s om la んだことあります106 ©nhk world-japan for more, visit nhk world-japan usemi wa...
TRANSCRIPT
©NHK WORLD-JAPAN 105https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
Somo la
34 読よ
んだことあります
タムTam
: わあ、マンガがたくさん!Waa, manga ga takusan!
Wow, kuna vitabu vingi vya katuni za manga!
マイクMike
: タムさん、このマンガ、知し
ってる?Ta⎤mu-san, kono manga, shitteru?
Tam-san, unakifahamu kitabu hiki cha manga?
タムTam
: はい、読よ
んだことあります。Ha⎤i, yo⎤nda koto⎤ arima⎤su.
Ndiyo, nimewahi kukisoma.
マイクMike
: え? 日に
本ほん
語ご
で読よ
んだの?E? Nihongo de yo⎤nda no?
Mm? Umekisoma katika lugha ya Kijapani?
タムTam
: いえ、ベトナム語ご
です。Ie, Betonamugo de⎤su.
Hapana, nimekisoma katika lugha ya Kivietnamu.
とてもおもしろかったです。Totemo omoshiro⎤katta de⎤su.
Kilifurahisha sana.
Msamiati
マンガ mangamanga
たくさん vingitakusan
知し
って(い)る fahamushitte (i) ru
読よ
む somayo⎤mu
日に
本ほ ん
語ご
lugha ya KijapaniNihongo
いえ hapanaie
ベトナム語ご
lugha ya KivietnamuBetonamugo
とても sanatotemo
おもしろい -a kufurahishaomoshiro⎤i
Mazungumzo ya leo
Yonda koto arimasuNimewahi kukisoma.
©NHK WORLD-JAPAN106 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Usemi wa Msingi
読よ
んだことあります。Yon⎤da koto⎤ arima⎤su.
Nimewahi kukisoma.Ili kuelezea ulichokifanya, tumia “[kitenzi cha umbo la TA] + koto (ga) arimasu.” Umbo la TA la kitenzi ambacho huishia na “ta/da” linaashiria tendo limefanyika wakati uliopita au wakati timilifu. Ili kuunda umbo la TA, badili “te/de” ya kitenzi cha umbo la TE kuwa “ta/da.” (Tazama ukurasa 150-151)
Tumia!
明あ し た
日、盆ぼん
踊おど
りがありますよ。Ashita, bon-o⎤dori ga arima⎤su yo.
盆ぼん
踊おど
り、ネットで見み
たことあります。でも本ほん
物もの
は見み
たことないです。Bon-o⎤dori, netto de mi⎤ta koto⎤ arima⎤su. De⎤mo honmono wa mi⎤ta koto⎤ na⎤i de⎤su.
Kesho, kutakuwa na dansi ya Bon. Dansi ya Bon, nimewahi kuiona hiyo kwenye Intaneti. Lakini sijawahi kuiona kiuhalisia.
Jaribu!
~ことあります/ないです。~koto⎤ arima⎤su/nai⎤ de⎤su.
Nimewahi/Sijawahi ~.
① <-mewahi kufanya> ② <-jawahi kufanya> 沖
お き
縄な わ
Okinawa Okinawa
行い
く(→行い
った)iku (→itta)
kwenda
天て ん
ぷらtenpura
tempura
食た
べる(→食た
べた)tabe⎤ru (→ta⎤beta)
kulakula
Usemi wa ziada知
し
ってる?Shitteru?
Unafahamu?Unautumia miongoni mwa wanafamilia na marafiki. Kuuliza kwa namna ya kiungwana unasema, “Shitte masu ka.”
Can-do! Kusema ambacho umewahi kukifanya
©NHK WORLD-JAPAN 107https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
“Manga Café”
Vitabu vya katuni za manga za Japani vina aina mbalimbali za simulizi: Mapenzi, tajiriba za kijasiri, michezo, historia, fasihi na kadhalika. “Manga café” inaendeshwa kwa misingi ya muda, na ukilipia, unakuwa huru kusoma vitabu vingi vya manga kadiri upendavyo. Vyumba vya mtu mmoja mmoja mara nyingi vinakuwepo. Maeneo mengi yanatoa huduma ya bure ya runinga na intaneti. “Manga café” nyingi hutoa vinywaji bila ukomo kama vile juisi na chai.
Chumba chenye raha
Eneo la kusomea lenye nafasi kubwa
©Kaikatsu CLUB
©Kaikatsu CLUB
Kona ya vinywaji
Majibu ① 沖おき
縄なわ
、行い
ったことあります。 Okinawa, itta koto⎤ arima⎤su.② 天
てん
ぷら、食た
べたことないです。 Tenpura, ta⎤beta koto⎤ na⎤i de⎤su.
Utamaduni wa kisasa na Mike