206167725 maandalizi ya bunge la katiba
TRANSCRIPT
-
8/13/2019 206167725 Maandalizi Ya Bunge La Katiba
1/5
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA________
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI____________________________________________
-
8/13/2019 206167725 Maandalizi Ya Bunge La Katiba
2/5
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
_____________________________________
Taarifa inatolewa kwamba, Mhe. Anne Semamba Makinda, (Mb.), Spika wa Bunge
na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Bunge, mwishoni mwa wiki aliongoa
u!umbe wa Tume kufanya ukagui wa !engo la Bunge na maeneo ya Bunge ambayo
yanakusudiwa kutolewa na Bunge la "amhuri ya Muungano wa Tanania kwa Bunge
Maalum.
#a!umbe wa Tume ya Utumishi walioambatana na Spika wa Bunge ni Mhe. "ob
$dugai, (Mb.), $aibu Spika na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Beatri%e
Shellukindo, (Mb.), M!umbe, Mhe. &amad 'ashid Mohamed, (Mb.), M!umbe, r.
Maua Abeid aftari (Mb.), M!umbe.
Tume ya utumishi wa Bunge imeridhika kuona kuwa maandalii yamekamilika na
imeridhia kutoa maeleo yafuatayo *
1.0 UKUMBI WA BUNGE
Ukumbi wa Bunge la "amhuri ya Muungano wa Tanania utatumika kwa
mikutano ya Bunge Maalum. Ukumbi huo baada ya marekebisho una +iti -
amba+yo +ina m%hanganuo ufuatao *
/./. 0iti %ha Mwenyekiti1
/.2. 3iti +inne (4) +ya Makatibu Meani1
/.. 3iti +ya magurudumu +iwili (2) (wheelchairs)1
/.4. 3iti 24 +ya #a!umbe wenye mahita!i maalum1
/.5. 3iti +ya #a!umbe wa 0awaida 52.
Aidha, Ukumbi wa Bunge umewekewa mtambo mpya wa kuungumia
(Digital Congress Network) kwa #a!umbe wote, ambao una uweo wa
kunakili ma!adiliano (Hansard) na kuweesha upatikana!i wa matangao ya
tele+isheni. Mitambo hiyo ina uweo pia wa kupiga kura kielektroniki (digital
voting).
2
-
8/13/2019 206167725 Maandalizi Ya Bunge La Katiba
3/5
6ia, ukumbi huo umewekewa mifumo mipya ya usalama.
2.0 KUMBI ZA KAMATI
7fisi ya Bunge imeandaa na kuratibu upatikana!i wa kumbi kwa a!ili ya 0amati
kama ifuata+yo *
NA. UKUMBI MAHALI ULIPO IDADI
YA WAJUMBE
/. Ukumbi wa Spika "engo la Utawala 8
2 Ukumbi $a. / &aina $dogo -8
. Ukumbi $a. 2 &aina $dogo -8
4. Ukumbi $a. &aina $dogo /88
5. Ukumbi $a. 4 St. 9asper &otel /88
. Ukumbi $a. 5 St. 9asper &otel /88
:. Ukumbi $a. St. 9asper &otel /88
-. Ukumbi $a. : St. 9asper &otel 488
;. Ukumbi $a. - odoma &otel 288
/8. Ukumbi $a. ; odoma &otel 288
//. Ukumbi $a. /8 Msekwa &all 258
0umbi hio a 0amati itafungwa +ifaa maalum +ya sauti kwa lengo la
kurekodi ma!adiliano (Hansard) na kupiga kura.
3.0 MAKTABA
Tume imeridhia Maktaba yake itolewe kwa matumii ya Bunge Maalum.
4.0 MKAHAWA WA INTERNET
-
8/13/2019 206167725 Maandalizi Ya Bunge La Katiba
4/5
Tume imeridhia Mkahawa wa Internetulioko katika ghorofa ya pili ya "engo la
Utawala ambayo baada ya marekebisho ina kompyuta 58 itolewe kwa
matumii ya Bunge Maalum.
5.0 ENEO LA UHAPI!HAJI WA NYARAKA
Tume ya Utumishi wa Bunge imetoa mitambo ya ku%hapisha nyaraka kwa
matumii ya Bunge Maalum.
".0 MAENEO YA KUEGE!HA MAGARI #PARKING$
0wa kutambua kwamba idadi ya #a!umbe, watumishi na wageni
watakaokuwa wakitembelea Bungeni ni kubwa, 7fisi ya Bunge imeandaa
maeneo maalum ya maegesho ya magari ambayo yana uweo wa ku%hukua
magari /,888 kwa wakati mmo!a ambayo yatawekewa ulini mkali na pia
huduma a kawaida.
%.0 ZAHANATI
Tume ya Utumishi ya Bunge imeridhia kutolewa kwa Ukumbi wa 3iongoi
katika "engo lenye Ukumbi wa Msekwa kwa matumii ya
-
8/13/2019 206167725 Maandalizi Ya Bunge La Katiba
5/5
"engo la Utawala limefanyiwa Marekebisho na kutoa 7fisi 8 ambao ina
uweo wa ku%hukua watu 288. 0ati ya hio, 7fisi nne (4) ni kwa matumii ya
3iongoi wa Bunge Maalum, yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, 0atibu
na $aibu 0atibu.
10.0 JENGO LA HABARI
"engo la &abari ambalo lina 7fisi tisa (;) na Ukumbi wa Mikutano limetolewa
lote kwa matumii ya Bunge Maalum.
11.0 MAKAZI YA VIONGOZI
7fisi ya Bunge imeratibu upatikana!i wa makai ya 3iongoi wa Bunge
Maalum ambayo watatumia kwa kipindi %hote %ha uhai wa Bunge hilo.
Taarifa hii inatolewa kuufahamisha umma kuwa maandalii yote ya Bunge Maalum
yamekamilika na kwamba Tume ya Utumishi wa Bunge ambayo ndio yenye mamlaka
ya kusimamia mali a Bunge imeridhia kutolewa kwa maeneo na huduma hio kama
ili+yoainishwa.
I()*+,)- /
=dara ya &abari, >limu kwa Ummana Uhusiano wa 0imataifa,
7fisi ya Bunge,S. ?. 6. ;/,DAR E! !ALAAM.
10 F) 2014
5