press release - maelezo - august 17 2015.doc

5
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MIAKA 10 YA UTOAJI WA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU (2005 – 2015) 1.0 UTANGULIZI Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria Na. 9 ya mwaka 2004 na kuanza kazi rasmi mwezi Julai, 2005. Kwa msingi huo, hadi sasa (Agosti, 2015) Bodi imetimiza miaka 10 ya uhai wake. Aidha, kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Bodi, taasisi hii ina majukumu kadhaa, lakini mawili makubwa ni: Kutoa mikopo kwa wanafunzi wahitaji; na Kukusanya mikopo kutoka kwa wanufaika wa mikopo hiyo ili kuufanya mfuko wa mikopo ya elimu ya juu kuwa endelevu. 2.0 MAFANIKIO KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA BODI (2005 – 2015) 2.1 UTOAJI MIKOPO Katika kipindi cha miaka 10 ya uhai wa Bodi, idadi ya wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na mikopo imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Katika mwaka wa masomo 2005/2006 idadi ya wanafunzi waliopata mikopo ilikuwa 42,729 ambapo jumla ya Tsh 56.1 bilioni zilitolewa kwa mwaka huo pekee. Katika mwaka wa masomo 2014/2015, jumla ya wanafunzi 98,000 walipata mikopo ambapo Tshs 345 bilioni zilitolewa. Takwimu zaidi za idadi ya wanafunzi na kiasi cha fedha zilizotolewa kwa kila mwaka ni kama ifuatavyo: Jedwali 1: Takwimu za Utoaji wa Mikopo kwa Wanafunzi Mwaka Idadi ya Wanafunzi Walionufaika Kiasi cha Fedha (Tzs) zilizotolewa 2005/2006 42,729 56.1 bilioni 1

Upload: ngabwe

Post on 16-Aug-2015

106 views

Category:

Documents


10 download

TRANSCRIPT

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUUTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMIAKA 10 YA UTOAJI WA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU(2005 2015)1.0 UTANGULIZIBodi ya Mikopoya Wanafunzi waElimuya Juu(HESLB) ni taasisi ya SerikaliiliyoanzishwakwamujiuwaSheria!a" #yamwaka$%%&nakuanzakazirasmi mwezi Julai' $%%(" )wa msin*i huo' hadi sasa (+*osti' $%,() Bodiimetimiza miaka ,% ya uhai wake"+idha' kwa mujiu wa sheria iliyoanzisha Bodi' taasisi hii ina majukumukadhaa' lakini mawili makuwa ni- )utoa mikopo kwa wanafunzi wahitaji. na )ukusanya mikopo kutoka kwa wanufaika wa mikopo hiyo ilikuufanya mfuko wa mikopo ya elimu ya juu kuwa endele/u"2.0 MAFANIKIO KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA BODI (2005 2015)2.1 UTOAJI MIKOPO)atika kipindi 0ha miaka ,% ya uhai wa Bodi' idadi ya wanafunzi wa elimu yajuu wanaonufaika na mikopo imekuwa ikion*ezeka mwaka hadi mwaka" )atikamwakawamasomo$%%(1$%%2idadi yawanafunzi waliopatamikopoilikuwa2!"2#amapo jumla ya T$% 5&.1 '()(*+(zilitolewa kwa mwaka huo pekee")atikamwakawamasomo$%,&1$%,(' jumlayawanafunzi #3'%%%walipatamikopo amapo 4shs 5&( ilioni zilitolewa" 4akwimu zaidi za idadi ya wanafunzina kiasi 0ha fedha zilizotolewa kwa kila mwaka ni kama ifuata/yo- J,-./)( 10 4akwimu za 6toaji wa Mikopo kwa WanafunziM./1/I-/-( 2/ W/+/34+5(W/)(*+43/(1/K(/$( 6%/ F,-%/(T5$) 5()(5*7*),./$%%(1$%%2 &$'7$# (2", ilioni$%%21$%%7 &7'((& 72", ilioni,$%%71$%%3 (('237 ,,%"3 ilioni$%%31$%%# (3'7#3 ,5#"% ilioni$%%#1$%,% 7$'%5( ,32"( ilioni$%,%1$%,, #$'7#, $$( ilioni$%,,1$%,$ #&'775 5,3"& ilioni$%,$1$%,5 #2'3,3 5,2 ilioni$%,51$%,'5$( 5$3"5 ilioni$%,&1$%,( ,%%'#&% 5&, ilioni2.2 UREJE8HAJI WA MIKOPO ILIYOIVA8n*awa Bodi ilianza kazi rasmi mwaka $%%(' sheria iliyoianzisha imeipa jukumula kukusanya madeni ya mikopo ya wanafunzi iliyoanza kutolewa tan*u mwaka,##&1,##('kupitia iliyokuwa Wizara ya Elimu ya Juu' Sayansina 4eknolojia"Wakati huoserikali haikukusanyamadeni kutokakwawanufaikahadi Bodiilipoanza kazi rasmi" Shu*huli ya urejeshaji mikopo zilianza rasmi mwaka $%%21$%%7' mwaka mmojaaada ya Bodi kuanza kazi rasmi kwani katika kipindi hi0ho Bodi ilifanya kazi yakujen*a 9datase: ya wanufaika" 4an*u wakati huo kumekuwa na mafanikiomakuwa katika ukusanyajiwa madenikutoka kwa wanufaika wa mikopo yawanafunzi waelimuyajuu" )atikamwakawafedha$%%21$%%7' jumlaya8%()(+9( 5:.&;()(*+(zilikusanywakutokakwawanufaika" Makusanyohayoyameon*ezeka hadi ku;kia 8%()(+9( "!"&:!#02!",$%/>( 1./ ;./1/(T5$) J4;)/ (T5$)$%%21$%%7 (5'2,2'%,,"$$ (5'2,2'%,,"$$$%%71$%%3 3(3'#&,'$2$"$# #,$'((7'$75"(,$%%31$%%# ,',72'&%&',3%"%% $'%33'#2,'&(5"(,$%%#1$%,% $',&7'%7('$2&"73 &'$52'%52'7,3"$#$%,%1$%,, &'&%#',7,'7$#"## 3'2&('$%3'&&3"$3$%,,1$%,$ ,,'(%3'7,&'73("#2 $%',(5'#$5'$5&"$&$%,$1$%,5 ,&'3(%'$&7'(($"$, 5('%%&',7%'73("&($$%,51$%,&,3'%33'3%,'5&&"&5 (5'%#$'#7$',$#"33$%,&1$%,( $,'27%'#5%'2(5"2( 7&'725'#%$'735"(52.: MATUMIZI YATEKNOLOJIA YA HABARI NAMAWA8ILIANO(TEHAMA))atika kipindi 0ha miaka ,% iliyopita' Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu yaJuu imeoresha utoaji wa huduma zake kwa kuon*eza matumizi ya 4EH+M+"Mwaka $%,,1$%,$' Bodi ilianzisha utaratiu mpya wa kuoma mikopo kwa njiaya mtandao yaani ")upitiamfumo huu' waomajiwa mikopowanawezakuin*ia katika mtandaowa Bodi (www"olas"hesl"*o"tz)' kujaza fomu ya maomi na kuwasilisha fomuzaokwanjiayamtandaokutokapopotewalipo" Hatahi/yo' kunanyarakaamazo zinapaswa kuthiitishwa kama /yeti /ya kuzaliwa' /yeti /ya kitaalumana ahadi ya mdhamini kala ya kuziwasilisha Bodi kwa njia ya EMS"2. KUONGEZEKA KWA IDADI YA WATUMI8HIMiaka ,% ya uhai wa Bodi pia imeshuhudia on*ezeko la idadi ya watumishi waBodi kutoka watumishi tisa (%#) mwaka $%%( amao walikuwa wameazimwakutokailiyokuwaWizarayaElimuyaJuu' Sayansi na4eknolojiahadi ku;kiawatumishi ,5(hi/i sasa(+*osti'$%,()" =n*ezekohililawatumishiwakadazote' limesaidia kuon*eza kasina ufanisikatika utekelezaji wa majukumu yaBodi"2.5 UFUNGUZI WAOFI8I ZAKANDAILI KU8OGEZAHUDUMAKWA WATEJA8li kuso*ezahudumazakekariuzaidi nawatejawake' Bodi yaMikopoyaWanafunzi waElimuyaJuuimefun*uao;si nnezakandakatikakipindi 0hamiaka ,% iliyopita" =;si hizo ni =;si ya kanda ? @odoma iliyofun*uliwa mwaka$%%#. =;si ya kanda ? Aanziar ($%,,). =;si ya kanda ? Mwanza ($%,&) na =;siya kanda ? +rusha iliyofun*uliwa mwaka huu ($%,()" )ufun*uliwa kwa o;si hizikumewawezesha wateja wa Bodi waliopo katika maeneo hayo kupata hudumaza Bodi kwa kariu zaidi" :.0 ?HANGAMOTO KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA BODIBamojanamafanikiomakuwayaliyopatikanakatikamiaka,%yauhai waBodi' kumekuwana0han*amotokadhaaamazoBodi inaendeleakuzifanyiakazi kwa len*o la kuondokana nazo ikiwa ni pamoja na kuendelea kutoa elimukwa umma na kushirikiana kwa kariuzaidi na wadau" Chan*amoto zilizopo namikakati ya kukailiana nazo ni kama ifuata/yo-(() K47*14'/)(1/1./8,=/2/U6%/+9(/>( Seraya60han*iaji waDharama za elimu ya juu ado haijakualika ipasa/yo"5Mkakati wakukabiliananachangamotohii ni kwaBodi kuendeleakuwaelimisha Wanafunzi na umma kwa ujumla ili sera ya uchangiajiwa gharama za elimu ya juu iweze kueleweka na kukubalika. ((() I;/+( @*7*34 1./;'/ ;(1*@* (+/2*7*),./ +/ B*-( +( =45414 imani hii potofuime0han*iaon*ezekolawaomaji waMikopohatawale amao wana uwezo wa kuji*haramia" Katikakukabiliananachangamotohii, Bodi inaendeleakuelimishaumma na kuongeza jitihada za ukusanyaji madeni ili kusisitiza ujumbekwamba hii ni mikopo na si ruzuku.(((() K41*$,1/+/ 1./ 4$%(=(1(/+* ./ 147*$%/ 147*1/ 1./ '//-%( 2/.//>(=( Baadhi yawaajiri hawawajiiki ipasa/yokwamujiuwaSheria kusaidia kuwatamua na kuwasilisha taarifa za wanufaika wamikopo ya elimu ya juu"Ili kukabiliana na changamoto hii,Bodi itaendelea kujenga ushirikianona kuwaelimisha waajirina umma kwa ujumla kuhusu umuhimu wakushirikiana na Bodi katika zoezi la kurejesha Mikopo. .0 HITIMI8HO)wa namna ya pekee' Bodi inapenda kuwashukuru kwa dhati wadau wake wotehasaSerikali )uu' 4aasisi za ElimuyaJuu' Serikali za Wanafunzi' Waajiri'Wazazi1Walezi nawanufaikawamikopokwaushirikianowaliotoakwaBodikatika kipindi 0ha miaka ,% iliyopita" Bodi inaoma ushirikiano huo uendeleezaidi katika miaka ijayo" +idha' Bodi inawasisitizia wanufaika wa Mikopo' wazazi1walezi' waajiri naumma kwa ujumla kutamua kuwa Mikopo ya Wanafunziwa Elimu ya Juu nisehemuyautekelezaji waSeraya60han*iaji waElimuyaJuunahi/yonimuhimu kurejesha mikopo iliyoi/a ilikuuwezesha mfuko wa ukopeshajikuwaendele/u na hi/yo kutoa nafasi kwa wahitaji wen*i zaidi kunufaika na mikopoya elimu ya juu" 8metolewa na-Bw" Cosmas MwasowaM)6E6DE!A8 MS+8@8A8 ? )84E!D= CH+ H+B+E8' EL8M6 !+ M+W+S8L8+!=BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU&