biashara ya mtandao na flp

Post on 23-Jan-2015

260 Views

Category:

Documents

8 Downloads

Preview:

Click to see full reader

DESCRIPTION

 

TRANSCRIPT

FOREVER LIVING PRODUCTS

TUNAJENGA MAISHA BORA

Ubora

Maisha yajayo

Chagua

Maisha bora Fursa

Afya

• Imeanzishwa mnamo mwaka 1978• Imesambaa zaidi ya nchi 160 duniani• Kampuni ina kipato cha zaidi ya trillioni 3.5 kwa mwaka• Kampuni inajiendesha bila madeni.

Sisi ni nani?

• Nambari moja katika kutengeneza na Kusambaza bidhaa za Aloe Vera za Afya na urembo duniani

• Ni moja kati ya kampuni kubwa katika kutengeneza na kusambaza bidhaa za nyuki.

“Mojawapo ya sababu kubwa ya maradhi duniani ni kutokuwa na kipato mfukoni, ukitaka kupunguza idadi ya watu wanaoteseka wape njia ya HALALI ya kujipatia

kipato!”

Forever Living Products makao makuu – Scottsdale, AZ

Rex Maughan, Mwenye Rex Maughan, Mwenye kampunikampuni

Toka mmea hadi kukufikishia bidhaa• Maelfu ya hekari za aloe vera

• Hulimwa bila mbolea wala dawa za kuulia vijidudu zenye kemikali

• Mitambo ya uzalishaji yenye ubora wa hali ya juu• Umakini na uhakika katika uzalishaji.

Aloe Vera of America

Ubora wa kuaminika

•Bidhaa hazijaribiwi kwa wanyama bali zinatumika na wanyama.• Pia bidhaa zina dhamana ya siku 30 ambayo waweza kurudishiwa pesa.

•Bidhaa zetu za aloe vera zilikuwa za kwanza Duniani kupata uthibitisho kutoka baraza la kimataifa la kisayansi la aloe vera kutokana na ubora uendelevu na uasili wa bidhaa zetu

•Bidhaa zina uthibitisho kutoka baraza la wayahudi na waislamu kutokana na ubora wa bidhaa zetu kimataifa

Bidhaa za uremboBidhaa za

kuthibiti uzito

Bidhaa za usafi Bidhaa za ngozi

VirutubishoVinywaji vya Aloe vera

BIDHAA

Kuhusu mmea wa Aloe Vera

•Mmea wa asili na salama uliotumika tangu miaka mingi iliyopita.

Ina mchanganyiko wa 200 compounds, 20 madini, 18 amino acids na 12 vitamins

•Ni aina moja tu ya Aloe Barbadensis Miller ndiyo hutumika kwenye bidhaa

•Hati miliki ya uandaaji wa bidhaa za aloe vera unafanya bidhaa ya aloe vera kumfikia mteja ikiwa katika hali ya uasili.

•Aloe vera ndiyo kiungo kikuu katika bidhaa zote za aloe vera

• Kinywaji cha asili kwa afya yako

• Ni sawa na kunywa aloe vera kutoka shambani moja kwa moja

• Mauzo ni 50% duniani.

Vinywaji vya aloe vera

• Mizinga ya nyuki ipo katika jangwa mbali na wadudu waharibifu na uchafuzi wa hali ya hewa.

• Tunatumia utaalamu wa ufugaji wa nyuki na vifaa vya hali ya juu na usafi kwa kukusanya na kuhifadhi asali.

• Ni asilimia 100 asili

Bee Products

Bidhaa za virutubisho• Njia za kisasa za kilimo zina haribu ardhi kwa kufanya udongo kupoteza madini asilia.• Watu wengi duniani wanategemea virutubisho ili kuweka afya zao katika hali nzuri.• Virutubisho vyetu vinazalishwa na malighafi zilizo bora.

• Aloe ndicho kiungo cha kwanza

• Ubora wa hali ya juu kwa bidhaa za matumizi ya kila siku

Bidhaa za usafi

• kuhifadhi unyevu wa asili wa ngozi •kurudisha uimara na unyambulikaji wa ngozi•hurudisha upya muonekano wa ngozi

Bidhaa za ngozi

• Usibahatishe urembo wako

• Bidhaa zenye asili ya Aloe Vera na Mimea ya baharini na vitamini A na E

Bidhaa za urembo

• Idadi kubwa ya watu wana matatizo ya uzito duniani, hali inaendelea kuongezeka kadri muda unavyokwenda.

• Jenga biashara na FLP kwa kuwashirikisha watu juu ya bidhaa za kupunguza uzito za Clean 9 na Nutri lean na zingine pia

• Zimetengenezwa kwa vitamini, madini na protini ambazo ni muhimu kwa ajili ya kupunguza uzito

Bidhaa za kuthibiti uzito

Mfumo wa Biashara

1. Muda wa ziada kwa kipato cha ziada

2. Muda wote kwa kipato kisicho na kikomo

Chaguo ni lako!

5% Msimamizi Msaidizi

Bonasi ya kujenga TIMU

• 43% bonasi ya mauzo

• 18% bonasi ya mauzo binafsi

• 18% bonasi ya wasambazaji wapya• 5% bonasi ya kundi la meneja msaidizi• 10% bonasi ya kundi la msimamizi.• 13% bonasi ya kundi la msimamizi msaidizi

KIPATO KUANZIA Tsh 3,000,000

• 43% bonasi ya mauzo

• 13% bonasi ya mauzo binafsi

• 13% bonasi ya wasambazaji wapya• 5% bonasi ya kundi lamsimamizi• 8% bonasi ya kundi la msimamizi.

KIPATO KUANZIA Tsh 1,800,000

• 43% bonasi ya mauzo

• 8% bonasi ya mauzo binafsi

• 8% bonasi ya wasambazaji wapya• 3% bonasi ya msimamizi msaidizi katika kundi

KIPATO KUANZIA Tsh 600,000

• 43% Faida ya mauzo

• 5% mauzo binafsi• 5% bonas ya wasambazaji wapya

KIPATO KUANZIA Tsh 300,000

8% Msimamizi3%

13% Msaidizi wa Meneja8% 5%

18% Meneja13% 10% 5%

Mauzo binafsi

2cc

25cc 120cc75cc

43% Reja reja

Bonasi ya Uongozi

Kizazi cha kwanza kundi la Meneja

Kizazi cha pili kundi la meneja

Kizazi cha tatu kundi la meneja

24,000,000 x 6% = 1,440,000

24,000,000x 3% = 720,000

24,000,000 x 2% = 480,000

6%

3%

2%

Meneja

Bonasi ya ziada

Pato la ziada kuanzia 640,000 – 1, 280,000

• Kupata gari mpya • Kujiendeleza

kimasomo• Nyumba kubwa • Mapumziko

• Chagua!

You can insert your own picture here, or keep the current picture of Rex. In

either situation, delete this text box.

Gawio la faida

Nyumba Kutambuliwa

Mapumziko Masomo

Gari Fedha

Unataka nini?

2. Je wewe na watu unaowafahamu mngependa kutumia bidhaa zenye ubora?

3. Je ungependa kuwa na muda mwingi wa kuwa na familia yako?

1. Je ungependa kuwakilisha kampuni yenye uaminifu na udhabiti?

Sasa jiulize mwenyewe…

TUTAKUSAIDIA KUFIKA HAPA!

Kama jibu lako ni NDIYO anza SASA!

JIANDIKISHE NA UNUNUE BOKSI LA

BIASHARA (COMBO) SASA

Clean 9 and Lifestyle 30 Business Pak allows you

to begin sponsoring others

HABEL .H. SAMIDA Simu 0768 955 185 au 0784 162979 Email: hoseahabel@yahoo.com

Thamani ya BOKSI la biashara au COMBO.

UNAWEZA KUANZA NA COMBO LA THAMANI YA TSH. 350,000/- NGAZI YA KWANZA YA BIASHARA AU TSH. 750,000/- NGAZI YA PILI YA BIASHARA .

`Kuna aina mbili za watu watakaokwambia hutoweza kuleta mabadiliko hapa duniani. Wale waoga kujaribu na wale wanaoogopa

Utafanikiwa`. Ray Goforth

Habel Hosea SamidaId No. 255000411799

top related