upangaji upya katika maeneo ya stone ......shule ya msingi ya rebuilt rockbridge inafunguliwa tarehe...

17
UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE MOUNTAIN NA CLARKSTON MKUTANO WA UMMA WA RAUNDI YA 1 NOVEMBA 2, 2017 6:30PM FREEDOM MS

Upload: others

Post on 11-Jan-2020

39 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE MOUNTAIN NA CLARKSTON

M K U TA N O W A U M M A W A R A U N D I YA 1N O V E M B A 2 , 2 0 1 7 6 : 3 0 P M

F R E E D O M M S

Page 2: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

AJENDA

Kwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Kupanga upya

Kigezo cha Kupanga upya

Maoni ya Kundi Ndogo ya

Raundi ya 1

Page 3: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

KWA NINI UPANGAJI UPYA?

▪Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge

▪Inafunguliwa tarehe Januari 2018

▪Shule ina zaidi ya viti 900+

▪Mamia ya viti inapatikana

Page 4: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

▪ Kufunguliwa kwa Rockbridge ES na nafasi zinazopatikana

▪ Kujaa kupita kiasi katika shule 5 kati ya 6 katika Eneo la Clarkston

▪ Stone Mountain MS kutotumika vizuri

KWA NINI UPANGAJI UPYA?

Page 5: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

AJENDA

Kwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Kupanga upya

Kigezo cha Kupanga upya

Maoni ya Kundi Ndogo ya

Raundi ya 1

Page 6: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

MCHAKATO WA KUPANGA UPYA

▪Mchakato wa mkutano wa jamii

▪Kila mtu kushiriki kwa usawa

▪Mikutano kuanza na maonyesho ya kundi kubwa

▪Gawanya katika vikao vya makundi madogo

▪Makundi madogo kuwezeshwa na mhudumu mwenye ujuzi

▪Usawa katika mchakato

▪Majadiliano kuhusu kigezo

Page 7: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

MCHAKATO WA KUPANGA UPYA

Raundi ya 1

Utangulizi na Maoni

(Nov 2, 2017)

Freedom MS

Raundi ya 2

Chaguo Mbadala

(Nov 30, 2017)

Clarkston HS

Raundi ya 3

Mpango Unaopendekezwa na Wahudumu

(Jan 11, 2017)

Rockbridge ES

Mkutano wa Bodi

Pendekezo la Msimamizi

(Feb 5, 2018)

Raundi ya 1-3 zitajumuisha mikutano ya umma na maoni ya mtandaoni

www.dekalbschoolsga.org/redistricting

Page 8: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

MCHAKATO WA KUPANGA UPYA

▪ Raundi ya Kwanza – Freedom MS – Novemba 2, 2017▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kulingana na

kigezo kilichoidhinishwa cha bodi

▪ Raundi ya Pili – Clarkston HS – Novemba 2, 2017▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kuhusu chaguo

zilizowasilishwa za upangaji upya kulingana na kigezo kilichoidhinishwa

▪ Raundi ya Tatu – Rockbridge ES – Januari 11, 2018▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kuhusu Mpango

Uliopendekezwa wa Wahudumu kulingana na kigezo kilichoidhinishwa

Page 9: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

MCHAKATO WA KUPANGA UPYA

▪Chaguo zote zilizowasilishwa zitaanza kutumika Agosti 2018

▪Wanafunzi wanaoingia gredi ya 5, 8, 11 na 12 watakuwa na chaguo la kuendelea katika shule yao ya zamani, bila usafiri wowote utakaotolewa

Page 10: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

AJENDA

Kwa nini Kupanga upya?

Mchakato wa Kupanga upya

Kigezo cha Kupanga upya

Maoni ya Kundi Ndogo ya

Raundi ya 1

Page 11: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

KIGEZO CHA KUPANGA UPYA

▪Tangazo la Sera ya Bodi: Ubadilishaji wa Maeneo ya Mahudhurio ya Shule huelezea kigezo cha msingi na cha pili

▪Kigezo cha Msingi, kulingana na utaratibu

▪Ukaribu wa Kijiografia

▪Uwezo wa masomo

▪Usajili unaotazamiwa

Kumbuka: Huenda wanafunzi wasiwekwe katika shule iliyo karibu nao, kwa kuwa lazima kigezo kingine kizingatiwe.

Page 12: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

KIGEZO CHA KUPANGA UPYA

▪Kigezo cha Pili, wakati kigezo cha msingi kinaashiria zaidi ya chaguo moja la hatua

▪Mipangilio ya usalama na trafiki

▪Upangaji upya wa awali

▪Kusawazisha mipango maalum , (i.e., ESOL, chaguo la shule, n.k.)

▪Ulainishaji wa shule kuu

▪Mitaa thabiti

▪Shughuli bora na za kiuchumi

Page 13: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

AJENDA

Kwa nini Kupanga upya?

Mchakato wa Kupanga upya

Kigezo cha Kupanga upya

Maoni ya Kundi Ndogo ya

Raundi ya 1

Page 14: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 1MALENGO

Kukusanya mchango kulingana na kigezo kilichoidhinishwa cha bodi

Mfululizo wa maswali matatu ya majadiliano

Page 15: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

1. Kuhusiana na mambo kama vile vikwazo asili vya kijiografia na mashirika ya wamiliki nyumba, ni maeneo gani ya mitaa inapaswa kusalia pamoja na kwa nini?

2. Ni masuala gani ya trafiki unayo ambayo yanaweza kuathiri usalama na usafiri wa wanafunzi kwenda na kutoka shule?

3. Je, kuna mitindo au mijengo mipya ya makazi katika eneo lako ambayo inaweza kuathiri usajili wa baadaye shuleni?

4. Je, kuna mipango yoyote maalum shuleni mwako ambayo tunapaswa kujua?

MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 1MASWALI

Page 16: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 1KANUNI

▪Wasaidizi ni washiriki walengwa

▪Wanaweza kuzingatia tu michango inayohusiana na kigezo

▪DCSD imejitolea kupokea na kuzingatia michango yote mwafaka

▪Lazima wahudumu wasawazishe madhumuni kadhaa na vikwazo vya utaratibu katika kukuza mipango, kwa hivyo si michango yote inaweza kuzingatiwa.

▪Heshimu maoni ya kila mtu

▪Tafadhali andika maswali kwenye kadi za manukuu

▪Maswali yatashughulikiwa kwenye tovuti ya www.dekalbschoolsga.org/redistricting

Page 17: UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE ......Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge Inafunguliwa tarehe Januari 2018 Shule ina zaidi ya viti 900+ Mamia ya viti inapatikana Kufunguliwa

ASANTE KWA KUJA!

M K U TA N O U F U ATA O :

M K U TA N O W A U M M A W A R A U N D I YA 2A L H A M I S I , 3 0 N O V E M B A 2 0 1 7 6 : 3 0 P M

C L A R K S T O N H S

www.dekalbschoolsga.org/redistricting