uhifadhi wa kazi za fasihi simulizi · sifa bainifu za fasihi simulizi •huwasilishwa kwa njia ya...

23
UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI (KIDATO CHA PILI) Mussa Shekinyashi +255 743 98 98

Upload: others

Post on 11-Sep-2020

226 views

Category:

Documents


7 download

TRANSCRIPT

Page 1: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI

SIMULIZI(KIDATO CHA PILI)

Mussa Shekinyashi+255 743 98 98

Page 2: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

MALENGO YA SOMO

• Kufikia mwisho wa somo:

• Tujikumbushe maana ya Fasihi Simulizi

• Tufahamu sifa bainifu za Fasihi Simulizi

• Tufahamu Njia za uhifadhi wa Fasihi Simulizi

tukizingatia: Ubora na athari (udhaifu) zake kwa

fasihi simulizi.

Page 3: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

MAANA YA FASIHI SIMULIZI

• Fasihi simulizi ni aina ya fasihi inayowasilishwa

kwa njia ya mazungumzo ya mdomo.

• Aina hii ya fasihi imekuwepo tangu enzi na

enzi.

• Imekuwa ikirithishwa kutoka kizazi kimoja

hadi kingine kwa njia ya mazungumzo ya

mdomo.

• Mfano wa fasihi simulizi ni hadithi

tunazosimuliwa na wazazi wetu, nyimbo

tunazoimba, maigizo yanayoigizwa.

Page 4: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

SIFA BAINIFU ZA FASIHISIMULIZI

• Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo.

• Huifadhiwa kichwani

• Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko kwa

kuzingatia mazingira na uhitaji.

• Huwa ni mali ya jamii nzima.

• Huwa na wakati maalum na pahala maalum pa

kuiwasilisha.

• Huwa inaruhusu fanani na hadhira kukutana ana

kwa ana.

• Huruhusu viungo vingine vya mwili kutumika

katika uwasilishaji.

• Huwa inaruhusu hadhira kushiriki katika

Page 5: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UHIFADHI

• Fasihi inaweza kukusanywa na kuhifadhiwa

kwa njia zifuatazo :

• Kichwa

• Maandishi

• Kanda za kunasia sauti

• Kanda za video, televisheni na filamu za

sinema (CD,DVD na kompyuta)

Page 6: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

KICHWA

• Kwa asili uhifadhi wa fasihisimulizi hufanywa kwa vichwavya watu kutoka kizazi hadikizazi.

• Njia hii imetumika kwa kipindikirefu sana.

• Kutokana na njia hii fasihiimeweza kuwepo kutokavizazi vya kale hadi hiki cha sasa.

Page 7: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UHIFADHI WA KICHWA

Page 8: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UDHAIFU/ ATHARI ZA UHIFADHIWA KICHWA

• Kupungua kwa kumbukumbu za mhifadhi/fanani

• Kufa kwa fanani

• Fanani anaweza kubadilisha mambo muhimu katikasimulizi na hivyo kubadili kiini cha masimulizi hayo.

• Ukosekananji wa wahifadhi wa fasihi kwa kichwa. Ni vigumu kupata watu wanaopenda na wanaoweza kuhifadhifasihi simulizi

Page 9: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

MAANDISHI

• Njia hii imeimeza fasihi simulizi kwa manufaa ya

baadae.

• Ugunduzi wa alama za uandishi ndio uliopelekea

fasihi simulizi kuhifadhiwa katika maandishi.

• Leo hii ni vigumu kuifahamu kazi ya fasihi simulizi

iliyowekwa kwenye maandishi.

• Njia pekee ya kuipambanua ni kuangalia tabia za

fasihi simulizi ambazo ni: “paukwa…pakawa”au

“hadithi….hadithi njoo”

Page 10: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

MAANDISHI

Page 11: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UDHAIFU/ATHARI YA UHIFADHIWA MAANDISHI

• Uhifadhi kwa maandishi huwa na matatizo yafuatayo:

• Kukosekana kwa utendaji,sauti,kuimba vitabia.

• Kukosekana kwa uhusiano wa moja kwa moja kati ya

hadhira na fanani

• Kukosekana kwa mabadiliko ya mara kwa mara.

• Ufinyu wa hadhira, itakuwa na watu wachache tu, wale

wanaojua kusoma na kuandika.

• Inakuwa ni nyenzo ya kibiashara ambapo inahitaji

kugharamiwa.

Page 12: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

KANDA ZA KUNASIA SAUTI

• Njia hii pia hutumika kuhifadhi fasihi simulizi.

• Hii ni teknolojia iliyochipukia baada ya maandishi.

• Ilikuwa na uwezo zaidi wa kuhifadhi uhalisia wafasihi simulizi ukilinganisha na njia ya uhifadhi kwamaandishi.

• Katika njia hii kanda hutumika, kanda hizo hushikasauti pamoja na vichombezo vyake.

Page 13: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

KANDA ZA KUNASIA SAUTI NAREDIO

Page 14: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UDHAIFU/ATHARI ZA KANDA ZAKUNASIA SAUTI

• Sauti husikika, lakini…

• Ni vigumu kuona matendo ya fanani .

• Hadhira haishirikishwi

• Ni gharama kuipata

• Uhifadhi unahitajika uwe wa hali ya juu

• Kudumaa kwa kazi ilihifadhiwa, haitapata

mabadiliko kamwe.

Page 15: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

KANDA ZAVIDEO,TELEVISHENI,FILAMU ZASINEMA, KOMPYUTA, MTANDAO, SIMU ZA MIKONONI, CD NA DVD• Uhifadhi wa namna hii hujumuisha sura na sauti

zinazoonekana kwenye skirini ya video.

• Vifaa maalumu hutumika kutengeneza picha za

namna hiyo.

• Fasihi simulizi imeweza kuhifadhiwa katika vifaa

hivi.

• Hapa uhalisia wa fasihi simulizi hujitokeza zaidi

ukilinganisha na njia zile za mwanzo.

• Hapa matendo na sauti vinaonekana wazi.

Page 16: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

CD/DVDHutumika kuhifadhi fasihi simulizi

Page 17: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

KANDA ZA VIDEOHizi hutumika pia kurekodi matukio

ya fasihi simulizi.

Page 18: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

MTANDAOKwa njia hii fasihi simulizi

huifadhiwa kisha kusambazwa

katika jamii zote duniani .

Page 19: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

KOMPYUTAKifaa hiki hutumika kuhifadhi na

kuonesha kazi za fasihi simulizi.

Page 20: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

SIMU YA MKONONIHii ni njia rahisi ya kurekodi na

kusambaza kazi za fasihi simulizi

kupitia mitandao ya kijamii kama

facebook, whatsApp na mingineyo

Page 21: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UDHAIFU/ ATHARI YA NJIA HIIYA UHIFADHI

• Upungufu wa ushirikishwaji wa hadhira

• Njia hii ni ya gharama sana

• Haitabadilika kulingana na mahitaji ya hadhira

• Uhifadhi wa vifaa hivi ni wa gharama sana.

Page 22: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

UMUHIMU WA KUHIFADHI KAZIZA FASIHI SIMULIZI

• Hukuza na kuendeleza utamaduni wa jamii.

• Zinasaidia katika kuvutia watalii

• Ni sehemu ya ajira.

• Kazi ya fasihi inapohifadhiwa huwa ni chachu

ya umoja wa kitaifa.

Page 23: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko

ASANTENI SANA!