milango - small arms survey - home ya vitu vilivyopigwa marufuku • orodha ya vitu vilivyopigwa...
TRANSCRIPT
MILANGO
• Milangoyachuma(ausm4.5mbaonabambalachumayenyeunenewamm2.65)
• Fremu iliyofungiwa kwenye jengokatikasehemu8
• Bawabazilizochomelewailikuzuiauondoajiwapini
• YenyealamayaIdarayaMotoyaUmojawaMataifa
• Milangoinayofungukaupandewanjeambayohaiwezikuvunjwakwakugongwandani
• Kipetechenyeunenemdogokinachowezakuvunjikakwaurahisihakiwezikutumiwakuvutamlango
IATG09.10
VIFAA VYA KUZIMA MOTO
• Vinaonekananakufikiwakwaurahisi• Vinapambananamotokuokoauhai• Fanyaukaguziwamarakwamara
IATG02.50
NOTISI YA VITU VILIVYOPIGWA
MARUFUKU
• Orodhayavituvilivyopigwamarufuku(simuzamkononi,vituvinavyotoamoto,n.k.)
• Kutambuamaeneoyaliyozuiliwa
IATG06.10JengoC
UZIO NA VIZUIZI
Daraja1–VizuizivyakiwangochaChiniDaraja2–KizuizikwaBarakalaDaraja3–HumzuianaKumcheleweshamvamiziDaraja4–UzuiajinaUcheleweshajiwaKiwangochaJuu
• Maeneoyasiyonamimea:mita4upandewandaninamita10upandewanje
IATG09.10
KUFULI
• Lazimaziwenauwezowakuzuia/kudhibitidhidiyauvunjajikwakutumiamkono(nyundo,vyuma,nk.)kwaangalaudakika15
• Lazimaziwenauwezowakuzuia/kudhibitidhidiyavifaavyanishati(keekee,misumemo,nk)kwaangalaudakika5
IATG09.10
VIENDESHI
• Viendeshivyenyeupanawakutoshawakuendesheavifaavyamitambo
• Upanawaviendeshi(kiwangochachinichasentimita50)
• Umbalikutokakwenyeukuta(kiwangochachinichasentimita15)
IATG03.10
MILUNDIKO
• Wekambalinataazenyejoto(Angalausentimita15katiyakisandukunadari)
• Wekambalinakutakuruhusuukaguzinahewakupita(Angalausentimita15katiyamrundikonaukuta)
• Ifungwekwausalamanzitosanakuinua
IATG06.20,06.40
NAMBA ZA MAFUNGU
• Pangarisasinavifaavyakivitakatikamafungu
• Kilafungulitofautishwekwatarehe• Mafunguyenyenambayazamaniyawekwe
mbele(yaweyakwanzakupangwa)• Mafunguyenyenambampyazaidi
yawekwenyuma• Tofautishanambazamafungukulingana
nahistoriayahifadhi• Tumianambakuwezeshamajaribioya
mafungu
IATG03.10,03.20,06.30
VIFAA VYA KUPANGIA
Mbao au chuma Urefu wa sentimita 10• Viwenanafasiyakupitishahewa• Viruhusuvifaakupita• Viboresheuimarawamilundikano
IATG06.20,06.30
VITUNDIKIWA
• Viwevimefungwakwakomeoaukuchomelewapamojailiviwevizitovisivyohamishikakirahisi
• Vitengenezwekwachuma• Vinavyowezakufungwa• Viwerahisikuonanambatambulishi
zasilaha
ISACS05.20
KITUO CHA ULINZI
• Askariwenyesilaha• Uingiajiuruhusiwekwawafanyakazi
halaliwenyesababumaalum• Wekataarifakamilizaidhininaufikaji• NilazimakuweponaMawasilianona
wafanyakaziwausalama• Kuweponamfumowakugundua
uvamizi
IATG09.10
MASANDUKU
• Wekakadiyauhakikijuuyamlundikano• Risasizilizofunguliwaziwekwekwenye
sandukulenyerangiangavu• Yawekwepamojakulingananafungu
IATG03.10
The Office of Weapons Removal and Abatement (PM/WRA)
NikitengochaIdarayaOfisiyaJimboyaMamboyaKisiasanaJeshilaMarekani,Ofisihiihutengeneza,hutekeleza,nakufuatiliasera,programu,najitihadazakuhamasishaummakuhusu:
• Kuzuiauzagaajimbayawasilahazakawaidazakivitakamavilesilahandogondogootomatikinamakomborayaroketi.
• Kuondoanakuharibuvifaavingine,kamavilemabomuyakutegaardhininahifadhiyaziadayasilahaambazozinaendeleakuwahatarikwajamiinakwausalamawakikanda.
• Kuwekamazingiramazuriyakukuzaamani,utulivu,naustawikatikanchi,kikandanakimataifa.
Kwamaelezozaiditembeleatovutiyetu:www.state.gov/t/pm/wra.
MADHARA YA MLIPUKO MKUBWA
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Risasi namilipukoyenyemadharamakubwa
IATG01.50
HATARI YA MAKADIRIO MABAYA
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Risasinamilipukozenyehatariyamakadiriolakinihazinahatariyamadharamakubwa
IATG01.50
MAJANGA YA MOTO (Mlipuko au makadirio madogo)
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Uunguajiwavifaakwamotomkali• Kunauwezekanomdogoauhakuna
uwezekanowakuzimamotokatikamazingirayahifadhi
IATG01.50
HAKUNA MADHARA MAKUBWA
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Majangayamotobilamilipukonahakunamadharayahewayasumu
IATG01.50
KATEGORIA YA 1 YA MOTO
Mlipuko Mkubwa
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Uharibifukutokananamlipukomkubwawanyenzohatariunasababishwanamshtuko,mlipuko/ulipuajiwamaramoja
1
IATG02.50
KATEGORIA YA 2 YA MOTO
Wastani wa madhara
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Atharikubwayaharufunamlipuko,aidhamlipukommojammojaauiliyochanganyika,kutegemeananaupangajikwenyeghala,jinsiyaufungajinaidadiyavifaa
2
IATG02.50
KATEGORIA YA 3 YA MOTO
Athari za Moto (Mlipuko wa wastani)
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Uunguajiwavifaakwamotomkali• Kunauwezekanomdogoauhakuna
uwezekanowakuzimamotokatikamazingirayamaghalayahifadhi
3
IATG02.50
KATEGORIA YA 4 YA MOTO
Hakuna athari kubwa
• UanishajiwaUmojawaMataifajuuyamadharamakubwa
• Hakikishauwekajialamasahihikwenyevifaa
• Athariyamilipukoisiyokuwanauchafuziwahewambalinausafishajiwaathariyahewayasumuyavifaavyenyemadharamakubwa
4
IATG02.50
HALIJOTO
• Epukakiwangochajuuauchachinikabisachajoto(Selsiasi5-25nibora)
• Epukautofautimkubwawahalijoto• Epukakiwangochajuuauchachini
chaunyevu• Epukamtetemo• Epukamshtuko
IATG07.20
TARATIBU THABITI ZA UTENDAJI
Zinafaa ziwe na:• Mwitikiowadharura• Taratibuzakiusalama• Usimamiziwavifaa• Mahitajiyamafunzo• Usalama• Ufuatiliajinaudhibiti• Udhibitiwamadhara
IATG01.30,ISACS05.20
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA
USAFIRISHAJI
• Salamakwausafirishajiwakiufundi• Kaguavifaanawafanyakazi• Kaguanyaraka• Wekaalamakwenyegari• Ufungajiwamwanzo,ikiwezekana• Magariyanafaayawekwenyeumbaliwa
mita50• Hakikishausalamawanjiani• Shirikianakuratibunamaafisawa
usalamaikiwainahitajika
IATG08.10
MILIPUKO KATIKA MAENEO YA KUHIFADHI ZANA ZA KIVITA (UEMS)
Sababu:• Kutokuwanaufuatiliajinauhakikiwa
uchakavuwaSilaha• Mifumonamiundombinuisiyofaa• Hitilafuzakushughulikiasilaha• Matukioyanje(Misitukuwakamoto)• Usalamamdogo
AngaliaSmallArmsSurveyKijitabuchaUEMS
IATG11.20JengoC
The Small Arms SurveyNikituochauboradunianiambachomadhumuniyakenikutoataarifaadilifu,yenyeushahidinainayohususerakuhusuvigezovyotevyasilahandogondogonavitavyasilaha.Nichanzomuhimuchakimataifachakutoataarifa,utaalamunauchambuziwamasualayasilahandogondogonavitavyasilaha.Utendakamarasilimalikwaserikali,watengenezasera,watafitinaasasizakiraia.MakaomakuuyakeyapoGeneva,UswisikatikataasisiyaelimuyajuuyamasomoyaKimataifanaMaendeleo.
SmallArmsSurveyinawafanyakaziwakimataifawenyeujuziwamafunzoyaulinzinausalama,sayansiyakisiasa,sheria,uchumi,masomoyamaendeleo,sosholojianaelimuyajinaipamojanaushirikianonamtandaowawatafiti,taasisizawabia,mashirikayasiyoyakiserikalinaserikalikatikanchizaidiya50.
Kwamaelezozaidi,tafadhalitembelea:www.smallarmssurvey.org
UFUNGUAJI WA MUDA
Fungua na uweke salama:• Komeo• Vizuizikomeo• Utishikizi• Vifuatiliaji• Vipengeleongozi• Kifyatuziongozi• Vipuri
ISACS05.20na05.50
UFUNGUAJI WA KIUFUNDI
• Uteketezajiwamlundikanowarisasinasilaha
• ThibitishauteketezajinauharibifuwavifaaVYOTE
• Unahitajichombo/kifaamaalum• Tunzakumbukumbuzavifaa
vilivyoharibika• Rejelezaauteketezamabakikwanji
asalama
IATG10.10
UCHOMAJI/ UTEKETEZAJI
ULIODHIBITIWA
• Uharibifu/uteketezajiwahifadhizaKitengohatari1.4TU
• Unahitajivifaamaalum;vinawezakutengenezwakatikaeneo
• Zingatiamasualayakimazingira• Niborakwasilahandogondogo• Rejelezaauteketezamabakikwanjia
salama
IATG10.10
KUKATA KWA TOCHI
• Uharibifu/uteketezajiwasilaha• Kwakawaidambinuhiiinahitajiangalau
mikatomiwilikwakilasilaha• Huondoachumakatikamchakato• Katasilahazotezilizosawakwa
mkatosawa• Vipandevinavyosaliahavifaikutumiwa
kamavipuri• Rejeleza/teketezamabakikwanjiasalama
ISACS05.50
UTEKETEZAJI/ UCHOMAJI WA WAZI
• Uharibifu/uteketezajiwamlundikanowasilaha
• Mbinuyaimaniyajuu• Hainagharamakubwa• Inahitajimotomkalikwamudamrefu• Mbinuhiiinafaakufanywauwanjani,
lakinihaithibitishiuharibifuwasilaha• Fuatiliaulinzinausalamawakatiwote
ISACS05.50
KUKATA KWA MITAMBO
• Uharibifu/uteketezajiwahifadhiyasilaha• Unahitajichombomaalum• Kwakawaidainahitajiangalaumikato
mitatukwakilasilaha• Huondoachumakatikamchakato• Katasilahazotezilizosawakwa
mkatosawa• Rejelezaauteketezamabakikwanjia
salama
ISACS05.50
KUKATA AU KUKUNJA KWA
HADROLIKI MAALUM
• Uharibifuwamlundikanowasilaha• Mbinuhiiinahitajichombomaalum• Inawezakupatamsukumowajuu
kutoananawingiwawatuauvifaavinavyotumika
• Tunzakumbukumbuzauharibifu/uteketezaji
• Rejelezaauteketezamabakikwanjiasalama
ISACS05.50
ULIPUAJI WA ENEO LA WAZI
• Uharibifu/uteketezajiwamlundikano• Unahitajiuchambuziwaathariza
kimazingira• Hakikishausalamawamzingo• Kaguabaadayaoparesheniiliuhakikishe
uharibifu/kuteketea• Madhubutikwarisasizenyeawezo
mkubwanaambayohainaudhibiti• Unahitajiwatuwenyeujuziwajuu• Unahitajieneokubwalaardhiiliyowazi
IATG10.10
KUYEYUSHA AU KUKATA KATIKA
CHEMBE NDOGO NDOGO
• Uharibifuwahifadhiyasilaha• Ondoavipandevisivyovyachuma• Tanuruhuyeyushasilahakuwa
chumakioevu• Inafaatukamavifaavinapatikana• Uharibifu/Uteketezajihuwakamili• Tunzakumbukumbuzauharibifu• Rejelezaauteketezamabakikwa
njiasalama
ISACS05.50
VIZUIZI VYA NDEGE
• Kimochandege(Angalaumita2000)• Hutumiwakwamaeneoyahifadhina
maeneowaziyaulipuaji• Anzishautaratibuwakuripotiukiukwaji• Hakikishausalamakwaumma
IATG06.10
UREJESHI WA RASILIMALI
• Uharibifuwahifadhiyasilahanarisasi• Funguamizingamikubwailiutumievipuri• Miundombunimipyainawezakuwa
ghalisana• Uwezowaviwandanamiundombinu
inahitajika• Vilipuzivyakiwangochajuuvina
matumiziyakibiashara• Zingatiamasualayakimazingira• Rejelezaauteketezamabakikwanjia
salama
IATG10.10naISACS05.50
USIMAMIZI WA VIFAA
• Utambuziwaakibayavifaavisivyowezakukarabatiwa
• Hufuatilianambazamafungu• Hufuatiliamafunguyanayoshukiwa• Hufuatiliakasoro• KuimarishaUbora• Hupunguzaajali• Huwezeshautabiri• Hudhibitiprogramuyamajaribio
yakemikali
IATG03.10
The Regional Approach to Stockpile Reduction (RASR) Initiative
Mtazamowajuhudizaeneozakupunguzamlundikanonimtazamowaeneowamudamrefuwenyempangiliowakutatuahatarizinazotokananahifadhizasilahanazanazakivitazilizozidikupindukia,zisizothabiti,salamaaunyinginezozilizohatarini.
RASRhuhamasishaserikalinamashirikayaliyoathiriwakatikauendelezaji,uzalishajinauratibuwakikandawakuzikusanyanakuziteketezasilahandogondogo,kwakujengauwezowandani,kushirikidesturinzurinaujuziwalioupatakiufanisi,nakuhamasisharasilimaliilikuongezaufanisiwake.LengokuulamkakatihuuwaRASRnikuzuiamilipukoyenyeatharikubwaaukumalizamatumizimabayayasilahandogondogonazanazakivita.
Kwamaelezozaiditembeleatovuti:
www.rasrinitiative.org
ULINZI NA UPOKEAJI
• Yahitajikuelewaidadiyakilasikukwenyeeneo
• Hurahisishahifadhizanambatambulishi
• Utumiajiwakadizaupokeajikwakilasilaha
• Utunzajiborawakumbukumbuunakuzausimamizimzuriwahifadhiyavifaa
ISACS05.20na05.30
USIMAMIZI WA HIFADHI YA VIFAA
• Uwepowanambatambulishi• Fanyaukaguziwahifadhikilamwezi• Ukaguzihuruwamarakwamara• Hifadhiirekodiwe,ihifadhiwe,na
ikaguliwenamamlakayajuu
ISACS05.20
MIFUMO YA USALAMA
• Badilishaainayauhakikimarakwamara• Fanyamajaribioyakilawiki• Hakikishakunanishatimbadalaikiwa
kutakuwanatatizolaumeme
IATG09.10naISACS05.20
UIMARISHAJI WA ENEO
• Anzishanautekelezeprogramuyakuimarishaeneo
• Ondoavifusi• Ondoamimeailiupunguzehatari
yamoto• Zuiawanyama/viumbewaharibifu
wasiingie
IATG02.50na06.10
UDHIBITI WA MAJANGA
Wakatiwakutathmininyenzozakuhifadhiaukuharibu,pangazanakatikamakundiyakudhibitihatari,majangaaudharurakamavile:
• Kiwangochamatumizi• Athariinayowezekanaaumadharaya
majanga• Uwezowakuhimili• Uwezowakubebekanauwezekano
wawizi
IATG02.10
Uwezekano Uzito wa Hatari
Maangamizi Mkubwa Mdogo
Kuelekea Juu Juu Kati
Marachache Juu Kati Chini
Isioelekea Kati Kati Chini
KATEGORIA YA 1 YA HATARI
(Inapendekezwa)
• Mizinganaroketinyepesikubebwanatayarikufyatuliwanamtummoja
• Roketinamizingabadilishoyazanazilizotajwahapajuu
IATG02.10
KATEGORIA YA 2 YA HATARI
(Inapendekezwa)
• Silahanyepesinandogondogozinazojumuishabundukizakiwangochakati
• Mabomuyamkononiauyabunduki• Mabomuyakutegwaardhini• Maghalayavilipuzinaubomoaji
IATG02.10
KATEGORIA YA 3 YA HATARI
(Inapendekezwa)
• UtiwakushikiliakwaMANPADS• Kiongoziauvifuatiliajivyamizinga• TyubuzaMota• Virusharoketinamizinga>kilogramu50• Virushamoto• Milipukoiliyojazwavilipuzivya
kurushavifaavyamoto• Mabomuyamkonoyakusababishamoto
IATG02.10
KATEGORIA YA 4 YA HATARI
(Inapendekezwa)
• Bundukiipigayoyenyewe• Bastola• Bundukizisizonamshtuko• Risasi• Fyuzi• Mabomuyamwangaza• Vifaaviwashavyovyakudhibitiuasi
(kamamabomuyamachozi,majiyawashayomwilin.k.)
IATG02.10
KIASI – KANUNI ZA UMBALI
Tambuaukubwanaeneolahifadhikulingananavipengelevitatu:
• Uzitowavilipuzi• Ainayavilipuzi• Umbaliwautenganisho
IATG02.20
UKAGUZI NA UELEWA WA RISASI
• Kaguakwakuangaliakwamacho• Zingatiamahitajiyakutenganisha• Fanyauchambuziwakemikali• Fanyamajaribioyauborawavipuri• Fyatuasampulikulinganananamba
yamafungu
IATG07.20
USIMAMIZI WA HIFADHI
• Tathminiuwezo,malengoyamakadirio,naunapofaakuboreshakwanza
IATG01.30
UwezonaUamuziwaUhitaji
UnunuziFedha
International Ammunition Technical Guidelines (IATG)
Miongozokamiliiliyoandaliwailikuboreshauongoziwamlundikanowarisasikwakusaidiajitihadazakitaifakatikakuanzishataratibu,viwangonakanunizauendeshajiambazonisawasawanazilezakimataifanazinazokubalikakatikautendajiuliobora.
MpangowakingawaUmojawaMataifawakusimamiautekelezajiwaIATGnakutoausaidizikwataifaambalolitaombamsaadakwakupitiautaratibuwamuitikiowaharaka.PianikifaakwenyetovutikilichonaprogramuyakusaidiautekelezajiwaIATG.
Kwamaelezozaiditembeleatovutiyetu:
www.un.org/disarmament/un-saferguard/
KadihizizimesanifiwailikusaidiakutambuakwamachoUsimamiziwaUsalamawaEneonaHifadhi(Physical Security and Stockpile Management-PSSM),pamojanamasualayauharibifu.Ushauriwakiufundinanyenzozapichazilitolewazokamamchangowahisanikutokakatikataasisizifuatazo:
KUHUSU KADI HIZI
KwamaelezozaidikuhusuumuhimuwaUsimamiziwaUsalamawaEneonaHifadhi(Physical Security and Stockpile Manage ment-PSSM),nauharibifusalamawasilahazaziada,nendakwenyetovutizifuatazo:
www.bicc.de www.gichd.org www.itf-fund.si www.maginternational.org www.msag.es www.msiac.nato.int www.nspa.nato.int www.osce.org www.racviac.org www.rasrinitiative.org www.seesac.org www.smallarmssurvey.org www.state.gov/t/pm/wra www.smallarmsstandards.org www.un.org/disarmament/un-saferguard
RASILIMALI KWENYE WAVUTI