10.c - maria kim

6
Sasa Musa, karibu! ahsante, lakini hata sikai... Mtoto wangu ameambiwa asirudi shule kama hajalipa pta fees... Musa, si uambie MP atusaidie na hii maneno ya fees? aii!! mp huwezi kumwona tu hivihivi... ana security kali! Si wewe ni wa kabila yake? acha nitajaribu kumwambia, asante. unaweza nisaidia? Ukini-lend dooh kidogo, nitairudisha nikipata. Pole Musa, unajua sikuwagi na dooh mob. Umemuliza Kaunda? Maybe anaweza kuku-loan. kwa kaunda... huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro wake, na huku anang’ang’ana na chuo. Ana-face challenges mob sana, Lakini hakubali anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee ndio hu-try kum-challenge. only the brave hujaribu kum-ask out! uta-do? 19

Upload: well-told-story

Post on 19-Mar-2016

270 views

Category:

Documents


21 download

DESCRIPTION

Chapta 10 - Maria Kim: Uta-do? (Tribe vs Loyalty)

TRANSCRIPT

Page 1: 10.c - Maria Kim

Sasa Musa, karibu!

ahsante, lakini hata

sikai...

Mtoto wangu ameambiwa asirudi

shule kama hajalipa pta fees...

Musa, si uambie MP atusaidie na hii

maneno ya fees?

aii!! mp huwezi kumwona tu hivihivi... ana

security kali!

Si wewe ni wa kabila

yake?

acha nitajaribu kumwambia,

asante.

unaweza nisaidia?Ukini-lend dooh

kidogo, nitairudisha nikipata.

Pole Musa, unajua sikuwagi na

dooh mob. Umemuliza Kaunda? Maybe

anaweza kuku-loan.

kwa kaunda...

huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro

wake, na huku anang’ang’ana na chuo.

Ana-face challenges mob sana, Lakini hakubali

anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee

ndio hu-try kum-challenge.

only the brave hujaribu kum-ask out!

uta-do?

19

Page 2: 10.c - Maria Kim

Yaani 3 hours zimepita na bado tuko kwa line!

Wooi, githeri yangu itaungua nikiendelea

kuwa hapa!

Mhemishiwa ako-busy kwa

mkutano. Ngojeni atawaona akimaliza.

Okay, hebu niende kidogo.

Niambie tukipata-score ingine!

Okay, Daddy!

Gooooaaal!

Daddy, tumeshinda!!

Ahem…Hamjambo wananchi! Ehe, shida yako ni gani, ndugu?

Mtoto wangu hajapata bursary!

Nitaiangalia.

Hello. Eh? Kweli! Oh!

Aaaa… Nakuja!

Tumeingisha ingine?

Ndio na tumeshinda!

Excuse me, Mheshimiwa. Ni

hii karatasi…

Iko sawa. Print and distribute.

Poleni tena, lakini mkutano umeanza.

Kujeni mwezi ujao na

nitawahudumia nyote.

ala!

20

Page 3: 10.c - Maria Kim

Yaani 3 hours zimepita na bado tuko kwa line!

Wooi, githeri yangu itaungua nikiendelea

kuwa hapa!

Mhemishiwa ako-busy kwa

mkutano. Ngojeni atawaona akimaliza.

Okay, hebu niende kidogo.

Niambie tukipata-score ingine!

Okay, Daddy!

Gooooaaal!

Daddy, tumeshinda!!

Ahem…Hamjambo wananchi! Ehe, shida yako ni gani, ndugu?

Mtoto wangu hajapata bursary!

Nitaiangalia.

Hello. Eh? Kweli! Oh!

Aaaa… Nakuja!

Tumeingisha ingine?

Ndio na tumeshinda!

Excuse me, Mheshimiwa. Ni

hii karatasi…

Iko sawa. Print and distribute.

Poleni tena, lakini mkutano umeanza.

Kujeni mwezi ujao na

nitawahudumia nyote.

ala!

21

Page 4: 10.c - Maria Kim

Pole hukuona MP, Musa. Shika 5 sok. Najua utanirudishia,

najali kijana yako na masomo yake.

Asante Kaunda. Kweli wewe ni

beshte m-real.

Thanks for tip yako, Kaunda

alinisaidia sana.

Maria Kim!

Haya, tuonane baadaye…

22

Page 5: 10.c - Maria Kim

Pole hukuona MP, Musa. Shika 5 sok. Najua utanirudishia,

najali kijana yako na masomo yake.

Asante Kaunda. Kweli wewe ni

beshte m-real.

Thanks for tip yako, Kaunda

alinisaidia sana.

Maria Kim!

Haya, tuonane baadaye…

cheki... Ili wekwa chini ya mlango

wangu...

Nonsense!

Hakuna mtu ataskia hu ufala! Tusha-learn lesson ya ukabila the

hard way.

Kweli na-hope

tume-learn!

23

Page 6: 10.c - Maria Kim

Zawadi ni yako!Kweli wewe ni

beshte m-real.

Manze, M

usa lazim

a

a-make

decision hardest.

Ana-

need sana do

h za ku-su

pport

family y

ake. Sa

sa, aku

bali kulipw

a

na MP ndio afu

kuze w

asee w

a

kablia d

ifferent?

Ama, akata

e

hizo doh za

MP na achunge

beste yake

?

Musa hajui a-choose side gani, ya urafiki na Kaunda au ya ukabila na MP wake. Je, wewe unge chagua kufanya?

Cheki ma-ad

vice

wasee w

amempatia kw

a

Fan Pag

e ya DJ

Boyie ya

Facebook…

Thanks sana m

a-youth

s kwa

advice yenu po

a. Musa a

tabambika

kujua

mnam-suppo

rt. Ukich

eki MP am

a leade

r

yeyote aki-b

ehave kwa nj

ia haiku

baliki,

m-report kwa ka

cc -

Kenya Anti-Corruption Commission

Helen Teresia M. Musa! First your MP did not meet

u to assist u when u needed him most. But Kaunda

was there for you. He lent you money to pay for

ur fees. Kaunda is a true friend. Keep him – don’t

harm him. Tell ur MP off, u r 4 peace. Also record a

statement with the police station near you. Musa,

remember we are all one family despite it all.

Mary O. Ethnicity sio poa. It all starts with u and

me 4 any change 2 occur. Origin,authority and

destiny- strong words with some sense. Origin-

urbackground doesn’t matter. Authority - u’ve

the power 2 change whateveryour hurdle is.

Destiny- it can b different if u take a risk. E.g the

referendumwas an ideal example.

Alex Nicks N. Ma hood iz Kiambu n i will tell Musa

that tribalism ilipitwa na wakati. We are all

Kenyans. We r one people irrespective of our

ethinic backgrounds. Musa! Pls don fight. Just

report yr MP to the relevant authority!! Mavijana

ukabila tumesare!

Kalary Dymian N. Musa - you r in a dilemma but

u r not at fault. Your MP is misleading u bcoz he

is supposed to set a gud example. Kaunda is an

example of a caring Kenyan. He did not consider ur

tribe when he helped u. Ur MP is one of the people

hu is thea to b seen n not to act. Report this matter

to the authorities.

Jesse M. What you have there aint a leader. He is

someone who should be visiting court rooms. What

does he help you with even if he is of your tribe?

NOTHING – he just creates enmity btwn you and

people who help you. You are a better thinkers than

him to follow his stupid advise.

Beatrice G. Musa remember dat we have only 2

tribes in Kenya 1. Rich. 2. Poor. Why hurt ur fellow

Kenyan who is of d same tribe as u?

Helen Teresia M. Nikiongezea kidogo, pia kupigia

police simu kiplani. Ndio wa save watu on time.

Nipoa kua na number za simu za police station /

Chief’s office near u.

Timothy Timo M. Weh 2na nja ya ma big fish wa

post election alafu huyu MP analeta mouth ya hate

speech. Weh, Musa huyu mse apelekwe mbele mara

pap na nyinyi majaji mkiletewa mse ka huya akuna

ati kesi kuahirishwa kama kuna stong evidence

omito mara pap.

KACC Hotlines: 020 2717468,

0727-285663, 0733-520641

email: [email protected]

24