ujumbe wa kitelepathia kutoka kwa baba …...hii kitabu telepathic iliandikwa katika kihispania kati...

41
UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA WA MILELE KWA DUNIA ALPHA NA OMEGA SAYANSI YA ANGANI

Upload: others

Post on 04-Feb-2020

32 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA WA MILELE

KWA DUNIA

ALPHA NA OMEGASAYANSI YA ANGANI

Page 2: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru.

Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima.

Page 3: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA

KWA BABA WA MILELE KWA DUNIA;

UJUMBE WA PILI; UJUMBE WA KWANZA

ULIFICHWA DHIDI YA DUNIA NA

MWAMBA WA KIDINI.-

Naam watoto; mtu huzaliwa akiutafuta ukweli; huanzishwa kwa ajili ya ulimwengu wa maarifa, Ufunuo uliosubiriwa kwa karne na karne; Muumba wako huyatumia mafundisho yanayoishi ili kuziendeleza dunia; zamani aliwatumia Torati la Musa; kisha yakaja mafundisho ya Kikristu; ya tatu, na ambayo yanaanzishwa, ni Mafundisho ya Mwana Kondoo wa Mungu; mafundisho haya pia yataitwa Sayansi ya Angani; chanzo chake

1

Page 4: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

2

kiko katika mambo sawia ya asili; andiko la kitelepathia ni njia ya mawasiliano ambayo Muumba wa ulimwengu hutumia; imekuwa hivyo siku zote; zamani mafundisho ya manabii yalipokelewa kitelepathia; kwani kila kitu kina asili na sababu ya kuwa; mafundisho ya Mwana Kondoo wa Mungu hayana mwisho; kwani ulimwengu hauna; na kwa sababu iyo hiyo yataenea kote duniani; yatatafsiriwa katika lugha zote za dunia; ushawishi wake utakuwa namnaa kwamba yatauangusha uyakinifu mnyonyaji; kwani maadili mapya yanakuja Duniani; maadili yanayohusiana na Milenia ya Amani; Mafunzo ya Baba wa milele huzibadilisha dunia kila mara; kama ilivyofanyika katika siku za nyuma za Dunia; Ufunuo mpya uliombwa na roho za binadamu wa sasa; nanyi mkapatiwa; kila muda mnapoishi katika uwepo wenu, mliomba na kupatiwa; Ufunuo mpya ni muendelezo wa Maandiko Matakatifu; ni jambo moja kuwa

Page 5: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

3

msomaji mkubwa wa Maandiko na lingine kuwa mtu wa dini; la kwanza ni la azali kwani roho yako hutafuta asili yake kila mara; la pili ni biashara ya Imani; dini ndizo za kwanza kuhukumiwa mbele ya dunia; katika mafunzo ya Mwana Kondoo wa Mungu; kijulikanacho kama dini katika maadili yao ya kibinadamu yameleta mgawanyiko katika ulimwengu wa imani; hawana haki ya kulifanya jambo kama hili; wamesahau kuwa kuna Mungu mmoja tu; ukweli mmoja; Shetani pekee ndiye mwenye kuleta mgawanyiko na hujigawanya mwenyewe; roho za kidini ni Mafarisayo wale wale wa nyakati za Urumi; waliomba Mungu azaliwe tena ili aje ayarekebishe makosa ya siku za nyuma; nalo jaribio likaletwa kwao; msisahau Nyinyi watu wote wa kidini wa dunia, kwamba kila roho huhukumiwa kulingana na hatima aliyoichagua yeye; ninyi roho za mwamba mlifanya mambo sawa vijijini;

Page 6: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

4

mkavigawanya vikundi vingine; mkawaachia viumbe wengine ghasia za kiroho; mkazijaza sayari nyingi kwa hekalu nyenzo; na mkafanya vivyo hivyo duniani; ndiyo sababu basi ninyi ndinyi mtakao hukumiwa wa kwanza; Nyinyi kwa kuivunja sheria mnawa wale wale Waliompinga Yesu; na kila avunjaye amri, bila shaka pia naye; mnasema mama kanisa mtakatifu; nawaambia basi kuwa hakuna mtu hapa duniani ni mtakatifu; unyenyekevu halisi hauhitaji mataji ambayo katika Ufalme wa Mbingu hayatambuliki; na pia sayari yenu ndogo; ni Baba pekee na baadhi ya Manabii ndio wanaoijua Dunia; sababu yake ni kuwa Ulimwengu ulio hai wa Baba Yehova hauna mwisho; na yeyote yule ajifikiriaye kuwa mkuu, sio mkuu; kwa ajili yenu liliandikwa neno kahaba; kwa sababu mnafanya biashara kwa sheria zangu za Kimungu; vipofu vikiwaongoza vipofu wengine; wanaoambukiza

Page 7: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

5

vipofu wengine makosa yao; Mafunzo mapya yatakapoenea, mwamba wenu wa Ubinafwsi a Kiroho utagawanyika; neno mwamba sio mwashirio wa kuishi milele kwa kitu chochote, dunia haitaishi milele; mnawaza kuwa kanisa lenu litaishi milele; matukio yatakayo kuja yatawatoa kutoka kwenye nyakati hii; ni wale tu wenye unyenyekevu katika roho zao, ndio waliotimiza ; wala sio wale ambao hufundisha maadili ndani ya usherati; aliponena Mwanangu wa kwanza katika siku za nyuma za dunia; juu ya mwamba nitalijenga kanisa langu; alisema hivyo kwa kuona wakati ujao wa ubinadamu; kwani Utatu wa nishati ya jua uko kila mahali; pia uko katika nyakati za maisha: wakati uliopita, wakati uliopa, na wakati ujao; Na aliona nini; aliuona ukiukaji wenu, jinsi mlivyovitesa viumbe vingine visivyo na hatia; kwa sababu havikukubaliana na mawazo yenu; aliona jinsi mlivyovituma kwenye mabua; aliona

Page 8: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

6

jinsi mlivyowatesa wasomi na waandishi; kwa sababu ya kuwafanya kuyaona makosa yale; aliona jinsi mlivyowavisha taji wafalme wa humu duniani; huku mkijua mwamba wenu wa ubinafsi kwamba Mfalme wa wafalme ni mmoja tu; Baba mtakatifu; aliye na uwezo wa kupatiana na kuchukua uhai; taji la mfalme ni la Dunia ya Mbinguni; pepo huitwa Roho-Mfalme; Amri hazifundishi kuwa mfalme; hufunza jinsi ya kuwa mnyenyekevu juu ya mambo yote; Aliona jinsi mlivyozibariki silaha walizozitumia watoto wa Baba kuuana; huku mkijua nyinyi mapepo kuwa Amri Takatifu husema; Usiue; aliona biashara ya imani, na aliuona usherati wote ulioka ndani ya roho zenu; ingekuwa vyema zaidi kukosa kuomba kuokolewa, kabla ya kuanguka tena kwenye ukiukaji; dini zenu hazitambuliki katika Ufalme wa Mbinguni ; na maadili yoyote ambayo husingizia kutenganisha imani ya watoto wa Baba hayatambuliki; Hekalu

Page 9: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

7

la kipekee linalotambulika katika Ufalme ni hekalu la kazi; kazi ndilo jukumu kongwe zaidi ambalo lipo; kabla ya sayari yenu ndogo kuumbwa, kazi ilifanywa na hufanywa katika dunia kuu; hekalu la kazi halipunguki kuwa vumbi; hekalu zenu nyenzo hupungua kuwa vumbi; na pamoja nalo Uabudu nyenzo ulioko humu duniani hutoweka; uabudu ambao haukufaa kufundishwa; kwa sababu uabudu huu ulioko ndani ya unafiki, mmeyachelewesha maendeleo ya dunia kwa karne ishirini, katika Nyanja za kiroho na maadili.-

Naam Mwanangu; mchoro huu wa Mbinguni

Page 10: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

8

unaashiria kuwa haki huja kwa njia sawa na jinsi ambavyo viumbe huzaliwa; Roho zote za kibinadamu ziliona hukumu katika Ufalme wa Mbinguni; kwa sababu kila mtu alipatiwa uwezo wa kuona haki yake; katika Ufalme wa Mbinguni kunacho kila kitu; hakuna mtu ajaye hapa duniani na upofu wa kiroho; hukumu huandamana na vitendo vyako; kwa sababu kila mtu aliahidi kuunda mbingu yake; haki ina sheria zake katika amri zinazoishi; ambao ndio ukonjo utakaopimwa nao; kila wazo lako lina lengo; na kila lengo huwa la kimwili na lenye uhai katika Ufalme; lengo hili huhukumiwa linapotumika na roho kukiuka sheria; mwili wa binadamu ni kizao cha sheria za kismaku; zinazotokana na ulimwengu; na kuitwa sheria takatifu; yeyote yule atakayekana kuwa agua katika udogo anauwakilisha, humkana Baba; Anayewatakia mema watoto wake; na yeyote yule atakayemkana Baba, anamkana uhai wake

Page 11: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

9

wa milele; kwani katika Mbingu zisizokoma huziona dhana zao; na wakati wanaposoma viumbe hao wa Mbinguni katika Roho; wanafanya hivyo kwa kuhukumu; yeyote yule ambaye humkamna Baba, Mbingu zinazoishi humkataza kuingia; chochote ukifanyacho huku chini kina madhara juu; na kokote Roho yako iendako, sheria ni sawa; Majukumu yangu ni sawa chini na pia juu; mabadiliko ni kwa falsafa ambayo wanaishi kwa muda; hukumu yako ni, na itaendelea kuwa ya kiroho, kilicho nyenzo hakibaki katika chumvi yako ya maisha; katika maarifa yako; ukweli wa kipekee kwa kila roho ni azali ambayo itaishi; sio hisia za muda ilizokuwa nazo wakati ilipokuwa na mwili; mwili wa nyama ambao iliomba; na kupatiwa; kupata mwili sio sawa na kupata kitu chochote; mwili uko hai nafsi ambayo pia uliomba na kupatiwa kwa muda; urithi ni sawa kwa kila mtu; vitu na roho zina haki sawa; zote mbili

Page 12: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

10

huomba; Sheria za kiroho na za kimwili huunganishwa; lijulikanalo kama Sanduku la Agano; kwani kupatia roho mwili hakufanyiki bila mpangilio; kunafanyika kwa kuwajibika; kukanusha haya ni kujipuuza; na yeyote yule atakayejipuuza, humpuza Baba; anayepatikana ndani yake; ni kwamba hamkufundishwa kuwa Muumba wenu yuko kila mahali? Ndani ya chochote kinachofikirika na kisichofikirika? Mnajua vizuri sana kwa vinywa; lakini sio kwa maarifa yenu wenyewe; kwa bidii; katika jasho la uso wako; katika usahihi wako; yeye atafutaye atapata; kwani amezawadiwa hadi kiwango alichokitumia katika kutafuta kwake; kwani unaweza kuvitafuta vitu vingi katika uwepo wako; lakini usipotafuta kwa ajili ya Baba aliyekupa uhai, hautaingia katika Ufalme wa Mbinguni; wasio na shukrani daima hawajaingia; ni walio wanyenyekevu tu; wale waliopitia hukumu zao maishani, kwani

Page 13: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

11

zilikuwa hukumu zilizoagizwa na wanyenyekevu wenyewe katika Ufalme; kila hukumu linaloendelea katika wakati wowote maishani, kwa kila sekunde; liliagizwa na kupatiwa; hata njia na hali ya vifo vyenu, mliagiza; na ndani ya hukumu zenu mliomba kutimiza maadili ya kiwango cha juu, ya kipekee; kwani bila hilo daima hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni; na mliomba kuwa maadili hayo yafundishwe duniani; na Amri Takatifu mkapatiwa; ndizo ukonjo; kwani kwa hizi Amri mtahukumiwa; na hivyo ndivyo itakavyokuwa hadi ukamilifu wa dunia hii; roho za binadamu daima hazitaweza kunisoma kwa ukamilifu; lakini kutoishi ndani ya maadili ya Amri zangu ni giza; kwa sababu daima hamtaingia alipo Baba; hakuna mfano kamwe wa wakati ambao mtaondoka kwenye mwangaza, kuwa ni lazima uokolewe ili kuisoma nambari; kisicho katika mgeuko wenu mdogo; hukumu mliyoiagiza huanza kwa vitu vilivyo

Page 14: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

12

vidogo zaidi ambavyo akili yako huelewa; hivyo ilivyo, kwa sababu vitu vilivyo vidogo zaidi, na wanyenyekevu, ndio hutangulia katika mambo yote; kwanza katika Ufalme wa Mbinguni na Hukumu yake Takatifu; na kwanza mbele ya Baba Mtakatifu Yehova, na kitu kidogo zaidi ambacho akili yako huelewa; ni wazo lako; sawa na mawazo yako ya kila siku; sawa na uliyoagiza katika Ufalme; sawa na unayoyahisi lakini hayaoni; mawazo yako yote husafiri kimwili kwenda angani; yana haki sawa na wewe; uliombwa kuzaliwa katika mata; pia nayo yalifanya hivyo; uliombwa kuishi katika wakati na nafasi; mawazo yako yalifanya vivyo hivyo; Kilicho juu ni sawa na kilicho chini; urithi wa maombi ni sawa kwa kila mtu; viumbe vikubwa huomba na viumbe vidogo huomba; vitu vinavyoishi huomba na vitu visivyo hai huomba; na Baba ndiye mwenye kupatikana vitu vyote; kwa sababu yeye hana mwisho; mawazo yenu

Page 15: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

13

husafiri angani, umbali usio na mfano; umbali ambao daima hamtaweza kuhesabu; ni baba pekee ndiye aujuaye; mawazo yenu yanajulikana katika Ufalme, kama Mbegu za Galaksi; kwani kutoka hapo dunia zenu huzaliwa kutoka kwenye mbingu zenu; iliandikwa kwa mapenzi yangu Kila mtu huunda mbingu yake; kwa sababu nyote katika hali ya udogo mnao urithi wa Baba; chochote alicho nacho baba, watoto wanacho; kama ilivyo na wazazi wa duniani; tabia zao za urithi husambazwa kwa watoto wao; kilicho juu ni sawa na kilicho chini; urithi aliyowapa Baba yenu ni wa kutokuwa na hatia na ukosefu wa falsafa kwa sababu ni uhuru wa nafsi yako ndio wenye kuchagua; na yote ambayo umekuwa ni usahihi wako, kwa sababu kila kitu hufikiwa kwa jasho la uso wake; pamoja na bidii za kiroho; hakuna chochote katika uumbaji wa Baba kisicho na gharama; vitu vyote vina gharama; kwani bila usahihi binafsi wa

Page 16: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

14

kiroho mtu hawezi kuingia katika Ufalme wa Mbinguni, raha za dunia yenu hazina dhamana yoyote Mbinguni; raha iliyofurahiwa duniani ni zawadi iliyofurahiwa tayari; na ni kwa ajili hii kukaandikwa; Na wakazipata zawadi yao; starehe zote nyenzo hazina usahihi wowote Mbinguni; haswa kama starehe kama zile zilitokana na falsafa ambazo hazikuzingatia Amri za Baba; siku za falsafa kama zile ni chache; kwa sababu Muumba ndiye mwenye kupatikana na ndiye mwenye kuchukua; falsafa yenu nyenzo itakatizwa katika upanuzi wake; kwani kila kitu kina wakati wake; kwani vitu vyote vina uhusiano na Amri za Baba; uhusiano amabao nyinyi mliomba katika hukumu zenu za maisha; kuanguka kwa mfumo wa maisha yenu ni kuanguka kwa nira zenu; litakua tukio kuu zaidi kwa walio wanyenyekevu ; waliodhulumiwa na waliopuuzwa; kwani wote ni sawa katika macho ya Mungu; hakuna

Page 17: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

15

aliyezaliwa tajiri na hakuna aliyezaliwa maskini; hali kama hiyo iliumbwa na roho zilizo pasi; wale ambao huishi tu katika wakati uliopo; roho zilizodumaa zaidi katika mgeuzo; kwa njia hii ya kufikiria kwa kifupi kabla ya maisha ya milele hawajafanya lolote ila kuihusuru dunia; mapepo haya yote yatahukumiwa na dunia yenyewe; Kwa sababu hakuna atakaye kulaaniwa kwa roho yake; mwangaza wa Mafundisho ya Mwana Kondoo wa Mungu utaibadilisha dunia; kwa sababu hivyo ndivyo ilivyoandikwa katika Ufalme wa Mbinguni; Dunia imefanya Kinyume cha ilivyoagizwa; katika karne zote Amri zangu Takatifu zimekuwa zikisema: Walio wanyenyekevu ndio waliotangulia; kwenye mpangilio wa vitu vyote; Na mmezifanyia nini Amri za Mbinguni? Je, wanyenyekevu wangu huitawala dunia, kwani wao ndio waliotangulia katika vitu vyote? La hasha; kwani naona kwamba wanyenyekevu ndio waliopuuzwa;

Page 18: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

16

hawawezi kuhusika na usherati huo ambao mnauita jamii kuu; na nani aliwapa haki ya kuunda jamii kama hizo? Je, huenda lipo katika Maandiko yangu? Kwa uhakika nawaambia nyinyi mapepo yenye majivuno kuwa kila mti wa kifalsafa ambao Muumba hakuupanda utang’olewa kwa mizizi yake; hivyo ndivyo kila mgeuko ulivyo; Na nani kawaumba na kuwafanya wafalme? Ni kwamba hamjui kuwa Baba pekee ndiye Mfalme wa Wafalme? Na asili ya taji la mfalme si duniani; ni la Mbinguni; Shetani huitwa roho-mfalme; Amri Takatifu huwafundisha kuwa wanyenyekevu juu ya vitu vyote; haziwafundishi kujifanya wafalme; kwa uhakika nawaambia nyinyi mapepo za undakindaki maluuni; kuwa hakuna yeyote kati yenu atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni; na pamoja nanyi wala hawataingia watoto wenu hadi kizazi cha tatu; kwa sababu katika Ulimwengu wa baba Yehova kila urithi

Page 19: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

17

husambazwa; hakuna aliyefaa kuwa wa bure bilashi hata sekunde ya wakati; kwani hata kwa sekunde moja au chache zaidi ya ukiukaji na hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni; wafalme maluuni wa dunia, ukosefu wa hatia wa watoto wenu utawalaani; kwani ni kwa sababu yenu kuwa hawataingia katika Ufalme wa Mbinguni; na pamoja na mwanaume ama mwanamke aliyekutumikia katika falsafa zenu maluuni; sio pepo hata moja lililo la kindakindaki litakaloingia katika Ufalme wa Mbinguni; kwani katika Ufalme ni usahihi wa kazi tu ndio unaotambulika; falsafa ya kote; kwa sababu katika Ulimwengu wa baba Yehova kila urithi husambazwa; hakuna aliyefaa kuwa wa bure bilashi hata sekunde ya wakati; kwani hata kwa sekunde moja au chache zaidi ya ukiukaji na hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni; wafalme maluuni wa dunia, ukosefu wa hatia wa watoto wenu utawalaani; kwani ni

Page 20: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

18

kwa sababu yenu kuwa hawataingia katika Ufalme wa Mbinguni; na pamoja na mwanaume ama mwanamke aliyekutumikia katika falsafa zenu maluuni; sio pepo hata moja lililo la kindakindaki litakaloingia katika Ufalme wa Mbinguni; kwani katika Ufalme ni usahihi wa kazi tu ndio unaotambulika; falsafa ya kote; Ambayo kila mtu aliye mnyenyekevu na mwaaminifu aliomba; wale ambao walikuwa na ndio wafalme duniani, waliokuwa na ndio roho zilizo pumbazwa katika majivuno; katika roho zao wanazo adhari za kigalaksi za uhai mwingine; uhai ambapo kila kitu ni mng’aro wa utajiri na sio chochote cha utaalamu; chumvi ya maisha yaliyojawa na giza; na hakuna pepo ambalo halijakuwa mfalme katika ulimwengu uo huo; falsafa hii huongozwa na Shetani mwenyewe; tangu wakati alipoasi; na jeshi lililoasi pamoja naye; roho zote za binadamu zilizoomba kuwa na Kikundi, taifa lililo na

Page 21: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

19

mfalme kama kiongozi; ni mali ya jeshi la shetani; kwani nyote mlitoka Mbinguni; na hata pepo lilitoka huko; kuwa Mbinguni, roho hupata desturi za viumbe wengine; kama ifanyikavyo baadhi yenu; kwani kilicho juu ni sawa na kilicho chini; miigo ya Shetani imeenezwa kati ya watu wa dini, Matajiri, wafalme na maluuni ambao huunda falsafa za nguvu; lakini, hakuna pepo litakalobaki; Neno linaloishi la Baba Mtakatifu huvisafisha vitu vyote; hubadilisha vitu vyote; kama alivyoibadilisha dunia kongwe na Torati la Musa; na baadaye na Mafundisho ya Kikristu; sasa Anaifanya kwa Mafundisho ya Mwana Kondoo wa Mungu; na hakuna lililo rahisi kwa Muumba kama kuibadilisha dunia ya mwili kwa Neno lake linaloishi; Neno lilo hilo lililosema katika muda wa mbinguni uliopita; Iwe nuru na ikawa nuru; Neno hilo lililoumba Maandiko yote Takatifu; Neno hilo lililowapa Amri; na

Page 22: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

20

neno lilo hilo ambalo hukuhukumu kwa utaalamu kwanza, kisha kwa sheria za kimwili; kwani kila roho iliomba iwe hivyo; waliomba kuhukumiwa katika Hukumu Kuu ya mwisho; walipoomba kuhukumiwa katika kila muda wa maisha yao; kwa kuanza na changamoto katika kutafsiri Maandiko yangu; kila kitu mliomba nyinyi kabisa; hata maelezo madogo sana ya Sayansi ya Mwana Kondoo wa Mungu; hili hukupa wazo kuwa hata usiyoweza kuyaona hudhibitiwa kutoka Ufalme wa Mbinguni; hisia zako zisizojulikana, hukumu ni kwa dhana zako; mawazo yako, malengo yako; wewe mwenyewe uliombwa hivyo katika Ufalme; pia mliomba kusahau asili yenu; jinsi na maelezo ya mlivyoumbwa; lakini, mtajua kila kitu; kwani mlitaka kujua duniani nuru ya Mwana Kondoo wa Mungu; mliomba kufarijiwa katika maarifa; mliomba Mafundisho mapya; na mliomba mshangao katika mfiko wa Mafundisho haya;

Page 23: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

Mafundisho ya Mwana Kondoo wa Mungu; ilifaa kujulikana muda mrefu sana uliopita; kutoaminika na uyakinifu wa mwamba wa kidini ulificha ukweli kutoka kwenu; wanavyo vitabu vya Mwana Kondoo; Vitabu vya kwanza vilitiwa mikononi mwao; kwani walikua wamejaribiwa; kila roho hujaribiwa; hawa mapepo ambao hufundisha imani wasiyoiamini; waliomba kuwa wa kwanza kupata maarifa juu ya ukweli; nao wakapatiwa; sababu yao kuuficha ukweli ni kutokana na mamba wa ubinafsi waliokuza katika nyoyo zao; ndio waumini duni kabisa; huathiriwa na sheria za kuabudu mali; urithi wa kifarao; ambacho husababisha kumwabudu mtu huyo; kwa uhakika nawaambia nyinyi mapepo za kuabudu kuwa sio hata moja ya kiumbe bandia cha neno langu litaingia Ufalme wa Mbinguni; hakuna mwamba mbinafsi utakaoingia ; mtalaaniwa na kizazi hiki na vitakavyokuja; kwa sababu yenu nyinyi

21

Page 24: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

22

mapepo utu huu hautaingia katika Ufalme; kwani sekunde zote zilizopita zilikua muda katika ukiukaji; sekunde moja tu ama chache zaidi ya ukiukaji wa aina yoyote umetosha kuzuia kuingia katika Ufalme wa Mbinguni; na mlipouficha ukweli kutoka kwa dunia, mliutenga utu huu zaidi kutoka kwenye Ufalme; kwani mliendeleza makosa zaidi, jumla ya sekunde walizoishi kwenye makosa ni nyingi zaidi; kila sekunde katika kosa ni Mbingu iliyofungwa dhidi ya kiumbe hicho; ni lazima nyote mjumlishe sekunde zilizoko katika dakika, saa, siku, juma, mwaka, na jumla ya sekunde zilizoko katika miaka uliyoishi; na kila Hesabu ni lazima lifanywe tangu umri wa miaka kumi na miwili; kabla ya umri huo; kila roho haina makosa mbele ya Mungu; na yeyote ambaye amewatendea mabaya kwa vitendo au kwa maneno kwa sekunde moja tu chache mmoja wa wangu wasio na hatia ,hao hawataingia katika

Page 25: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

23

Ufalme wa Mbinguni; kwani wao katika maisha mengine ambapo hawakuwa na makosa waliteta katika Ufalme walipotendewa mabaya; Ni kwa ajili hiyo ikaandikwa: usifanye kwa wengine usilotaka wakufanye wewe; kwa sababu hiyo, sio baba mbaya wala mama au baba wa kambo au mama wa kambo au mwanaume au mwanamke aliyekuwa na wajibu juu ya watoto hataingia katika Ufalme wangu; hatima zao hukabiliwa na hukumu ya wangu wasio na hatia; kwani kila kilicho kidogo ni kikubwa Katika Ufalme wa Mbinguni: kwani hamkufundishwa kuwa wote walio wanyenyekevu ndio wa kwanza mbele za Baba? Hii ina maana kuwa chote kidogo zaidi ni cha kwanza katika hukumu ya Baba Yehova; kwa sababu hiyo roho yako sio ya kwanza katika Ufalme; wa kwanza ni ambao roho yako ilipuuza duniani, roho zenu haziwezi omba kuwa mwanzoni; kwa sababu mliamrishwa kuwa wanyenyekevu juu ya vitu vyote, wa mwisho kila

Page 26: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

24

mara huwa mnyenyekevu; hupuuza umuhimu kwake; kwa hakika nawaambia kwamba yeyote anayejali umuhimu wake maishani hatoingia katika Ufalme wa Mbinguni; hata kama umuhimu huo usiofaa ulikuwa wa muda wa sekunde moja ama chache; na mwenye dhana chafu ambaye aliyefanya hivyo katika muda sawa; hatoingia katika Ufalme wa Mbinguni; kuanguka kwa utu ni kwa sababu ya dhana bandia za kilimwengu, zilizopandwa kwenu na maadili bandia ya mwamba wa kidini; kahaba huyo ambaye kwa karne na karne amefanya biashara na imani; amefanya mambo kulingana na maslahi yake ya muda mfupi, hakuwazingatia wanyenyekevu; aliyemnyenyekevu hajizingiri na ukwasi; yeye hajidanganyi; kwa sababu kila aliye mnyenyekevu amepitia kwa wanayoyapitia watafutao sifa mbaya; kila aliye myakinifu ni roho wa kinyumenyume; ambaye huweka matumaini yake katika wakati mchache uliopo,

Page 27: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

25

wanazipuuza sheria za roho; kama hivyo ndivyo ilivyo tabia ya waitwao papa; viongozi wa kahaba; viumbe hawa hawatambuliki kwenye Ufalme; kwani hakuna hata mmoja wao ambaye amekwisha ingia; ni walio wanyenyekevu na wa kawaida pekee ndio wenye kuingia; na kila dini pia haijulikani; na pia dunia yenu; hili ni kwa sababu ya sheria zisizokoma; mmoja yake ni kuwa Ulimwengu hauna kikomo; hauna kikomo hivi kwamba ndoto hutimika Sheria hiyo nyingine ni kuwa kila mtu huunda mbingu yake; na ni kwa njia hiyo ndivyo waitwao papa na wafuasi wao, waliotamani falsafa ya kuabudu mali, waliunda dunia zao na falsafa hiyo; kwa sababu kila dunia huzingirwa na mbingu, na kila mmoja wao huunda mbingu yake binafsi; uabudu wa mali sio mti uliopandwa na Baba Mtakatifu; na haujulikani katika Ufalme; kama isivyojulikana Sayansi ama Mafundisho ama dhehebu ambayo haikuwazingatia

Page 28: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

wanyenyekevu wangu, kwani nawaambia kwa uhakika kuwa dunia hii ilifaa kutawaliwa na walio na unyenyekevu; kwa sababu hao ndio wa kwanza katika Ufalme; ndio wa kwanza juu na ni lazima iwe hivyo hata chini, na Kinyume cha hayo kimefanywa; dunia hii inatawaliwa na wale ambao hawakuiomba kutoka kwenye Ufalme; roho za giza huwatawala; kwani katika mamlaka yao hawafanyi hivyo kwa njia ya nuru; hawanitaji mimi kwenye hotuba zao; lengo lao sio muumbaji; ni mambo yanayodumu kwa muda tu; muda kidogo kabla ya kuisha; Nazisoma dhana zao; naona Hesabu zao; kwani niko kila mahali; naona kwamba wameunda dunia zao za giza; nawaambia kwa uhakika nyinyi viongozi bilashi na wenye kiburi kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayebaki; na hakuna yeyote ambaye hakuyajali Majukumu yangu atabaki; Kama walio na unyenyekevu wangeitawala dunia kutoka mwanzo,

26

Page 29: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

nawahakikishia nyinyi kuwa dunia hii haingehitaji hukumu; ni wakiukaji ambao husababisha hukumu; sio hata mkiukaji hata mmoja ataingia katika Ufalme wa baba; sheria imo ndani yenu; na imekuwa hivyo siku zote; unachohitaji ni kuwaza na hapo unaunda hukumu yako; vitu na roho huwaza kulingana na sheria zao; kwani hakuna mtu ambaye amenyimwa urithi, kila mtu ana haki sawa; hakuna aliye duni mbele ya Baba; haki hizi ni dhahiri katika maumbo yote yanayoweza kufikirika. Kila umbo mlionalo duniani mliloliomba, mlishuhudia ombi hilo; kwani kabla ya ujio wa yote yaliyo duniani, agano zilozo na vipengele vya hali ya wakati utakaokuja vilifanywa; na kila kitu chochote ambacho umekiona kwa macho yako kwa muda wa maisha yako ulikiomba wewe katika Agano Takatifu; ndio kwa maana katika Ulimwengu ulio hai wa Baba Yehova mata na roho zina haki

27

Page 30: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

ya kuomba hukumu; mata na roho zina uhuru wa nafsi; bila ya kutegemeana; kusingekuwa hivyo, kusingekuwa na ukamilifu katika haki; kusingekuwa na msawazo wowote katika haki za kila mtu; haki ya Baba ikiwa ni moja tu, huwa imebainika katika mafumbo mbali mbali yasiyo na mwisho; kwa sababu hakuna kilicho ndani yake kilicho na vikwazo; kila haki huzaliwa kwa njia sawa na vitendo vya kiumbe; ni chumvi ya maisha, ambayo huipa haki hiyo umbo; chumvi ya maisha ni sawa na maarifa ambayo hupatwa katika maisha ya mtu; ukizingatia uhuru wake wa nafsi; roho haziendelei katika mtindo sawa na kupata maarifa; wengine hutangulia huku wengine wakifuata; hueleza ukosefu wa usawa kati yenu; maarifa yote ama chumvi ya maisha iliyopatwa huendelezwa ndani yenu; lakini kila kitu hulinganishwa katika kiwango kisicho na kikomo; mnaunda sifa na ubora wa jamii zenu wenyewe; sifa hii hutokana na falsafa ya dhana

28

Page 31: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

zenu; nao ubora na uongozi wa kiroho katika Ufalme wa Mbinguni; ubora zaidi hupatikana kwa unyenyekevu; ikifuatiwa na raha ya kazi; Tazama usaidizi wa Ukomunisti wa mbinguni katika Ufalme wa Mbinguni; Ukomunisti wa Mbinguni na falsafa ya mtoto; yule ambaye hakupanda furaha maishani mwake, hatoingia katika Ufalme wa Mbinguni; hakuna mjinga yeyote atakaye ingia, hata kama ujinga huu au hasira zilikua za muda wa sekunde moja tu ama chache; nyote mliahidi katika Ufalme wa Mbinguni kuwa wenye furaha maishani; kwa kuiga Mbingu yenyewe; mliahidi kuwa wenye furaha chini ya hali zozote; hamkuomba kuwa wajinga katika tabia; kwa sababu mlijua kwamba haujulikani katika Ufalme; na mlijua kwamba kwa kuwa wajinga , mngekosa kuingia; kama katika kuwepo kwenu mlipatwa na hasira mara kw mara; ni kwa sababu ya mfumo usio na usawa ambao binadamu waliuchagua; na

29

Page 32: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

waundaji wa mfumo kama ule watazilipia gharama katika hukumu hii; kwani waliomba hivyo; na hivyo basi watapatiwa; kuhusu mapepo ambao waliuunda ubepari mnyonyaji, uzito kamili wa Haki Takatifu itawaangukia; mapepo haya ya tamaa na utawala yalimwahidi Baba wa milele kuitukuza sheria yake Duniani humu; sio kuwa wadhalimu; kwa sababu mfumo huu wa maisha ambao mazao yake ni Sayansi ya kizuri na faraja, ni nira ya dunia hii; nira ambayo inatamatika; kwani mwanzo wa nyakati mpya umefika; Dunia mpya Iliyo na Wakati Mpya; Maadili Mapya na Hatima Mpya; kwani hamkufundishwa kuwa Muumbaji huvifanya vitu vyote upya? Hukumu ya mwisho inaanzishwa kwa Mafundisho ya Mwana Kondoo wa Mungu; mwisho machungu; kwa sababu kila ukiukaji wa sheria za Baba husababisha uchungu; kama mlivyokabiliwa na udhalimu maishani mwenu; udhalimu ambao

30

Page 33: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

ulitokana na mfumo wa maisha ambao haukuundwa na Baba Mtakatifu na ambao hujulikana katika Ufalme wa Mbinguni-

kimeandikwa na ALPHA NA OMEGA

31

Page 34: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

KITAKACHO KUJA.-

KITAKACHO KUJA, KINATEGEMEA KILA MMOJA; KWANI ILIANDIKWA, KUWA KILA MMOJA ANGEHUKUMIWA KWA KAZI ZAKE; HUKUMU TAKATIFU YA MUNGU HUHUSISHA WAZO KWA WAZO TANGU UMRI KUENDELEA; KWANI NI WATOTO PEKEE NDIO AMBAO HAWAPATI HUKUMU TAKATIFU; HUKUMU TAKATIFU YA MUNGU INAWAHUSU WATU WAZIMA WALIOKO KATIKA MAISHA YA MAJARIBIO; KILICHOFIKIRIWA KWA SEKUNDE KITAKUWA SAWA NA UWEPO; AMBACHO, KULINGANA NA KILIVYOFIKIRIWA, HUENDA KIKAWA UWEPO WENYE MWANGAZA ULIOPATIKANA AMA UWEPO WENYE MWANGAZA ULIOPOTEZWA; HIVI NI KWA SABABU MAMBO YALIYO YA MUNGU HAYANA KIKOMO; ULIO WA MILILE HUTOA UWEPO KAMILI KWA BIDII NDOGO KABISA ZA KIAKILIWA MIAKA KUMI NA MIWILI.-

ALPHA NA OMEGA

Page 35: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

Ufunuo uliokuwa umesubiriwa kwa muda mrefu ulianzishwa vipi?

Alpha na Omega: nilikua tu kama mtu yeyote, na nimekuwa kama mtu yeyote kila wakati; ijapokuwa hapa ninatimiza amri; Baba aliniambia, Alinifanya kuandika katika daftari ambayo bado nimeihifadhi; Alinipa ujumbe;

33

Page 36: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

Alinifanya niandike; Nakumbuka, maudhui niliyosema: Mwana chagua, wataka kumtumikia Mungu ama kuendelea na maisha yako ya kilimwengu?; Hili ni chaguo, kwa sababu uliombwa kuwa na uhuru wa nafsi maishani, kama mtu yeyote mwingine; alinipa dakika tatu nifikirie; inafaa ibainike… kwamba Alinipa chaguo nichague; kisha nikamwambia… kwamba ningemjibu kitelepathia-Hakuna Jua, lililoandikwa, kama ulivyoomba liandikwe; kila hisia huombwa kwa Mungu, kisha nikamwambia: Baba Yehova, nakufuata, kwani kilicho cha binadamu sio cha milele, Napendelea nimfuate aliye wa milele.-Ndugu:lakini uchanga, ulikua mchanga wakati huo?-Mwandishi: Ndio nilikuwa-Brother: Umri wa miaka saba, na ungeweza kutambua tayari?-Mwandishi: Ndio, ndio; kisha, daftari hiyo

34

Page 37: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

bado nimeihifadhi, na karatasi hiyo, ya manjano kwa sababu ya miaka, manjano manjano; ni lazima niwe niliiweka kwenye shanta, iko karibu na hapo; kisha Baba akaniambia : Naam Mwanangu, Nilijua, lakini ilikubudi upite mtihani, ijapokuwa wa Milele hulijua, ni lazima upite mtihani; kwani usipoupita hautapata ujuzi wowote-Dada: lakini je, Alikupata kwa mshangao hivyo tu; tuseme… hivyo tu, bila ya kutarajia Akakuchagua wewe?-Mwandishi: Ndio, nitakwambia hivi, kila kitu kiwezacho kufikirika huombwa kwa Mungu, kama ombi lolote la kuvumbua, Niliomba kudhihirisha, kila moja katika sheria yake aliagiza Mungu. Hukumu ya Utaalamu ya Mungu kwa kizazi hiki-

35

Page 38: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

Mali ya Mungu, sio ya mtu yeyote pekee• SAYANSI • MAADILI • SAIKOLOJIA

• FALSAFA YA KIGALAKSI • HAKI TAKATIFU

Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima.Zaburi 100Kwani muumba wa ulimwengu atakuwa katika mawasiliano moja kwa moja na nyote, kupitia Maandiko ya Kitelepathia.

Karibu kwenye mradi wa utafsiri wa binadamu.Tunauleta utafsiri wa Ujumbe wa Kitelepathia, ulioko katika hatua ya kwanza.Ujumbe huu uliandikwa kwa Kihispania.Jamii ya sayari, ni lazima iziidhinishe tafsiri hizi.Kwani kwa njia hi pendekezo zilizo na tafsiri njema zaidi.Unaweza kuvipakua vitabu kwa kubonyeza.Sayansi ya angani, ndiyo Maandishi ya

36

Page 39: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

Kitelepathia; na ni ishara yake ni Mwana Kondoo wa Mungu

Alpha na Omega, ndiye Mwandishi wa Maandiko ya Kitelepathia ya hapa duniani. Ameviandika vitabu 4000 hadi mwaka wa 1978 katika Chile Peru.

Sayansi ya angani, hueleza asili ya vitu na hutangaza kitakacho kuja.

Ufunuo ulisubiri kwa karne.Ufunuo utaenezwa kote duniani, na utatafsiriwa katika lugha za duniani; na hakuna mtafsiri yeyote atakayekosa kuhusika; kwa sababu kwa kila herufi iliyotafsiriwa, ni nukta ya mwangaza ulioshindwa.

Huu ni ufunuo wa Mihuri; na ina maana kuwa ni yule aliyetumwa na Baba, unaweza

37

Page 40: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

kuviandika vitabu vya Mwana Kondoo wa Mungu Ufunuo wote wa Mwana Kondoo wa Mungu, utakuwa katika vitabu vuyenye karatasi nyembamba na kadibodi; kuwa Maandiko yaweze kutimizwa, dunia ikipatiwa; vitabu vimo katika moja ya maono ya Maandiko; na hakuna mwisho kwa Maarifa yake.

Ufunuo huu Mtakatifu umetabiriwa katika kitabu cha Ya Ufunuo kama kitabu na Mwana

Kondoo (Sura ya 5).

38

Page 41: UJUMBE WA KITELEPATHIA KUTOKA KWA BABA …...Hii kitabu telepathic iliandikwa katika Kihispania kati ya miaka 1975 na 1978 katika Peru. Sifa za furaha kwa Bwana, dunia nzima. UJUMBE

https://www.facebook.com/RevelacionAlfayOmega/

Ya Ufunuo kama kitabu na Mwana Kondoo (Sura ya 5).

Tafadhali tembelea tovuti ya https://www.alfayomega.com/sw/ na

usome Yatakayokuja na Sayansi ya Angani.

SAYANSI YA ANGANI