projet makala - projets.cirad.frprojets.cirad.fr/content/download/11198/67019/file/gp acacias...
TRANSCRIPT
Kutoa makaa shambani mwako kwa kuichoma miti ya akasia
Guide pratique
Projet Makala«Gérer durablement la ressource bois énergie»
Sote turudishe pori
Kitabu ya projet Makala
Guide Pratique ya Projet Makala 1
Ufafanuzi na faida ya mlimo wa msitu
LKilimo cha msitu ni mchanganyiko wa milimo na upandaji wa miti katika shamba moja.Faida ya mlimo huo ni kama:
Uboreshaji na kudumisha uzazi wa udongo kwa manufaa ya •milimo,Utofautiwamazaoyamashambaunaofikiakuyaboreshamazao•ya mlimo,Pamoja na mhogo, mkulima atavuna kwa ziada :•
Miti wa kujenga ao ya kuni -Makaa -Mahindi -Asali -
Kupanda miti ni garama kubwa kwa maisha ya kesho•
Guide Pratique ya Projet Makala 2
Kuchagua shamba
Mlimo wa msitu ufanyiwa kwa mlimo wa mhogo. Tayarisha shamba itakayowezwa kulimiwa myaka mingi zaidi.
Guide Pratique ya Projet Makala 3
Kuchagua nafasi ya kitalu
Kitalu kiandaliwe :Karibu ya chemchemu, mto ao mahali popote kunako maji•Pasipombalinakwenyenjianzurinarahisikwakufikiashamba•Pasipo kianvuli•Kwenye eneo nzuri isiyo na ajali•Yenye udongo mweusi•
Champ
Ruisseau
Etang
Village
Guide Pratique ya Projet Makala 4
Matayarisho ya kitalu
Kuyaondoamajani,kuachaeneosafinawazinakusawanishakwakupokea mifuko zilizo jazwa udongo.
Vyombo vya lazima :
1j 20j 40j 60j 80j 100j
Guide Pratique ya Projet Makala 5
Kuweka ndani ya mfuko mdogo
Hutumia mifuko midogo ya plastiki nyeusi, ama mifuko mingine inayoweza kufaa kwa utumiaji.Jaza mifuko midogo kwa udongo mweusi uliyo yunguliwa, udongo usiwe na kitu chochote kigumu.Angalisho kwa kuiacha sentimeta 1 (1 cm) mwisho wa udongo ndani ya mfuko mdogo. Nafasi hiyo yaachwa wazi kwa kuyaweka maji wakati wa umimiaji.
Vyombo vya lazima :Outils:
1j 20j 40j 60j 80j 100j
1cm 1cm
Guide Pratique ya Projet Makala 6
Upangaji wa mifuko midogo
Mifuko iliyojazwa udongo inapangwa kwenyi upana wa mifuko midogomakumimawilinakumiurefikwakurahisishahesabu.
1j 20j 40j 60j 80j 100j
kuitenganisha
20 m
ifuko
5 mistari 5 mistari
Guide Pratique ya Projet Makala 7
Uvunaji wa mbegu
Mavuno ya mbegu za akasia yafanyiwa kwa miti inayokomaa. Kazi hiyo yaweza kufanywa na watoto.Mbegu yachumwa wakati uzi ya kimanjano inaonekana.Kisha kuindowa uzi hiyo ya kimanjano, kila mbegu yawekwa katika kikapu kisicho cha plastiki.
Miti ya akasia yaweza kutoa mbegu mara nyingi kwa mwaka, kipindi cha utoaji mbegu chatokana na jimbo.
kimanjano
Guide Pratique ya Projet Makala 8
Kutayarisha mbegu kwa upandaji
Ili mbegu iweze kutoa, yafaa itendewe ifuatavyo :Kuyatokesha maji katika chungu,•Kuondoa chungu kwenye moto na mara moja kumwanga mbengu •ndani ya maji ya moto,Kufunika chungu kwa mfuniko na kukiacha chini,•Siku ya kufuata, kuondoa mbegu kwenye maji na kuzipanda mara •moja.
1j 20j 40j 60j 80j 100j
Guide Pratique ya Projet Makala 9
Udongo uliopokea mbegu
Kwakupanda mbegu : Kufanya tundu la sentimeta moja (1 cm) kwa kidole ndani ya •mfuko mdogo,Kuweka mbegu tatu ndani ya kila mfuko mdogo,•Kufunika kwa udongo unaosawanishwa vizuri kwa kidole.•
1j 20j 40j 60j 80j 100j
1 2
3
3 mbegu
Shimo1cm
Guide Pratique ya Projet Makala 10
Umimiyaji wa maji
Umimiyaji wa maji hufanywa kwa kimimiaji na huanza siku mbili baada ya kupandwa :
Kama mvua hainyeshe, humwangilia maji mara pili kwa siku : •asubui na mangaribi,Kuendelea kumwangilia maji mpaka mimea michanga ipelekwe •shambani kwa kupandwa.
1j 20j 40j 60j 80j 100j
Guide Pratique ya Projet Makala 11
Matunzo
Ili miti ya akasia ikue vizuri katika kitalu yafaa :Kuondoa mara na mara majani mabaya yanayoota ndani ya mi-•fuko midogo ya mimea,Kupalilia kwa jembe njia zinazokuwa kati ya mbao.•
1j 20j 40j 60j 80j 100j
Guide Pratique ya Projet Makala 12
Kuondoa mbegu ndani ya udongo na kupanda upya
Kwa kusaidia mimea michanga kukua, ni vema kuiondoa ndani ya udongo na kuipanda upya ndani ya mfuko.Operesheni hizi huanza baada ya siku ishirini baada ya kuwekwa kwa mbegu udongoni
Ugawanyaji : kuondoa mimea michanga toka kitalu na kuweka •mmea mmoja katika kila mfuko mdogo,Upandaji upya : kupanda upya katika mifuko midogo mimea •michangailiyoondolewakwamsaadawafimbokatikakitalu.
1j 20j 40j 60j 80j 100j
Guide Pratique ya Projet Makala 13
Kupakiza na kupeleka mimea michanga shambani
Kupeleka mimea michanga toka kitalu kwenda shambani waweza kufanyika kwa kichwa ao kwa kinga, mifuko zenyi mimea zikiwekwa katika beseni.
Kupanga mifuko midogo yenye kuwa na mimea mchanga katika •beseni wala kitunga,Hivyo, kupeleka mimea michanga mpaka shambani.•
Guide Pratique ya Projet Makala 14
Upandaji katika shamba ya mihogo(Ni vema kufanya upandaji mwanzoni mwa wakati wa mvua)
Kwa kufanya upandaji :Kufanya shimo katika shamba kwa kutumia jembe,1. Kukata mfuko mdogo kwa chini ukitumia wembe ili mmea 2. mchanga usiachane na udongo wake,Kuweka katika shimo,3. Kutoa mfuko mdogo kwa kuikokotea kwa juu na kufunika tena 4. kwa udongo,TKujaza udongo kando kando ya mumea muchanga.5.
Vyombo vya lazima :
1j 20j 40j 60j 80j 100j
Guide Pratique ya Projet Makala 15
Kukua kwa miti ya akasia
Miti ya akasia inakua pamoja na milimo mingine, kisha mavuno, miti ya akasia huleta kivuli kwa shamba lisilolimwa
Moto peke yake ndiyo adui mkubwa wa mti wa akasia.
Mlimaji wa akasia apashwa kuvitengeneza vizuizi vya moto kando ya shamba lake la akasia.Vizuwizi bora vya moto ni maeneo zenye kulimwa na
kutengenezwa kandokando ya shamba ya miti ya akasia.
Wingi wa majani kando kando ya mti akasia ya uzuia kukomaa mbio(Kupalilia mara na mara kando kando ya mti mdogo unaopandwa)
Guide Pratique ya Projet Makala 16
Namna mbili za kupanda miti ya akasia kwenye shamba
1 - Katika shambaHii yayafanyika kwakufanya sehemu mbili za misitu.Upandaji wafanyika kwa mustari :Kwa mustari mmoja, miti miwili itaachana mita tatu (3 m), mistari miwili iachane mita ine (4 m).(Tumiafimboyaurefuwamitatatukwakupimaumbalikatiyamashimo)
Un arb
re to
us le
s 3 m
ètres
4 mètres
entre les lignes
Guide Pratique ya Projet Makala 17
Ni kuweka mipaka ya mashamba kwa mustari mmoja, miwili ao mitatu ya akasia. Kupanda mti mmoja kila mita tatu, mita ine kati ya mistari miwili ya akasia.Hii ni rahisi kwa wakulima wanaoendesha kazi zao karibu na vijiji ao na mji, zaidi wale wanaolima shamba zao kila mwaka.
2 -Kuweka mipaka
Guide Pratique ya Projet Makala 18
Pamoja na kuiweka mipaka, msitu yarudi ngambo na ngambo ya mashamba
Miti yenyi kutumiwa kwa kufanya mpaka wa upango yarudisha mali ya msitu ya mababu wetu. Watu waweza tena kuiweka mizinga ya nyuki.Miti ya kwetu hukomaa kwa kawaida bila shida yoyote katika upango wa miti ya akasia. Miti ya matunda yaweza pia kupandwa humo.
Guide Pratique ya Projet Makala 19
Upango wa miti ya akasia kwa kuipa udongo mboleo na kwa kuboresha mazao
Kisha miaka kazaa, miti ya akasia yaweza kupasuliwa mbao.
Twaweza pia kuchoma makaa, tanuru itatengenezwa papo hapo.
Hatuta kata miti mingine kwa kuchunga upango wetu wa miti ya akasia.
Guide Pratique ya Projet Makala 20
Matumizi ya miti ya akasia
Uongozaji wa juu – juu baada ya mvua za kwanza utakua wa lazima sana kwa :
Kusafishamaeneoyaliyofunikwanamatawiyaliyobakichini,•Kuotesha mbegu za akasia zinazopatikana udongoni.•
Kisha mkulima anaweza tumika shamba lake kama ifuatavyo : Bila kulima kirefu, bali kupiga jembe tuu kwakufanya shimo la •kupandia,Kupanda mahindi kwa kubadilisha kilimo.•
Miti ya akasia yaweza kukatwa baada ya miaka mitano kwa kumi, ao miaka minane kwa makaa.Ni vizuri zaidi kuufanya ukataji wakati wa kipwa.
Guide Pratique ya Projet Makala 21
Baada ya kuondoa magugu na kuangushwa kwa miti ya akasia, mku-limahuanzakuvikatavipandenakuviondoakwaajiliyakusafishashamba kwa mlimo mwingine.
Uunguzaji wafanywa kisha kukatwa kwa miti ya akasia kwa sababu mbalimbali zifuatazo :
Kuondoa matawi na kuliacha eneo wazi mbele ya mlimo,•
Kurahisisha kutokelea kwa mbegu za akasia zenyi zilianguka chini •na hazikuweza kuota
Kuruhusu upaliliaji bora kwa kuboresha kukomaa vizuri kwa miti •ya akasia.
Angalisho : Kwa kuepuka kusambaa kwa moto, tengeneza kizuwizi kikubwa kati ya eneo lililokatwa miti na lile ambalo bado miti hai-jakatwa.
Baadaye, ni muhimu kusubiri mvua ya kwanza kabla ya uunguzaji.Kwa kawaida moto huwashwa tokea pande ine za shamba ili kuchunguza namna uunguzaji unavyoendelea.
Siku kazaa baada ya uunguzaji wa shamba, mbegu za akasia zitaota shambani.
Wakati wa kupalilia mimea, miti midogo midogo ya chaguliwa kwa kufanya mistari, miti ya mustari mmoja ikiachana mita tatu.
Uzao upya wa kiasili unatokana na kuunguzwa kwa shamba
Guide Pratique ya Projet Makala 22
Wote pamoja tutumike kwa ajili ya enezo la kilimo cham situ katika mazingira yetu sababu ya :
Milimo mingi na tofauti katika shamba moja•
Huunda kampuni za kilimo kwa kila mtu binafsi•
Huongeza bei ya shamba zetu•
Huongeza mapato yetu •
Hupunguza ushambulizi wa misitu yetu ya asili•
Hugaramia uchuuzi wa mazao ya milimo yetu•
Huweka tayari kuni za kukonga moto•
Husaidia maendeleo yetu•
Guide Pratique ya Projet Makala 23
Maagizo ya mkulima pia fundi wa msitu
Guide Pratique ya Projet Makala 24
Franck Bisiaux (1); Jean-Claude Muliele (1); Jean-Pierre Mafinga (1); Emilien Dubiez (2); Jean-Noël Marien (3)(1) FHS – 75 Av. des sénégalais – Kinshasa Gombe – RDC [email protected] / www.mampu.org [email protected] [email protected] (2) Cirad dep ES, UR 36, c/oFHS Kinshasa Gombe – RDC [email protected](3) Cirad dep ES, UR 36, Baillarguet - Montpellier – France [email protected]
Projet Makala :57 Av. des sénégalais – Gombe – Kinshasa – RDCSite web: http://makala.cirad.fr 2ème édition Janvier 2012
Projet Makala ina pata usaidizi wa pesa kutokea umoja wa ulaya kufatana na mapatano ya usaidizi DCI-ENV/2008/151-384, kwa njia ya pesa 21 04 01, kunamba EuropeAid/126201/C/ACT/Multi.
Mafaa ya projet niku leta swali, yaku ongezeka kwa maitaji yakuendelea na kutoku linda vema mali ya pori naku ongeza ku dumu namna yaku pata miti ya makala ku RDC, hata ku africa ya kati.
Ukomo kubwa ya projet ni kusaidia ku chunga miti ya makala mambo yaku leta koni kwa miji miwili ya RDC na moja ya Congo-brazza, kwa njia yaku tengeneza zaidi ku linda pori (yakawaida na yaku panda) na ushurti wa kubadilisha kwa kuongeza katika maisha ya wanainchi.
Hiyi kitabu ina fanyiwa na usaidizi wa pesa ya umoja wa ulaya.Mambo ya ndani ya kitabu hiyi inahushu tu na waandishi wenyeji na hayawezi
kuangalia mambo yanayohushu wenyeji wa umoja wa ulaya.