ya mtandao...matumizi yasiyo ya kibiashara: hauna uhuru wa kutumia kanuni hizi kwa biashara yoyote....

21
INITIATIVE FOR EQUALITY AND NON DISCRIMINATION (INEND) KANUNI ZA KIFEMINISTI ZA MATUMIZI YA MTANDAO

Upload: others

Post on 12-Feb-2021

8 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • INITIATIVE FOR EQUALITY AND

    NON DISCRIMINATION (INEND)

    KANUNI ZA KIFEMINISTI

    ZA MATUMIZI YA MTANDAO

  • UCHAPISHAJIK anuni hiz i z imechapishwa na shir ik a la kutetea hak i za k ibinadamu la I nit iat ive for Equal it y and Non Discr imination ( INEND), Oktoba 2020.

    K anuni hiz i z imeungwa mkono na Shir ik a la Associat ion for Progressive Communication, (APC ) .

    WAHUSIKAMtafs i r i : Helen MudoraWahar i r i : Wanafeminist i k at ik a mi j i ya Mombasa, K isumu na NairobiM pangi l io wa Muundo: Arafa Hamadi Uchoraj i : Arafa Hamadi

    MATUMIZIUko huru kugawa, kunak i l i /kupiga chapa na kusambaza tena k anuni h iz i k wa mbinu au a ina yoyote i le k wa mashar t i yafuatayo: - Shar t i utoe s i fa na uonyeshe iwapo mabadi l iko yoyote yamefanyik a . Uko na uhuru wa kufanya hiv yo i la s i k wa nj ia i tak ayoonyesha k wamba mchapishaj i wa k anuni h iz i ameidhinisha hatua hiyo.

    M atumizi yas iyo ya k ibiashara : hauna uhuru wa kutumia k anuni h iz i k wa biashara yoyote.

    KUTUHUSUI n i t iat ive for Equal i t y and Non Discr iminat ion ( INEND) ni shir ik a la kutetea hak i za binadamu k at ik a mkoa wa Pwani , l i l i loundwa k at ik amwak a wa 2015. INEND hufanya utaf i t i na kuchukua hatua na mik ak at i ambayo inapelekea usawa, kukubal ik a na kujumuishwa k wa k i la mwanadamu k at ik a jami i . Tunashir ik iana na mashir ik a na washik adau wengine i l i kuhak ik isha kutobagul iwa k wa watu wal io na maumbiletofaut i ya k i j ins ia na k impanzi na wengine.

  • K anuni z i fuatazo ni muhimu i l i kuinua k igezo cha mtandao ambao unazingat ia usawa wa k i j ins ia na wa watu wote. Mtandao wa k i feminist i huanza na kuwezesha wanawake, na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia kufurahia mtandao ambao ni wa kukubal ik a , kuj imudu, uwazi , maana, us io na mashar t i , na

    unaopat ik ana k wa urahis i na k wa usawa.

    Mtandao wa k i feminist i huwezesha wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia kufurahia tofaut i zetu, hak i zetu, huku tuk ivunja mis ingi ya mfumo dume. Hal i h i i inajumuisha tofaut i za hal i zetu, na muktadha, k ama vi le tofaut i za umri , j ins ia , u lemavu, tabak a mbal i mbal i , hal i zetu za k iuchumi , imani na mis imamo tofaut i za k is iasa na k idini , k ik abi la na rangi za ngozi z inazotutenganisha.K anuni z i fuatazo ni muhimu k at ik a kuaf ik ia

    malengo ya mtandao wa k i feminist i ; - .

  • Mtandao wa k i feminist i huanza na kuwezesha wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia kufurahia huduma za mtandao k wa bei nafuu, b i la mashar t i z inazokubal ik a , z i l izo wazi , na uf ik ia j i sawa ul imwenguni .

  • Tunakubal iana na kul inda hak i ya kupata habar i muhimu k wa wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia . Habar i h i i inahusu haswa hak i na afya za k ingono na uzazi , raha, n j ia sa lama za uav yaj i mimba, uf ik ia j i wa hak i na maswala ya Muungano wa LGBTQGNC++

    Habar i h iz i z i taz ingat ia tofaut i k at ik a lugha, muktadha, uwezo na mapendeleo za k ibinafs i .

  • Wanawake, watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia wana hak i ya kutengeneza msimbo (code) , kubuni ,kubadi l isha na kutumia tek noloj ia ya habar i na mawasi l iano ( IC T ) k wa nj ia endelevu. Wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia pia wana nafas i ya kutawala k at ik a sekta ya tek noloj ia k ama juk waa la ubunifu na kuj ie leza , v i le v i le na kupambana na changamoto za k i tamaduni za ubaguzi wa k i j ins ia na ubaguzi k wa ujumla.

  • Mtandao ni mahal i ambapo k anuni za k i jami i hujadi l iwa na kuzingat iwa, hal i ambayo inatok ana na i t ik adi za kueneza mfumo dume, na kuchangia chuk i k wa watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia . Tunasis i t iza mtandao wa k i feminist i ambao unahusisha dhana tofaut i k wa hal i na sehemu zote, iwe ni hadharani au sehemu za k ibinafs i .

  • Tunaelewa k wamba mtandao ni mahal i panapoweza kubadi l i mawazo ya watu. Kwa hiv yo, mtandao una uwezo wa kujenga uraia upya ambao unawezesha watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia kuj i tambua na kuj ie leza . Zaidi ya hayo, mtandao una uwezo wa kuunganisha watu wa j ins ia tofaut i u l imwengu mzima, uk is is i t iza uwazi na uwaj ibik aj i pamoja na kutengeneza muungano endelevu wa k i feminist i .

  • Tunaamini ya k wamba mifumo k ama mfumo dume ambao umechangia k wa ukubwa mawazo na mwongozo wa mtandao waweza kubadi l ishwa, hasa tuk is is i t iza kujumishwa k wa wale wanaopigania usawa wa k i j ins ia na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia k at ik a uongozi wa mtandao. Tungependa demok ras ia iz ingat iwe k at ik a kuunda sera ambazo z inaaathir i umi l ik i na utumizi wa mtandao duniani kote.

  • Tunazingat ia kuchunguza f ik ra za k ibepar i z inazoendeleza tek noloj ia k wa kusis i t iza ubinafs ishaj i , na kuj i fa idisha. Tunaj i tolea kuunda nj ia mbadala za utawala wa k iuchumi z i l izo na msingi k wenye k anuni za ushir ik iano, umoja , u jamaa, uhi fadhi wa mazingira na uwazi .

  • Tunania ya kubuni na kufanya majar ibio na tek noloj ia , tuk iz ingat ia usalama wa k idi j i ta l i na matumizi ya programu (sof t ware) za bure k ama vi le FLOSS. Tunasis i t iza kukuza , kusambaza, kuel imisha na kueneza maar i fa ya tek noloj ia ya FLOSS .

  • Tunadai ubingwa wa mtandao kukuza habar i za matuk io hal is i ya wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia . Tunapinga na kuk ataa kudhal i l i shwa k wa saut i za wafeminist i na wanaharak at i wa hak i za k ibinadamu na nguvu za k iser ik al i , d ini na v ikundi v i l iv yo na mis imamo mik al i ambayo inaamua na kutawala maadi l i .

  • Tunatetea hak i na umuhimu wa usemi wa his ia za k imapenzi k ama swala la uhuru wa kuj ie leza na l i s i lo duni ya semi z ingine k ama vi le za k idini na k is iasa . Tunapinga v ik al i juhudi za ser ik al i na mashir ik a kudhibit i , kuchunguza, na kuzuia semi za k i feminist i , watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia k wenye mtandao, matumizi ya tek noloj ia , na sher ia .

    Tunatambua hi i k ama njama kudhibit i maadi l i na ujenzi wa v igezo v ya uraia na hak i za k ibinadamu.

  • Tunatambua kuwa swala la pornograf ia k wenye mtandao l inahusiana na wak ala , idhini na uwezo. Tunapinga kusawasisha na kujumishwa k wa pornograf ia na unyanyasaj i dhidi ya wanawake au kul inganishwa na maudhui yenye madhara i l i kudunisha kuj ie leza k wa wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia . Tunaunga mkono juhudi za kuj ie leza k wa kubuni maudhui mbadala na utawala wa mfumo dume ambao hudhibit i na kudhal i l i sha wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia .

  • Tunatoa mwito wa kutungwa k wa maadi l i na s iasa za idhini k at ik a tamaduni , muundo, sera na mashar t i ya utumiaj i wa majuk waa ya mitandao. Tunaamini k wamba kuj ie leza k wa wanawake inategemea uwezo wao wa kufanya maamuzi kuhusu mambo yao ya s i r i au mambo ya umma watak ao sambaza k wenye mtandao.

  • Tunaunga mkono hak i ya k i la mtu kuwa na faragha na udhibit i wa habar i za k ibinafs i k at ik a v iwango v yote v ya mtandao. Tunapinga hatua ya ser ik al i na mashir ik a ya k ibinafs i kutumia data k wa aj i l i ya kupata fa ida na kutoa habar i za kupotosha kuhusu tabia na mapendeleo ya k ibinafs i Tunatambua uchunguzi k ama chombo cha k ihistor ia cha mfumo dume unaotumiwa kudhibit i mi i l i , maongezi na uwanaharak at i wa wanawake. Pia tunaangazia tabia za udhibit i unaotok ana na matendo ya watu binafs i , mashir ik a ya k ibinafs i na washik a dau wasio wa k iser ik al i .

  • Tunahak i ya kuwa na umil ik i juu ya histor ia na kumbukumbu zetu k at ik a mtandao. H i i inajumuisha kuweza kupata data na habar i z inazotuhusu mtandaoni , na kuweza kudhibit i pamoja na kujua nani ana uwezo wa kuf ik ia habar i zetu za k ibinafs i na kuwa na uwezo wa kuzi futa hiz i data mi le le.

  • Tunatetea hak i ya kutojul ik ana na kuk ataa madai yote ya kuzuia kutojul ik ana k wenye mtandao. Kutojul ik ana kunawezesha uhuru wetu wa kuj ie leza k wa mtandao, haswa maswala ya kuvunja mi iko ya uj ins ia na i tk adi za ubaguzi , kufanya majar ibu ya kuj i tambul isha k i j ins ia , na kuwezesha usalama k wa wanawake na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia k at ik a jami i u l ioathir iwa na ubaguzi .

  • Tunatoa mwito wa kushir ik ishwa k wa v i jana k wa maamuzi ya usalama wao wak iwa k wenye mtandao, faragha , ukuzaj i wa usalama wao, na upat ik anaj i wa habar i . Tunatambua hak i ya watoto k wa afya , k ihemko, kupata habar i sawa kuhusu ngono na j ins ia , k wa wak at i unaofaa.

  • Tunatoa wito k wa wadau wote wa mtandao pamoja na watumiaj i wa mtandao, watunga sera , na sekta za k ibinafs i kushughul ik ia swala la unyanyasaj i na v i ta k at ik a mtandao na za k i tek noloj ia . Tunaelewa ya k wamba kuna v isa v ingi v ya mashambul iz i na v i t isho dhidi ya wanawake, na watu wenye his ia tofaut i za k imapenzi na j ins ia . Hal i h i i n i ya kushangaza, na ina madhara k wa wanaolengwa na hiv i v i t isho na mashambul iz i . N i jukumu letu wote kuimar isha uwaj ibik aj i wetu dhidi ya swala nzima la unyanyasaj i wa k i j ins ia .

  • w w w.inend.org [email protected]

    P.O BOX 10315-80101 Mombasa, Kenya

    I nit iat ive for Equal i t y and Non Discr iminat ion

    @INENDorg @inend.ke

    KANUNI ZA KIFEMINISTI

    ZA MATUMIZI YA MTANDAO