spoti (sports)

2
Spoti (Sports) Spoti (Sport / Sports) Mchezo (Game) Michezo (Games) Besiboli Baseball (sport) Glavu ya mdakaji Catcher's mitt Gofu Golf Gongo la besiboli Baseball bat Hoki ya barafuni Ice hockey Kandanda ya Marekani Football (UK: American football) Kigoe cha hoki Hockey stick Kikapu Basket Kitovu Base Kiwanja Court Klabu ya gofu Golf club Mcheza-gofu (Mchezaji wa gofu) Golfer Mchezaji wa besiboli Baseballer Mchezaji wa hoki (ya barafuni) (Ice) hockey player Mchezaji wa kandanda (ya Marekani) Football player Mchezaji wa mpira wa kikapu Basketballer Mchezaji wa mpira wa wavu Volleyballer Mchezaji wa soka/kandanda (Mcheza- soka/-kandanda) Soccerplayer (UK: Footballer) Mcheza-tenisi (Mchezaji wa tenisi) Tennis player Mchezo wa kuviringisha tufe Bowling Mchezo wa mpira wa kikapu Basketball (sport)

Upload: questnvr73

Post on 08-Nov-2015

212 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

swahilli

TRANSCRIPT

Spoti (Sports)

Spoti (Sport / Sports)Mchezo (Game)Michezo (Games)BesiboliBaseball (sport)

Glavu ya mdakajiCatcher's mitt

GofuGolf

Gongo la besiboliBaseball bat

Hoki ya barafuniIce hockey

Kandanda ya MarekaniFootball (UK: American football)

Kigoe cha hokiHockey stick

KikapuBasket

KitovuBase

KiwanjaCourt

Klabu ya gofuGolf club

Mcheza-gofu (Mchezaji wa gofu)Golfer

Mchezaji wa besiboliBaseballer

Mchezaji wa hoki (ya barafuni)(Ice) hockey player

Mchezaji wa kandanda (ya Marekani)Football player

Mchezaji wa mpira wa kikapuBasketballer

Mchezaji wa mpira wa wavuVolleyballer

Mchezaji wa soka/kandanda (Mcheza-soka/-kandanda)Soccerplayer (UK: Footballer)

Mcheza-tenisi (Mchezaji wa tenisi)Tennis player

Mchezo wa kuviringisha tufeBowling

Mchezo wa mpira wa kikapuBasketball (sport)

Mchezo wa mpira wa wavuVolleyball (sport)

Mpira wa besiboliBaseball

Mpira wa gofuGolf ball

Mpira wa kandanda ya Marekani (Mchezo wa mpira wa miguu wa Kimarekani)Football

Mpira wa kikapuBasketball

Mpira wa miguu (Mpira wa soka/kandanda)Soccerball (UK:Football)

Mpira wa tenisiTennis ball

Mpira wa wavuVolleyball

Mviringisha-tufeBowler

MwamuziUmpire

NetiNet

Nyasi bandiaArtificial turf

Pini / MapiniPin / Pins

Raketi ya tenisiTennis racquet

ShimoHole

Soka (Kandanda)Soccer (UK: Football)

TenisiTennis

Tufe la hokiHockey puck

Tufe la kuviringishaBowling ball

UwanjaField