ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la bengal magharibi nchini india na kuhangaisha...

Upload: jackson-m-audiface

Post on 24-Feb-2018

274 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • 7/25/2019 Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa

    1/3

    Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi

    nchini India na kuhangaisha wakazi kwa saa kadha.Maafisa walitumia

    vishale vyenye dawa ya kutuliza wanyama kumtuliza.

    Image copyrightE!Image captionNdovu huyo aliharibu nyumba na

    magari"akini tayari alikuwa ameharibu nyumba# magari na pikipiki kabla

    ya kudhibitiwa.$ata hivyo# maafisa wa mji huo wa %iliguri wanasemahakuna mtu aliyeumizwa wakati wa kisa hicho.

    Image copyright!Image caption&atu waliojawa na wasiwasi walikimbiakumkwepa

  • 7/25/2019 Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa

    2/3

    Ndovu huyo baadaye alipelekwa kwenye hifadhi moja ya wanyama

    ambayo hutumiwa kuwafuga ndovu na wanasema wanapanga kumrejesha

    porini baadaye.&atu sita wajeruhiwa na chui India&atu walioshuhudia

    wanasema ndovu huyo aliingia mjini kutoka msitu ulio karibu na

    alionekana kuwa na wasiwasi na kukanganyikiwa.'isa hicho kimetokeasiku chache tu baada ya chui kuingia shuleni na kujeruhi watu sita katika

    eneo la Bengaluru.

    walitumia vishale vyenye dawa kumtuliza

    http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/02/160208_leopard_indiahttp://www.bbc.com/swahili/habari/2016/02/160208_leopard_india
  • 7/25/2019 Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa

    3/3

    Image copyright!Image caption&alioshuhudia wanasema ndovu huyo

    alionekana kuwa na wasiwasi