matokeo ya mtihani wa kidato cha nne (csee) mwaka...
TRANSCRIPT
1
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE)
MWAKA 2018 MKOA WA IRINGA.
1.0 UTANGULIZI
Mkoa wa Iringa upo mstari wa mbele katika kutoa huduma kwa jamii, ikiwemo
elimu. Zipo Taasisi mbalimbali zinazotoa elimu kuanzia elimu ya awali hadi
Vyuo Vikuu. Mkoa una madarasa ya awali 501 (Serikali- 470, zisizo za
serikali- 31), Shule za Msingi 509 (Serikali- 479, zisizo za serikali- 30), shule
za Sekondari 174 (Serikali- 109,zisizo za serikali- 65), Vyuo vya Ualimu 5,
Vyuo Vikuu 5 na Chuo cha Veta 1.
1.1 IDADI YA SHULE ZILIZOFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA IV MWAKA 2018
Idadi ya Shule zilizofanya mtihani kwa mwaka 2018 zimeongezeka kutoka
shule 158 za mwaka 2017 hadi shule 162 za mwaka 2018 kama ifuatavyo:-
Iringa (M) - 29, Iringa (V) - 33, Kilolo - 41. Mufindi - 42 na Mji Mafinga -17.
1.2 UFAULU WA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2018
Mkoa wa Iringa umeshika nafasi ya 12 kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara
kwa ufaulu kwa asilimia 84.53 GPA ya 3.8412 ukilinganisha na mwaka 2017
ambapo Mkoa ulishika nafasi ya 17 kwa ufaulu wa asilimia 75.99 GPA ya
4.0049. Hivyo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 8.54. Idadi ya wanafunzi
waliofaulu ni 10,488 kati ya wanafunzi 12,408 waliofanya mtihani na
wanafunzi walioshindwa ni 1,920 sawa na asilimia 15.47.
Matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha nne mwaka 2018 ya watahiniwa wa
shule yanaonyesha kuwa ufaulu kitaifa ni asilimia 79.27 (wav-80.05%,was-
78.51%). Kuhusu ufaulu kwa ubora , yaani daraja la I- III, waliofaulu ni
asimia 26.25 .
2
Hali kadhalika ufaulu kimkoa, jumla ya wanafunzi 10,488 wamefaulu(daraja
I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi 12,408 waliofanya mtihani
sawa na asilimia 84.53.
Ufaulu kwa ubora yaani daraja la I-III waliofaulu ni wanafunzi 4,111 sawa
na asilimia 33.13 tu.Hali hii inaonesha kuwa asilimia 66.87
wamepata ufaulu wa daraja la IV na daraja sifuri, ambapo daraja la IV ni
6,377 sawa na asilimia 51.39 na wanafunzi 1,920 sawa na asilimia 15.47
walishindwa mtihani.
1.3 Ulinganifu wa Ufaulu: Nafasi za Halmashauri katika Mkoa.
Kwa mwaka 2018 Halmashauri ya Mji wa Mafinga inaendelea kuongoza
ikifuatiwa na Iringa Manispaa kwa kushika nafasi ya pili na ya tatu ni
Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Nafasi ya nne ni Halmashauri ya Wilaya ya
Mufindi na nafasi ya tano ni Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo (Tazama
jedwali Na. 1 na Na.2 hapa chini)
3
Jedwali Na 1: Ufaulu wa kidato cha IV mwaka 2018 kwa kila Halmashauri
NA
FA
SI
HALMASHAURI W
AL
IOF
AN
YA
MADARAJA YA UFAULU UFAULU (I- IV)
UFAULU BORA (I-III)
GPA
NAFASI
I II III IV O IDADI & IDAD
I &
2018
2017
1 MAFINGA MJI
1327 171 134 226 620 176 1151 86.7
4 531
40.02
3.6065
11 43
2 IRINGA(M)
2667 116 348 585 1206 412 2255 84.5
5 1049
39.33
3.7649
38 42
3 IRINGA DC
3164 141 291 506 1672 554 2610 82.4
9 938
29.65
3.8925
76 123
4 MUFINDI
2832 61 296 501 1592 382 2450 86.5
1 858
30.30
3.8950
78 115
5 KILOLO
2418 43 246 446 1287 396 2022 83.6
2 735
30.40
3.9271
91 145
MKOA 12408 532 1315 2264 6377 1920
10488
84.53
4111 33.1
3 3.841
2 12 17
Jedwali Na.2 UFAULU KIMADARAJA
NA
FA
SI
HALMASHAURI
WA
LIO
FA
NY
A
MADARAJA YA UFAULU
I % II % III % IV % O %
1 MAFINGA MJI
1327 171 12.89 134 10.10 226 17.03 620 46.72 176 13.26
2 IRINGA(M)
2667 116 4.35 348 13.05 585 21.93 1206 45.22 412 15.45
3 IRINGA DC
3164 141 4.46 291 9.20 506 15.99 1672 52.84 554 17.51
4 MUFINDI
2832 61 2.15 296 10.45 501 17.69 1592 56.21 382 13.49
5 KILOLO
2418 43 1.78 246 10.17 446 18.44 1287 53.23 396 16.38
MKOA 12408 532 4.29 1315 10.60 2264 18.25 6377 51.39 1920 15.47
4
1.4 Shule zilizofanya vizuri Zaidi na shule za mwisho Kimkoa
Katika uchambuzi wa matokeo kimkoa pia zimepangwa shule kumi bora na shule kumi za mwisho.
1.4.1 Shule Kumi bora.
Katika uchambuzi wa shule 10 bora Halmashauri 4 zimetoa shule 10 bora kwa mchanganuo:-
➢ Kilolo - shule 01
➢ Mji Mafinga - shule 04 ➢ H/W Iringa - shule 03
➢ Mufindi -shule 02
Jedwali Na.3 Shule kumi bora Kimkoa
NA
FA
SI
SHULE HALMASHAURI WA
LIO
FA
NY
A
MADARAJA GPA Nafasi I II III IV 0 kimkoa kitaifa
1 BETHEL SABS MAFINGA MJI 74 71 3 0 0 0 1.6041 1/130 10/3488
2 ST. DOMINIC SAVIO IRINGA DC 42 38 4 0 0 0 1.6321 2/130 12/3488
3 DON BOSCO MAFINGA MJI 47 40 7 0 0 0 1.7292 3/130 26/3488
4 MAFINGA SEM MAFINGA MJI 39 31 8 0 0 0 1.7897 1/32 2/1371
5 ST. MARY'S ULETE IRINGA DC 88 70 18 0 0 0 1.8147 4/130 38/3488
6 CONSOLATHA MAFINGA MJI 30 20 10 0 0 0 1.9417 2/32 4/1371
7 MUFINDI GIRLS MUFINDI 72 21 44 7 0 0 2.3861 5/130 128/3488
8 ST.THERESE MIBIKIMITALI IRINGA DC
47 9 33 5 0 0 2.4149 6/130 137/3488
9 ST.JAMES KILOLO 58 15 25 18 0 0 2.5508 7/130 164/3488
10 BROOKEBOND MUFINDI 32 4 19 9 0 2.6276 3/032 27/1371
1.4.2 Shule kumi(10) za Mwisho Kimkoa
Kwa upande wa shule kumi za mwisho Kimkoa (zilizofanya vibaya),
Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo inazo shule 04, Halmashauri ya Mji Mafinga
shule 02, Halmashauri ya Iringa 03 na Iringa Manispaa 01.
5
Jedwali Na.4 Shule kumi za mwisho Kimkoa
N
AF
AS
I
SHULE HALMASHAURI
WA
LIO
FA
NY
A MADARAJA
GPA
Nafasi
I II III IV 0
kimkoa kitaifa 1 MNYIGUMBA MAFINGA MJI 32 0 1 1 20 10 4.3462 28/32 1164/1371
2 UMBUYA KILOLO 20 0 0 3 10 7 4.3692 29/32 1186/1371
3 KILOLO KILOLO 79 0 1 7 43 28 4.371 126/130 3110/3488
4 ISIMILA IRINGA DC 166 0 2 14 100 50 4.3744 127/130 3119/3488
5 LYASA IRINGA DC 31 0 0 2 18 11 4.4003 30/32 1222/1371
6 ISALAVANU MAFINGA MJI 44 0 2 2 20 20 4.4268 128/130 3249/3488
7 WASA IRINGA DC 81 0 1 2 45 33 4.4778 129/130 3339/3488
8 HOPE KILOLO 2 0 0 0 1 1 4.5000 31/32 1303/1371
9 NDULI IRINGA MANISPAA 70 0 1 3 32 34 4.5053 130/130 3381/3488
10 SAYUNI KILOLO 10 0 0 0 4 6 4.6958 32/32 1366/1371
1.5 Mpangilio wa shule kwa ubora wa ufaulu katika Mtihani wa
kidato cha Nne mwaka 2018 Kimkoa.
Jumla ya Shule za Sekondari 162 kati ya 174 ndizo zilizokuwa na
watahiniwa wa mtihani wa kidato cha Nne katika Mkoa wa
Iringa.Mpangilio wa shule kwa ubora wa ufaulu ni kama
ilivyoainishwa katika jedwali Na.5.
6
Jedwali Na.5: Mpangilio wa Shule kwa ubora wa ufaulu Kimkoa
NA
SHULE HALMASHAURI
WA
LIO
FA
NY
A MADARAJA
GPA
Nafasi
I II III IV O
kimkoa kitaifa
1 BETHEL SABS MAFINGA MJI 74 71 3 0 0 0 1.604 1/130 10./3488
2 ST. DOMINIC SAVIO IRINGA(DC)
42 38 4 0 0 0 1.632 2/130 12/3488
3 DON BOSCO MAFINGA MJI 47 40 7 0 0 0 1.729 3/130 26/3488
4 MAFINGA SEM MAFINGA MJI 39 31 8 0 0 0 1.79 1./32 2/1371
5 ST. MARY'S ULETE IRINGA(DC)
88 70 18 0 0 0 1.815 4/130 38/3488
6 CONSOLATHA MAFINGA MJI 30 20 10 0 0 0 1.942 2./32 4/1371
7 MUFINDI GIRLS MUFINDI 72 21 44 7 0 0 2.386 5/130 128/3488
8 ST.THERESE MIBIKIMITALI IRINGA(DC)
47 9 33 5 0 0 2.415 6/130 137/3488
9 ST.JAMES KILOLO 58 15 25 18 0 0 2.551 7/130 164/3488
10 BROOKEBOND MUFINDI 32 4 19 9 0 0 2.628 3/032 27/1371
11 LYANIKA MUFINDI 37 2 24 11 0 0 2.709 4/032 35/1371
12 MAGULILWA IRINGA(DC) 51 7 24 20 0 0 2.728 8/130 216/3488
13 ADONAI MAFINGA MJI 23 1 13 9 0 0 2.811 5./32 50/1371
14 EASTEN STAR IRINGA (M) 45 10 13 17 5 0 2.8333 9/130 250/3488
15 ST.THOMAS NYABULA IRINGA(DC)
75 3 33 36 3 0 2.899 10/130 266/3488
16 IRINGA ADVENTIST IRINGA (M)
27 2 12 12 1 0 2.9058 Jun-32 65/1371
17 IFUNDA UFUNDI IRINGA(DC) 165 36 49 47 29 4 2.929 11/130 277/3488
18 IRINGA GIRLS IRINGA (M) 120 25 39 24 27 5 2.9677 12/130 286/3488
19 EBENEZER IRINGA (M) 93 3 40 38 12 0 3.0288 13/130 312/3488
20 SPRING VALLEY IRINGA (M) 78 7 28 31 12 0 3.0355 14/130 315/3488
21 REGINA PACIS MUFINDI 52 4 15 31 2 0 3.075 15/130 333/3488
22 IMAGE KILOLO 90 3 35 33 19 0 3.121 16/130 356/3488
23 MTINYAKI MUFINDI 24 0 8 15 1 0 3.163 7/032 105/1371
24 MALANGALI MUFINDI 82 11 22 26 11 12 3.196 17/130 405/3488
25 LUTANGILO KILOLO 50 2 14 24 10 0 3.223 18/130 427/3488
26 IMAGE VOSA KILOLO
21 1 8 5 6 1 3.255 08/32 125/1371
7
NA
SHULE HALMASHAURI WA
LIO
FA
NY
A
MADARAJA GPA
Nafasi
I II III IV O kimkoa kitaifa
27 POMERINI KILOLO 79 4 22 28 25 0 3.281 19/130 449/3488
28 THE LORD'S HILL KILOLO 24 0 4 16 4 0 3.298 9/32 139/1371
29 CONSOLATA IRINGA IRINGA (M)
84 1 20 41 22 0 3.3204 20/130 474/3488
30 WENDYRAYNA IRINGA (M) 15 0 3 6 6 0 3.4222 Oct-32 191/1371
31 SADANI MUFINDI 136 6 29 44 54 3 3.435 21/130 553/3488
32 ST. JOSEPH IPOGOLO IRINGA (M)
42 1 10 12 17 2 3.4690 22/130 580/3488
33 RUAHA IRINGA (M) 76 1 16 25 33 1 3.4972 23/130 591/3488
34 BREAD OF LIFE IRINGA(DC) 35 2 5 11 16 1 3.5
11 OUT 32
218/1371
35 BUKIMAU MAFINGA MJI 26 0 4 11 11 0 3.539 12./32 237/1371
36 MARIA CONSOLATA
KILOLO 27 1 5 5 16 0 3.572 13/32 252/1371
37 SAWALA MUFINDI 84 2 17 24 40 1 3.583 24/130 648/3488
38 KISING'A KILOLO 7 0 2 1 4 0 3.586 14/32 254/1371
39 KAWAWA MAFINGA MJI 188 1 30 62 95 0 3.593 25/130 656/3488
40 MWEMBETOGWA IRINGA (M) 42 1 9 12 14 6 3.6105 26/130 674/3488
41 ILOGOMBE MUFINDI 24 1 2 10 11 0 3.618 15/032 269/1371
42 DOKAMAN IRINGA(DC) 59 0 4 27 28 0 3.666 27/130 725/3488
43 CAGRIELO IRINGA (M) 55 3 5 15 29 3 3.6774 28/130
739/3488
44 HIGHLANDS IRINGA (M) 154 4 29 33 71 17 3.7185 29/130 787/3488
45 MADISI MUFINDI 87 1 9 27 50 0 3.738 30/130 824/3488
46 MAWAMBALA KILOLO 48 0 9 11 23 5 3.744 31/130 832/3488
47 UDEKWA KILOLO 39 0 6 6 25 2 3.784 16/32 384/1371
48 IMAULUMA MUFINDI 39 0 6 10 21 2 3.789 32/130 922/3488
49 MIYOMBONI IRINGA (M) 89 1 9 19 59 1 3.7897 33/130 925/3488
50 ITENGULE MUFINDI 59 0 7 16 33 3 3.796 34/130 934/3488
51 IDODI IRINGA(DC) 171 0 14 46 100 11 3.815 35/130 969/3488
52 ST. MICHAEL KILOLO 62 3 8 13 29 9 3.817 36/130 971/3488
NA
SHULE HALMASHAURI WA
LIO
FA
NY
A
MADARAJA GPA
Nafasi
I II III IV O
kimkoa kitaifa
8
53 UDZUNGWA KILOLO 149 2 14 41 74 18 3.836 37/130 1015/3488
54 LUGANGA MAFINGA MJI 121 2 18 22 62 17 3.838 38/130 1018/3488
55 EFATHA IRINGA (M) 39 0 3 13 20 3 3.8513 39/130 1066/3488
56 NYERERE MIGOLI IRINGA(DC) 203 4 20 40 123 16 3.857 40/130 1078/3488
57 DABAGA KILOLO 83 4 3 18 51 7 3.86 41/130 1089/3488
58 MLANDEGE IRINGA (M) 91 0 11 27 34 19 3.8640 42/130 1098/3488
59 KIHESA IRINGA (M) 175 8 11 42 82 32 3.8640 43/130 1099/3488
60 UKWEGA KILOLO 74 0 7 17 39 11 3.874 44/130 1125/3488
61 SELEBU KILOLO 74 0 7 19 40 8 3.889 45/130 1157/3488
62 KINGEGE MUFINDI 52 0 4 11 34 3 3.897 46/130 1184/3488
63 UKUMBI KILOLO 18 0 2 3 11 2 3.903 17/32 515/1371
64 MTWIVILA IRINGA (M) 84 1 8 17 47 11 3.9166 47/130 1247/3488
65 PAWAGA IRINGA(DC) 111 2 5 22 68 14 3.928 48/130 1286/3488
66 MTERA IRINGA(DC) 84 0 5 17 56 6 3.939 49/130 1314/3488
67 ITONA MUFINDI 71 1 4 13 50 3 3.949 50/130 1348/3488
68 KIWELE IRINGA(DC) 142 2 14 19 97 10 3.951 51/130 1351/3488
69 MLOWA IRINGA(DC) 40 1 3 8 23 5 3.952 52/130 1354/3488
70 ITANDULA MUFINDI 111 2 8 15 81 5 3.962 53/130 1380/3488
71 MGOLOLO MUFINDI 108 1 10 18 61 18 3.973 54/130 1420/3488
72 KIBAO MUFINDI 47 0 4 9 27 7
3.98 55/130 1444/3488
73 MAKWEMA KILOLO
48 0 3 9 31 5 3.98 56/130 1447/3488
74 MLAFU KILOLO 33 0 3 3 25 2 3.983 18/32 639/1371
75 IFWAGI MUFINDI 79 0 5 14 55 5 3.983 57/130 1456/3488
76 LIPULI IRINGA(DC) 70 0 4 16 39 11 3.984 58/130 1460/3488
77 LUKOSI KILOLO 86 2 5 9 61 9 3.993 59/130 1492/3488
78 IHOWANZA MUFINDI 47 0 2 9 34 2 4.001 60/130 1521/3488
NA
SHULE HALMASHAURI
WA
LIO
FA
NY
A MADARAJA
GPA
Nafasi
I II III IV O
kimkoa kitaifa
79 ST AMBROSE MUFINDI 17 0 2 4 7 4 4.004 19/032 659/1371
80 KINYANAMBO MAFINGA MJI 148 1 12 29 79 27 4.007 61/130 1549/3488
81 MKWAWA IRINGA (M) 85 0 8 13 50 14 4.0081 62/130 1551/3488
9
82 LUGHANO KILOLO 23 0 1 4 18 0 4.009 20/32 666/1371
83 KIMAIGA IRINGA(DC) 42 0 3 5 28 6 4.011 63/130 1559/3488
84 IROLE KILOLO 77 1 5 11 53 7 4.011 64/130 1563/3488
85 IDETERO MUFINDI 81 1 6 9 55 10 4.015 65/130 1581/3488
86 IPETA KILOLO 42 0 2 8 28 4 4.022 66/130 1610/3488
87 IPALAMWA KILOLO 20 0 1 4 13 2 4.022 21/32 686/1371
88 J.J. MUNGAI MAFINGA MJI 178 3 8 35 103 29 4.023 67/130 1620/3488
89 CHANGARAWE MAFINGA MJI 143 1 9 21 87 25 4.031 68/130 1663/3488
90 TAGAMENDA IRINGA (M) 172 2 12 37 74 47 4.0392 69/130 1707/3488
91 IRINGA UMMUSALAMA IRINGA (M)
31 0 2 7 17 5 4.0415 22/32 714/1371
92 MBALAMAZIWA MUFINDI 59 0 3 11 34 11 4.043 70/130 1723/3488
93 MLAMKE IRINGA (M) 153 1 16 23 78 35 4.0448 71/130 1732/3488
94 BOMALANG'OMBE KILOLO 96 0 5 9 76 6 4.054 72/130 1773/3488
95 ISMANI IRINGA(DC) 147 0 9 20 94 24 4.059 73/130 1785/3488
96 MAZOMBE KILOLO 60 1 4 6 39 10 4.075 74/130 1858/3488
97 MGALO MUFINDI 41 0 1 7 27 6 4.089 75/130 1922/3488
98 MAZOEZI KLERRUU IRINGA (M)
215 3 13 33 111 55 4.0909 76/130 1933/3488
99 MKALALA MUFINDI 72 0 6 7 47 12 4.093 77/130 1949/3488
100 NYAMALALA MAFINGA MJI 51 0 1 10 33 7 4.096 78/130 1966/3488
101 KIPONZELO IRINGA(DC) 100 1 5 13 60 21 4.097 79/130 1970/3488
102 LYANDEMBELA IRINGA(DC) 105 0 8 15 58 24 4.1 80/130 1982/3488
103 IGOWOLE MUFINDI 249 0 9 44 154 42 4.102 81/130 1993/3488
104 IHONGOLE MAFINGA MJI 102 0 7 18 50 27 4.104 82/130 2001/3488
NA
SHULE HALMASHAURI
WA
LIO
FA
NY
A MADARAJA
GPA
Nafasi
I II III IV O
kimkoa kitaifa
105 LUGALO IRINGA (M) 142 1 5 24 81 31 4.1045 83/130 2005/3488
106 NYALUMBU KILOLO 88 2 5 13 45 23 4.106 84/130 2017/3488
107 ILULA KILOLO 136 1 7 23 70 35 4.11 85/130 2031/3488
108 KWELU IRINGA (M) 28 0 2 3 17 6 4.1098 23/32 811/1371
109 KIYOWELA MUFINDI 50 1 3 3 31 12 4.112 86/130 2400/3488
110 MAWELEWELE IRINGA (M) 158 2 6 28 80 42 4.1169 87/130 2064/3488
10
111 MAKUNGU MUFINDI 53 0 2 8 33 10 4.119 88/130 2073/3488
112 KIHEKA KILOLO 116 0 8 17 64 27 4.12 89/130 2083/3488
113 IPOGOLO IRINGA (M) 165 1 9 18 107 30 4.1228 90/130 2094/3488
114 KALENGA IRINGA(DC) 160 0 8 25 97 30 4.127 91/130 2109/3488
115 LULANZI KILOLO 55 0 2 7 37 9 4.132 92/130 2133/3488
116 LUNDAMATWE KILOLO 80 0 5 15 39 21 4.132 93/130 2135/3488
117 IHANU MUFINDI 64 0 0 8 50 6 4.132 94/130 2138/3488
118 KWAKILOSA IRINGA (M) 97 0 4 12 68 13 4.1323 95/130 2139/3488
119 IHALIMBA MUFINDI 71 0 3 10 45 13 4.146 96/130 2205/3488
120 MADEGE KILOLO 88 1 3 7 65 12 4.157 97/130 2259/3488
121 MDABULO MUFINDI 132 1 5 14 79 33 4.164 98/130 2284/3488
122 IDUNDA MUFINDI 33 1 0 5 19 8 4.165 24/032 892/1371
123 DIMITRIOS IRINGA(DC) 93 0 5 12 50 26 4.184 99/130 2369/3488
124 NAMNYAKI KILOLO 19 0 1 2 12 4 4.19 25/32 943/1371
125 LUMULI IRINGA(DC) 63 0 2 8 36 17 4.192 100/130 2407/3488
126 NZIVI MUFINDI 57 0 1 5 40 11 4.192 101/130 2411/3488
127 ILONGO MUFINDI 59 0 1 7 41 10 4.198 102/130 2447/3488
128 MNINGA MUFINDI 60 0 3 6 33 18 4.209 103/130 2490/3488
129 BUMLAYINGA MAFINGA MJI 53 0 1 5 37 10 4.219 104/130 2527/3488
130 KIDAMALI IRINGA(DC) 118 0 3 9 82 24 4.219 105/130 2529/3488
NA
SHULE HALMASHAURI
WA
LIO
FA
NY
A
MADARAJA GPA
Nafasi
I II III IV O
kimkoa kitaifa
131 MTAMBULA MUFINDI 80 0 2 4 62 12 4.221 106/130 2536/3488
132 LUHUNGA MUFINDI 42 0 1 3 31 7 4.227 107/130 2559/3488
133 NYOLOLO MUFINDI 61 0 4 2 39 16 4.229 108/130 2571/3488
134 KITOWO KILOLO 54 0 1 5 39 9 4.233 109/130 2586/3488
135 KASANGA MUFINDI 69 0 3 5 45 16 4.234 110/130 2596/3488
136 IGOMBAVANU MUFINDI 47 1 0 2 35 9 4.239 111/130 2617/3488
137 LUHOTA IRINGA(DC) 185 1 2 22 108 52 4.24 112/130 2623/3488
138 ILAMBILOLE IRINGA(DC) 53 0 1 3 35 14 4.243 113/130 2635/3488
139 FURAHIA IRINGA(DC) 57 3 0 4 30 20 4.245 114/130 2639/3488
140 MUHWANA IRINGA(DC) 89 0 1 9 61 18 4.248 115/130 2658/3488
11
141 MASISIWE KILOLO 34 0 1 3 24 6 4.25 26/32 1040/1371
142 KIBENGU MUFINDI 63 0 1 5 43 14 4.252 116/130 2668/3488
143 MGAMA IRINGA(DC) 91 0 3 6 58 24 4.266 117/130 2734/3488
144 KIHANSI MUFINDI 70 0 1 8 41 20 4.282 118/130 2800/3488
145 LUMWAGO MAFINGA MJI 28 0 0 1 23 4 4.288 27/32 1091/1371
146 UHAMBINGETO KILOLO 90 0 4 11 38 37 4.308 119/130 2911/3488
147 NGANGWE KILOLO 72 0 5 4 36 27 4.308 120/130 2912/3488
148 WILIAM LUKUVI IRINGA(DC) 74 0 2 10 39 23 4.312 121/130 2926/3488
149 MSEKE IRINGA(DC) 90 0 1 7 55 27 4.324 122/130 2970/3488
150 NYANG'ORO IRINGA(DC) 78 0 4 6 36 32 4.327 123/130 2975/3488
151 MADUMA MUFINDI 59 0 0 5 36 18 4.333 124/130 3001/3488
152 MTITU KILOLO 87 0 3 8 40 36 4.344 125/130 3027/3488
153 MNYIGUMBA MAFINGA MJI 32 0 1 1 20 10 4.346 28/32 1164/1371
154 UMBUYA KILOLO 20 0 0 3 10 7 4.369 29/32 1186/1371
155 KILOLO KILOLO 79 0 1 7 43 28 4.371 126/130 3110/3488
156 ISIMILA IRINGA(DC) 166 0 2 14 100 50 4.374 127/130 3119/3488
NA
SHULE HALMASHAURI WA
LIO
FA
NY
A
MADARAJA GPA
Nafasi
I II III IV O
kimkoa kitaifa
157 LYASA IRINGA(DC) 31 0 0 2 18 11 4.4 30/32 1222/1371
158 ISALAVANU MAFINGA MJI 44 0 2 2 20 20 4.427 128/130 3249/3488
159 WASA IRINGA(DC) 81 0 1 2 45 33 4.478 129/130 3339/3488
160 HOPE KILOLO 2 0 0 0 1 1 4.5000 31/32 1303/1371
161 NDULI IRINGA (M) 70 0 1 3 32 34 4.5053 130/130 3381/3488
162 SAYUNI KILOLO 10 0 0 0 4 6 4.696 32/32 1366/1371
Jedwali Na.6: Mpangilio wa Mikoa kwa Ubora wa ufaulu
12