taarifa ya kifo - brig gen msilu.docx

2
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA Simu ya Upepo : “N G O M EMakao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203, Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 21Julai, 2015. Tele Fax : 2153426 Barua pepe : [email protected] Tovuti : www.tpdf.mil.tz Taarifa ya kifo kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) kilichotokea tarehe 19 Julai, 2015 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo. Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) alizaliwa tarehe 24 September 1938 katika kijiji cha Mlolo, Kata ya Tanangozi, Wilaya ya Iringa Vijijini, Mkoani Iringa. Alijiunga na masomo ya Shule ya msingi na Sekondari na kuhitimu mwaka 1959. Marehemu Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 01 Julai 1975. Alistaafu utumishi Jeshini tarehe 23 September 1993. Marehemu Brigedia Dismas Stanslaus Msilu ameacha mke na watoto. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa rasmi tarehe 22 Julai 2015 kuanzia saa 1:30 hadi 2:00 asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na mazishi yatafanyika Mkoani Iringa tarehe 23 Julai 2015. MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU

Upload: ngabwe

Post on 07-Sep-2015

103 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

Simu ya Upepo : N G O M E Makao Makuu ya Jeshi,

Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,

Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 21Julai, 2015.

Tele Fax : 2153426

Barua pepe : [email protected]

Tovuti : www.tpdf.mil.tz

Taarifa ya kifo kwa Vyombo vya Habari

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) kilichotokea tarehe 19 Julai, 2015 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo.

Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) alizaliwa tarehe 24 September 1938 katika kijiji cha Mlolo, Kata ya Tanangozi, Wilaya ya Iringa Vijijini, Mkoani Iringa. Alijiunga na masomo ya Shule ya msingi na Sekondari na kuhitimu mwaka 1959.

Marehemu Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 01 Julai 1975. Alistaafu utumishi Jeshini tarehe 23 September 1993.

Marehemu Brigedia Dismas Stanslaus Msilu ameacha mke na watoto. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa rasmi tarehe 22 Julai 2015 kuanzia saa 1:30 hadi 2:00 asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na mazishi yatafanyika Mkoani Iringa tarehe 23 Julai 2015.

MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU

BRIGEDIA JENERALI DISMAS STANSLAUS MSILU (MSTAAFU)

AMINA

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano

Makao Makuu ya Jeshi, Upanga

S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.

Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 342279