rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. wawapi majababiri 39....

18
rl 39,0 C>t. UTENZI W KIY.A.l.!A., \ i 1 • Akhi nipatia wino 11. Risoma sana kitabu na kara t asi mfano penye habari ajabu na kalamu muawano yandishiwe kiarabu ilonjema kwandikia. h isoma ikinelea. 2. Unipatie mahali 12. Penye hadithi kitoto nikae nit ajamali kina maneno mazito nitunge yangu akili kina na swifa za mote niwaze nikishangaa, nami tawahadithia. 3. Nandike j ina la .Mungu 1 3. Penye h adi thi adhwima B ismi lahi wa takgu dunia itapokoma mwenyikutandika mbingu hiyo siku ya Kiyama na nchi zikatangaa. kitakapo fikilia . 4. Nandike na R ahamani 14. Mwanzo wake fahamuni mueneza duniani atakapo R ahamani kwa viumbe na majini kuYOndoa Duniani na nyama wakutambaa , awalie tawambia . .5 . Niandike na R ahimu 1.5 Alisema muwaruzuku hirimu bin Abasi Fadkwila na wavele wa kadimu radhiyallahu taal a na wake wasiozaa, kauli alipokea. 6. Kupenda kwake khalaki 16. A.lipokea kauli wote huwapa riziki na Muhammadi rasuli h asahau makhaluki swala llahu alaihim ambae hakumjua, wasalama tasilima, 7. Rapa nilipokomele 17. Alisema Muungama sihitaji kwenda mbele swala llahu wasalama kwa sifaze mtaule hiyo siku ya Kiyama Muhammadi mfadhwaa, kitakapo tookea. 8, Sifa zake ni kathiri 1 8. Atae kuwapo nani huzid i kama bahari kwa miaka arubaini siwezi kuzikadiri pasi za j i viaimani na kidhabuni kungia, vyote vitakaukia. 9. Sifaze tutaziwata 1 9. Pasi riziki ya kula niwape niliyopata wala usiku kulala penyi chuo hatafuta wala kwenenda mahala haiona hadithia, kwa kifukuto kwingia. 10. Pana hadi th i chuoni 20, Pasi eusema kukicha ikanitiya huzuni kWa kifukuto na shaka vitukovye Rahamani pasi nyama wa kul!'uka alivyotuhadithia, kwa shida kuu na njaa .

Upload: lythuy

Post on 02-Mar-2019

249 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

rl 39,0 C>t.

UTENZI W KIY.A.l.!A.,

\ i

1 • Akhi nipatia wino 11. Risoma sana kitabu na karat asi mfano penye habari ajabu na kalamu muawano yandishiwe kiarabu ilonjema kwandikia. h isoma ikinelea.

2. Unipatie mahali 12. Penye hadithi kitoto nikae nitajamali kina maneno mazito nitunge yangu akili kina na swifa za mote niwaze nikishangaa, nami tawahadithia.

3. Nandike j ina la .Mungu 13. Penye hadithi adhwima Bismi lahi wa takgu dunia itapokoma mwenyikutandika mbingu hiyo siku ya Kiyama na nchi zikatangaa. kitakapo fikilia .

4. Nandike na Rahamani 14. Mwanzo wake fahamuni mueneza duniani atakapo Rahamani kwa viumbe na majini kuYOndoa Duniani na nyama wakutambaa , awalie tawambia .

.5 . Niandike na Rahimu 1.5 • Alisema ~bdallah muwaruzuku hirimu bin Abasi Fadkwila na wavele wa kadimu radhiyallahu taala na wake wasiozaa, kauli alipokea.

6. Kupenda kwake khalaki 16. A.lipokea kauli wote huwapa riziki na Muhammadi rasuli hasahau makhaluki swala llahu alaihim ambae hakumjua, wasalama tasilima,

7. Rapa nilipokomele 17. Alisema Muungama sihitaji kwenda mbele swala llahu wasalama kwa sifaze mtaule hiyo siku ya Kiyama Muhammadi mfadhwaa, kitakapo tookea.

8, Sifa zake ni kathiri 1 8. Atae kuwapo nani huzidi kama bahari kwa miaka arubaini siwezi kuzikadiri pasi za j i viaimani na kidhabuni kungia, vyote vitakaukia.

9. Sifaze tutaziwata 1 9. Pasi riziki ya kula niwape niliyopata wala usiku kulala penyi chuo hatafuta wala kwenenda mahala haiona hadithia, kwa kifukuto kwingia.

10. Pana hadithi chuoni 20, Pasi eusema kukicha ikanitiya huzuni kWa kifukuto na shaka vitukovye Rahamani pasi nyama wa kul!'uka alivyotuhadithia, kwa shida kuu na njaa .

Page 2: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-2-

2~. Basi Mungu ilahi 31. Akadhukuri Manani ataiamru rihi maliki leo ni nani pepo isiyo shabihi pasiwe mwenye lisani ivume, ilie kuwa. alomjibu Mola taa

22. Napepc hiyo ni kuu 32. Akamba yeye kwa yeye yaja vunda vunda nguu mara t atu niwambie na milima na chuguu pasiwe amjibue na majabali jamia. kauli kumrudia.

23. Pepo hiyo ivumapo 33· Kaeema rabi Uungu huvyondoa vilivyopo enzi na mulku wangu hapasai paselepo walau sina mwenzangu patakapo kondokea. alongia shirikaa.

24. Hapasalii chuguu 34. Baada hayo wenzangu wala mlima wa juu Rabi atakunda mbingu wala jabali na nguu kWa rehemae Mungu jamii vitatambaa. pasiwe kusaidiwa.

2.5. Na pepo hiyo Wadudi 3.5. Atakunda kidhukuri alimshushia Adi kauli akikarir1 wakondoka na junudi wawapi hawa naswari jamii wakapotea. na Mayahudi jamia.

26. Ushuhuda wa Manani 36. Wako wapi makhaluki pepo hiyo ni tufani nilohiwapa riziki someni misahafUni mimi wasinieadiki maana yatawelea. wakiabudu juhaa.

27. Tena Rabi ataghani 37. Wakila riziki yangu alijuu Arshini wakiabudu mwinzangu siku yaleo ni nani wawapi wenye matungu mwenyi ezi na kusaa. leo penda kuwauwa.

28. Wawapi masultani 38. Kasema Rab1 lilungu wakowapi madiwani ni pweke sina mwenzangu wakamba ulimwenguni wala mshirika wangu ndio watu wafadhwaa. nipweke mimi , mmoja.

29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi wala sina tamathuli waliokuwa dun1a. kitukuzi shabihiya.

30. Wawapi ziumbe zangu 40. Nipweke ndimi wahida walotuma ulimwengu wala sina msaada wakaniawata Mungu walau sina walada wasinijue kwa dua. enzi yangu nawambia.

Page 3: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-3-

41. Baada hayo kukoma .51 • Kapige bada malaki Rabi kondoa kalima tukusanye makhaluki Ji brili kamtuma leo ni siku yadhiki kauli akamwambia. na hesabu kulekea.

42. Akaamuru Jalali .52. Leo ndio siku leo kamwambia Jibrili siku ya leo ni leo enda hima tasihili tawambia nitakayo uka.mwambie Rid~waa. nanyimtajionea.

43. Kamwambie Ridhiwani .53. Tena Rabi karati.li bawabu alo peponi akamwita Jibrili mwambie ende mbeleni takutuma tasihili· pana watu tawatia. wende peponi ajaa.

44. Tawatia Mawalii .54. Enda mbio kwa ajili nakula aliyotwii kUna taji ukatwale duniyani alohai na sababu uitwale ndio watu wa kukaa. uje nayo sahtlia.

4.5. Tena wenende motoni .5.5. Kuna na nguo kabiri ukawambie zabani ukatwae na uzari uwambie tezeni kiko kitambi kizuri pana watu tawatia. Jibrili kenda twaa.

46. Nataka tia unasi .56. Akenda kutwaa taji watu walio niaswi na nguo za jibaji walimwamndama Bilisi akaja mpa .U:paji leo wote tawatia. apae watu jamia.

47. Kwa duani madhukuri .57. Taji ali Jibrili aliyo!lema jabari na nguo ni Mikaili somani mkif1:1.siri na babu I21irafili maana yatawelea. alivyotumwa kutwaa.

48. Baada hayo Jalali .58. Na Iziraili thama kamwambia Jibrili ndie aliye kutumwa enda hima tas1h111 p.nda twa huyo nyama ufanye yakulekea. akaja nae ngamia.

49. Enda hima ukatake .59 • Nae akenda mtwaa .Minzani uitleke kaima nae shujaa na vitanga utandike baada aliridhia tupate wahtaahia. kwenda keti na jumua.

.50. llatamka Jabari 60. Akenenda kupumua enda hima taiairi kumsikiza Molewa wende ukapige Suri atakavyo amriwa wote wakiisj.kia. Iziraili katuwa.

Page 4: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-4-

61 • Ba da hayo kutimu 71 • Kwa nuru yake IIIUlllllka akasema Muadhwamu kaburi ni ikatoka Jibrili kamuhimu Ji brili akai'ik:a kuja inti kuwambia, kaburinim kwenda lia,

62. Enda hima malakati 72. Kauza Is irai'111 wende ukauze nti Kuliako Ji brili muombezi wa umati kamuo~a yake hali niwapi alipokuwa likulizalo nambia,

63. Ji brili katikia 73. Jibrili kamjibu inti kuja yambia silii kwani muhibu kaburi yake Nabiya atokeapo Habibu ili a:pate ijua, aniuza:po nambia

64. Kaburi ya Mukhutari 74. Auza:po tumwa wangu Muhammadi mudathari Jibrili ndugu yangu iwa:pi yake kaburi uwa:pi umati wangu nt 1 Ha bainia, sioni hata mmoya.

65. Ile inti ikasema 75. Siwatambui wal i :po wahui sikia sana na mahali wakelepo kaburi imeinama nihapo :paniliza:po B.ami imeni:potea nikumbukapo nalia,

66. Toka siku ya Ilahi 76. Baada hayo pulika ali:poileta rihi kaburi ika:pasuka yalikuja na i'atahi Muhammadi akat oka jamii nikatengea, kaburini akakaa,

67. Pasiwe :penye kilima 77. Kutokeakwe Mmanga wala kabur i ya Tumwa ~kY*YY~ kaburi iketaanga upe:po ulipovuma akajii'uta mtanga jam11 vilipotea. kitwani na jasadia,

68. Ji brili akarudi 78 • .A.kaketi m.langoni kWenda mjibu ahadi ml ang o wa kaburini kaburi ya mukhutari kal;.,.za.ma duniani inti inam:potea haoni kitu kimoya.,

69. KujibukWe Jibrili 79. Haoni ki tu dal i li Ra.bi aketa kauli mote wala majabali kamwite Isaafili kamuuza Jibrili ku)iga Bara kulia, mbona ihivi dunia

70. Kupigakwe ile suri 80. H11 lee siku gani :pale ili:po kaburi hii lee kuna nini itatoka. nying i nuri na.mbiani nambiani J1br111 kat ambua, nami ni:pate kujua,

Page 5: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-5-

Bl. Jibrili kamjibu 91 • Kajipam~ Tumw~ wetu leo siku ya thawabu akava•'l. kila kitu ndio siku ya hesabu na maguuni vtatu viumbe kuhisabiwa, akawwen~ea Ng~mia ,

B2. Ndio siku :ra Kiyama 92. Kauliza mukhutari ya viumve kulalama yuwapi Abubakari ndio siku ya nadama na ngugu yake Omari ya viumbe kujutia, Athumani na Aliya.

B3. !ldio siku JtB. kunena 93· Akisha sema Mmaka ya viumbe kukutana in!i ikapasuka ndio siku ya laana maswahaba wakatoka ya watu kulaaniwa, papo wakamuawiya.

B4. Ndio siku ya kilizi 94. Swahabawe yuke Tuawa ndio siku ya simazi wakaletewa na nyama wala hawana ndombezi kupanda na Muungama ila wewe Muraaa, wendapo kumwamndamia,

B5. Akasema tumwa wangu 95. Basi tumwa amiriye Jibrili ndugu yangu tarasi amrukt.e uwapi umati wangu kumpanda atakae sioni hata mmoya, yule nya.ma J[KX!rwhq kakataa.

B6. Tumwa kwishakwe maliza 96 . Jibrili kafatihi Jibrili kanyamaza. 1we nyama husitahi baadae kamuuza ndie tumwa wa Ilah1 mbona waninyamalta. Muhammadi mfadhwaa.

B7. Aula huu umati 97. Jubrili akasema umewatia swiratwi kumwambia yule nyama au wote ni tiyati kwani husitahi Tumwa Jibrili knmwambia, kupanda ukaridhia.

BB. Jibrili katakalamu 9B. Yule nyama katamka um at i o Muungamu kwa ulimiwe hakika ukalikuko kuzimu naapa yeye Rabuka umati wako jamia, haiwi kurikebiwa.

B9. Tangu ulipokutoka 99. Sikubali ya Saidi nti haija .pasuka kunipanda Muhammadi basi Tumwa akatoka ila atowe ahadi akajipa~ba Rasua, ambayo ya welekea,

90. Mavazi yake mweleze 1 oo. Naahadi nitakayo kavaa mahalihali nipandwe siku ya leo na taji lake Rasuli nipukane na matayo kitwani akalivaa. ni:pate yake shufaa,

Page 6: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-6 -

1 01 • Kwa kwamba leo Wahabu 111 • Enyi msio mifupa amengiwa ni ghadhabu mlokat ika mishipa kwa wote wenye nudhubu n dio siku malaika ziumbe walipot ea. mwema aa mui kujua.

, 02. Akamjibu Amin i 112. Enyi muliokamil i nimekwisha k .dham i ni mulio katika dole kuna s hida kwa Yanan i na damu ikaukile wepikane na udhiya, na nyama kuwapotea,

Hl}. Yule Buraku kajibu , 13. Ondokani ondokani s ongea unidiribu mutoke makaburini niswafi sina nudhubu murejee duniani · keteketi ya kungia. nasiku 1mewad1a.

1 04 . Buraku kwishakwependa 114. 1nt1 kwishakwe pulika Muhammadi a)apanda iwele kutetemeka na Maswahaba wakenda viumbe wapate toka Peponi wakirakaa, jamii wakareJea.

1 05 . Akenda mbio farasi 115. nti kwishakwe tetema kenda Beti Mukadasi j amii bin adama akiwaswili upesi wakatoka hali njema inti iliyo xi tengea. pasisalie mmoya.

106. Rabi akaibadili 116. Baada hayo Ilahi inti kuna yapili akazikusanya ruhi akatupa na dalili zenye shina na zarahi somani yatawelea. zote zikakutanika,

107. Baada h~o Jalali 11 7. Kaziamuru .llanani kamtuma Jibrili kurejea m1w1lini mwambie Israfili na kuwa kama zamani haya panda nikulia. na viungo kutulia

1 os. Israfili kuf ika 11 8. N3oz1 mafupa na nyama panda akenda ishika na ma:tuu kus imama mliyoukawalika na mato yakitazama na maneno kutwambia. kama vile awaa

1 0 9. Ile panda yatwambia 11 9 . Zile roho za thawabu enye muliofukiwa z1kamwamb1a Wahabu nile o kui'Ufuli wa marahaba ya Wahabu 1nukan1 nyote pia, tuz1d1 kUghuf1r1wa.

110. Eny i mulouza ezi 12 0 . Marahaba ya Jalali mlokatika simazi kuturejeza muw111 ndio siku ya majazi twaona kuwa fadhw111 mtenda mema dunia. muil1n1 kututia,

Page 7: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-7-

1 21 • Zile roho za mateto 131. Na mapambo ya Peponi ambazo kwamba za mote na visuwa aluwani zikaJibu kwa uzito watavikwa waumini kUmjibu Mola ta~ . warakabu na ngamia.

122. Walomuaswi Yarabu 132. Tena wavale libasi kWa kema wakamjibu nguo jinsi jinsi siturejeze Wahabu ndipo wapanda farasi muilini kututia. wenda wakajiyumgia.

1Z3. Hatupendi u t utie 13~. Wate watenda dhunubu muulini twingie watanena kwa ghadhabu twakhofia menginewe enyi malaka yarabu muilini tukangia. t utoweni kwa umoya.

124. t~iapo muilini 13}. Twaumiya kwa mateto utatutia motoni na jekejeke * la mote ndipo tusiamini na sili sili ninzito muilini kurejea. hatuwezi kutukuwa.

125. Nae Rabi kazijibu 13§. Wakajibu Malaika zile roho za dhunubu shida yenu aa mashaka mutangia kwa adhabu · katwa haita ondoka kwa nguvu nitawatia. labuka kuongezewa.

126. Kazitia muilini 136. Hazifungwt silisili kwa kuwa yake Manani na uzito wa thakili kama vile duniani ila kutowe. amali kwa shida zikarejea. zenu katika dunia.

127. Zikarejea k:wa hamu 13Q. Ni:& ma kuza na kuwa kwa khofu ya Jahanamu 1'1 b a1 mukinunua Rabi akazikarimu kila atakae twaa shida kuu na udhia. amali njema ajaa.

1 28. Wakasimikwa wakima 138. Toweni zanu amali ukllngo wa Jahanama mondolewe sili sili basi mote ukavuma nao hawana dalili kWa kuona maaswia. njema walizo tukuwa.

12 9. Kwa kuona kula kwake 139. Rayo yakesha neneka tete za moto ziruke inti ikapasuka na malaika yashuke ziumbe wawele toka 111 kuja wazomea. ambao walosalia.

1 30. Na malaika adhwimu 140. Wakatoka walimwengu washukie isilamu kaDa mmeya na wingu watukuzie bahimu nae tumwa wa .lfungu nyama wema atullhwaa • yikat1ka w~ngalia.

Page 8: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-8-

141. Yukati kuwatazama 1 .51 • Mtume akaratili umatiwe lluungama akas ema Murisali utokavyo hali njmema twaa taji tasihili Tumwa akiangalia. t akutuma tumikia.

142. Wakisha toka bayani 1.52. Jibrili takutuma yule tumwa wa Manani nataka upande nyama Jibrili nelezani nanduguyo mwirehema nikuuzalo nambia. mukatazame Jamaa.

143. Ji brili Mualimu 1.53. Kambiwa Isirafili neleza niyafaaamu vaa taji tasihili una t i wangu kaumu umwandame Jibrili mbona umenipotea. hima mpate rejea.

144 . Jibrili akajibu 1.54. Nawatuma enenll.ani umati wako Habibu umati wangu unani una dhiki na adhabu umekaa hali gani una kiliyo walia. hapo ulipo kukaa.

145 . Umati umekutana 1.5 .5 . Hapo alipo Rasuli jamii ni kubanana na umati uko mbe e Ji brili akanena kwenda kwake J1br111 na matozi nakulia. nyuma Tumwa akalia.

146. Akalia kwa mat ozi 1.56. Yaallahu yaalallahu mitilizi mitilizi ya allahu lailahu kuonakwe ~uombezi MuJaalllll!. di rasuluhu akazidi sana lia. swala lahu wasalama.

147. Akamba Tumwa amini 1.57. Akalia muombe 'li Jibrili una nini kwa huruma na simazi kiliyo waliliani akalia kwa matozi likulizalo nambia. uma.ti kuulilia .

148. J'ibrili akasema 1.58. Kilio chake Rasuli kumwambia yule tumwa. yule Rabi karatili moyo naona huruma. kamuuza Jibrili kwa umati kwangamia. yuwapi tumwa Rasua.

149. Nawalilia ambao 1.59. Ende lepi Muhammadi waloaswi mola wao na umatiwe ibadi na hii siku ya leo Jbrili karadidi ndio siku ya kulia. kum~ibu Mola taa.

1.50. Yuhammadi k i pulia 1 60. Akamjibu ah.&ll.i juu ya nyama kashuka umati w~ Muhammadi yule nyama kamshika wakali nana baidi akampa Jibria. hali walio kukaa.

Page 9: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-9-

1 61 , Akasema L1ua' dhwamu Jibrili enda himu kamwambie Muungamu umati nikuwcndea ,

162, Nawadende e Habibu umati wake karibu wlio si:lm ya hesabu Jibrili lcaJnwemdea,

163. ~we turuwa Muhammadi ni turoiv:e ni V/adudi siwakalie bai 1 di umati nikuwendea,

164. Ule umati wa i Tumwa una yowe na zahama wamtaka ende hima wakati kumlilia ,

1 66.

167.

1 68.

169 .

17U.

\lakasema kwa kelele wa ewe mtume tujile sura zako tuziole tupate kuangalio.

Tujile huku tuliko "tukuone uso wako ujue umati wako 1we tumwa twakwa:nbia,

Kawendea yule Tumwa jumii' wanasimama wanazowe na zahama wana kilio walio.,

Nakilio na kelele wote wana n~ wavele rabi Yungu amkule malaka akamwambia ,

Akawambia Manani A'riahi itukuweni hata alipo ar.~ini no. umatiwe pamoya.

Nendeni kawahukumu Kafiri na Isilemu Dhal1mu na madhulumu jamii na majuhaa ,

1 71 •

172.

1 73.

Ikisha kut.ukuliwa tajapo ikatuJ iwa Ra b i akaamkuwa wiz.ani nahitajia ,

..lkaletewa mizani akahukumu Ma.nani aliket"i A 1 ri~:>hini Jibrlli kamwambia,

Jala wa A'la aseme /itrili akaceme unipatie mitune naitaka yote pia.

174 . ~Nabii na Murisali nawata.ka JioriH niwapa.te taaihili nikati kuwa.agoJei>,

1 75.

1 76.

1 77.

1 78.

1 79.

180.

Amekeleti kitin i a.metolca A'rishinl na nuru yal:e ;,.a,nani jamii inatan~aa. ,

J i bril i kawaswili pa:noja na llir·isal i papo mbele ya Jalali Jamii' wakatokaa.,

Wakajipamba li1asi nguo jinsi jinsi wakaja wakaji lisi kwa khofu iliyokuwa,

Ra.bi akawsk~u ja.::~ii' oin Adamu kafiri na. iuila.mu Ma~ondoka. saa moya,

'ffibi atawahisabu jamii weny<: dhunubu pasa.e Ylenye thaws. bu wenye nuru zu kunga.a..

Atahukumu Molewa. b n kula alie uv~a wa.kisasi ata.lipiwa ali hali ya lru,j ua.

Page 10: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-1 o-

1 81 • lltenda mema llahari 1 91. Jibrili aka.sema Rabi atampa nuri ndio siku ya. Kiyama awake kama badiri ndio siku ya Nidama atakapo kujeadea, hii leo nakw~mbia .

182. Mwenye wema ni wemawe 1 92. Ndi siku ya Majazi mwenye uwi ni uwiwe ndio siku ya simazi ndio siku ya tauwe ya Mungu kuwajazi Rabi atapo tauwa. wabaya kujijutia,

1 83. Ndio siku ya malana 1 93. Malaka akamj i bu na w~tu kufedhwehana rabi Muungu wahabu ndio siku ya kusema amekwisha wahisabu muliyotenda dunia, umati wake Nabiya.

184. Ndio siku ya hukumu 194. Ji brili akasema ya halali na haramu wamekwisha hisabana yamatungu na yatamu hapana tena hapana yata.kapo hudhuria., ambae alisalia.,

1 8.5. Ndio siku ya.taa.bu 1 9.5. Kalaka akadhukuri ndio siku ya a'dhabu Jibrili nikhubiri ndio siku ya hesabu yuwapi Iumwa bashiri viumbe kuhisabiwa.. na umatiwe pamoya.

1 86. Akesha hayo Jalali 1 96. Jibrili karadidi kamtuma Jibrili umqti wa Muhammadi enda hima karatili upo mbele ya Wa.dudi umwaabie malakaa! wahadahu la mithaa,

1 87. Hao •alaka wazito 1 97. &lipopata shwahihi wambie wafanye moto akangiwa ni furahi wenye >,o.ta na mateto kaupiga na swiyahi leo penda kuwatia, moto kutitimiya.

1 88. Jibrili akafika 198. Akenda kuketi kati na ujumbe wa Rabuka ndani ya m•to kuketi motoni wa memeteka kwa furaha ya umati Jibrili akalia, utakao mwingilia,

189. Yule malaka kauza 1 99. Akenda kumkhubiri mbona leo kuna kiza huyo mkubwa wa nati Jibrili kamweleza kupokeakwe khabari kumjibu malakaa, na p'mde likatokea..

1 90. Jibrili kamWambia 200. Akatokea mwingine ema.laka nillikia huyo akenda mnene amenituma Ja.lia a.kima ma.guu mane ufa.nye moto ajaa, umati kuungojea.,

Page 11: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-1 1 -

201. Lina v i t wa maa rufu a'sgarati taa 1 lafu kula ki twa maa ':lrufu makanwa alifu moya.

202. Kula kanwa liua ndimi hisabu alifu kumi kula ulimi zimami huyo malaka mmoya.

203. Akesha t oka mot on i kauliza kuna nini lililoko nambi yani nami n ipate kujua.

204. Akajibiwa malaka leo nisiku ya shaka ndio siku ya Rabuka at~k~.o ~ud ~~Iie .

205 . l.ialc.ka e.kaoba r ,, i o na~.i yaneu n i t aJ:n:y o nambiani mulonayo uipato we4andE .. li:.L .

2 06. Y.amb.!.w ..1. ku.j ize. ir.i u tengcne ::e nir ani kawal inga na zaban i :ptt. :po 1 ... Jr..al!l'.lc.W iya .

207. ''alak~· akura+.ili ka11.J.::.u.:!l. tasi~i li mukatwale silisili ~uje ~~z o sahilia .

208. Muje +.uw:J.t i c !1 'l'Vi v;at·.l +ut !l.lo.01JCWa kisha tutawatukuwa moto~i tut 'lwat i a .

209. A 1 s i b ri '1aaruf': wakerd!:. twaa :nj kuf't.

wizaniwe ne. urefu hi s"b'.le tavnl!lhlo. .

210. Al ii''! kur:li Vl i zo.ni zni di n~ alba tin i farasila fahamuni wizP~i·vc t awambia. .

211. Mikufu hiyo ijay o i t avikwa watu hao wavikwe libasi zao vy ombo vizito a 1 jaa.

212. Wavikwe na s111s111 na vimo viwe t waw111 wavikwena suruwali wizani hamsumia.

213. v.'asimikiwe na moto wasizunguke kwa huko 1we har i na vi t uko kwa miaka hamsumia.

214. Wawe vivyo kusimama na kelele kulalama na majoka kuwauma na uzito kul emewa .

215. Wakale na zo kele l e uzito w~ sil is il i na a 1 dha bu ya t hakili ms yowe yakendel ea.

216. Kelele zao umati zi lcer.del ea e•:~ut i na y owe la malakat i pal!lo j <~ n9. zabania.

21 7. Ba '3.da !:1 •YO 1\f.ln,,:. Ji ata ilc+.a t ufani kuwagauza la.un i na sura kuwapotea.

218. Yara huona fQkut o na j eke j eke 1 ~ mot o mara wa.ona uzito uliy okuwalemea .

219. Pl~ndew,• k aon'' kiza k:Wa j a wingu kuf1mg iza moyo yuo itawtlza bvoni~ likat u j l lia.

220. Jamii 1 wakamkuw~ lij11lo wint>· l a ':!VU'\

tume shushiwa a 1 fuwa na wi ngu li'k:awvli'l..

Page 12: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

221.

222.

224.

22.5.

226.

22 7.

228.

22 9.

230.

Wi ngu likaja wakuta mat one yakBwapata nakula lilompata akazidi kuumiya,

Na matonee mazito yakazidi ki~~tc na matonee ya moto yakazidi we l emeya,

Yule malaka mctoni akamwendea Manani kwenda itaka idhini ya moto kuwatukiya,

Rab i akauamuri moto t oka taiBiri wende ukawadhifiri ambao ni maa'swiya,

U'J:a. t o ka J. ka VUll:!l.

-12-

kw:~ .,"OW8 na za.h!:1n:g, marobo ya katetc~~ hata roho za Nabiya,

.Moto 'J.katowa tav:i lru..lci::Jbiliyc. aduwi ambr,o W!.l.tenda Yiwi ikawa kutambaliwa,

Moto ukato~a ndimi 1 \ta.,...! '.:' T~Jl ~::1 \."1.4:. .... 1 ku -;_;. , ·~ • kamb~ miurl. nitakae kw~~gdmiya .

Moto ukutaghadhabu Y:wen' ~a w~nye <11· .mubu wale m,.la.S."~i Ynr:tbu kalima waka zomewa.

Y11le tumw?.. Bur~himu rnon~'.'·::V'e Jah'l.nar-u akamnl.u ~·p Kurimu t arabi nakwamkuwa.

A•imi ni mtume W'l.ko t e~b ni Jri})Cl.d r r :':ako na lt'O nins. :bJr. tarr:ko nitakayo kukwambia,

231.

232 .

233.

234.

23.5.

236 •

237·

239.

240 .

Nakuombawe Mungu eimuombei mwanangu nipuwa na Jabanamu ya samiu' duaa'

Maa'da hayo Manani .Musa bin A'mrani atangiya A'kifani yarabi pokeya duwa,

Dua 1 yangu i pokee motoni usinitie moto na uniambae Rabi pokea duaa'

lla.a ' da hay o yaki sha a t angiya tumwa I 1 sa akamuomba ruhusa Ra!labi mola t aa •

t.l1;. okv is ha lea limu kangiya tUIDWc> A.ad 'l.bU akamuomba Karimu Yarabi wahadaniya,

Nakuombawe mkwasi moyo QUh wasiwasi LJOt o umengi,.ra kaa i Iarabi n iondoleya.

Alipokwisha kunena ~a,~~iya tumw~ riaruna mii~e yote kunena dua' wakapo~elewa.

llakuo11:bawe Y.aduiU moto umetiya hadi naukalie bai 1 c 1 isiwe kuninp iliya.

Ba~ ' da hayo pulika n s tumwa Isihaka a kamuomba Rabuka jala wa a•Ja jaliya.

NakuombaYie Ja lnli unipuwe na ajali kw-~ mo+o wu lkit'lli rarabi ndiwe a 1 fuwa.

Page 13: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

241 •

242.

243.

244 .

24.5 .

246.

24 7.

248 ,

249 .

2.50 .

-13-

Alipokwisha kujibu yule tumvw. loa •!l.habu akam• ona Yar<~.bu nikuombalo p~keya.

Naku ombawe .Manani mot o watoka shimor,i kele l e zihali gani usij e kuni tulcuwa.

Akesha hayo mo~ofu kangiya tumwa Yusufu akamuomba Latwifu ~abi usiye mithaa .

~imi mtume Yusufu ni mtumeo Latwifu l eo nat~ka. hafifu moto usije nitwaa.

Jamii ' kama walio huornbeya roho ~a.o hapakusaa amba.o roho asie ombeya,

Fatabaki :t.tuharnmadi ibin Abdillahi swalallahu alaihi wasalama taslima .

Sai'd i wa Maulana ha1ibi wa. shafii'na l.ab-:.; wa Rasu.lina ~uh~mmad i mfadhwaa,

Akaond oka. mtume kursir.i asims.oe akaml>->. a llahuma nakuombtwle Jaliya ,

Simuombei Fa tuma wala Halija liuma walb. mlezi llulima wala llasani dhuriya ,

Simu ombe i Twahiri wala nd.ue l.iutwahari wF.Li la ra1Ji J,;..bari nakuomba ~~ola ta~<. 1

2.51 •

2.52 .

2.53 .

2.54.

2).5 .

2.56.

2.57 .

2.5 8 .

2.5~ .

<:: 60.

Siombei ro8o yangu kur-okowa peke yangu ne.omba umati wangu najii' nawaombeya .

Baa 1 da hayo kukoma aka.a 1 muru Karima swirat,··a imewandama nay• tawahadithiya .

Hiyo swiratwa msrefu miaka t ilitalafu ila mapana dhwai 1 fu kama unywe le mmoya.

tiaka alifu lrungiye. alifu ya kutengeya alifu ya kushukiya sl'firatwani nawambiya.

l<diya hiyo hu.t cpeza ina t ope ya te leza in~ fukuLo na ki za ir,~l. h<~.l i na udb.iya.

Nandiya hiyo khatwari ~i gha~hwatu za Jabari watapit a wenyi Kheri kama umem0 kumeka

Kama umeme Jrumcta watakar; o kuipi ta hJyo ngiya ya 3wiratwa ~·a"kesM kujipitiya ,

Rabi atawakari:nu awaf;J.nyie k:ar:l:nu kwa kula kema. kya tamu wale wa kah<>ii thi ya .

Ke sha wavirNe u~ari Jrwa libasi za hariri nyuson1 wawe na nuri pasiwe mliya. ng owa .

Wavikwe pete vyandani n~ huliya miguuni basi wangie peponi kula jinsi l~une iya.

Page 14: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-14-

261. Wangie wende kwa nyama 2 71. Yule lle.•abu motoni kwa turaha i l onjema kauza muwatu gani kWa thawabu na rehema hamuna nuru nyusoni walizokuzitukuwa, wale. ulimi swafiya

262. Wake sha ngiya peponi 272. mnani enyi ziumbe wapande maghorofani mlokaa kama ng ombe waowe hurilai 1ni musaza kuwa na pembe wake wasio udhiya. wakajibu wote piya.

263. Wasit arehe peponi 273 . Twalikaa duniyani wakatika rehemani tukasoma kur-a'ni waseme ya duniyani tukafunga Ramadhani mambo yaliyo pitiya , ila tukaata moya,

264. Kwa wote waendeyana 274 . Tukaata madhukir1 na mahadith1 kunena Yuhammad1 mudathari na ubishi kubishana 1katuz1nga dahar1 na kusahau duniya, Jtwa ghururi ya duniya,

265 . Hawana ndaa ya kula 275 . Yule malaka moton1 hawana kiu aswila akauliza kwa nini wa le. kuumwa mahala hamju1 kur-a'n1 maradh1 ya kuuguwa, kwamba n1 yake nab iya,

266. Nakula ·siku arts1 2 76. Kwani kusahau tumwa mambo jinsi Jinsi Yuhamadi mukarama na kWenenda kwa farasi alie pewa nee 1 ma Jtwa wenziwe kutembeya, na pepo zote jamiya,

267. Na nari hiyo iki za 277. Basi wapande milima inatope ya teleza swiratwa musitak1 ima 1nafukuto na kiza wasioamali njema mwenye kwenda hujutiya. wende wakaa 1 dhibiwa.

268. Hiyo nJ1ya ya swiratwa 278. Wenye a'mali kabiha wenye njema watapita nyoyo hazina furaha kama umeme kumeta ni kelele na swiyaha au punde kuzudiya, na zomeo wakaliya.

269. Watend& mbovu amali 2 79. Nakelele na kiliyo watamuua& Jalali na majuto ne. matayo mbona ndiya ni twawili hawapumu1 kiliyo ndiya gani Yola taa' kwa mateso kwendeleya •

270, .A.kawajibu Manani 280, Watalizana kelele ndiya hiyo nda moton1 wamdhukuru Jalali atawashika zaban1 Rabi usiye mithali 111 kuwapisha ndiya, ndiwe pweke twakujuwa.

Page 15: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-1.5-

281. Rabi tupunguze dh1k1 291. WaKRmba wale dkwa1 1 fU tondowe pingu Khalaki Rab c tupe tahafifU naw~ Ktume wa haki ndiwe Rahimu rautu twataka kwako ahufaa•. turehemu Mola taa•.

282. Rabi ilahi taa'la 292. Turehemu Yola wetu t rukuku kwa chakula k:wa ma.Ji au kwa kitu na dhiki tupe muhula waona hapana mtu utupunguze udhiya, awezae sims.miya.

283. Twa likua 1 sw1 yakini 293. Mwenye ezi subhana kwa maovu duniyani akaamuru rabana leo twatubu Yanani maji y~ moto kuyanywa kwako wcwe twatubiya , na chakula wakapewa,

284. Jala waa 1 la Yarabu 2 94 . Kaji ya moto makavu kanyamaa hatojibu wakaja pewa kwa nguvu walomuaswi Yarabu wakaunguwa mashavu Watazidi kwangamiya, maini kuteketeya,

28.5 . Hawawezi kunyamaza 29.5 . Na chakula wakapewa watazidi kumuuza , wakila wakaunguwa Yarabi ndiwe mokoza nakukataa haiwa tuokowe na nariya. watamani kujifiya,

286 . Rabi situnyamalie 296 . Wakaletewa zakkumu tu.11bu tukusikie shajari wa jahanamu utalcayo utwambie na a 1 dhabu ilt ngumu naswi tutalcuridhiya, na majoka kutambaa,

28?. Tuna dhiki na a'dhabu 2 97. -to ikawa kuehoaa tuna lciu na taa'bu ukiwala zao nyama tupe maji tushirabu basi ikawa zahama utupunguze udhiya. kwa kilio kujutiya

288 . Alcadhukuru Kanani 298 . Yoto ukangiya ka ai enyi malaka .11 buni ]euyadhw1tir1 maa 1 sw1 wauzeni watakani wakamba rabi natusi nipate waandaliya. tuokowe Rabi taa•

2 89. Kalaka akawajibu 299 . Koto ukapiga kemi enyi mulo na dhunubu ukapiga na kivumi mwamwitiyani Yarabu kila mutu akambami nanyi mulimua 1 swiya, nitakae kwangamiya.

2 9J . Rabi aliyo kutaka 300. Moto ukaunguruma jamii' hamkushika ukawala zao nyama leo mwaona mashaka ukavunda na a'dhwima ndipo kukamtambuwa, na damu ukajinywiya.

Page 16: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-16-

301. Walihai roho zao 311. Wakeleti kiliyoni wakaliwa nyama zao waliona mlangoni na damu ikawa kau kumUonakwe amini wamato wakangaliya. wakazidi sana liya.

302. Moto ukawatafuna 312. Wakaliya kwa kiliyo wakaliwa wakiona kwa huzuni na matayo dhiki zao wakaxena Mtume kuona hayo maneno wakatongowa. malaka akawambiya .

303. Weshapo sema kauli 313. Akamuuza malaka akaa 1 muru Jalali moto ulipokuwaka kamwambiya Jibrili umati haukutoka takutuma tumikiya. wengine walisaliya.

304. Enenda kwa malaika 314. Kajibtm mwenye funguo mwenye moto wa kushika ulikula moto buo kamwambie nikutoka ngozi damu nyama zao walionidhukuriya . jamii' kuteketeya.

305. Nav1a t eke wendezao 315 . pasaliye wenginewe wasichomwe tena hao sijambiwa ni watowe Jibrilim kamba ndio yule tumwa kwa molewa akenda aka~ambiya akenda kuwaombeya.

306. Akenda kumukhubiri 316. Muhammadi mukhutari malaka mshika nari akamwendeya Jabari nitumiwe ni Jabari k:uwatakiya amri mwenye ezi na kusaat Rabi akamridhiya.

307. Hao viumbe motoni 317. Malaka kaa•muruwa watowe wen4e peponi umati kwenda utowa ni tumiwe ni Manani na aura kubadiliwa 111 k:uja k:ukwambiya. kwa moto kuwa dwawiya.

308. Yule tumwa Muhammadi 31 8. Sura ni kubadilika asimame kwa jubudi na nuru iliwwwaka enda hukuakarudi mlangoni wakafika umati kuugombeya. wa peponi wakangiya.

309. Akenda nao peponi 31 9. Kuli zana watu hao akaona subiyani pamoja na wanawao wakiketi mlangoni wakasema baba zao wa peponi waK&liya • • wale wana kuwambiya.

}10. Namikonmni hakika }20. Enyi wana muwenetu washishie mabirika twalizaa peke yetu na makuzi wakashika na leo tupeni kitu maji lakauthariya. maji ha~a kuJ1nywiya.

Page 17: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

-17-

}21. Tupeni t uy·3.shari bu }}1 • Watu hao mua'dhwama tujipuneuze ghadhabu wqmepewa sura ngema w•l le wana trakaj 1 bu miwili yao na nyama babazao kuwambiya. wamezid i ~tuliya.

} 22 . Babazetu waongofu }}2 . Rata weshapo kauli walisura takatifu akaa'muru Ja.lali sikama nyinyi dhwa1 1 fu kamtuma Jibr111 watu msiolekeya. hati kuja yondowa.

} 2} . Nakasema wale watu }.n . Hati kwishahe kondoka hakika nyinyi wenetu wa j ihi ukapunguka ila ni dhiki ya moto ndipo r oho k~washuka iliyotubadiliya furaha ikawangiya.

}24. Wale watoto kauli }}4. Basi wakatakakali kula mtu ghorofani

kalima wasikubali wakatazama peponi kaa'muru Jibrili kuna mti shajari;ja. nd.ie mwenye kuw<;ttiya.

}35. Kuna mt i maa. 1 rufu }2.5 . Kenda nao taysiri matawi sita a'lafu

kwenye mto wa nahari kula tawi muwakafu wenye mai kauthari :pana jani wahadaniya. akenda akawatiya.

}}6. Kitwa chake huy o nyuni }26 . Ngozi zao na lahamu kaumha kw!l. lllarija.ni

mifupa yao na damu arukiyapo tawini ikarejeya tiaaau waomba kwa Mola taa' na s~a ngema a'jaa .

}}7. Kawa.umb iye :M<J.ne.ni }2 7. Sura ngema maa 1 rufu na mtu wakiolani

kama sura za Yusufu J:ula siku hao nyuni na tena Rabi latwifu waketi kuwateteya. amewandika wajawe.

}}8. Baa 1 da hayo Rasuli }28. Atawandika usoni atakuja J1br111

hati njema mbayani na salamu ya Jalali wepukane na aot oni niambiwe kuwambiya. hao eiwenye kungiya.

}39. fa Atasema »ualimu }2 9. Awapeleke pe:poni nimetumwa ni Karimu

awaoze hurui'ni Jamii 1 awasalimu · waliongiya zamani nyote awasalimiya. wivu wata waliliya.

}40. Nayo radhwi nikupana }}0. MYoyo itangiya kitu wa~e wenu na. vijana

wamwende e tumwa -tu kwani munafedhwehana wamwambie kuna watu siku ya kuhesabiwa. pepon i waliongiya.

Page 18: rl 39,0 - digital.soas.ac.uk filendio watu wafadhwaa. nipweke mimi,mmoja. 29. Wawapi majababiri 39. Nipweke sina mithili walokuwa mawaziri s1na mwenzangu wapili wawap1 wenyi kiburi

. I I I ,.)

341.

342.

343.

344 .

346.

-18a

Nyoyo zenu zikariri muradhwi nae Jabari nae msimkasiri takasani zenu niya,

Jami1 1 wakamkuwa turadhwi nae Rabuka roho zetu hazishaka zote zime mlekeya,

Turadhwi na mola wetu alitwipusha na moto thama na mtume wetu Muhamad1 mfadhwaa,

Turadhwi me Lalali na Muhammadi rasuli hata ~a~e Jibrili tukatl kUdhukuriya.

Wakawa radhwi kwa Bwana wake wao na vijana pasiwe ghaidhwi tena wakahamid1 Jaliya.

Na beitizesikiya ni beti thalatha miya a 1 rubaini kungiya · na sita zikazidiya,

M w 1 a h o,