA AWALI(PRE FORM ONE) YATAANZA TAREHE 22/09/2014, NA KIDATO CHA KWANZA YATAANZA MWEZI WA KUMI NA MBILI(12).

KIDATO CHA KWANZA HADI CHA NNE

ADA NI SHILINGI 570,000 TU KWA KUTWA NA SHILINGI 800,000 TU KWA BWENI. MWANAFUNZI WA KUTWA ATAKULA CHAKULA CHA MCHANA SHULENI. SHULE INA MICHEPUO YA SAYANSI NA SANAA NA MWANAFUNZI ANARUHUSIWA KUCHAGUA MCHEPUO ANAOPENDELEA.

UFUNDI

CHUO CHA UFUNDI KINATOA MAFUNZO KATIKA KOZI ZA KOMPYUTA, SEKRETARIAL, UMEME, MAGARI NA USHONAJI. TUNATOA KOZI NDEFU NA FUPI NA ADA INAPANGWA KUTEGEMEA KOZI HUSIKA.

MIUNDO MBINU YA KUSOMEA NA MAHITAJI MUHIMU

MAABARA ZA KISASA, VITANDA, MAGODORO, MAJI YA BOMBA, HOSPITALI YA KANISA NA YA SERIKALI, NA CHAKULA KIZURI.

MAFANIKIO: SHULE IMEFAULISHA WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA PILI KWA MWAKA 2013 NA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA WILAYA YA LUDEWA.

ZINGATIA KUWA: TUNAPOKEA WANAFUNZI WA JINSI ZOTE NA DINI ZOTE.

MZAZI ATAKEYELETA WATOTO/WANAFUNZI WATATU NA ZAIDI ATAPATA PUNGUZO LA ADA. WANAFUNZI WENYE MAENDELEO MAZURI DARASANI WATALIPIWA 85% YA ADA YA MASOMO YAO NA SHULE NA WAHISANI KUTOKA SEKONDARI MPAKA CHUO KIKUU. FOMU ZINAPATIKANA KWA SHILINGI 10,000 TU.

SIMU: 0756058976 na 0717517023. SHULE IMESAJILIWA KWA NAMBA S0694 NA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI NA NAMBA S0830 NA BARAZA LA TAIFA LA MITIHANI (NECTA). KITUO CHA MITIHANI KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA KIMESAJILIWA KWA NAMBA P0830.CHUO KIMESAJILIWA KWA NAMBA VTC/209/2000 DARAJA C.

Page 2: Masimbwe sekondari

NAFASI ZA MASOMO NA UFADHILI WA WANAFUNZI KWA MWAKA 2014/2015

SHULE YA SEKONDARI NA UFUNDI MASIMBWE

S.L.P 46 NJOMBE [email protected]

SHULE IMESAJILIWA KWA NAMBA S0694 NA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI NA NAMBA S0830 NA BARAZA LA TAIFA LA MITIHANI (NECTA). KITUO CHA MITIHANI KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA KIMESAJILIWA KWA NAMBA P0830.CHUO KIMESAJILIWA KWA NAMBA VTC/209/2000 DARAJA C.