umoja wa wakuu shule za sekondari tanzania mkoa wa …€¦ · (b) to a sa babu mb il i kwa nini...

4
121 UMOJA WA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA MKOA WA ILALA. MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA WA PILI KIDATO CHA TANO KISWAHILI MUDA: SAA 3:00 Jumatatu, 20 Julai, 2020 asubuhi. Maelekezo 1. Karatasi hii ina sehemu A, B,C na D yenye jumla ya maswali k:umi na moja (11) 2. Jibu maswali saba (7) katika mtihcU1i huu, maswali yote kutoka sehemu Ana C, na swali moja kutoka sehemu B na D 3. Zingatia maelezo ya kila sehemu. 4. Simu za mkononi haziruhusiwi katika chumba cha mtihani . 5 . .Andika namba yako ya mtihani katika kila ukurasa wa kijitabu chakujibia. Mtihani huu una kurasa 4 zilizochapwa. rAHOSSA /tt?/.P - Kiswt1hlti ku:/tito cht1 ttlM - ni.tiht1;u wa Je , m, .ati za "'-"h"/.a wa p!Li 2020 :t.

Upload: others

Post on 04-Aug-2020

19 views

Category:

Documents


1 download

TRANSCRIPT

Page 1: UMOJA WA WAKUU SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA MKOA WA …€¦ · (b) To a sa babu mb il i kwa nini mwan di shi an t araj i a ku n unu a vitabu vy ote bora . (c ) Mwan dish i ana rn

121

UMOJA WA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA

MKOA WA ILALA.

MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA WA PILI KIDATO CHA TANO

KISWAHILI

MUDA: SAA 3:00 Jumatatu, 20 Julai, 2020 asubuhi.

Maelekezo

1. Karatasi hii ina sehemu A, B,C na D yenye jumla ya maswali k:umi na

moja (11)

2. Jibu maswali saba (7) katika mtihcU1i huu, maswali yote kutoka

sehemu Ana C, na swali moja kutoka sehemu B na D

3. Zingatia maelezo ya kila sehemu.

4. Simu za mkononi haziruhusiwi katika chumba cha mtihani.

5 . .Andika namba yako ya mtihani katika kila ukurasa wa kijitabu

chakujibia.

Mtihani huu una kurasa 4 zilizochapwa.

rAHOSSA /tt?/.P - Kiswt1hlti ku:/tito cht1 ttlM - ni.tiht1;u wa Je ,m,.atiza "'-"h"/.a wa p!Li 2020 :t.

Page 2: UMOJA WA WAKUU SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA MKOA WA …€¦ · (b) To a sa babu mb il i kwa nini mwan di shi an t araj i a ku n unu a vitabu vy ote bora . (c ) Mwan dish i ana rn

SEHltMU A: (ALAMA 40)

UFAHAMU. MATUMIZJ YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUOHA

Jibu maswali yote kutoka seh~mu hi1

Soma kwa makim klfungu cha h;:-1,ban k1f11...ltacho k1c;h;i pbn m,tci\, ,tit

\·an;-ivofu a t..-1

:;akumbuka mt"·hAh "1dmaA mbt>k. m rtutt m um,1" \.f ,-.th , h h11

huvunJa mo, o \\ ;\ mtu odu;n1c:h,n,. nd0•n ;R , ,i..: 1t1 111, I ,kir

51vun3ik 1 mo)O k,\ a-.. llml It Hn m mu , t 1m I I J"t' , , K, 1 11rn1 nt,

akatr 1~m.u Y::t k\rn-l t •1 \1~ t l l~tmrl •1 I tn, 1 kll\\ 1 t 1pri mkuh,~ ,

Sik om1 h,ip< :'\m,-~;i::n A r·11 ~ ·;.l k 1•11m1 , ut 1pn \~ ln£11 • 1r , 1

n1k1,1p,1t,t

\hn,· '-I mm ·.1 k~•,~ • \\.:1 r \ lhHt ! I fl\ 1l1 in1 l ~ , h 1h I ktl\H'k I

mJMiu 1mrl·•,,.1 n:-t '.01 · V=1 ____ ...,_. ___ , , 1 ,· , t, ~ q,~ n I 1

mh1

in:'IU:l

huh(

r r k , 1,, 1 ,t,f" I

'' fl '

, ' I,< d I

~ " , 11-.1 bu . r ,r ,

1'11prr,r! I,

' l . " l L I

1 • 1, , m ,rnb1

th , , , , r r I' lfT , 0 t

r •kt f.. ,I, l flL, 1 ,UI ll ll' l

!":! i: 1 , •·•· • ,n.1r'<1 k•,1,· t J ,,n w c11 r., w ,n 1

r.U'.t. tpd • !<1 ,C.U:. ,I, t <;t 1 n t ,< tl '}, ,l~

\.i,r;i•,t A 1.,k hi !1 1 1.\ l',l.t'Ll ,< U t 1r. ,U

k",1. r: ... ~ ~l :<_-G!.,t \\. ; .. ,a r..: .: t ...... k~r n!I.l:1.n2...1 ~!sn \ J .r-.l!',1 __ • : .• c1.

5aRdd ,..i i-• ..! l.Us.L'. !.1 r..1.. r.ra \a r.. .' t .... durua n1'LtctrtLc1 ;c t~l

)angt. kau:.W r.d .. ~unvj :,.Lt-r.n .... hd ., .. l.m,1 v.a nan rw " bv. 1 n 1

b<.ira k" a k..:t ..!!'!lW za~ .. aJ ~!Al! r.ui Fa1dd ha1wKU'.h1 ghar .!~:H

tu ~1mcng<1...,'nl.l ,i ubu:-d '-'c1 ur.t.:,.md k.d'tr..ct \!' .A.ct ~.t t~.ha.ni-'1 Kc1L1 ht)O

1tatend"a hata ka.n:..t !ldgr!...:inmu tr-dr.a n'.1r,g1 Nttcttcnk'.~n.-L.t r. 1

mashambaru \"lta.1. • • ~,.,a T..ka.Lv \.\a mit.1un£G ·,a kaL1 ,.a u1un<i1

Fedha ya mahpo \a v.ar..a.f._.r.;2 .. ma.'>.klru lalum hodan ttat~:lllV.a

Nasad1la sana k\\ambd hapar:...i taifa llv. ,...£a!o i<ut'nd lr a pasipc.) mat.Ot"Z}

)d ellm..:. ·,c1 "anJv\ak~ l-:\.\a rm mw· • !..!ha n·,mKt kv.c1 iJ1b va c-lunu

Ht \\anav.ake Ma~ha.krt -.a rr~a!',k1rn \d!Ilt!:>hughuhshd v1lt> Vllr- d l\.l.

,angu kwa 'Aakau mrdu K\.\-a kushtrtkla!l.J na mataJin \.\f"n~nr

r..i•a1eng:3 n\'umba kand t1 \8 kufanv1a ka.11 huko ma-.kin1 \\8Upt·,~ , k~,n

4-1 V ii,,;,

Page 3: UMOJA WA WAKUU SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA MKOA WA …€¦ · (b) To a sa babu mb il i kwa nini mwan di shi an t araj i a ku n unu a vitabu vy ote bora . (c ) Mwan dish i ana rn

MASWALI.

(a) ~leza maana ya maneno yafuatayo

(1) Taraa

(ii) Maono

(iii ) Tunu

(iv) Karadha

(v) Gharadhi

(b) Toa sababu mbili kwa nini mwandishi ana tarajia kununua vitabu

vyote bora.

(c) Mwandishi ana rnaana ganj anaposema "Mti huirnar isha shin a lake

kwa kivuli cha matawi yake".

(d) k\va mijibu wa ha bari hii , mwandi shi am esha pa ta u taj iri ama bado?

Toa saba bu moja _rn j ibu lako.

(e) Andika kichwa cha ha bari u liyoisoma kwa maneno yasiyozidj

matano .

2. Kv;a kutumia mifano thabi ti eleza dhima tano (5) za mofimu -u- katika

tungo .

3. Sarufi n i nini? kwa kutumia mifano fafanua matawi ya sarufi .

4 . Kwa kutumia mifano mbalimbali bainisha manufaa matano (5) ya

kutumia rejesta.

SEHEMU B: (ALAMA 20)

MAENDELEO YA KISW AHILI

J ibu swali moja (1), ku toka sehemu hii.

5. Onesha ni kwajinsi gani shughuli zilizofanywa na Waarabu katika nchi

za Afrika Mashariki zilikuza na kudumaza lugha ya Kiswahili . Toa hoja

tatu (3) za kukuza na hoja mbili (2) za kudumaza.

6. Fafanua majukumu sita (6) yaliyofanywa na kamati ya Lugha ya

kiswahili iliyoanza kazi rasmi mwaka 1930.

- 1..1 a· 0.20

TAHOSSA rLPLP - Ki.sw«hl/1 /eldllttJ oh« t«M - m.tfht:1,,.,f wt:1 k um.t1/J.zt:1 m uhu w« 1' • 2 3

Page 4: UMOJA WA WAKUU SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA MKOA WA …€¦ · (b) To a sa babu mb il i kwa nini mwan di shi an t araj i a ku n unu a vitabu vy ote bora . (c ) Mwan dish i ana rn

SEHEMU C : (ALAMA 20) FASIHI KWA UJUMLA

Jibu maswal~ yote\ kutoka sehemu hii

7 . Eleza kwa ufupi usanaa wa fasihi kwa kuzingatia vipengele vitano (5) muhimu. - --- ·

8 . Tofautisha fasihi simulizi na fasihi andishi kwa hoja tano.

SEHEMU D: (ALAMA 20) FASIHI ANDISHI

Jibu swalt,~oja ( 1 )1 kutoka sehemu hii.

USHAIRI Fungate ya Uhuru Kimbunga Mapenzi Bora

Mohamed. S. Khatibu Haji Gora Shaaban Robert

9. "Washairi wana dhima mbalimbali ya kujenga Tanzania ya leo" Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kutoa hoja nne kwa k.ila kitabu katika diwani mbili ulizosoma.

RIWAYA Kufikirika Mfadhili Usiku utakapokwisha -Vuta N'kuvute

f11

Shaaban Robert Hussein Tuwa Mbunda Msokile Shafi Adam Shafi

10. Misuguano katika maisha ni jambo lisiloepukika. Onesha jinsi waandishi walivyoibua misuguano mbalimbali katika kazi zao k\;va kutoa hoja nne kwa kila kitabu katika riwaya mbili ilizosoma.

TAMTHILIYA Morani Nguzo Mama Kwenye Ukingo wa Thim Kivuli Kinaishi

Emmanuael Mbogo Penina Muhando Ebrahim Hussein. Said A. Mohamed

11. Chunguza wahusika wawili toka kila kitabu katika tamthiliya mbili ulizosoma kisha eleza jinsi gani wanafaa kuigwa au hawafai kuigwa na jamii.

TAHOSSA 1tntn - KJ.s wahllt kldato cha taJ,1,0 - m.t£ha11-£ wa kum.t1l£zt1 m.uhula wa pat 2.02.0 ·1-