misingi inayojenga katika imani - bosquejos · pdf filemisingi ya mazao ya mungu ... kwa kutoa...

Download Misingi Inayojenga katika Imani - Bosquejos · PDF fileMisingi ya mazao ya Mungu ... kwa kutoa muhtasari wa maneno ya Biblia na mawazo yake na sura ya 9 imekusudiwa kumfundisha mwanafunzi

If you can't read please download the document

Upload: hoangthien

Post on 24-Feb-2018

1.267 views

Category:

Documents


324 download

TRANSCRIPT

  • Misingi Inayojenga katika Imani

    Kuweka msingi juu ya mwamba,Yesu Kristo Luka 6:48

  • 2001 na Village Ministries International, Inc. (VMI)

    VMI inatoa ruhusa kwa yeyote kunakili na kusambaza kitabu hiki kwa makusudi ya kuwafundisha wengine kuhusu Kristo na neno la Mungu; hata hivyo, hairuhusiwi kubadilisha, kurekebisha au kufanya mabadiliko yoyote yale katika kitabu hiki( haijalishi kwa mapungufu gani yaliyomo katika kitabu hiki). Hairuhusiwi kuuza kitabu hiki kwa mtu au kundi la watu au kudai malipo kwa ajili ya matumizi ya kitabu hiki, ieleweke kwamba VMI ina neema ya pekee na hivyo huwa haidai malipo ya ina yoyote kwa ajili ya matumizi ya kitabu hiki.

    Any copying, retransmission, distribution, printing, or other use of FOUNDATIONS must set forth the following credit line, in full, at the conclusion of the portion of FOUNDATIONS that is used:

    Copyright 2001 Village Ministries International, Inc. Reprinted with permission. Foundations is a publication of Village Ministries International, Inc.

    www.villageministries.org

    All Scripture quotations from the New American Standard Bible, Copyright 1960, 1962, 1963, 1968, 1971, 1972, 1973, 1975, 1977, 1994 by:

    The Lockman Foundation A Corporation Not for Profit La Habra, CA

  • 3

    MISINGI INAYOJENGA KATIKA IMANI

    NA:

    Mchungaji: Drue Freeman, MBL

    Kimetafasiriwa na Ev. Renatus Cosmas Kanunu

    P.o.Box 513, +255 787 215 445

    [email protected] Tabora,Tanzania

    Village Ministries International

    www.villageministries.org

    mailto:[email protected]

  • 4

    ORODHA YA YALIYOMO

    Shukrani 7 Utangulizi 8 Sura ya 1: Jinsi ya kuanza 9

    Sehemu ya 1 Maandalizi Binafsi 9 Sehemu ya 2 Biblia .. 10 Sehemu ya 3 Mitazamo ya Kihistoria 12 Sehemu ya 4 Mtazamo wa Kikalenda .. 14 Sehemu ya 5 Maandalizi ya kujifunza neno la Mungu 17

    Sura ya 2: Agano la Kale ...................................... 19 Utangulizi 19 Sehemu ya 1 Sheria:

    Utangulizi........................................... 20

    Mwanzo . 21 Kutoka 22 Mambo ya Walawi 23 Hesabu .. 24 Kumbukumbu la Torati 26

    Sehemu ya 2 Vitabu vya Historia: Utangulizi 27 Yoshua ... 28 Waamuzi 29 Ruthu.. 31 1 Samweli . 32 2 Samwelil . 34 1 Wafalme . 35 2 Wafalme . 36 1 Mambo ya Nyakati 38 2 Mambo ya Nyakati 40 Ezra 42 Nehemia ............... 43 Esta 44

    Sehemu ya 3 Vitabu vya Mashairi: Utangulizi . 45 Ayubu . 47 Zaburi . 49 Mithali . 54 Mhubiri ..................... 56 Wimbo wa Sulemani ....... 58 Sehemu ya 4 Manabii wakubwa: Utangulizi .......................... 59 Isaya ............. 61 Yeremia . 63 Maombolezo . 64 Ezekieli .. 66 Danieli ... 67 Sehemu ya 5 Manabii wadogo: Utangulizi 68

    Hosea . 69 Yoeli ... 71 Amosi .... 72 Obadia ... 73 Yona ... 74 Mika ... 75 Nahumu . 77 Habakuki ... 78

  • 5

    Sefania ... 79 Hagai .. 80 Zekaria ... 82 Malaki .... 83

    Sura ya 3: Agano Jipya .... 84 Utangulizi 84 Sehemu ya 1 Vitabu vya Historia: Utangulizi ... 89 Mathayo . 90 Marko . 92 Luka 94 Yohana .. 96 Matendo . 99 Sehemu ya 2 Nyaraka za Paulo: Utangulizi . 100

    Warumi .. 104 1 Wakorintho. 106 2 Wakorintho . 108 Wagalatia .. 109 Waefeso . 110 Wafilipi ... 112 Wakolosai . 113 1 Wathesalonike .. 114 2 Wathesalonike .. 116 1 Timotheo .... 117 2 Timotheo .... 118 Tito . 119 Filemoni . 121

    Sehemu ya 3 Nyaraka za jumla: Utangulizi.. 122 Waebrania .... 123 Yakobo .. 125 1 Petro ... 127 2 Petro ... 128 1 Yohana ... 130 2 Yohana ... 131 3 Yohana ... 132 Yuda ... 133

    Sehemu ya 4 Kitabu cha Unabii: Ufunuo . 134 Sura ya 4: Kanuni za Ufasili .... 137

    Utangulizi.... 137 Sehemu ya 1 Sheria ya kwanza: Tafuta ukweli .. 138 Kanuni ya 1: Jifunze asili ya Mungu .. 138 Kanuni ya 2: Tafuta njia ambayo Yesu ameonyeshwa .. 139 Sehemu ya 2 Sheria ya pili: Tafuta kuelewa ...... 141 Kanuni ya 3: Tambua kwamba ufunuo ni kitu kisicho na mwisho 141 Kanuni ya 4: Tafasiri kimaandiko ...... 142 Kanuni ya 5: Yafanye kuwa kweli .. 142 Kanuni ya 6: Soma sura muhimu .. 143 Kanuni ya 7: Tambua uasi wa mwanadamu ... 144 Kanuni ya 8: Kumbuka Agano ... 144 Sehemu ya 3 Sheria ya tatu : Kuwa mwenye hekima ...... 147 Kanuni ya 9: Tafuta tofauti.. 147 Kanuni ya 10: Fikiri juu ya yaliyomo......... 148 Kanuni ya 11: Fasili kwa kulinganisha Maandiko.... 149 Kanuni ya 12: Tafuta ushabihiano .... 150 Kanuni ya 13: Tafakari mpango wa Mungu .... 151

  • 6

    Kanuni ya 14: Kuwa makini na unabii .. 152 Sehemu ya 4 Sheria ya nne: Tafuta jinsi ya kuishi .... 153

    Kanuni ya 15: Matumizi mazuri .. 154 Sura ya 5: Mafundisho juu ya nafsi ya Mungu ... 158

    Sehemu ya 1 Utatu .. 158 Sehemu ya 2 Majina ya Mungu .. 160 Sehemu ya 3 Mungu Baba .. 162 Sehemu ya 4 Mungu Mwana ..... 168 Sehemu ya 5 Mungu Roho Mtakatifu ...... 177

    Sura ya 6: Misingi ya mazao ya Mungu .. 185 Sehemu ya 1 Uumbaji..... 185 Sehemu ya 2 Malaika..... 185 Sehemu ya 3 Mwanadamu..... 190 Sehemu ya 4 Migogoro ya Malaika ... 200

    Sura ya 7: Mafundisho ya mipango ya Mungu .. 201 Shemu ya 1 Ufunuo: Biblia.... 201 Sehemu ya 2 Tatizo: Dhambi.. 202 Sehemu ya 3 Ufumbuzi/Njia: Wokovu.... 204 Sehemu ya 4 Usalama: Ahadi za Mungu.. 207 Sehemu ya 5 Yajayo: Unabii... 209

    Sura ya 8: Mafundisho ya makusudi ya Mungu . 211 Sehemu ya 1 Maisha binafsi ya Mkristo ...... 211 Sehemu ya 2 Maisha ya kikristo ya kushirikiana ....... 220

    Sura ya 9: Utendaji ... 223 Utangulizi... 223

    Sehemu ya 1 Kukielewa kitabu .. 224 Sehemu ya 2 Kutengeneza Muhtasari wa kitabu .... 225 Sehemu ya 3 Kupunguza uelewa wako katika kujifunza ... 226 Sehemu ya 4 Kuangalia mahusiano .. 228 Sehemu ya 5 Kuyatambua yaliyo ndani kabisa ... 231 Sehemu ya 6 Kupanua uelewa wako katika kujifunza ... 233 Sehemu ya 7 Mchanganuo . 236

    Barua ya wahariri Changamoto Binafsi..... 237

  • 7

    SHUKRANI Kitabu cha MISINGI kimetayarishwa chini ya maelekezo ya huduma ya Village Ministries International, Inc. Tangu mwanzo, ujumbe wa Village Ministries umekuwa ni kufikia vijiji na maeneo ya ndani kabisa katika ulimwengu kwa kueneza injili ya Yesu Kristo. Mara zote madirisha ya nafasi za Wamisionari zimekuwa zikipatikana kwa kipindi kifupi. Maono ya huduma yetu imekuwa ni kupata watu walio tayari katika maeneo haya tunawafundisha ili waweze kuwafundisha watu wao maneno ya Mungu baada ya Wageni kuwa wameondoka, kwani Kuwafanya wanafunzi katika kutimiza utume mkuu tuliopewa na Bwana wetu Mwokozi. Sura ya 2 na 3 imeandikwa kwa ruhusa kutoka kwa J. Hampton Keathley IIIs, The Concise Old and New Testament Survey. Kazi kamili isiyohaririwa ya Bwana Mr. Keathley inapatikana kwa makubaliano na Biblical Studies Foundation, katika Tovuti ya:

    www.bible.org

    Village Ministries International inapenda kuwashukuru Mr. Keathley kwa ruhusa ya kutumia utafiti wake. Kwa kwelli ni muhimu sana katika kujifunza Biblia. Marekebisho machache yamefanyika katika utafiti wake hasa katika eneo la tarehe za Biblia . VMI inatumaini kutoa mafundisho ya Biblia katika sehemu mbalimbali duniani ambako mafundisho ni machache sana,yanahitajika lakini hayapatikani. Kwa huduma hii, VMI inauwezo wa kusaidia na kutegemeza idadi ya wachungaji inayoongezeka kwa kutoa mafundisho na vitendea kazi. Kuna watu wengi wa kuwashukuru kwa kujitoa kwao ili kuwezesha uandaaji wa kitabu hiki. Kwanza kabla ya yote tunamshukuru Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kwa neema yake ametupa wokovu wake mkuu na ametukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa wa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe (2 Petro 1:3). Pili, Mchungaji Drue Freeman aliye na huruma na shauku ya neno la Mungu ambalo kwa kweli lina uvuvio. Nia yake ya kusoma neno la Mungu na ushawishi wake wa kutafasiri kwa usahihi kwa kweli unaonekana dhahiri katika kitabu hiki. Mwisho kwa namna yoyote ile kuna watu wengi binafsi ambao wametoa wakati wao,vipaji na karama zao ili kuwezesha kukamilika kwa kitabu hiki, nao hatuna budi kuwashukuru. Kwa kweli ni mashujaa wasioonekana.

    http://www.bible.org/

  • 8

    Utangulizi Sehemu hii ya mafunzo ya VMI inaitwa Misingi imekusudiwa kuwasaidia wasomaji wa Biblia waweze kukua katika neema na maarifa ya Bwana wetu Yesu Kristo (2 Petro 3:18). Kwa hiyo mkazo wa kitabu kizima cha MISINGI si kuelewa umuhimu na kina cha neno la Mungu lakini pia na kumsaidia msomaji katika kuendelea katika maisha yake ya Kiroho. Kitabu cha Misingi kimekusudiwa kumjenga msomaji ili aweze kuwafundisha na wengine kwa sababu msomaji atakuwa amekwisha elewa na kuyameza mameno ya Mungu katika Roho yake. Ni chombo cha thamani kwa Kuwafanya wanafunzi katika kutimiza utume mkuu (Mathayo 28:18-20). Kitabu hiki kina habari ambazo msomaji wa neno la Mungu anahitaji kuzifahamu. Sura ya 1, Jinsi ya kuanza, inakusudia kuona umuhimu wa maandalizi ya Kiroho na halafu inatoa mtazamo wa neno la Mungu. Sura ya 2 na 3 zinaonyesha utafiti mfupi wa kila kitabu ili kumpa msomaji habari za mwandishi na nia ya kitabu hicho. Sura ya 4 inamwongoza msomaji katika kanuni za kufasiri ambazo zimeandikwa kwa nia ya kusoma na kuelewa kwetu maandiko. Sura ya 5 hadi ya 8 inamwonyesha msomaji theologia inayofaa, kwa kutoa muhtasari wa maneno ya Biblia na mawazo yake na sura ya 9 imekusudiwa kumfundisha mwanafunzi jinsi ya kutekeleza kile alichosoma, kwa uandaaji halisi wa somo katika Biblia. Ni maombi yetu kwamba kitabu cha Misingi kitakusaidia katika kumkumbatia Bwana wetu Yesu Kristo katika kutembea kwako kwa imani iliyodhihirishwa katika neno lake. Karibu kwenye furaha ya neno la Mungu!

  • 9

    Sura ya 1

    Jinsi ya kuanza Sehemu ya 1 MAANDALIZI BIN