nafasi ya mwanaume katika ulimwengu wa utandawazi

Post on 23-Feb-2016

539 Views

Category:

Documents

32 Downloads

Preview:

Click to see full reader

DESCRIPTION

NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI. Mwl . Mgisa Mtebe +255 713 497 654 www.mgisamtebe.org. MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU. ( Jamii , Uchumi na ) Maendeleo. Jamii , Uchumi na Maendeleo. Utandawazi ni nini ?. Nafasi ya Mwanaume katika Jamii. - PowerPoint PPT Presentation

TRANSCRIPT

NAFASI YA

MWANAUME KATIKA ULIMWENGU

WA UTANDAWAZI

Mwl. Mgisa Mtebe+255 713 497 654

www.mgisamtebe.org

MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU

( Jamii, Uchumi na ) Maendeleo

Jamii, Uchumi na Maendeleo

Utandawazi ni nini?

Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

Utandawazi ni nini?Ni mfumo wa maisha ya jamii

ya ulimwengu mzima kuingiliana katika namna ya

kuwa kama jamii moja.

Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika mifumo

ya kimaisha inayohusu;Jamii, Siasa, Elimu na Uchumi

(Social-Political Economy)

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

1. Ongezeko kubwa la Maarifa2. Msukumo mpya Kisiasa3. Mabadiliko ya Sera za uchumi4. Uhuru wa Mipaka ya nchi5. Mwingiliano wa Kitamaduni

Utandawazi

Utandawazi ni nini?Daniel 10:4

“Lakini wewe Daniel, yafunge maneno haya, ukakitie

muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho…”

Utandawazi

Utandawazi ni nini?Daniel 10:4

“… (kwa maana) wengi watakwenda mbio huku na huko, na maarifa (duniani)

yataongezeka.”

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

1. Ongezeko kubwa la Maarifa.Ndani ya miaka 300 ya mwisho,

mwanadamu amefanya uvumbuzi mkubwa kitaalamu,

kuliko katika miaka 1900 aliyoishi katika kalenda mpya.

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

1. Ongezeko kubwa la Maarifa.Kasi kubwa zaidi ya maendeleo, imefanyika katika miaka 100 ya mwisho (1900-2000), ambapo

mwanadamu amefanya uvumbuzi mkubwa sana duniani.

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

1. Ongezeko kubwa la Maarifa.• Mashine za kazi (operation Machine)• Usafiri; Meli na Ndege (Ships & Jets)• Umeme mdogo zaidi (electronics)• Miale ya umeme mdogo (laser beams)• Mawasiliano ya mawimbi (tele-www)

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

Ongezeko kubwa la Maarifa2. Msukumo mpya Kisiasa

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

2. Msukumo mpya KisiasaKuanguka kwa ukomunisti katika jamii nyingi za kimataifa, kulitia nguvu sana mfumo wa kibepari

wa mataifa ya magharibi kuingia katika jamii mbalimbali.

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

Ongezeko kubwa la Maarifa Msukumo mpya Kisiasa3. Mabadiliko ya Sera za uchumi

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

3. Mabadiliko ya Sera za Uchumi.Mataifa mengi kupokea mifumo

ya uchumi iliyozingatia zaidi uchumi wa kibinafsi, uhuru wa

kibiashara, ushindani wa kitaaluma, umoja wa soko, n.k.

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

Ongezeko kubwa la Maarifa Msukumo mpya Kisiasa Mabadiliko ya Sera za uchumi4. Uhuru wa Mipaka ya nchi

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

4. Uhuru wa Mipaka ya Nchi.Mataifa yalidai kubadilishwa

kwa sera za mipaka ya kitaifa na kutaka uhuru zaidi wa mataifa

kuingiliana katika hali za kisiasa, kiutamaduni na kibiashara.

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

Ongezeko kubwa la Maarifa Msukumo mpya Kisiasa Mabadiliko ya Sera za uchumi Uhuru wa Mipaka ya nchi5. Mwingiliano wa Kitamaduni

Utandawazi ni nini?Ni mabadiliko katika;

5. Mwingiliano wa Kitamaduni.Ongezeko kubwa la maarifa na Uhuru wa mipaka, viliwezesha

sana, mwingiliano wa kimataifa na kuathiri sana tamaduni za

jamii, vizuri na vibaya (+ve/-ve).

Jamii, Uchumi na Maendeleo

Uchumi ni nini?

Uchumi na Maendeleo

Uchumi ni namna (maarifa) ya mtu kutumia rasilimali

zilizopo kwa madhumuni ya kutimiza mahitaji na

matakwa yake kwa njia nafuu /bora zaidi.

Uchumi na Maendeleo

Mahitaji Rasilimali

Matakwa

Uchumi na Maendeleo

Maendeleo ni hali ya mtu kutoka katika kiwango cha

maisha duni na kupiga hatua kuishi katika kiwango cha

maisha bora zaidi.

Uchumi na Maendeleo

Maisha Duni Sana

Uchumi na Maendeleo

Maisha DuniMaisha Duni Sana

Uchumi na Maendeleo

Maisha Wastani Maisha DuniMaisha Duni Sana

Uchumi na Maendeleo

Maisha Bora Maisha Wastani Maisha DuniMaisha Duni Sana

Uchumi na Maendeleo

Maisha Bora Zaidi Maisha Bora Maisha Wastani Maisha DuniMaisha Duni Sana

Uchumi na Maendeleo

Maisha Bora Zaidi Maisha Bora Maisha Wastani Maisha DuniMaisha Duni Sana

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Mwanzo 1:26-28

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Mwanzo 1:26-28‘Tufanye mtu kwa sura yetu na

mfano wetu, wakatawale samaki wa baharini, ndege wa andani na

kila kiumbe kilichoumbwa, kiendacho juu ya uso wa dunia.’

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Mwanzo 1:26-28‘Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka katika

bustani na kuwabariki, akawaambia, Zaeni na

kuongezeka, na kuitiisha dunia.

Mabadiliko ya Kijamii

Mabadiliko katika Jamii za Dunia

Ongezeko la Uhalifu na UbayaWarumi 1:18-32Warumi 3:10-182Timotheo 3:1-9Mwanzo 6:1, 5-8

2Petro 2:4-22

Mabadiliko katika Jamii za Dunia• Ongezeko la Uhalifu na Ubaya• Tamaa, Uporaji, Ubakaji, Mauaji • Magonjwa ya Zinaa/Yasiyotibika• Ukatili wa Kijinsia/Kifamilia• Kuvunjika kwa Nyumba/Ndoa• Uwiano wa Watoto Vs Familia

Mabadiliko ya Kijamii:

Mathayo 24:36-39‘Kwa maana kama vile

ilivyokuwa katika siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa siku za kurudi mwana wa Adamu’

Mabadiliko ya Kijamii:

Mathayo 24:36-39‘Kwa maana watu walikuwa

wakila na kunywa, wakioa na kuoana; hata siku ile Nuhu

alipoingia katika Safina; na wao wasitambue, hata gharika

ikawakuta, wakachukiliwa wote.

Mabadiliko ya Kijamii:

Historia ya Sodoma na Gomora, yajirudia duniani. Mmomonyoko

wa maadili wakirithiri, ukichochea zaidi mgongano au

janga la kijinsia, kati ya Wanaume na Wanawake.

(Male-Female/Gender Crisis)

Nafasi ya Mwanaume katika Utandawazi

Mabadiliko ya Kijamii:Habari halisi (facts) zinathibitisha

kwamba; Jamii yetu ina janga (mgongano) mkubwa wa kijinsia (Male-Cause) katika maswala ya; Jamii, Imani na Mila/Utamaduni.(Social, Believes and Culture Crisis)

Mabadiliko ya Kijamii.

Serikali zote za dunia, zimekiri kufeli kwa uwezo wa sera, kanuni na fikra (theory) juu ‘binadamu’ (humanity) katika kubadili tabia na kuzitiisha, ikiwa ni juhudi za

kujaribu kuleta ustawi na usalama zaidi.

Mabadiliko ya Kijamii

Ukweli usiopingika (Facts) unaonyesha wazi kwamba,

Wanaume wamechangia kwa kiasi kikubwa katika kuyumba

kwa ulimwengu, kijamii na kisiasa na kiuchumi.

(Global Social-Political Instability)

Mabadiliko ya Kijamii

Asilimia 97% ya waliofungwa jela leo kwa makosa mbalimbali, ni

wanaume. Makosa ya Udanganyifu, Wizi, Mauaji,

Ubakaji, Ukatili, n.k. ni mambo yanayofanywa na wanaume

zaidi. (Male dominant crimes)

Nafasi ya Mwanaume katika Utandawazi

Mabadiliko ya Kijamii:Habari halisi (facts) zinathibitisha

kwamba; Jamii yetu ina janga (mgongano) mkubwa wa kijinsia (Male-Cause) katika maswala ya; Jamii, Imani na Mila/Utamaduni.(Social, Believes and Culture Crisis)

Nafasi ya Mwanaume katika Utandawazi

Mabadiliko ya Kijamii:Ni kwasababu; Mwanaume ndiye

aliye kichwa cha jamii zote za dunia. Vile Mwanaume

aendavyo, ndivyo familia iendavyo, ndivyo jamii na dunia

nzima itakavyokwenda.

Nafasi ya Mwanaume katika Utandawazi

Mabadiliko ya Kijamii:Kwahiyo; matatizo makubwa ya

• Kifamilia• Kijamii na • Kitaifa

Chanzo ni Mwanaume kiongozi jamii hiyo.

Nafasi ya Mwanaume katika Utandawazi

Taifa

Jamii

Familia

Mwanaume

Mgongano wa Kijamii

Mabadiliko ya Kijamii:Ni mabadiliko katika mifumo

ya kimaisha inayohusu;Jamii, Siasa, Elimu na Uchumi

(Social-Political Economy)

Mgongano wa Kijinsia Kijamii

Mabadiliko yanayotokea: (i) Kijamii (Socially);

Wanawake wanavyozidi kukua kiidadi na pia katika

kuongoza familia.

Mgongano wa Kijinsia Kijamii

Mabadiliko yanayotokea: (ii) Kijamii (Socially);

Wanawake wanavyozidi kukua kiidadi, katika

kuongoza familia na ngazi za maamuzi katika taasisi.

Mgongano wa Kijinsia Kijamii

Mabadiliko yanayotokea: (ii) Kisiasa (Politically); Wanawake wanavyozidi kukua katika uwakilishi

serikalini na katika nyanja za kisiasa (Gender Equality).

Mgongano wa Kijinsia Kijamii

Mabadiliko yanayotokea: (iii) Kielimu (Professionally);

Wanawake wanavyozidi kukua katika elimu, maarifa

na sekta za utaalamu. (Equal Opportunities).

Mgongano wa Kijinsia Kijamii

Mabadiliko yanayotokea: (iii) Kiuchumi (Econimically)

Wanawake wanavyozidi kukua katika uwezo wa

kiuchumi na matunzo ya familia. (Bread Winning)

Mabadiliko katika Kijamii

Wajibu wa Kijamii (Social Roles) hazitafsiriki tena

kijinsia, bali kila mwenye fursa na uwezo, ameshika wajibu fulani katika jamii.(Masculinity-Ferminity Roles)

Mabadiliko ya Kijinsia katika Kijamii

Zamani Leo/Sasa Baba Kiongozi Mama Kiongozi Baba Mlinzi Mama Mlinzi Baba Dereva Mama Dereva Baba Daktari Mama Daktari Baba Boss Mama Boss Adam Kuchumbia Eva Anachumbia

Mabadiliko ya Kijinsia katika Kijamii

Zamani Vs Leo/Sasa Mchezo wa Soka, Karate, Tabia Mbaya za Kutongoza Tabia mbaya za Sigara Makosa ya Kubaka

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Mabadiliko ya Kijamii:Ni mabadiliko katika mifumo

ya kimaisha inayohusu;Jamii, Siasa, Elimu na Uchumi

(Social-Political Economy)

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Mabadiliko ya Kijamii:Mabadiliko haya yanawaacha

wanaume wengi wamechanganyikiwa, wasijue

tena nafasi zao katika jamii zao.(Manhood, Masculinity and

Fatherhood)

These social-political and economical changes leave men;

• frustrated, • confused and • Dissapointed,

Unable to properly define who they really are in the society

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Matatizo Makubwa Kijamii:Chanzo chake ni Wanaume

‘Kutojitambua’.Hali mbaya katika jamii

zimewalazimu wanawake kupigana kuokoka familia.

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Matatizo Makubwa Kijamii:Chanzo chake ni Wanaume

Kutojitambua.Hali mbaya katika jamii

zimeilazimu mikono kufanya kazi ya kutembea.

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Rediscovery of Purpose:Tiba ya matatizo haya yote si ubabe na fujo (au kuanzisha

chama cha wanaume), bali ni kumrudisha mwanaume katika

Kujitambua na Kuutambua Kusudi la Ki-Mungu katika jamii.

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Chachu za Mabadiliko.• Maumbile, • Mazingira na • Nyakati

Mgongano wa Kijinsia katika JamiiRediscovery of Purpose (Kusudi):(i) Kimaumbile (Biologically).

Mwanaume amekuwa kiongozi wa jamii tangu zamani, na ameumbwa

mkakamavu na mwenye nguvu zaidi, kwasababu mazingira ya

awali aliyoishi mtu yalikuwa korofi na magumi (virgin land).

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii(i) Kimaumbile (Biologically).Mwanamke ameumbwa kama msaidizi wa kiongozi wa jamii,

kuzaa watoto na kuwatunza vizuri, na ndio maana haikumlazimu

kupewa mwili mkakamavu kama wa mwanaume.

(1Wakorintho 11:7-12)

Rediscovery of Purpose (Kusudi):(ii) Mapambano ya Kuishi

(Struggle for Survival).Mwanaume ameumbwa

mkakamavu na mwenye mabavu zaidi, ili aweze kupambana

kwasababu mazingira ya awali aliyoishi mtu yalikuwa korofi na

magumi (virgin land).

Rediscovery of Purpose (Kusudi):(ii) Mapambano ya Kuishi

(Struggle for Survival).Mwanamke ameumbwa mpole na

mtaratibu, ili aweze kulea na kuitunza familia vizuri. Hivyo tabia zake na mwitikio wake ni maalum kabisa kulea watoto wa familia.

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Chachu za Mabadiliko.• Maumbile, • Mazingira na • Nyakati

Rediscovery of Purpose (Kusudi):* Mabadiliko ya Wakati

(a) Kwasababu ya Mazingira Rahisiyanayotawalika kwa technologia za juu zaidi, hatari ya familia kuwepo bila mtu mwenye mwili wa mabavu

na mkakamavu, imepungua sana (kama si kutoweka).

Rediscovery of Purpose (Kusudi):• Mabadiliko ya Wakati

(b) Kwasababu ya Ongezeko la watu linahatarisha utoshevu wa rasilimali za dunia, watu wanapunguza sana

kuzaa (idadi ya watoto). Hivyo kusudi la mwanamke kubaki

nyumbani, linapungua.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):• Mabadiliko ya Wakati

(c) Kwasababu ya Kusudi kuachwa • Wanaume hawatunzi familia• Wanawake wanalazimika

kujipigania kifamilia• Watoto wa Kike wanalelewa

kitahadhari, ili kujitegemea.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Mpango wa Mungu kwa Jamii.

Malaki 4:5-6“Tazama, Namtuma Mjumbe

wangu Eliya, ili kuirejeza mioyo ya wababa, kuwaelekea watoto

wao, na mioyo ya watoto, kuwaelekea baba zao”.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Mpango wa Mungu

kwa Nykati hizi

Malaki 4:5-6Tatizo sio Wamama zaidi;Tatizo kubwa ni Wababa.

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Kusudi la Mungu kwa Mwanaume katika

Jamii/familia.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.1. Kubeba Sura na Mfano wa

Mungu duniani.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.1. Kubeba Sura na Mfano wa

Mungu duniani.1Wakorintho 11:7-12

Mwanaume ni Utukufu (Sura na Mfano) wa Mungu. Mwanamke ni

Utukufu (Sura) wa Mwanaume.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.1. Kubeba Sura na Mfano wa

Mungu duniani.Mathayo 6:9-10

Mungu anajitambulisha kama Baba yetu aliye mbinguni na sio kama

Mama yetu aliye mbinguni.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.1. Kubeba Sura na Mfano wa

Mungu duniani.1Wakorintho 11:7-12

Yesu ni Utukufu wa Mungu, na alikuja kama Joshua na sio Jenifa.

(Isaya 9:6, Math 1:20-21)

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.2. Kumiliki na Kutawala Dunia.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.2. Kumiliki na Kutawala Dunia.

Mwanzo 2:7-8, 15-23Wajibu wa kuitunza na kuitawala dunia alipewa Adamu na sio Eva.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.2. Kumiliki na Kutawala Dunia.

Mwanzo 3:6-9Anguko la Mwanadamu

halikutokea baada ya Eva kutokutii kwa kula tunda, bali ni baada ya Adamu kutokutii kwa kula tunda.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.2. Kumiliki na Kutawala Dunia.

Mwanzo 3:6-9Mungu alipokuja kuwatafuta,

akumwita Eva kwanza, bali alimwita, Adam kwanza.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.3. Kutafsiri Neno la Mungu kwa

Familia/Jamii (Maagizo).

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.3. Kutafsiri Neno la Mungu kwa

Familia/Jamii (Maagizo).Mwanzo 2:15-16

Mungu alimpa Adam Maagizo; wakati huo Eva hayupo duniani

katika mwili wake.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.3. Kutafsiri Neno la Mungu kwa

Familia/Jamii (Maagizo).Mwanzo 3:1-3-9

Eva alimjibu shetani, kutoka katika Maelekezo aliyopewa na

Adamu, sio na Mungu.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume4. Kushinda na Kufanikiwa duniani.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume4. Kushinda na Kufanikiwa duniani.

Mwanzo 1:26-28“akawabariki, akawaambia,

zaeni mkaongezeke, na kuitiisha dunia.”

Kusudi la Mungu kwa Wanaume4. Kushinda na Kufanikiwa duniani.

Mwanzo 1:26-28“akawabariki, akawaambia,

zaeni mkaongezeke, na kuitiisha dunia.”

Zaeni = Fruitful (Kustawi)Quality = (Ubora)

Kusudi la Mungu kwa Wanaume5. Kuzalisha Sura ya Mungu na

kuijaza dunia.(Multiplication of the God Nature

and Glory on planet earth).

Kusudi la Mungu kwa Wanaume5. Kushinda na Kufanikiwa duniani.

Mwanzo 1:26-28“akawabariki, akawaambia,

zaeni mkaongezeke, na kutiisha

Kusudi la Mungu kwa Wanaume5. Kushinda na Kufanikiwa duniani.

Mwanzo 1:26-28“akawabariki, akawaambia,

zaeni mkaongezeke, na kutiisha

Mkaongezeke = Multiply Quantity = (Idadi)

Kusudi la Mungu kwa Wanaume6. Kuzalisha Sura ya Mungu na

kuijaza dunia.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume6. Kuzalisha Sura ya Mungu na

kuijaza dunia.Matendo 17:24-26-28

Mungu alitengeneza vizazi na vizazi vya wanadamu kutoka kwa

mtu mmoja tu (Adam) na sio wawili (Adam na Eva).

kuijaza dunia.Mwanzo 2:18-25

Mungu alimtoa Eva ndani ya Adam; na sio Adam ndani ya Eva.

(1Wakorintho 11:7-12)

Kusudi la Mungu kwa Wanaume6. Kuzalisha Sura ya Mungu na

kuijaza dunia.Mwanzo 2:18-25

Ni wajibu wa Baba (mwanaume) kuhakikisha familia/uzazi wake

unabeba sura na mfano wa Mungu duniani.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Mpango wa Mungu kwa Jamii.

Malaki 4:5-6“Tazama, Namtuma Mjumbe

wangu Eliya, ili kuirejeza mioyo ya wababa, kuwaelekea watoto

wao, na mioyo ya watoto, kuwaelekea baba zao”.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume7. Kumpenda na kumtunza Mke

uliyepewa na Mungu.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume7. Kumpenda na kumtunza Mke

uliyepewa na Mungu.Mwanzo 2:18-25

Ni wajibu wa Baba (mwanaume) kumpenda mke wake kama

mwila wake mwenyewe.(Waefeso 5:25-33)

Kusudi la Mungu kwa Wanaume7. Kumpenda na kumtunza Mke

uliyepewa na Mungu.1Wakorintho 11:7-12

Mke ni Utukufu wa Mwanaume; mke sio jembe lako wala sio

punda wako.(Waefeso 5:25-33)

Kusudi la Mungu kwa Wanaume7. Kumpenda na kumtunza Mke

uliyepewa na Mungu.Waefeso 5:25-33

Kama Yesu alivyojitoa kwa ajili ya Kanisa (Bibi Arusi wake) vivyo hivyo, yawapasa Waume kujitoa (Sacrifice) kwa ajili ya wake zao.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Kubeba Asili ya Mungu2. Kumiliki na Kutawala3. Kutafsiri Maagizo ya Mungu4. Kushinda na Kufanikiwa 5. Kuzaa na Kuongezeka6. Kuongeza Utukufu 7. Kumpenda Mke wake

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Mabadiliko ya Kijamii:Ni mabadiliko katika mifumo

ya kimaisha inayohusu;Jamii, Siasa, Elimu na Uchumi

(Social-Political Economy)

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Mabadiliko ya Kijamii:Mabadiliko haya yanawaacha

wanaume wengi wamechanganyikiwa, wasijue

tena nafasi zao katika jamii zao.(Manhood, Masculinity and

Fatherhood)

These social-political and economical changes leave men;

• frustrated, • confused and • Dissapointed,

Unable to properly define who they really are in the society

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Matatizo Makubwa Kijamii:Chanzo chake ni Wanaume

‘Kutojitambua’.Hali mbaya katika jamii

zimewalazimu wanawake kupigana kuokoka familia.

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Matatizo Makubwa Kijamii:Chanzo chake ni Wanaume

Kutojitambua.Hali mbaya katika jamii

zimeilazimu mikono kufanya kazi ya kutembea.

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Rediscovery of Purpose:Tiba ya matatizo haya yote si ubabe na fujo (au kuanzisha

chama cha wanaume), bali ni kumrudisha mwanaume katika

Kujitambua na Kuutambua Kusudi la Ki-Mungu katika jamii.

Mgongano wa Kijinsia katika Jamii

Rediscovery of Purpose:Tiba ya matatizo haya yote ni

kumrudisha mwanaume katika Kujitambua na Kuutambua

Kusudi la Ki-Mungu katika jamii.“Kamwe, kadogo hawezi

kuwa dumba.”

Misingi ya Kijamii (Kifamilia)

Mambo ya Mwanaume Kuzingatia katika Familia na Jamii.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Mambo Muhimu Kuzingatia

1. Priority (Kipaumbele.)2. Power (Utukufu).3. Position (Mamlaka.)

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.(Mwanzo 3:17-19)

‘Kwakuwa umemsikiliza mke (kwanza, kabla ya Mimi),

umepotoka kirahisi na sasa dunia imelaaniwa kwasababu yako’.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.(Mathayo 6:32-33)

“Utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu, na hayo mengine yote,

mtazidishiwa.”

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.(Kwa Mfano wa Yesu);

Marko 1:35“Alfajiri na mapema, alikwenda

mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko.”

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.(Kwa Mfano wa Yesu);

Mathayo 14:22-23‘Akawafukuza wageni,

akawalazimisha kuondoka, ili apate muda wa kuongea na Mungu.’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.(Kwa Mfano wa Yesu);

Luka 18:1-2‘Walipokwenda kila mtu nyumbani

kwake (usiku), Yesu alikwenda mlima wa mizeituni kuomba’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.(Kwa Mfano wa Yesu);

Luka 6:12-19‘Akakesha usiku kucha katika kumwomba Mungu; asubuhi,

akachagua ‘business partners.’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume1. Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.(Kwa Mfano wa Yesu);

Uwezo wa kufanya maamuzi sahihi, ni kuwa connected na

Mungu vizuri.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume2. Power (Uweza na Nguvu).

Nguvu ya Mungu.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume2. Power (Uweza na Nguvu).

Nguvu ya Mungu.(Kwa Mfano wa Yesu);

Luka 6:12-19‘Akakesha usiku kucha katika kumwomba Mungu; asubuhi,

akatembea na Nguvu za ajabu.’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume2. Power (Uweza na Nguvu).

Nguvu ya Mungu.(Kwa Mfano Mfalme Daudi);

1Samwel 16:13-23‘Roho wa Bwana, akamjia Daudi kwa Nguvu (za ajabu), akapiga muziki, na mapepo yakimbia.’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume2. Power (Uweza na Nguvu).

Nguvu ya Mungu.(Kwa Mfano Mfalme Daudi);

1Samwel 17:31-37‘Kwa Nguvu (za ajabu), aliua simba, dubu na Goliati, akiwa na umri wa

miaka 17 tu.’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume2. Power (Uweza na Nguvu).

Nguvu ya Mungu.(Kwa Mfano Mfalme Daudi);

1Samwel 17:31-37‘Kipawa chako kitaoneka na

kukutukuza katika jamii, ikiwa utatafuta Nguvu za Mungu.’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume2. Power (Uweza na Nguvu).

Nguvu ya Mungu.

Zaburi 8:4-8‘Kipawa chako kitaoneka na

kukutukuza katika jamii, ikiwa utatafuta Nguvu za Mungu.’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlaka yako.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlaka yako.

Zaburi 8:4-8‘Ukipoteza Nguvu (Utukufu) unapoteza cheo (mamlaka).’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Ili Mwanadamu aweze kulitimiza Kusudi la Mungu vizuri, Mungu

alimpa Mwanadamu Mamlaka ya Kumiliki na Kutawala mazingira

yake, ili awe na maisha mazuri ya kumtumikia Mungu kama vyombo vizuri vya ibada.

Kusudi la Mungu kwa WanaumeEbr 11:3; Zab 8:4-8

Mungu ameutengeneza ulimwengu wa mwili (dunia)

katika namna kwamba, ulimwengu wa mwili utatawaliwa

kwa nguvu za kiroho. (ulimwengu wa roho)

Kusudi la Mungu kwa WanaumeWarumi 3:23/Warumi 5:12-19

Mwanadamu alipofanya dhambi, alipoteza mamlaka ya Mungu katika ulimwengu wa roho na

kushindwa kuutawala ulimwengu wa mwili; badala yake,

ulimwengu wa mwili ukamtawala mwanandamu.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

KABLA YA DHAMBI UTARATIBU ULIKUWA HIVI

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Utukufu (Msaada) Mungu Mwili Roho Dunia NafsiShetani

Kusudi la Mungu kwa Wanaume KABLA YA DHAMBI “Mashal”

Zab 8:4-8

ADAM

MALAIKA

DUNIA

SHETANI

Mkuu

Mfalme

Mtawala

Mwakilishi

mungu

MUNGU

Kusudi la Mungu kwa WanaumeZaburi 8:4-8, Mwanzo 1:26-28

Mwanadamu ni nani hata umwangalie kwa kiasi hiki? Umemfanya ‘punde kidogo’

kuliko Mungu, ukamvika taji ya ‘Utukufu’ na Heshima; kisha

ukamtawaza ‘Juu ya’ kazi zote za mikono yako …

Kusudi la Mungu kwa WanaumeZaburi 8:4-8, Mwanzo 1:26-28

… na ukaviweka vitu vyote ulivyoviumba wewe, ‘chini ya’ miguu yake; wanyama wote,

ndege wote, samaki na kila kitu kipitacho katika njia za maji.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

KABLA YA DHAMBI “Mashal”

Zab 8:4-8

ADAM

MALAIKA

DUNIA

SHETANI

Mkuu

Mfalme

Mtawala

Mwakilishi

mungu

MUNGU

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Utukufu (Msaada) Mungu Mwili Roho Dunia NafsiShetani

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

BAADA YA DHAMBI MAMBO YAKAWA HIVI

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Msaada Ukakatika Mungu Mwili Roho Dunia Nafsi Shetani

Kusudi la Mungu kwa Wanaume3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlaka yako.

Warumi 3:23‘Wanadamu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na Utukufu (Uweza) wa Mungu.’

MAMLAKA YA MKRISTO

BAADA YA DHAMBI

SHETANI ALITAPELI NAFASI YA ADAM

SHETANI

MALAIKA

DUNIA

ADAM

MUNGU

MAMLAKA YA MKRISTOBAADA YA DHAMBI

Shetani akakaa katika nafasi ya Adam na

akavaa vyeo vyote vya Adam

Yohana 16:11

SHETANI

MALAIKA

DUNIA

ADAM

Mkuu

Mfalme

Mtawala

Mwakilishi

mungu

Waefeso 2:1-2

1Yohana 5:19

Luka 4:5-8

2Korintho 4:3-4

MUNGU

Mamlaka ya shetani ulimwenguni

Efe 2:1-2 – Mfalme wa anga2Kor 4:4 – Mungu wa dunia hii1Yoh 5:19 – Mtawala (Controler) Yoh 12:31 – Mkuu wa UlimwenguYoh 14:30 – Mkuu wa UlimwenguYoh 16:11 – Mkuu wa Ulimwengu

MAMLAKA YA MKRISTO

BAADA YA DHAMBI

Warumi 5:12, 14 Waebrania 2:14, 15

Yohana 16:11

SHETANI

MALAIKA

DUNIA

ADAM

Mkuu

Mfalme

Mtawala

Mwakilishi

mungu

Waefeso 2:1-2

1Yohana 5:19

Luka 4:5-8

2Korintho 4:3-4

MUNGU

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

BAADA YA WOKOVU MAMBO YAKAWA HIVI

BAADA YA WOKOVU (KALVARI)

(Utukufu) Uhusiano Mungu Mwili Roho Dunia Nafsi Shetani

MAMLAKA YA MKRISTOBAADA YA WOKOVU

Waefeso 2:1-6 Waefeso 1:18-23

MALAIKA

SHETANI

DUNIA

ADAM - 1

Mkuu

Mfalme

Mtawala

Mwakilishi

mungu

MUNGU + ADAM - 2

BAADA YA WOKOVU (KALVARI)

(Utukufu) Roho Mt. Mungu Mwili Roho Dunia Nafsi Shetani (Rum 8:9-11)

MAMLAKA YA MKRISTO

Ufunuo 5:9-109 Wewe unastahili kukitwaa kitabu

na kuzivunja lakiri zake, kwa sababu ulichinjwa na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu

kutoka katika kila kabila, kila lugha, kila jamaa na kila taifa (kanisa).

MAMLAKA YA MKRISTO

Ufunuo 5:9-1010 Nawe umewafanya hawa

wawe Ufalme na Makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao

wanamiliki dunia.’’

Kusudi la Mungu kwa WanaumeMwanzo 1:26-28/Zaburi 8:4-8

Mungu aliitengeneza dunia katika namna kwamba, ulimwengu wa

mwili, utatawaliwa kwa mamlaka ya Mungu kutoka katika

Ulimwengu wa roho.

Kusudi la Mungu kwa WanaumeWarumi 3:23/Warumi 5:12-19

Mwanadamu alipofanya dhambi, alipoteza mamlaka ya Mungu katika ulimwengu wa roho na

kushindwa kuutawala ulimwengu wa mwili; badala yake,

ulimwengu wa mwili ukamtawala mwanandamu.

Kusudi la Mungu kwa WanaumeWaefeso 2:1-6/Ufunuo 5:8-10

Lakini Mtu anapotubu dhambi zake na kuupokea Wokovu wa Bwana Yesu Krsito, anaunganishwa tena na Mungu na kupewa mamlaka

makuu zaidi, kuliko yale aliyoyapoteza Adam na Eva

katika bustani ya Eden.

Kusudi la Mungu kwa WanaumeWaefeso 1:18-23/2:1-6Mungu wetu, hataweza kukurithisha mamlaka ya

Ulimwengu wa roho ili uweze kuleta mabadiliko katika

ulimwengu wa mwili, kama hajazaliwa mara ya pili, kwa njia

ya Wokovu wa Yesu Kristo.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Laikini …Kila mtu amwaminiye Yesu Kristo, na Wokovu wake, anaunganishwa

tena na Mungu, katika utu wa ndani, ambao pale mwanzo

ulivunjika kwa ile dhambi ya Adam na Eva kule katika bustani ya Eden.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Baada ya Wokovu, mtu wa Mungu huyo, anajazwa Roho Mtakatifu na Nguvu zake, ili

kumrudishia mamlaka na uweza tuliyopoteza katika bustani ya

Eden, kwa njia ya dhambi.

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

(Utukufu) Roho Mt. Mungu Mwili Roho Dunia Nafsi Shetani (Rum 8:9-11)

Kusudi la Mungu kwa Wanaume3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlaka yako.

Zaburi 8:4-8‘Ukipoteza Nguvu (Utukufu) unapoteza cheo (mamlaka).’

Kusudi la Mungu kwa Wanaume

Mambo Muhimu Kuzingatia

1. Priority (Kipaumbele.)2. Power (Utukufu).3. Position (Mamlaka.)

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

(Uchumi na Maendeleo)

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Isaya 1:18-19 18 Njooni tusemezane asema

Bwana, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana

zitakuwa nyeupe kuliko sufu, 19 mkikubali na kutii,

mtakula mema ya nchi…

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Mungu Ibada Nchi

Adam

Zab 22:3

Zab 150:6

Kumb 8:6-18Yoh 4:23-24

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Isaya 48:17 17 Mimi ni Bwana Mungu

wako, nikufundishaye ili upate faida.

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Zaburi 1:1-3 Heri mtu yule asiyeenenda katika njia za wasio haki, bali sheria ya Bwana ndiyo inayo-mpendeza; mtu huyo atakuwa

kama mti uliopandwa kando ya kijito cha maji …

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Zaburi 1:1-3

… majani yake ni ya kijani siku zote, na anazaa matunda yake kwa majira yake; na kila jambo

alifanyalo, litafanikiwa.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Yohana 4:23-24

Maisha ya Ibada

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Yohana 4:23-24 Mungu anatupa kuishi

maisha mazuri duniani kwa Kusudi Kuu la kuwa vyombo vyake maalum vya ibada ili

tumsifu, tumwabudu na kumtukuza yeye.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Yohana 4:23-24 Na saa ipo na sasa saa imefika,

ambapo waabuduo halisi, watamwabudu Baba katika roho na kweli; Kwa maana

Baba anawatafuta watu kama hao, ili wamwabudu;

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

ZABURI 150:1-66 Kila mwenye pumzi amsifu

Bwana, kwa sauti kuu, kwa zeze, kwa filimbi, kwa zomari, kwa

matari, kwa vinubi na kwa matoazi yavumayo sana.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

WEWE BINAFSI NI HEKALU 1Wakorintho 6:19-20

‘Mwili wako ni Hekalu (Nyumba ya Ibada) ya Roho

Mtakatifu; kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu aliyekuumba.

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

KWANINI IBADA ?

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zaburi 22:3 Wewe U Mtakatifu, nawe

“UNAKETI” juu ya sifa za Israel

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zaburi 22:3 Wewe U Mtakatifu, nawe

“UNAKETI” juu ya sifa za Israel

“Inhabit” “Unaishi”

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zab 22:3 IDABA ndio kitu cha kwanza

kabisa katika moyo wa Mungu, kwasababu

MUNGU ANAISHI KATIKA IBADA na SIFA.

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Kumnyima Mungu ibada Ni kama kumnyima

• Samaki maji• Mimea udongo• Binadamu hewa

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

“Kwa maana, Baba anawatafuta watu wa aina hiyo ili wamwabudu.” (Yohana 4: 23)

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika Ufunuo 4:9-11

Ufunuo 5:11-14

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika Mwanzo 1:26-28

Zaburi 148 na 150

Adam

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika Kwasababu ya asili yetu na uhusiano tuliyonayo Adam na Mungu …

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika … sisi binadamu tunaweza kumsifu na kumwabudu Adam Mungu, vizuri zaidi kuliko malaika wa mbinguni

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika Ibada Nchi Adam

SIFA NA IBADA KWA MUNGUMungu anatamani sana kukaa na

sisi watoto wake hapaduniani, ndio maana anataka dunia yote

ijazwe hali ya ibada (atmosphere) kama ilivyo mbinguni (masaa 24), ili duniani pia, kuwe na mazingira ya maisha au ya makazi ya Mungu

kama ilivyo mbinguni.

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Ibada nzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa

sana na mazingira mazuri.Kumbukumbu 8:6-18

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mazingira yakitibuka, maisha yanatibuka,

na maisha yakitibuka, ibada kwa Mungu pia

inatibuka.

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Ibada Nchi

Adam

Zab 22:3

Zab 150:6

Kumb 8:6-18Yoh 4:23-24

SIFA NA IBADA KWA MUNGU Kutokana na umuhimu na

unyeti wa ibada, Mungu hakutaka na hataki watoto wake, tuwe na maisha ya taabu, maisha ya dhiki na

maisha ya shida; Kwanini?

SADAKA NA IBADA KWA MUNGUMungu anataka watoto wake,

tuwe na maisha mazuri, ili tunapopeleka ibada kwa

Mungu, ibada hiyo ifike kwa Mungu ikiwa safi (fresh), yaani ibada isiyo na kelele za moyoni

(masumbufu na uchungu).

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Ndio maana Mungu alitumia muda mrefu zaidi kuumba Dunia

kuliko muda aliotumia kumuumba binadamu

mwenyewe.

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Ndio maana Mungu alitumia muda mrefu zaidi kuumba Dunia

kuliko muda aliotumia kumuumba binadamu

mwenyewe.Dunia = siku 5Adam = siku 1

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Hii inaonyesha wazi kwamba, Mungu anajali sana mazingira ya maisha yako; kwasababu, ibada nzuri inategemea aina ya maisha

ya mtu, na aina ya maisha yanategemea aina ya mazingira

anayoishi mtu huyo.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Ibada nzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa

sana na mazingira mazuri.Kumbukumbu 8:6-18

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Ibada Nchi

Adam

Zab 22:3

Zab 150:6

Kumb 8:6-18Yoh 4:23-24

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Mazingira yakitibuka, maisha yanatibuka,

na maisha yakitibuka, ibada kwa Mungu pia

inatibuka.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Hivyo,

Shetani anachotafuta ni kumpiga binadamu na

mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada,

anayoitamani sana kutoka duniani.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Sisi wote ni Vyombo vya Ibada.

Mungu akikupa nguvu zake, uweza wake na baraka zake, ni

kwa ajili ya kukutengenezea mazingira mazuri ya kumsifu na

kumwabudu yeye.(Yohana 15:1-2)

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Sisi wote ni Vyombo vya Ibada.‘Tena itakuwa, mtu awaye yote,

asiyekwenda Yerusalemu kumwabudu Bwana wa Majeshi,

mvua haitanyesha kwao’.(Zekaria 14:17)

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.3. Kutafsiri Neno la Mungu kwa

Familia/Jamii (Maagizo).Mwanzo 2:15-16

Mungu alimpa Adam Maagizo; wakati huo Eva hayupo duniani

katika mwili wake.

Rediscovery of Purpose (Kusudi):Kusudi la Mungu kwa Mwanaume.3. Kutafsiri Neno la Mungu kwa

Familia/Jamii (Maagizo).Mwanzo 3:1-3-9

Eva alimjibu shetani, kutoka katika Maelekezo aliyopewa na

Adamu, sio na Mungu.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Viumbe vyote, vya mbinguni na vya duniani, vyote vitii amri ya kulisifu jina la Bwana Mungu,

aliyeumba mbingu na nchi.Zab 148:1-7-14

Zab 150-1-6

KANUNI ZA KIKRISTO ZA MAISHA YA USHINDI

UJANANI

KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI.

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI Ulimwengu huu tunaouishi

unatawaliwa na kanuni kuu mbili za kimaisha.

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI Ulimwengu huu tunaouishi

unatawaliwa na kanuni kuu mbili za kimaisha.

Kanuni za Kiasili/Kimwili Kanuni za Kiroho

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI Ulimwengu huu tunaouishi

unatawaliwa na kanuni kuu mbili za kimaisha.

Physical Principles Spiritual Principles

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI Ulimwengu huu tunaouishi

unatawaliwa na kanuni kuu mbili za kimaisha.

Natural Principles Super-natural Principles

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI Ulimwengu huu tunaouishi

unatawaliwa na kanuni kuu mbili za kimaisha.

Ordinary Principles Extra-ordinary Principles

KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI Ulimwengu huu tunaouishi

unatawaliwa na kanuni kuu mbili za kimaisha.

Kanuni za Kiasili/Kimwili Kanuni za Kiroho

KANUNI ZA KIROHOWaebrania 11:3

Kanuni za Ulimwengu wa mwili zinatawaliwa na Kanuni za

Ulimwengu wa roho;

KANUNI ZA KIROHOWaebrania 11:3 Kwasababu hiyo,

Mambo ya Ulimwengu wa mwili yanatawaliwa na mambo ya

ulimwengu wa roho;

ULIMWENGU WA ROHOUlimwengu wa roho2 Wakorintho 4:18

Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya kimwili) ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana

(yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu

(vinavyotawala vya kimwili).

ULIMWENGU WA ROHOUlimwengu w

Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya Namna kuu mbili (2);

• Vitu visivyoonekana na

• Vitu vinavyoonekana

Kwanini Ushindi? Waefeso 6:12

“Kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita ya kimwili),

bali ni vita juu ya falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza, na

majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Hivyo,

Shetani anachotafuta ni kumpiga binadamu na

mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada,

anayoitamani sana kutoka duniani.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Ibada nzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa

sana na mazingira mazuri.Kumbukumbu 8:6-18

SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Ibada Nchi

Adam

Zab 22:3

Zab 150:6

Kumb 8:6-18Yoh 4:23-24

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Mazingira yakitibuka, maisha yanatibuka,

na maisha yakitibuka, ibada kwa Mungu pia

inatibuka.

KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Hivyo,

Shetani anachotafuta ni kumpiga binadamu na

mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada,

anayoitamani sana kutoka duniani.

KANUNI ZA KIROHO

Kwanini Ushindi? Ni kwasababu;

Kuna mashindanoKuna mapambanoKuna upinzaniKuna vita na majaribu

Kuna Vita na MapambanoKuna mapambano katika familiaKuna mapambano katika masomoKuna mapambano katika kazi zetu Kuna vita katika biashara + miradiKuna mapambano katika afyaKuna mapambano katika kanisa

Kwanini Ushindi? Waefeso 6:12

“Kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita ya kimwili),

bali ni vita juu ya falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza, na

majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”

Kwanini Ushindi?

Vita na Mapambano Vyatoka wapi?Ufunuo 12:7-17

Kwanini Ushindi? Ufunuo 12:7-17

Kulikuwa na vita mbinguni, Malaika Mkuu Mikaeli pamoja na malaika zake, wakapigana na yule

joka aitwaye Ibilisi na Shetani pamoja na malaika zake;

Kwanini Ushindi? Ufunuo 12:7-17

Yule joka (shetani), hakushinda, bali alipigwa na malaika wa

Mungu, akaangushwa kutoka mbinguni, akatupwa duniani, yeye pamoja na malaika zake

walioasi pamoja naye.

Kwanini Ushindi? Ufunuo 12:17

Huku duniani, ibilisi shetani akijawa hasira nyingi na

ghadhabu kali, aliazimu kufanya vita na watoto wa Mungu, akijua

ana wakati mchache.

Kwanini Ushindi? Waefeso 6:12

“Kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita ya kimwili),

bali ni vita juu ya falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza, na

majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”

KANUNI ZA KIROHO 2Wakorintho 10:3-5

‘Ingawa tunaenenda kimwili, lakini hatufanyi vita kwa jinsi ya

mwili, bali tunapambana na elimu zilizo kinyume na elimu ya Kristo, tukizi-teka nyara fikra za watu, ili

zipate kumtii Kristo’

KANUNI ZA KIROHO

TunaongeleaUshindi kwasababu kuna mashindano ya kiimani

Katika maisha yetu.

KANUNI ZA KIROHO

1Yohana 5:4‘Kila kitu kilichozaliwa na

Mungu, huushinda ulimwengu; Na huku ndiko kushinda

kuushindako ulimwengu, ni hiyo IMANI yetu’

KANUNI ZA KIROHOWarumi 8:37

‘Na katika mambo yote, tunashinda na zaidi ya kushinda kupitia Kristo Yesu aliyetupenda’

KANUNI ZA KIROHO

Yohana 16:33‘Ulimwenguni mnayo dhiki,

lakini jipeni moyo kwasababu mimi nimeushinda ulimwengu’.

KANUNI ZA KIROHOYohana 16:33

Tumechagua kumwamini Yesu Kristo, kama Bwana na Mwokozi

wetu, kwasababu yeye ndiye aliyeshinda dhambi na mauti; na

yeye ndiye mwenye funguo za (mamlaka ya) mauti na kuzimu.

KANUNI ZA KIROHO

Ufunuo 1:9-1918 Yesu anasema; Mimi ni Yeye aliye hai, niliyekuwa nimekufa na tazama, ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na kuzimua. 19 Basi andika mambo uliyoyaona, yaliyopo

(sasa) na yale yatakayotukia baadaye

KANUNI ZA KIROHOUfunuo 1:9-19

Bwana Yesu anatutangazia ushindi wake ili tujue kwamba,

pamoja na shida mbalimbali tulizonazo duniani, ushindi wake utatusaidia na sisi kushinda juu ya kila tatizo tunalokutana nalo.

KANUNI ZA KIROHO

Yohana 16:33‘Ulimwenguni mnayo dhiki,

lakini jipeni moyo kwasababu mimi nimeushinda ulimwengu’.

KANUNI ZA KIROHOYohana 16:33

Bwana Yesu anatuambia tujipe moyo kwa ushindi wake, kwasababu ushindi wake unatupa siri na kanuni za kutuwezesha na sisi kuwa

washindi katika mambo yote.

KANUNI ZA KIROHO

Mtu wa Mungu anatakiwa kuishi maisha ya ushindi na mafanikio ili

kumwaibisha shetani na kumtukuza Mungu, lakini na yeye pia aweze kuishi maisha mazuri na kuwa chombo kizuri cha kumsifu

na kumwabudu Mungu.

KANUNI ZA KIROHO

Kanuni za kiroho, ni mambo ambayo, tukiyatumia maishani

mwetu, yatasababisha Roho Mtakatifu wa Mungu aliye ndani yetu, kuzalisha nguvu za Mungu

ndani yetu, zitakazotusaidia kuishi maisha ya ushindi na mafanikio.

KANUNI ZA KIROHOKanuni hizi tulizojifunza, zilete

mabadiliko katika mfumo wa maisha yako na kukuwezesha

kuzalisha Nguvu za Mungu zinazohitajika kukupa maisha ya Ushindi na kukuwezesha kuwa chombo kizuri cha kumsifu na

kumwabudu Mungu.

IBADA NA UTOAJI

Luka 11:27-2827 Ikawa Yesu alipokuwa

akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya ule umati wa

watu akapaza sauti akasema, “Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti yaliyokunyonyesha!”

IBADA NA UTOAJI

Luka 11:27-2828 Yesu akajibu,

“Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu

na kulitii au kulitenda.”

IBADA NA UTOAJI

Yohana 13:17Bwana Yesu akawaambia

wanafunzi wake, “Ni heri mkiyajua haya,

ni heri mkiyatenda.”

NGUVU LA NENO LA MUNGU

Kanuni hizi tulizojifunza, zikusaidie kuzalisha nguvu za Mungu ndani yako, kwasababu, utendani kazi wa mkono wa Mungu maishani

mwako unategemea sana kiwango cha nguvu zake, kinachotenda kazi

ndani yako.

Ibada na Utoaji

Mwisho!

Mafundisho Mengine

Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa

Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la

Azania Front Cathedral Luther House, Sokoine Drive

Dar es Salaam.

Kwa mawasiliano zaidi,

Mwl. Mgisa Mtebe Dar es Salaam, Tanzania.

+255 713 497 654mgisamtebe@yahoo.com

www.mgisamtebe.org

top related