uzoefu wa matumizi ya videoconference tanzania
DESCRIPTION
The use of videoconference by governments to reduce costs, reduce inconveniences, increase efficiency and attain informed decision making (in Swahili).TRANSCRIPT
UZINDUZI WA MRADI WA “VIDEO CONFERENCE”
Uzoefu wa matumizi
ya “videoconference”
Charles Y. Senkondo, Mkurugenzi Mtendaji Tanzania Global Learning Agency-TaGLA
Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao TaGLA
5
Tanzania Global Learning Agency
Wakala ya Serikali
Desemba 23, 2011 kwa sheria ya Wakala za serikali Na. 30 ya 1997 Sura 245
Majukumu ya TGDLC Iliyoanzishwa mwaka 2000 chini ya Programu ya Kuboresha Utumishi wa Umma (PSRP) Chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Moja wapo kati ya mtandao wa vituo zaidi ya 120 duniani (www.gdln.org)
Huduma zinazotolewa
o Mafunzo kwa kutumia mfumo wa ‘videoconference”
o Midahalo o Maabara za Komputa o Huduma za Daraja Video
Video conference
8
Matumizi ya ubunifu katika mafunzo
Mchanganyiko wa TEHAMA •videoconference •Intaneti, tovuti
•Kujifunza katika makundi •Kubadilishana •Uwezeshaji madhubuti •Msaada kwa wahusika
Mafunzo ya Siku 5 yakilinganishwa Kawaida / Videoconference
TZS -
TZS 1,000,000.00
TZS 2,000,000.00
TZS 3,000,000.00
TZS 4,000,000.00
TZS 5,000,000.00
TZS 6,000,000.00
TZS 7,000,000.00
TZS 8,000,000.00
TZS 9,000,000.00
30 60 90 120
Mafunzo: Nchini
Mafunzo: Kanda Afrika
Gharama kwa Mshiriki
Mafunzo ya kwa videoconference: Gharama kwa mshiriki
Idadi ya Washiriki
Gharama (TZS)
10
Faida za matumizi ya “videoconference”
Adha ya kusafiri
Gharama za usafiri
Muda wa kutokuwepo
Unafuu wa Gharama
Usahihi Walengwa
Mchanganyiko unaofaa walengwa
Mahali sahihi
Muda sahihi
Vifaa sahihi
Kukidhi mahitaji
Kumbi za Mikutano
Kusimamia Mitihani
Udahili
Tiba-Kuonana na mabingwa
Kukidhi Mahitaji
Mafunzo kwa Mtandao
Mahakama
Ushauri Nasaha
Kuwasilisha Zabuni
Kusimamia, Kutoa na Kupokea taarifa za miradi
Mikutano ya Bodi
Mifano
Kukabili majanga makubwa
Inaratibiwa Ebola- Uganda Mlifanyaje
Maeneo ya Kuboresha
Kubadilika fikra Kuborehsa sera na miongozo Kuvunja himaya Kufaidika na muunganiko wa Tehama
Mategemeo
Kuzingatia Miongozo / Viwango
Kuongeza kushirikiana na kuimarisha mtandao Kutoa huduma mbalimbali kwa kutumia TEHAMA Kufaidika na Muunganiko wa TEHAMA Kujenga uwezo wa kitovu cha kuunganisha, kujenga
uwezo na ukaguzi wa viwango Kukuza ushirikiano kitaifa na kimataifa
Jipime
Teknolojia ya Videoconference
Jamii iliyo tayari
kutumia teknolojia
Mtandao unaokidhi viwango
Mkurugenzi Mtendaji,
Tanzania Global Learning Agency,
Mt. Shaaban Robert, IFM, Block A,
S. L. P. 2287, Dar es Salaam.
Simu: +255 22 2123705 / 09
Fax: +255 22 2123702
Pepe: [email protected]
Tovuti: www.tagla.go.tz
21